Dhuluma zimezidi Zanzibar, Uamsho wanaonewa - Maalim Seif

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 469

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 4 ปีที่แล้ว +9

    Maaalim Nakupeda Allah akulinde

    • @dubais9018
      @dubais9018 4 ปีที่แล้ว +1

      Allahumma amiin

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia 100INSHALLAH

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Si wote wako pamoja nae yeye amechoka sasa hana fikra mpya awapishe vijana si wapooo kwanini hataki kutoa fursa kwa wengine au ile haki sawa kwa wote haipo tena?

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 ni kweli weye wala si lazima uwe pamoja na maalim sefu

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 alaa kumbe unaijua haki ndugu yangu basi nakuomba uwaambie ccm washakua kwenye madaraka miaka 50 tena wasilazimishe wakubali kushindwa

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      @@iddijumaali7192 sawa ila maalimu akubali kushindwa pia haiwezikani toka sijazaliwa anaonewa yeye tu, hapo siamini naona mungu hataki atuongoze zanzibar, apishe wengine au unasema jeee

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassidpandu9806 yaani weye unachekesha kwa kukusaidia tuu kwanza usimuingize ALLAH kwenye dhulma wanayofanya ccmn tafadhali na pili ALLAH atake mara ngapi.Maalim sefu kua rais alishataka ndio maana toka 1995 anashinda urais zanzibar na.juzi tuu 2015 ilikua hadhir kwahivyo ALLAH hapendi dhulma ndio maalim.sefu akashinda kwa uhalali wa kuchaguliwa na wazanzibar kwa asilimia kubwa lakini ccm wameingia kwa dhulma na ndio maana hakuna baraka yoyote kwenye utawala huu ispokua kuzidi kuwatia watu kwenye maisha ya dhiki kama umuelewa nazan ume elewa

  • @h.alshidhani8971
    @h.alshidhani8971 4 ปีที่แล้ว +1

    Get well Maalim

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 4 ปีที่แล้ว +1

    uko vizuri maalim

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Kwani ikulu kuna nini kwamba lazima awe raisi mbona mungu hataki mtafanye jee na yeye ndie kamuumba, anamjua nafsi yake ilivyo uamani hebu mwacheni apumzike mzee wenu afya nayo mgogorooo

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 PUNDA KAZI UNAYO

  • @emmanuelkanyela1933
    @emmanuelkanyela1933 4 ปีที่แล้ว +2

    Seif hayo mambo unayoyasem hayana ukweli Mimi mzazi mtoto alipo zaliwa nilifuata nikapewa tatizo lenu ninyi wanasiasa mnawachanganya wananchi wananchi wenyewe hawatosheki walimtoa Gaddafi mpaka leo nchi haikaliki mnataka utawala gani

  • @sultansaidy2187
    @sultansaidy2187 4 ปีที่แล้ว +12

    HILI LAMASHEH LINAUMA ZAIDI ILA ALLAH YUPO

    • @saidnassorali3359
      @saidnassorali3359 4 ปีที่แล้ว

      Makuch

    • @ibnhassan9980
      @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว

      bila kuondoa dhulma kwa mkono wako Allah afanye nini?

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Wee kweli ni sultani hasa umesahau maovu yao leo wakifanya?

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 mhuni wewe acha kufatilia waislamu

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 4 ปีที่แล้ว +4

    kweli kabisa sema ukweli maalim

  • @alihusein1883
    @alihusein1883 4 ปีที่แล้ว +7

    Swadakta maalimu wewe bado nimwalimu mpaka wape elimu mambumbumbu

  • @omisul4679
    @omisul4679 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwl dhulma tupu kazi wanapeana wao kwa wao ccm

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Sasa wapeane nani kazi na nyie mnasema rais hamumtambui bc subirini ya maalim seif kila mtu ataajiriwa, yaguyuu labda mpindue lakini kwa karatasi msahau hii hairudi tena kwa hizbu sawa amiii,

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Sasa wapeane nani kazi na nyie mnasema rais hamumtambui bc subirini ya maalim seif kila mtu ataajiriwa, yaguyuu labda mpindue lakini kwa karatasi msahau hii hairudi tena kwa hizbu sawa amiii,

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Ccm naichukiy san tumchotwa sanaaaa

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +2

    huyu mzee yupo sahihi kabsaa

  • @rahimabdull3677
    @rahimabdull3677 4 ปีที่แล้ว +1

    Rahaaaa aa rahaaaa rahaaa

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 4 ปีที่แล้ว +4

    safi sana maalim pasua jipu

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Tum machoka sanaaaaa

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Umeongeya neno

  • @saidmaulid523
    @saidmaulid523 4 ปีที่แล้ว

    Kabikabisa maalim seifu

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atawalip kwa wanavo fanya na yay mungu hatumuwacha abada Kama anacho watesa watu naishal mungu hatokuwa pamojnae

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 4 ปีที่แล้ว

    Na ana julikana dunia nzima

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Nakupnda san bba mungu akulinde a wabya

  • @richedwin2338
    @richedwin2338 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukosawa maalim

  • @mbaroukrashid5796
    @mbaroukrashid5796 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hakika Allah atakuenua maalim utakua raisi

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 4 ปีที่แล้ว +2

    Hilo la uamsho nalo doa kubwa kwa serikali ya Magufuli, ni ukiukwaji wa haki za binadamu.

