ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAZINGE AMWAMBIA MCHUNGAJI NDACHA ~ UMEINGIA CHA KIKE WENZAKO WANANIKIMBIA ~ AMTWANGA SWALI LA MWAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2021
  • SHEIKH: OTHMAN MAZINGE AMWAMBIA MCHUNGAJI NDACHA ~ UMEINGIA CHA KIKE ~ WENZAKO WANANIKIMBIA ~ AMTWANGA SWALI LA MWAKA ~ AMEKUBALI ANAOMBA URUDIWE TENA AJIPANGE
    #Mtoro_Online_Tv #Mazinge #Ndacha #Debate

ความคิดเห็น • 637

  • @adamsalim587
    @adamsalim587 2 ปีที่แล้ว +18

    Maa Shaa Allah, Allah awabariki masheikh ma daa'i wa kiislamu kwa kazi ngumu wanayofanya ya kuwaelimisha ngudu zetu katika ubinadam(wakristo). Katika maisha yangu nimemuomba sana Mungu amkutanishe mchungaji ndacha na Sheikh Al Habib Othman Mazinge katika mdahalo kwa maana huyu pastor huku kenya anawapotosha sana watu. Shk. Mazinge Allah akuhifadhi na akupambe kwa afya.. In shaa Allah mungu atawaongoza wakristo wote waione njia ya hakki na kuifata. Wabillah tawfiq.

    • @abuuaisha4738
      @abuuaisha4738 2 ปีที่แล้ว

      Aaamin aamin aaamin

    • @marcbanyankirubusa135
      @marcbanyankirubusa135 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnapongeza , apo mazinge anasema kinyume na kinaco sababisha yesu aseme petro ni shetani , kwasababu mazinge anafahamu waislamu wanakalilishwa siwasomi, ndiomaana akawapotosha kwa maandiko, akasema yesu kusema petro nishetani nikwakusema yesu ni mwana wa Mungu akadanganya, ebu jisomee uwone kama walimu wenu niwaongo soma matyo 16:21-23 petro wakati aliposikia yesu atakufa musalabani na kufufuka Siku yatatu petro akakataa akasema asimpate Ayo mateso, yesu akamwambia toka nyuma yangu shetani wukikwazo kwangu yamungu huuataki bali ya wanadamu , wanao sema yesu hakufa niwale waliokuwa ndungu yashetani nao ni waislamu kwasababu mhamadi alimslimisha shetani akawa mwislamu, maneno ni yale yale shetani alipo nena ndani ya petro wakati petro bado haja okoka poleni sana waislamu ,lakini cungeni sana walimu wenu mujisomee vitabu wasiwasomee jisomee nyie wenyewe, yesu alisema mutapata ukweli ukweli nae utawakomboa.

    • @adamfundikira1620
      @adamfundikira1620 2 ปีที่แล้ว

      @@abuuaisha4738 mazinge ni muongo mpaka anamzidi shetani kwa uongo duh yaani ni wakala wa ibilisi

    • @adamfundikira1620
      @adamfundikira1620 2 ปีที่แล้ว

      @@marcbanyankirubusa135 ni muongo mbwa huyo

    • @abuuaisha4738
      @abuuaisha4738 2 ปีที่แล้ว

      @@marcbanyankirubusa135 اللهم هدناالصراط المستقيم

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 ปีที่แล้ว +29

    Allah awabariki masheikhe wetu azidi kuwazidishieni nguvu na afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 ปีที่แล้ว +8

    Barakaallahu laka ya SHEIKH MAZINGUE.....we love you, from Mozambique.

