muamsho VID-20140112-WA002

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @mussaseifabdullwahid341
    @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa yangu maneno mazima sana kwa anoelewa

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu Tanzania ni moja bara wanajua kisahili ,serikali ingekuwa moja tu ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ndio usawa ungekuwako serikali ya Zanzibar isiwepo Bali viongozi watoke pande zote mbili.

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว +2

      Mjinga wee.
      Znz ni nchi mbali

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 3 ปีที่แล้ว

      @@topaviator hakuna nchi ya Zanzibar ww

    • @topaviator
      @topaviator 3 ปีที่แล้ว +2

      @@madetetv6576 kwaio znz nini?

    • @sameeralansi376
      @sameeralansi376 2 ปีที่แล้ว

      Mbwa ww

    • @mohammedhamad5297
      @mohammedhamad5297 2 ปีที่แล้ว

      @@madetetv6576 kumbe wewe ni msukule wa tanganyika

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @mussaseifabdullwahid341
    @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว +3

    Swsw Mkuu safi sana

  • @mussaseifabdullwahid341
    @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza maadili ya Zbar yamepotea huo ndo ukweli

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      Unafikiri ni kwanini yamepotea?

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 Viongozi wameukumbatia sana sn mfumo Kiristo .Imefika pahali ht Mashehe wanaogopa kusema .kwa sbb ukisema umaambiwa gaidi umawekwa ndani

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@mussaseifabdullwahid341 familia zinachukua hatua gani kuhakikisha kuwa watu wetu wanaishi kwa maadili ya uislam?

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 ndomana nikakwambia tumetawaliwa na mfumo kiristo .mfano mdogo tu Mzee anamhimiza sana mwanawe kusoma Elimu ya Dunia kuliko ya Akhera na tussion anamlipia .Nani alomwambia mwanawe nenda Madrasa ? Kwa sbb anajuwa akisoma Elimu ya Dunia atapata kazi .mfano mwengine unamlazimisha nenda shule .lln Madrasa unamuuliza huendi Mandrasa leo ?.Tena kwa upole kbs

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@mussaseifabdullwahid341 sasa hapo ni viongozi au ni sisi wenyewe?

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว

    Vyereje watu wa bara na kiswahili

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 7 วันที่ผ่านมา

    Etdonywa maharagwe

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

    Inawezekana afya ya akili ya mtu huyu, haiko sawa!!!!!!!

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว

      Labda yako haiko sawa🙂

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@topaviator naona ni mwehu wewe!!

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 wewe ndo mwehu kwasbb hujui chochote kuhusu znz

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@topaviator mwehu wewe,,,,sijui chochote, wakati ndio kwetu!

    • @topaviator
      @topaviator 4 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima5674 sasa kma kwenu mbn unaponda ukweli

  • @hashirsalim9570
    @hashirsalim9570 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa

  • @fubufubu3442
    @fubufubu3442 3 ปีที่แล้ว

    Nikweli sisi wazanzibar hatuna letu

  • @rehemashabhay2205
    @rehemashabhay2205 4 ปีที่แล้ว +1

    Muogope Mungu.Acha ubaguzi.

  • @issamohamed6388
    @issamohamed6388 4 ปีที่แล้ว

    Goood amkeni sasa