  • @LaBboogo
    @LaBboogo 4 ปีที่แล้ว +8

    Raisi wetu ndo wewe

  • @khamisseif9775
    @khamisseif9775 4 ปีที่แล้ว +6

    Maalim tunakuunga mkono tunakuahidi vijana hatutakuwacha mkono tupo pamoja

  • @ashuraomar7658
    @ashuraomar7658 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndo rais anaependwa na wazanzibar

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 4 ปีที่แล้ว +9

    Nikweli kuhusu Mashehe wa Uamsho, hawa watu wameonewa sana tena vya kutosha, Familia zao na Ndugu zao wamelia vya kutosha. Jamani Tuwapiganie tu

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Nenda bc kawatoe

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Watu walivuruga amani ya nchi hii kwa makusudi na walitumwa leo unataka warudi tena na hado waliowatuma wapo,! Hapana ngoja kidogo

    • @sawbaa6332
      @sawbaa6332 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassidpandu9806 hatu watoi

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      @@sawbaa6332 kwanza waulizwe kama fujo wakitoka wataacha

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 nyie ndio makafiri mliobakia mnatetea makafiri wenzenu na mnawatesa damu za waislamu mtayakuta

  • @khamisseif9775
    @khamisseif9775 4 ปีที่แล้ว +3

    Tushawazoweya ifikapo kipindi kama hichi kina Bashiru kuja kutugombanisha nawanasihi vijana tuwe makini muda umefika tusemeni basi inatosha.

    • @abdulhakimjuma9112
      @abdulhakimjuma9112 4 ปีที่แล้ว +1

      It's time to say Zanzibar. Together

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakika bro

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulhakimjuma9112 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @milazomilazo6486
    @milazomilazo6486 4 ปีที่แล้ว

    Wazanzibar wanafik hawo malim

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 4 ปีที่แล้ว

    Mwongo mzanzibari ana dhamani sana

  • @ismailysaidi7758
    @ismailysaidi7758 4 ปีที่แล้ว +2

    Naitaji namba ya simu ya shein Nina maneno yangu ntaka kumpa kwa alio nayo

  • @ibnhassan9980
    @ibnhassan9980 4 ปีที่แล้ว +1

    maalim seif yuko na imaan

    • @makameshibli2797
      @makameshibli2797 4 ปีที่แล้ว

      Ana imani gani amewaulisha ndugu zetu wa pemba mara kaza kwa ulafi wa madaraka

    • @yasinsaid6354
      @yasinsaid6354 4 ปีที่แล้ว

      Muhammad Hassan alipokuwa madarakani hakufanya chochote leo anajifanya anaongea pembeni

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      YAANI KUNA WATU WA2 TU HUMU CCM HAWANA AJIRA KAZI KUTUFATILIA NA WANA COMMENT 1000 KILA MMOJA ILA KAZI WANAYO . WANAWAUZA WAISLAMU KWA BEI NAFUU

    • @dr.br96kazi75
      @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalhilal8400 kundu lako unauza sh ngapi?

  • @emmanuelkanyela1933
    @emmanuelkanyela1933 4 ปีที่แล้ว +1

    Unaleta udini ww mzee punzika kwhyo hata mashoga pia wanahaki?

    • @djsamhb6078
      @djsamhb6078 4 ปีที่แล้ว +1

      Hebu mtu akiongea yachanganue vizuri wacha kukurupuka tu

  • @suleimankhalfan8030
    @suleimankhalfan8030 4 ปีที่แล้ว

    Kweli maalim

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 4 ปีที่แล้ว +2

    huyu mzee atakufa vibaya! anafurahiya fitna na farka na mauwaji. uwongo ndio ibada yake. mungu amuongoze insha allah

    • @hajjihijja1989
      @hajjihijja1989 4 ปีที่แล้ว +2

      We utakufaje mana unaonekana unajua ghaibu?