  • @rhiophiri6857
    @rhiophiri6857 2 ปีที่แล้ว +35

    Professor Mazinge is indeed fantastic, highly equipped with religious knowledge, congratulations Mazinge

    • @mohamedsimba5575
      @mohamedsimba5575 2 ปีที่แล้ว +3

      You're absolutely right Mr Rhio Phiri, congratulations 🎊 sir

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว +2

      Mazinge ni muongo Yesu alikubaliana na Petro
      Ni vizuri kusema ukweli

    • @azizirubelwa2992
      @azizirubelwa2992 2 ปีที่แล้ว +2

      @@noahwamalwa4385 tupe andiko

    • @issakawaya8315
      @issakawaya8315 2 ปีที่แล้ว +3

      Mashaallah

    • @jigglejoo3482
      @jigglejoo3482 2 ปีที่แล้ว

      @@noahwamalwa4385 mazinge ajui kitu, Soma Luka 1:35 St. Luke 1:35. The angel answered, "The Holy Spirit will come on you, and the power of the Most High will overshadow you. So the holy one to be born will be called the Son of God.

  • @bintmohamedmalevi3771
    @bintmohamedmalevi3771 2 ปีที่แล้ว +14

    Maa Shaa Allah professor mazinge.
    Mola akupe umri mrefu wenye twaha

  • @muhammadfadhil9835
    @muhammadfadhil9835 2 ปีที่แล้ว +27

    WEWE SIO MAZINGE WEWE NI MZINGA UNGURUMAPO WATU LAZIMA WAIPATEPATE HABARI YAKO.

    • @sophiasophia4668
      @sophiasophia4668 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzinga kweri

  • @mahamuduhassan8511
    @mahamuduhassan8511 2 ปีที่แล้ว +10

    Maa shaa Allah professor hua hamalizi muda Ustaadhi mazinge Allah akulipe jazaa njema hapa duniani na kesho akhera!!!!!

  • @rizikibashiru4680
    @rizikibashiru4680 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda ost wangu mazinge kwa ajili ya Allah, uwe na umri mrefu wenye manufaa na mwisho mwema

  • @fatimafa3434
    @fatimafa3434 2 ปีที่แล้ว +8

    Professor mazinge maisha malefu kwako 💙💙💙💙

  • @t7zkc5tpxgim28
    @t7zkc5tpxgim28 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akubariki sana pastor

  • @mshengeli2449
    @mshengeli2449 2 ปีที่แล้ว +6

    Maashallah fantastic replying

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 2 ปีที่แล้ว +6

    Jazaka Allah khaira shekh mazinge

  • @previneyoung8290
    @previneyoung8290 2 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge Haujafunguliwa na Mungu wa Mbinguni , siku utafunguliwa . Utamkubali Yesu . amina

  • @masala8099
    @masala8099 2 ปีที่แล้ว +10

    asante mtume Muhammad Kwa Elimu uliyotuachia

  • @pmekenye5050
    @pmekenye5050 7 หลายเดือนก่อน +4

    Matthew 16:13-20
    Matthew 16:13-20 NIV
    When Jesus came to the region of Caesarea Philippi, he asked his disciples, “Who do people say the Son of Man is?” They replied, “Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, Jeremiah or one of the prophets.” “But what about you?” he asked. “Who do you say I am?” Simon Peter answered, “You are the Messiah, the Son of the living God.” Jesus replied, “Blessed are you, Simon son of Jonah, for this was not revealed to you by flesh and blood, but by my Father in heaven. And I tell you that you are Peter, and on this rock I will build my church, and the gates of Hades will not overcome it. I will give you the keys of the kingdom of heaven; whatever you bind on earth will be bound in heaven, and whatever you loose on earth will be loosed in heaven.” Then he ordered his disciples not to tell anyone that he was the Messiah.
    Pro. Mazinge that's what is in the scripture Mambo mengine ni yako. Junga rahana ya mwenyezi Mungu isikwangukie kwa kuwapotosha watu wanao itaji ukweli. Barikiwa Nyote.

    • @godfreycosta8483
      @godfreycosta8483 6 หลายเดือนก่อน

      Sure kabisa , Yan ameunganisha script mbili tofauti , wakati the story iliishia verse ya 20 ye kachukua verse ya 23 which is different scenario

  • @omarshee7501
    @omarshee7501 2 ปีที่แล้ว +6

    Allah awaongoze na a2fishe waislamu

  • @Raya-em8wz
    @Raya-em8wz 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakipenda shekh kwa ajili ya Allah munguakuhifadhi

    • @mtokaboys2175
      @mtokaboys2175 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @saramss7262
      @saramss7262 2 ปีที่แล้ว

      Yaani kiukweli Huyu Baba umepotokaaa UISLAM SIO DINI HATA MSEMEJEEEEE YESU NI BWANA NA MWOKOZI WETU UJIELEWIII UMEJAAA MAJINI MPKA MIGUUNI

  • @DawaUnityGroup
    @DawaUnityGroup 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah.
    Ongera sana ustaz Amzinge.

  • @fatimambaruku1833
    @fatimambaruku1833 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah azid kuwapa nguvu mashekh wetu Allah akulinde na Shar za waja Mazinge. na wao Mungu awabadilishe awaongoe

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 2 ปีที่แล้ว +5

    Maashaa ALLAH Tabaaraka Allah.

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว +1

    This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA

    • @iddydaruwesh8650
      @iddydaruwesh8650 2 ปีที่แล้ว

      Allahhumma Amiiini yaraabi. Call him professor mazinge

  • @khalfansharji9790
    @khalfansharji9790 2 ปีที่แล้ว +6

    Ndacha kama petro vishetani hivi Shukran sheikh mazinge kwa elimu.

  • @user-sq3pn4ef9g
    @user-sq3pn4ef9g 3 หลายเดือนก่อน

    Twakupenda sana Sheikh Allah Ukujalie kila Lakher

  • @njerithiongo7901
    @njerithiongo7901 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi mungu akuzidishie shifaa na maarifa Professor, mapenzi ya dhati toka Nairobi, Kenya.

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah vizur mazing mungu akuzidishie umuri

  • @johntay8813
    @johntay8813 2 ปีที่แล้ว +18

    Ukweli utabaki kuwa ukweli yani utabaki kuwa uislam ndio dini ya ukweli nakupendeni walimu zatu waki islam

    • @alexnimubona3539
      @alexnimubona3539 2 ปีที่แล้ว

      One question who is muhammad?

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว +1

      @@alexnimubona3539 we hujui kua Muhammad S.A.W ni mtume Wake Allah SW..na nimjumbe na ndo Mtume wa mwisho kuja kwa umati huu wa Muhammad S.A.W

    • @mchopaluka4319
      @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว

      Uislamu ni dini ukweli mbele za Mungu mwenyezi au Shetani?

    • @beautifullnasheed8373
      @beautifullnasheed8373 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mchopaluka4319 ni dini ya kweli ndio maana mpaka mungu kaitaja kwenye quran
      Swali linakuja wapi bibilia au kitabu chochote kinasema ukristo ni dini

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      @@beautifullnasheed8373 nawewe kumbe ni mjinga...hivi afrika kabla ya ukoloni kulikua na hizi takataka za uislam na ukristo...madini ya wazungu yanatenganisha afrika Mungu Hana dini mjinga wewe...pokea elimu hiii ukristu na uislam ni vitu vya wazungu kugawanya waafrika..nimejAA Germany and Spain ..ndugu wazungu haya madini hawana mda nayo Tena wanatucheka Sana afrika Kwa uelewa mdogo juu ya haya madini yao

  • @ismailibrahim9365
    @ismailibrahim9365 2 ปีที่แล้ว +4

    Duu MashAllah Allah ibarik shekh mazinge

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 2 ปีที่แล้ว +8

    Mazinge anachanganya mada, Hakuna uhusiano kati ya jibu la Petro la kuwa Yesu ni Kristo mwana wa Mungu, na kauli ya Yesu ondoka nyuma yangu u shetani wewe.