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว +1

      na inshallah juu kama umeongea point vile ivi ww huoni mashekhe wanateseka

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว +1

      na sote sisi tunaitaji muongozo wa Allah

    • @mwalimumbukuzi7273
      @mwalimumbukuzi7273 4 ปีที่แล้ว

      Abdullah Nassor
      yeye SEIF alikuwa makamu wa rais Zanzibar. uamsho wamo ndani! hajawai kueleza alau jitihada zake zilizozuiwa kuwatoa mashekhe kwenye hii kadhia!!! ndipo inapoingia shaka kuwa ana lengo la kisiasa tu

    • @zahormazruiy5635
      @zahormazruiy5635 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe sio mbukuzi ni mbumbumbu

  • @yussraseef4039
    @yussraseef4039 4 ปีที่แล้ว +2

    Maalim uko sawa wapashe hao mashetani

    • @salehkhamis3924
      @salehkhamis3924 4 ปีที่แล้ว +1

      Baada ya dhiki faraja we waache tu

  • @amosmoses7800
    @amosmoses7800 4 ปีที่แล้ว

    Kwako Mh.Magufuli
    Mheshimiwa mimi kula yangu utaipata iwapo tu utajibu masuali yangu haya -
    Kwavile wewe ni msema kweli. Na unadai unamuogopa Mungu : ___
    1. Uliahidi milioni 50 kila kijiji. Je! Ututajie kijiji Angalau kiMoja ulizowapelekea.
    2. Utuambie hizo ndege. Ni nani alieizinisha ununuzi? Na zimenunuliwa kwa Kiasi gani. Na hadi muda huu zimeingiza faida Kiasi gani.
    Utuambie sababu za kuzuiliwa ndege zetu mala kwa Mala zikienda nje. Mbona zinaMADENI $ 133 milioni ?
    Utuambie wanaozipanda hizo ndege ni akina nani?
    3. Utuambie Uwanja wa Chato wa kiMataifa ulijengwa kwa Kiasi gani. Nani alieizinisha . Na hela ya ujenzi imetoka wapi? Na kwanini Uwanja huo ujengwa kijijini CHATO ?
    4. Utuambie zile Trilioni 1.5 mfuko wa hazina ya selikali zimepotea wapi? Au zimetumika vipi ?
    Na kwanini Ukamtumbua CAG Mzee Musa Asadi?
    5. Mh.Laisi Utuambie kwanini vyombo vyako vya Dola vimeshindwa kuwatambua Na kuwakamata " KIKUNDI CHA WATU WASIOJULIKANA " .?
    kilichokuwa kinawanyonga Laia zako. Wengine kutekwa. Wengine kupigwa lisasi.
    Kama bado kipo inchini . Unawakikishiaje laia zako usalama wao?
    Ili Mo Dewji aondokwe Na hofu.
    6. Utuambie wale " mafisadi wawili wa ccm " walioekeza nje ya inchi. Uliwachukulia hatua gani? Mbona hatukukuona ukifatilia miHela yao iyo kwenye Account za nje ya inchi?
    7. Mh. Laisi unapoongelea COLONA. Kila kwenye kampeni zako. ivi ni Wapinzani ndio walioileta ? Na Je ! Imeondoka kwa Nguvu za mungu wa Chato au Mungu Mkuu wa mbinguni baada ya maombi yaliofanywa kanisani Na misikitini?
    8.Mh Laisi ulidai uchaguzi huu utakuwa wa haki Na hulu. Mbona tayali tunaona wagombea wengi tu wa ccm Na wale wa upinzani wakienguliwa ?
    9. Mh.Laisi uliahidi Utajenga mashule na MaHospitali hadi wilayani. Ni hospitali ipi iliojengwa hadi muda huu?
    10. Mh.Laisi ulisema inchi yetu ni tajili sana. Mbona laia wako wanaishi maisha duni. Hela haionekani. ?
    Tunaowaona wakifaidika ni vigogo vya ccm / vigogo vya selikali na watu wa usalama taifa. Wanaozi kujenga majumba ya kifahali kila sehemu Bila ya wasiwasi.
    11. Kwanini unawatumia wasanii kwenye kampeni zako zote.?
    Utuambie hiyo mikataba uliofanya na wasanii. .wanalipwa na hela za nani?
    12 Mheshimiwa Laisi. Eti kama tunaitaji kuanzisha Kiwanda Tuanzie na CHELEHANI ngapi ?
    Suali la mwisho Muheshimiwa
    13. Wanasema Ulitembea na shemegi yako. Je ! Ulizaa nae ?
    Au ulikuwa ukipita pita juu juu tu?
    KULA YANGU MHESHIMIWA NI KWAKO. UKINIJIBU VISUALI VYANGU IVO.
    BWANA YESU ASIFIWE !
    CCM OYEEE !!!!