    • @htvtanzania3483
      @htvtanzania3483 2 ปีที่แล้ว

      Akili Kama haiwez kufanya Kaz vizuri huwez kuelewa una takiwa uwe na roho mtakatifu ndio uelewe maandio

    • @abdullatifyahya646
      @abdullatifyahya646 2 ปีที่แล้ว

      Subiri ufe ndo utajua hujui

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

      Yani anajibu kitoto sasa sana wakati Yesu anamwambia petro Toka nyuma yangu nipale Petro alipo mwambia Yesu hakika Bwana wangu haya hayatakupata kwaiyo Yesu aliona kilichondani ya Petro Nishetani anaemtumia Petro na sio kwamba Yesu kamwambia Petro kuwa ni Shetani apo anajibu kufiraisha uma tu

    • @RinoMajembe
      @RinoMajembe 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe hauna akili yakufikilia ndio mana huelew

  • @deulemwangolo
    @deulemwangolo 7 หลายเดือนก่อน

    Mashekh wetu endeleeni kufunza umma,,,,, Pastor Ndacha Mwenyezi Mungu pia akuongoze uwe MUISLAMU

  • @johnmathew2769
    @johnmathew2769 2 ปีที่แล้ว +3

    mazinge mungu akusamee kwa kubadilisha maandiko

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen6955 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah bless you with long life, only defendind islamic RELIGIAN

  • @shuwenaghandi9253
    @shuwenaghandi9253 2 ปีที่แล้ว +7

    LONG LIVE PROFESSOR MAZINGE

  • @fuminozanzibar.6402
    @fuminozanzibar.6402 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah give more power Alhabiib Mazinge

  • @mtokaboys2175
    @mtokaboys2175 2 ปีที่แล้ว +6

    Maashallah

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/w-d-xo.html
      Guzalink ☝️ tufaidike kiongozi

  • @tumadhrahtwarik993
    @tumadhrahtwarik993 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh uthman mazinge ALLAH azidii kukupa moyo na ujasiri uzidi kuwaingiza katika njia iliyo ya haki nakupenda kwa ajili ya allah

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 11 หลายเดือนก่อน

    Ustaadh. Mazinge mwenyezi mungu muumba. Akupe nuur. Na mwisho mwema. Nakuombea duwaa!! Kwa ku ufikisha!! Ukweli kwa hojja zilizo hai!! Takbiir Allah Akbar!!

  • @khalidkhamis9195
    @khalidkhamis9195 2 ปีที่แล้ว +11

    Kweli Clip amewekwa Mazinge Peke Yake...ila maelezo aliyotoa amejaribu kunukuu aya ambazo amezitumia Ndacha na akazitolea ufafanuzi mzuri na kuzichapa kwa muendelezo wa aya nyengine... Hii imefanya Sote tuelewe kwa Umakini zaidi na ikampa Credit 100% Mazinge.

  • @CK-ii5cc
    @CK-ii5cc 2 ปีที่แล้ว +7

    Furahisha wengi chomekeni pamoja. Mazinge anafurahisha tu waislamu ila anajua ukweli

    • @allyjumaallyjuma692
      @allyjumaallyjuma692 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaa!!Imekulakwako ikiwa hukuelewa hapooo!!!.Pole ndugu ktk Adamu

    • @martinbarua9962
      @martinbarua9962 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe Bado umelala

    • @hassanounAbdul
      @hassanounAbdul 3 หลายเดือนก่อน

      Utakuja kufurahi vizuri siku ya hukumu wakati unachochewa kuni hujielewi ww😅😅😅

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu mwenyewe alimuita Mungu Baba

  • @SAITOTILENATIRI
    @SAITOTILENATIRI 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu akusamehe kwa kubadilisha neno lake.

  • @sadahramadhani6046
    @sadahramadhani6046 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiyo PROFESSOR MAZINGE bana

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 2 ปีที่แล้ว +4

    Yesu ni njia kweli na uzima na atakuja kuhukumu sijui sura yako itakuwa wapi

    • @ahmadyahya6576
      @ahmadyahya6576 2 ปีที่แล้ว

      Nani kakwambia ww anaehukumu ni Allah ww

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 2 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge 👍👍👍🇹🇿😍

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashaallah mashaallah Allah awabari mashehe weru

  • @delefantasticali8377
    @delefantasticali8377 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashaaallah

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/w-d-xo.html
      Guzalink ☝️ tufaidike

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      @Yusuf Sahal mbona wacheka

  • @saraabdulatif6171
    @saraabdulatif6171 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli mjadala Yesu alitukuzwa sana mtabaki tu kuchaguwa vipande nakwavile dini yenu niyaushindani hakuna jina jengine zaidi ya Yesu pia nimegunduwa kitu muhamad kwao sawa na Mungu tafuta msahafu wa tafsir ya farsi usome majina ya Mungu wao halaf namajina ya Muhamad hayana tofaut

    • @masoudshaban6609
      @masoudshaban6609 2 ปีที่แล้ว +1

      Kafie mbele hujui chochote...Allah ana majina mangapi...na mtume ana majina mangapi

    • @aishaiddy2192
      @aishaiddy2192 2 ปีที่แล้ว

      🤣😂😂kafie mbele umepotea wew

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 3 หลายเดือนก่อน

      Mtazidi kuwa watumwa wa waarabu kisa Muhammad muaji 😅

  • @Mpogozi
    @Mpogozi 2 ปีที่แล้ว +6

    Eee mwenyezi mungu wasamee waislam maana hawajui walitendaro Ameen🙏🏻🙏🏻

    • @swalahuomar5314
      @swalahuomar5314 2 ปีที่แล้ว +1

      Mngu akuongoze SSI hatuwakashifu tunataka kuwafundisha na kuwaonesha dini ya kweli

    • @ramajuma1173
      @ramajuma1173 2 ปีที่แล้ว

      Yani nyie ndo mmepoteya dhahirii,

  • @abubakardarema7050
    @abubakardarema7050 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akulipe kheri

  • @aishahmd2559
    @aishahmd2559 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge mashaallah hongera kwako Allah akupe umri mrefu akuepushie na hasadi uzdi kuitangaza dini ya haki

  • @Mrbariye
    @Mrbariye 2 ปีที่แล้ว +6

    Mathayo 3
    17 na tazama, sauti kutoka mbinguni ikisema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

    • @maimunafzaka880
      @maimunafzaka880 2 ปีที่แล้ว +2

      Alisikia sauti ya shetani... yesu alisema hujawai ata siku moja kusikia sauti ya mungu

    • @allykeita704
      @allykeita704 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani alisema kuwa tazama sauti kutoka mbinguni?

    • @georgemheluka3122
      @georgemheluka3122 2 ปีที่แล้ว

      Maandiko ya Biblia ukitaka kuyatafsiri kama unavyopenda wewe ama akili yako inakopenda lazima upotoke, Mungu mwenyewe lazima akufunulie kuelewa ndo utapata maana sahihi ya kilichoandikwa. Mungu mwenyewe ameweka wazi sehemu nyingi tu kuwa Yesu ndie mwana wake na ndio njia ya kweli na uzima.mtu haendi Kwa Baba Ila kupitia kwake

    • @allykeita704
      @allykeita704 2 ปีที่แล้ว

      @@georgemheluka3122 Kaka hahahaha nimecheka sana ebu tulia kuniletea Hadith za uongoo ilo Chaka ambali huwa mnapenda kujificha eti oooo bibilia sio Kama gazeti inatafasiri yake ebu nambie mapumbu Nini maanake imeendakwa

    • @georgemheluka3122
      @georgemheluka3122 2 ปีที่แล้ว

      @@allykeita704 itoshe kusema tu Yesu yu hai na anatenda kazi hata sasa,,na uzuri wa Yesu yeye watu wote anawapenda wakimtafuta tu wanampata,ndio maana hata wengi walio waislam wanakuja kwetu mambo yaliyoshindikana kwenu lakini Kwa kupitia jina la Yesu kristo mwana wa Mungu alie hai wanapokea suluhisho la mateso yao,,Ameeen