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

      Una cheti cha kazaliwa fake nini na wewe, lafzi zako tu , umekuja Tanzania kwa lorry

  • @wuwubdywiwiwisu6499
    @wuwubdywiwiwisu6499 4 ปีที่แล้ว

    Hana lakumjbu

  • @jumahamadi6169
    @jumahamadi6169 4 ปีที่แล้ว

    Saw saw mung walipe hawa kwa kuwazulumu wachamung hawna makosa

  • @jumasuleiman1758
    @jumasuleiman1758 4 ปีที่แล้ว +1

    Aj unakumbuka leo ilo nawewe ukeshapata utakuwa ivo ivo bhana acha kuzinguwa mzeee weweee ccm baba lao tu

  • @karambolageorge8656
    @karambolageorge8656 4 ปีที่แล้ว

    Maalim saivi upumzike uwaachie vijana manaake saivi unakua kituko huna jipya lea wajukuu kama unao ccm huwawezi yera yao mapinduzi daima hujaelewa tu hapo

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 4 ปีที่แล้ว

    DHIMA ya rais bas

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 4 ปีที่แล้ว +1

    uwanja wa siasa wa kutunga sheria uliusaliti, huo ushindi wa 150000...........!?unaupataje pumbaffffff

  • @milazomilazo6486
    @milazomilazo6486 4 ปีที่แล้ว

    Malim pumzika tena mze wang hawo wazanzibar wanamakelele time hao wanampango wowote pumzika

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว

    Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu

  • @alisalum766
    @alisalum766 4 ปีที่แล้ว

    Hakik ww ndiy raic w kwel mung akupe maixha maref

  • @fatmaomar8497
    @fatmaomar8497 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe keshakonga sefu..duuuuh...

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    we bunju usioijua dini yako unalilia makatiba ya makafifi halafu unamchanganya MUNGU ili uwahadae waislamu kwasababu hawajui kitu masikini ALLH atakulipa kwa njia yako iyo ya muingereza (CUF)

  • @hailesalass7495
    @hailesalass7495 4 ปีที่แล้ว +2

    Maalim ukweli unauma ila uko saw a

  • @faridaali6850
    @faridaali6850 4 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi maalim tuko pamoja

  • @mwalimumbukuzi7273
    @mwalimumbukuzi7273 4 ปีที่แล้ว +2

    comment nyingi sasa zaonyesha uwezo wa SEIF kuwadanganya watu na wakadanganyika umeshuka kwa kiwango cha juu na watu wamejitambua.
    alimtembelea mbowe maabusu wakati mashee wako chumba cha pili wakiwa na miaka ndani. yeye siasa tu! Leo anataka ionekane act ndio ya waislamu?

  • @saluidi2189
    @saluidi2189 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanini hawa viongozi wa ccm zanzibar hawalisemei hililamahsehe au wanalifurahiawao, jamani hataviongozi wadiniyenu hamuwatetei tuwaweke fungugani.

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashehe walitumwa na maalim seif wafanye fujo bc naende akawatoe yeye kama ana ubavu

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassidpandu9806 nikweli naaende kwanisianajitapa anaogopewa naaende

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 4 ปีที่แล้ว +2

      @@kassidpandu9806 ww muislam au kafir

    • @amnejaffar7402
      @amnejaffar7402 4 ปีที่แล้ว

      limo ndan ya ilan ya chama ndomana halisemw

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassidpandu9806 kwa hiyo unafrahia si (subiri katka kuasi Allah na yy anasubir ktk kumuadhibu kila aswi)hayo ni maneno ya Allah kama ww eti ndo kassim unafrahia hilo (innalillihi wa inna ilayhi rajiun)

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว

    Hzo dhulma na nyie mlidhulumu na mnaendelea kudhulumu. Si mpaka leo unapokea pesa ya wanaodhulumu wenzio ww? Mbona huikatai ukatafuta ya halali

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi muwepo mbele likitokea l kutokea n sisi tupo nyuma yenu

    • @AliMohammed-qu8fg
      @AliMohammed-qu8fg 4 ปีที่แล้ว +1

      Seif kama kweli wewe Muislam amini maneno haya mtenda dhambi hulipwa duniani kwanza halafu badae kiama. unaamini maneno haya. Na mtenda Mema Allah humuongoza na mamboyake huwa safe. Swali ccm Zanzibar IPO tokea61 unaipa daraja gani kutokana na akiliyako mbovu?

    • @AliMohammed-qu8fg
      @AliMohammed-qu8fg 4 ปีที่แล้ว +1

      Inavyoonyesha kidogo kidogo unapazwa

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +1

      @@AliMohammed-qu8fg 61 ccm mazuri yapi n vitendo walofanya vibaya adi leo jee wao sio waislam mimi sinachama lakini nipo pamoja n anaetetea haki za Raiya

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว

      @@AliMohammed-qu8fg kwani fir-aun laatullah katawala miaka mingapi na leo hayupo ila kabaki akidhalilika tu hata mwili wake umekatalika na ardhi(SWALI)huyu unamuka kundi gani?