  • @yusuphngonyani8964
    @yusuphngonyani8964 2 ปีที่แล้ว +10

    Wakristo wa Tanzania wataingia Moroni Kwa uzembe , Mazinge Allaah akurehemu Kwa kazi unayoifanya ngumu ,

    • @victorianyange9281
      @victorianyange9281 2 ปีที่แล้ว +1

      Pole kwa kufuata uongo wa mazinge na kuacha ukweli wa Mungu

    • @allyjumaallyjuma692
      @allyjumaallyjuma692 2 ปีที่แล้ว

      @@victorianyange9281 Wewe mwendawazimu kweli hebu tupe huo ukweli wako maana hata wachungaji wenu wamechemka hapo wewe bdo2 unakua kiburi kuamini ukweli

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      @@allyjumaallyjuma692 hivi mchungaji ndio Mungu..hapo wate mnaoshadidiaa ukristu na uislamu wapumbavu ..Mungu Hana dini...hivi Kuna sehemu quran Una sema Allah ni muislamu au Kuna sehemu biblia inasema Mungu ni mkristu ..pendaneni wanadamu wote katuumba Mungu haya madini yameletwa na wazungu..fungukeni waafrika...Mimi mroman mke wangu muislam..tunaishi..vizuri na wale waliku WANASEMA OOH UMEOLEWA NA KAFIRI SASA TUMEONA WOTE WAMESHAAACHANA..SISI TWADUNDA TU SIJUI SASA NANI KAFIRI HAPO...kueni kifikra waafrika haya madini yameletwa na wazungu tu

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy 9 หลายเดือนก่อน

      Allahum Amiin

    • @user-kv5dy3ck2o
      @user-kv5dy3ck2o 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuremu sana mazinge macho ya watu yatakuingiza motoni' maana ukweli unaujuwa

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @najashkesi2892
    @najashkesi2892 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu
    Umpemwishomwema

  • @kelvinmakala5338
    @kelvinmakala5338 2 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge kasoma Mathayo 16:13-17, then karukia mstari wa 23, akasema anayesema Yesu Mwana wa Mungu ni Shetani, halafu Waislamu wakashangilia. Yani kama hawana vichwa. Hapo Kati Kuna mstari wa 19-22 umemezwa,ambao unaonesha kwann Petro ameambiwa nenda nyuma yangu Shetani. Hawa watu kwa hii tabia ya kusoma maandiko nusu watawapa wengi mno wasiosoma maandiko, maana wapo tayari kudanganya.

  • @tvfoa7115
    @tvfoa7115 2 ปีที่แล้ว +4

    Ce très beau

  • @user-qq9gi3gs3q
    @user-qq9gi3gs3q 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongezee umri sheikh"Mazinge"

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 2 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge makafiri hawamuwezi.. Makafiri hata muwe Mia hapo hamchomoki

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/w-d-xo.html
      Guzalink ☝️ tufaidike ukhty

    • @davidkifalu6812
      @davidkifalu6812 2 ปีที่แล้ว +1

      Siku ya mwisho uta jua kafili ninani

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 2 ปีที่แล้ว +1

      @@davidkifalu6812 atajulikana

  • @rahma_bint_djuma
    @rahma_bint_djuma 2 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuhifadhi Sheikh wetu

  • @allymaliki5996
    @allymaliki5996 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge unanifurahisha sana

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 2 ปีที่แล้ว +10

    الحمدلله على نعمة الاسلام.

  • @zahrathassan5199
    @zahrathassan5199 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe umri mrefu wenye mwisho mwema ust mazinge

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha amepatikana leo ahsanta profesa mazinge

  • @martinbarua9962
    @martinbarua9962 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ostazi mazinge anajuwa kiukwel 😅😅🇹🇿🇹🇿

  • @sandalalutubija235
    @sandalalutubija235 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm namjua mungu nawahubili amana

  • @shabanadam9150
    @shabanadam9150 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mazinge mungu akupe umri mrefu

  • @jaaffarabuu6750
    @jaaffarabuu6750 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazingeeeeeeeeee

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 ปีที่แล้ว +7

    Allah awaifadhi waadhiri wetu nyote na kesho QIYAMA awalipe Pepo fridhausi

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 2 ปีที่แล้ว +3

    ماشاءالله

  • @akimanayusra4853
    @akimanayusra4853 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAlllaah

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akbar Allah akuzdshie elimu shekh mazinge Allah akuzdshie afia na umri mrefu 🤲

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/w-d-xo.html
      Guzalink ☝️ tufaidike ukhty

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 2 ปีที่แล้ว

      Amiin

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 2 ปีที่แล้ว +5

    NDACHA ANACHEZEA KICHAPO KILA UPANDE KWA SHEIKH YUSUF NA KWA USTADHI MAZINGE BALAA KICHAPO TU KWA NDACHA

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

      Hahaaaaaa

    • @nurudinamchome6852
      @nurudinamchome6852 2 ปีที่แล้ว

      Alimtaka mwenyeweeeee,,,

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 2 ปีที่แล้ว

      @@nurudinamchome6852 NDIO HIVYO MTOTO AKILILIA WEMBE NA ZA WEMBE WA NACET MPE AKIJIKATA AKIJICHINJA NDIO ATAJUA WEMBE SIO WAKUCHEZEA

  • @furahakonde4921
    @furahakonde4921 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen

    • @ghulamyassintv4825
      @ghulamyassintv4825 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Eh1tMTW6PvU/w-d-xo.html
      Guzalink ☝️ tufaidike ukhty

  • @jonahmburu9738
    @jonahmburu9738 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge jibu swari unakwepa

  • @islamic_tv_tanzania
    @islamic_tv_tanzania ปีที่แล้ว

    Takbiir, Allahuakbar

  • @ommynako5587
    @ommynako5587 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba mazinge mungu akuweke sana sana akubarik sana

  • @eliasfesto4604
    @eliasfesto4604 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mazinge umechemka kwanza umechanganya maada,swali la Yesu kuwauliza wanafunz wake yey ni nan na Petro kuambiwa toka shetani ni mada mbili tofaut zilizozungumzwa ila umetumia uongo kuwadangany wasiojua bible

    • @davidimmael1300
      @davidimmael1300 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa Maana alimwambia rud nyuma yangu shetani pale petro alipo mwambia Kristo hatakufa.....Mazinge amekanusha hiyo scenario

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 2 ปีที่แล้ว

      Sikieni ndugu zangu wakristo yesu inawezekana akawa mwana wa MUNGU lkn Maana yake sio yesu kwamba ni mtoto wa kuzalia hapana jamani yesu ni mtoto wa MUNGU kwa Maana ya mapenzi ....mfano yesu anasema yohana 20;17 ninapaa kwenda kwa baba yanga nae ni baba yenu kwa MUNGU wangu nae ni MUNGU wenu, mbona ni simple Sana kwa iyo na sisi pia si ni watoto wa MUNGU Kama yesu? Nadhani hapo mmeeelewa ndugu zangu lengo ni kuelimishana sisi wote ni watoto wa Adam, thanks 🙏

    • @user-hp6gz6ln4k
      @user-hp6gz6ln4k 2 หลายเดือนก่อน

      Tulia.... Yohana 17:5 Quran inakuchanya wewe na wenzako Allah kasema atakuwaje na mwana na hakuwa na mke? Mfano mtu anafariki Kisha waulize mwanawe yupo wapi? Babake marehemu atasema atakuwaje na mwana wakati hakuwa na mke.... Yesu ni Mwana wa Mungu, mazinge muongo anachanganya Mada... Ajielewi

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 2 ปีที่แล้ว +2

    Fundisho huwa linajengwa kwa kuzingatia biblical hermeneutics huwezi kujenga doctrine bila kuzingatia biblia inasemaje.
    Wakatoliki walipotangaza kuwa Yesu ni mwana wa Mungu huko Nicea Uturuki. Walikuwa wamezingatia msisitizo wa Maandiko ya Agano jipya katika Biblia

  • @fatimambaruku1833
    @fatimambaruku1833 2 ปีที่แล้ว

    Professor,🙋🙋

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah

  • @juliusmungai5319
    @juliusmungai5319 9 หลายเดือนก่อน +1

    Matthew 3:17
    And suddenly a voice came from heaven, saying, “This is My beloved Son, in whom I am well pleased.”