    • @AliMohammed-qu8fg
      @AliMohammed-qu8fg 4 ปีที่แล้ว +1

      Abdullah Nassor mchonganishi atuache na maishayetu ukweli wa mtu anao mtu mwenyewe kwa sasa inatatua matatizo ya wananchi

  • @yunusallyhassan2581
    @yunusallyhassan2581 4 ปีที่แล้ว +4

    Unasema nini, M/ mwenyezi utamjibu nini, hilo swala hata wewe utaulizwa umefanyanini, ulipewa madaraka ulikaa kimya, saivi unataka huruma ya Allah, Allah anajua yalio zahiri na siri,

  • @mwanaishashaaban9037
    @mwanaishashaaban9037 4 ปีที่แล้ว +1

    Maaalim bwana wewe mnafiki bwana sana inqakuuma bashiru yupo

    • @abdulhamidhaji5056
      @abdulhamidhaji5056 4 ปีที่แล้ว

      Mwana hongera , kumbe umrpewa elimu y kuwajua wanafiki !!!
      Basi tuambie wewe n.mchamungu au kafiri !!

    • @abubakkarsalum9089
      @abubakkarsalum9089 4 ปีที่แล้ว +1

      Malaya tu

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Huyo bashiru nenda kwake akakuoe. Sio tunaongea ya zanzibar na hao wanaume wako WA bara hawatuhusu

    • @dr.br96kazi75
      @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalhilal8400 wewe mbwana zako hawakutaki marinda zako zime expire, wewe mwarabu koko swine

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali9205 4 ปีที่แล้ว +2

    maalim ukweli mtupu

  • @krantzmwanatepele
    @krantzmwanatepele 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu NAOMBA UNITAFUTE KWA WHATSAPP 0658123310

  • @neemafatu7885
    @neemafatu7885 4 ปีที่แล้ว

    Sipendagi unafiki.mbona pale mwanzo hamkupinga? Waacheni uamsho Allah atawasimamia yeye mwenyewe ikiwa tumeshindwa.

    • @makameshibli2797
      @makameshibli2797 4 ปีที่แล้ว

      Weye mnafiki kujifanya unawatetea mashehe ulikuwa unawatumia kwa maslahi ya kisiasa mana km kweli unawapenda moyoni pale ww n makamo ungejizulu kwa sababu ya yao mungu anakuona we mzee

  • @hamadialihamad4126
    @hamadialihamad4126 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwalim Miamia tangaaza tu malize tuwakate vichwa

  • @kitalechapombe5698
    @kitalechapombe5698 4 ปีที่แล้ว +2

    We mzee choko

    • @abdulhakimjuma9112
      @abdulhakimjuma9112 4 ปีที่แล้ว +1

      Hatukushangai kushaitwa pombe

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      We mlevi Upo? Naona masiku hatujachati vipi upo POA? Lakini punguza kulala baa. 🤣🤣🤣. Hawa WAZANZIBARI ni waislamu hawatumii gongo🤣

    • @kitalechapombe5698
      @kitalechapombe5698 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hilalhilal8400 wangekuw wazanzibar waislam yule mwalim wa madrasa pale aman kalawiti wanafunz wangap.nyie kaz yenu kujisifu tu kila kitu vitendo zero,mara zanzibar nchi lkn makao makuu dodoma,jeshi hamuna,makusanyo yote yapesa lazma yapitie BoT then ndo mgao mpewe.zanzibar mkoa kumamae zenu

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    ayo mavyama yenu yaliomkataa MUNGU jiingizeni ukouko mtamjua MUNGU nyie ccm mmarekani (cuf muingereza yote makundi ya motoni MUNGU awatoe waslamu wetu mnaowadanya kwa jina la mungu

  • @yasinsaid6354
    @yasinsaid6354 4 ปีที่แล้ว +2

    wewe umechukua ofisi za Cuf kihuni tafakari maneno yako

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu unakijua unacho kisema

    • @jaksonjulius9010
      @jaksonjulius9010 4 ปีที่แล้ว

      Acha usenge..Maalimu ndio bora ndan ya nchi ya Zanzibar

    • @dr.br96kazi75
      @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

      @@tawfiqissa6123 wewe nani Kwan?

  • @fatimakhalifa144
    @fatimakhalifa144 4 ปีที่แล้ว +2

    Upo sahihi veti feki Zanzibar vipo

  • @tecnof1232
    @tecnof1232 4 ปีที่แล้ว

    Hawana huruma wala ubinafamu hawa, bali pia inatia wasiwasi kama watu hawa ni wazanzibari kweli, mzanzibari hana sifa za ukatili, mola atahukumu > wasilisahau hilo wakaona dunia imewanyookea, dunia mpito!

    • @salummussa8673
      @salummussa8673 4 ปีที่แล้ว

      Tecno F123 kama wazanzibari si makatili mbona pemba askari mlimkata kichwa

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Pemba ndugu zetu wale maskari walikatwa vichwa kama wanyama kule hatujasahau bado jee si unyama ule

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      Pemba ndugu zetu wale maskari walikatwa vichwa kama wanyama kule hatujasahau bado jee si unyama ule

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 ALAA. KUMBE WATU MA100 WALIOULIWA NA WANAWAKE WALIOBAKWA NI MAZURI AU SIO. ASKARI MMOJA ALIOSABABISHA HAYO NDIO UMEUMIA. KAFIRI TU WEWE. UNAHURUMA ZA WASENGE .MAKAFIRI WAKIKUFIRA UNAWAONEA HURUMA ILA WAISLAMU MASHEKHE WATESEKE AU SIO?. MBWA MKUBWA WE. MBONA HUSEMI MLIPOTOKA BARA MKAENDA KUWAUWA WAPEMBA?. AU WALE NG'OMBE TU MKITAKA TU MNAWACHINJA?. HATA KIPINDI CHA MTUME.SAW WALIKUEPO WANAFIKI BASI NGOJEA MDA HAUKUBAKI MKUBWA UKAJIBU KWA MUNGU ULIVOCHANGIA KUUWAWA WATU NA KUTESWA WAISLAMU

  • @hailesalass7495
    @hailesalass7495 4 ปีที่แล้ว +4

    Na mm kilicho nifanya niichukie ccm hili suala la mashehe dah siipendi hata kidogo

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Wee mwenyewe huswali

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kassidpandu9806 Hahaaaaa nachekamiee abee kassim pandu wewe noma santee

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 4 ปีที่แล้ว +1

      Mm mwenyew hicho ndicho kilicho nifanya nihame ccm

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmahamed3285 Hiyo CCM uliingia lini kwa sababu sote tunalilia UAMSHO lkn walikamatwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa huyo Maalim akiwa Makamo wa Rais Zanzibar na Wizara ya Sheria ilikuwa ikiongozwa na Mhe. Abubakar Kh. Bakari kutoka chama hicho hicho.
      Kuna vitu ukizungumza kama mwanaharati nitakuelewa lkn ukizungumza kichama hatuwezi kuelewana.

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 kwaiyo ww unafurahia na kujiona ushaingia peponi sio (Allah yupo na atawalipia na ukiwa hujajutia hili utajuta)

  • @kiblamchengule8394
    @kiblamchengule8394 4 ปีที่แล้ว +1

    hamna lolote Allah yupo na mashekh nyie ni wanafiki

    • @francismagige291
      @francismagige291 4 ปีที่แล้ว

      Dah pamoja kaka

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Yaani nyie makafiri mnamjuaje Allah.sw 🤣🤣🤣. Nendeni kwrnu bara

    • @dr.br96kazi75
      @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

      @@hilalhilal8400 kmamako kwenu muscat nenda

  • @husnahamees9141
    @husnahamees9141 4 ปีที่แล้ว

    hususan mpemba

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli znz tunaonewa siipendi hata kidogo ccm

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Na wewe ccm hawakupendi pia, na wala haikuhitaji

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio wale wake mazrui, waarabu wa kuchovya

    • @dr.br96kazi75
      @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

      @@kassidpandu9806 hehehe bad copy

  • @mwanaishashaaban9037
    @mwanaishashaaban9037 4 ปีที่แล้ว

    Sasa wewe ndo hugombanishi

  • @chamog5619
    @chamog5619 4 ปีที่แล้ว

    Maalim wazanzibar hawataki kupiga kampeni wanajielewa lkn matokeo yanaharibika ngazi ya juu cjui tu panamchezo gani wananchi wanajitahidi kw kukupa kura jisawazisheni na viongozi wezako wa ngaz za juu

  • @mwanaishashaaban9037
    @mwanaishashaaban9037 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unasema ujweli au nawe piya utahojiwa t usidanganye wat

  • @lumuliy5476
    @lumuliy5476 4 ปีที่แล้ว

    "Simpendi maalim na wala simchukii sheni lkn ayasemayo maalim sheni hajayasemapo na wala ccm hawajasemapo hivi na ata kusema zanzibar kamili hawajasemapo ivii"

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

      Hawawezi kusema kwasababu wamewekwa kwa nguvu na wabongo wanalipa fadhila

    • @bakariahmadi9645
      @bakariahmadi9645 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kunawatu na viatu wewe mb bukuzi wewe ni katika viatu unaukijani unao kusumbuwa

  • @shaabanmrishoshaaban1945
    @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU akutoeni uko kabla kutoka roho wewe unaowangoza wa2 kwenye ukafiri

    • @alimohd6504
      @alimohd6504 4 ปีที่แล้ว

      Ww mwenyewe kafir

    • @shaabanmrishoshaaban1945
      @shaabanmrishoshaaban1945 4 ปีที่แล้ว

      @@alimohd6504 AMANI YA ALLAH IWE JUU YAKO BAADA YA HAYO , KATKA MAFUNDISHO YA MUNGU NA MTUME WAKE ILI MTU AEWE KAFIRI KUNAVIGEZO MAALUM , MAANA YA NENO KARI NINENO LA KIARABU LENYE MAANA KUKATAA , KUKATAA NINI LENGO KUU YAANI KUKANUSHA MUONGOZO WA ALLA NA KUITIKADI KWAMBA SHERIA YA KIUMBE KUIPIGANIA NIBORA KULIKO YA MUNGU IKIWA UNAJUA , NA UKAFANYA KIIMANI , SASA INAWEZEKANA MTU AKAFANYA BILA KUJUA NDIOTUKAAMBIWA TTUKUMBUSHANE SASA JE MIMI UKAFIRI WANGU NININI?