  • @piereyraymondy2161
    @piereyraymondy2161 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mazinge na huyo mchungaji wote wahuni tuu..

  • @leonardamani4026
    @leonardamani4026 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge mbona unatumia nguvu sana.... huu ni mjadala toa point za kueleweka.....(umenitaka ndo nn)

  • @FranciscoAtanasioGabriel-eq4fj
    @FranciscoAtanasioGabriel-eq4fj 10 หลายเดือนก่อน

    Amen,Ndacha nguvu,mazinge ana kitu uyo.

  • @mussatugulu1222
    @mussatugulu1222 2 ปีที่แล้ว

    Very good only

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 ปีที่แล้ว +1

    Allllahu Aqbaru

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahh Allah Akbar

  • @moshantoj
    @moshantoj 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hata Hana kitu eti anakuja na kitabu cha wakatoliki vitu ambazo hata hakuna Kwa Bible na kujipiga kifua.

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 ปีที่แล้ว

    Mazinge wew ni vichekesho tuu lakin acheni mzaha Dunia inaisha sije mkajuta

  • @juliusmatonya9132
    @juliusmatonya9132 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa jamaa wanauhakika wakula kila siku.wote ni vipofu hapo....hakuna ukweli wowote hapo njia mungu hazichunguziki.....

    • @hasreeyasini
      @hasreeyasini ปีที่แล้ว

      Neno limekuingia hauna pa kutokea

  • @mikyfosikama8752
    @mikyfosikama8752 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mazinge

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @jacksonmusyoka8837
    @jacksonmusyoka8837 2 ปีที่แล้ว

    Ndacha uko vizuri

  • @kizibomikogo6915
    @kizibomikogo6915 2 ปีที่แล้ว +1

    Mjadala mzuri Sana aiseeeeeeeeeeeee
    Kuna mengi Sana ya kujifunza

  • @yolo5261
    @yolo5261 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila anazeheka sheikh wetu mazinge 😔

  • @DaudEmmanuel-fy8hs
    @DaudEmmanuel-fy8hs ปีที่แล้ว

    Mwalimu ndacha barikiwa sana watoe matongotongo machoni wapate kuona nduzetu

  • @claramilanzi8214
    @claramilanzi8214 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahah jaman yaan huo mstari wa rud nyuma yang na sehemu iliyotumika ni tofaut jaman hafu sion maana ya mabishano hata wakristo lazima tujielewe huu sio mda wa kubishana soon kila kitu kitakuwa wazi leo waache wabeze Sana Ila watakuja juta Kama kipindi Cha Nuhu Wala rehema haitakuwepo Tena waacha wamkatae Yesu waendelee kufuga majini maana ndio dili kwao....

  • @beatricezacharia1737
    @beatricezacharia1737 2 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge utadaiwa roho za watu wengi kwa kuwapotosha ukwel kuwa uongo

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/aQA0-gRqKsA/w-d-xo.html
      Kama unaona Ndacha anaongea ukweli basi sahau!! Pitia hiyo link maana Ndacha huyu huyu pia anasema Yesu sio mwana wa Mariamu!

  • @user-zq9cv3dm4u
    @user-zq9cv3dm4u 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilikuwa na subili uyo mchungaji haaaa mpaka anadiliki kusema mtume muhammadi eti mpinga kilisto daaa tukishiba tusikufulu jaman😢😢😢

  • @wemahamadi7847
    @wemahamadi7847 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminna

  • @ozybizness3914
    @ozybizness3914 2 ปีที่แล้ว +1

    kazi ya mungu inajitetea yenyewe