  • @abdullasuleiman4477
    @abdullasuleiman4477 4 ปีที่แล้ว

    P

  • @dr.br96kazi75
    @dr.br96kazi75 3 ปีที่แล้ว

    @ Hilal Hilal wewe utashugulikiwa soon, hii propaganda page yako ushaidi tosha. Mmsucat Mavi wewe

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 4 ปีที่แล้ว +1

    Maalim siasa imekushinda manake unajua fika sheria ya Tanzania hairuhusu vyama vya kidini kujishughulisha na siasa ndo maana kama huru ikaungana na chama cha bismillah kuzaa cuf wapemba fungueni macho huyu jamaa siasa imemshinda

  • @movies_store01
    @movies_store01 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmi ndo mna spend siasa wwe umefanya nni ulipo kua wazirii kiongozii ulipo kua makamo umefanyaa nni sefuu usituzonge huna ishuu ccm iache kma ilivyo

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani huyu mzee hana hata haya ni mnafiki sana

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว

      Kama kawaida yenu CCM hamna shukran na hamuoni wema wote ule alioufanya mpaka Zanzibar na Tanzania yote ilibadilika kimaisha na kibiashara na wengi walitajirika mpaka CCM mukafanya chuki ya kumtoa kwasababu MAALKM alikuwa napenda haki

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣kafanya mengi tu. Lakini wewe mbara hayakuhusu ya zanzibar

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jumakapilima5674 mtashoti mwaka huu. Kashindwa babaako jpm weye unafanyaje 🤣🤣🤣

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

      @@hilalhilal8400 tutaona okt 2020

  • @albertnshunju4172
    @albertnshunju4172 4 ปีที่แล้ว +1

    Wakati mashekhe wanapelekwa bara na kufungwa huyu mpuuzi ilikua serikalini na cheo kikubwa tu. Hatukusikia anaropoka sasa anajifanya kunyea mdomoni

    • @makameshibli2797
      @makameshibli2797 4 ปีที่แล้ว

      Kwanini aliendelea kuwa madarakami n yy alikua km kivuli uyo mzee wenu mnafiki

  • @yussufmrisho1680
    @yussufmrisho1680 4 ปีที่แล้ว +1

    sahihi

  • @salummussa8673
    @salummussa8673 4 ปีที่แล้ว +1

    Ulipo kuwa makamo hukusema hayo ndani ya serikali mkiwa kwenye vyeo hamsemi kimya mnakula huluwa maneno mengine maalim unyamaze kaguwa ofisi Zote za serikali wengi wepi usiwachonganishe watu

    • @rashidhemed1212
      @rashidhemed1212 4 ปีที่แล้ว +1

      Salum mussa uwezo wako was ufahamu mdogo

    • @salummussa8673
      @salummussa8673 4 ปีที่แล้ว

      Mnafurahiya kusambaza chuki

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 4 ปีที่แล้ว +1

      @@salummussa8673 ukitaka aseme vipi tena. Ulifuatilia kila kitu jee hukuona tofautu ya wakati ule na sasahivi?! Fuatilia in deep na ulizia utajua kama alikuwa akiwapigania au la

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @@salummussa8673 chuki mnaekewa nyie waislamu vibaraka muwachukie waislamu wenzenu

    • @mbaroukrashid6201
      @mbaroukrashid6201 4 ปีที่แล้ว

      Kuna mkutano hata mimi nilihudhuria maalim alilisemea da uamsho si mara moja wala mbili hata loasa alisema

  • @albertnshunju4172
    @albertnshunju4172 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anazeeka vibaya na kua hovyo mno

    • @abdullahnassor9504
      @abdullahnassor9504 4 ปีที่แล้ว +1

      tuokuone ww utakae zeeka vizuri

    • @abdulhakimjuma9112
      @abdulhakimjuma9112 4 ปีที่แล้ว +1

      Weye zeeka vizuri mbwa we mana unashadidia dhulma

    • @rashidhemed1212
      @rashidhemed1212 4 ปีที่แล้ว +1

      Wako walozeeka wanakamata namba wakienda chooni kwa iyo hata kama anazeeka alipo tupoioooo

  • @thabitali7432
    @thabitali7432 ปีที่แล้ว

    Q

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange4389 3 ปีที่แล้ว

    Maalim sasa ushapata cheo watoe hao masheikh, wewe ni mnafki2

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว

    Mimi siwaelewi CCM na Magufuli wake. Nini maana ya "KUPITA BILA KUPIGWA". Tanzania imejiandaa na uchaguzi toka ulipoisha uchaguzi wa mwaka 2015. Leo hii CCM na Magufuli wamefuta wagombea wa vyama vya upinzani kwenye majimbo mbali mbali nchini eti wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa sasa uchaguzi ni wa kazi gani. CCM imekuwa ikichezea akili za Watanzania miaka mingi sana. Mfano: Walipa kodi wa Tanzania ni watu wote wenye umri wa miaka18 na kuendelea wakiwemo wana CCM, CHADEMA, NCCR, CUF, TLP, ACT, CHAUMA na wengineo. Ukija utaratibu wa kuwapa Watanzania maendeleo kwenye maeneo yao Magufuli hapeleki maendeleo mahali yupo mbunge wa upinzani mpaka ukaribie uchaguzi ndio anapeleka na kuweka mbunge wa CCM wa kumtoa yule mbunge wa upinzani. Hili halijakaa vizuri kabisa kwa sababu vyama vyote vinamlipa yeye kama mkuu wa Serekali kodi hivyo hatakiwi awe na ubaguzi. Mpaka raia wa kawaida tunaliona hili ni kwamba CCM na mheshimiwa Magufuli wameshindwa kuongoza nchi. Unakimbilia kununua ndege ambayo inatoa ajira ya watu 10 tu uache kufufua kiwanda cha urafiki Dar es salaam ambacho kinaajiri Watanzania zaidi ya 10,000 na kupunguza tatizo la ajira mijini. Unapelekaje Maji Arusha mjini kisa unataka kumtoa mbunge Lema madarakani. Kinachonishangaza kabisa ni Magufuli kutaka kuongeza ndege wakati alizonunua zimekosa viwanja vya kutua Ulaya na Marekani na sababu kubwa ya kukosa viwanja vya kutua ni matusi yake anayoyatoa hadharani kuwa Wazungu ni "MABEBERU". Hivi Magufuli anapowaita Wazungu "MABEBERU" anamaanisha nini kwa sababu akiwa na shida ya msaada na mikopo anaweka mikono yake nyuma kwa heshima lakini akishachukua ile misaada na mikopo anaanza matusi eti Wazungu ni MABEBERU na MASHOGA. Mimi nimalizie kwa kusema CCM ni wasanii na Magufuli anafanya miradi yake kwa upendeleo sana. Hivi utaachaje kujenga reli ya umeme kwenye eneo lenye Utalii kanda ya kaskazini ujenge iende kubeba mifugo Tabora. Toka aingie Madarakani tumepotelewa na raia wengi sana, viongozi wengi sana wa upinzani, na waandishi wa habari ambao ni Watanzania. Maiti zinaokotwa Baharini, Mitoni na kwenye misitu mikubwa. Hajatoa tamko hata siku moja kuwa watu hawa wanapotelea wapi. Tanzania tunataka Mabadiliko hatumhitaji tena Magufuli wanaomtaka wamkaribishe kwao.

  • @latenitepiano
    @latenitepiano 4 ปีที่แล้ว +2

    We kizee mbona unapenda kulalama hovyo wewe 😳❓Wakongo si ni Waafrika! Hapa Africa Wakongo, Warwanda 🇷🇼 South Africa 🇿🇦, Zimbabwe 🇿🇼 Kenya 🇰🇪, Uganda 🇺🇬, Nigeria 🇳🇬, Ghana 🇬🇭, Burundi 🇧🇮, Sierra Leone 🇸🇱, Cameroon 🇨🇲 Mozambique 🇲🇿, Malawi 🇲🇼 Zambia 🇿🇲 Ethiopia 🇪🇹, Eritrea 🇪🇷, Black People wa African American, Jamaica 🇯🇲 , Angola 🇦🇴 Caribbean, Sudan 🇸🇩 na kadhalika wote hapa wenye asili ya Kiafrika ni kwao 😳! We una asili ya uarabuni, hapa huna haki ya kulingana na wa mataifa yote ya Africa! Miaka 400 na zaidi ya utumwa ime timia na sasa Ndugu zetu “Black Africans American wana rudi na wengi wamesha ingia hapa Tanzania 🇹🇿 na Africa nzima pia bado wengi wana rudi! Nyie mna subiri nini? Si muondoke mrudi kwenu mkaendeshe ngamia na punda kule jangwani 🙄! Pandeni maboti na mashua za mbao zinazo pelekwa kwa pazia linalo fuata upepo, kama mlivyo kuja mwanzo na ndiyo mrudi vivyo hivyo 😳! Una wabagua Waafrika wakati wewe asili yako siyo Mwafrika! Vipi wewe? Africa ina kutoa roho siyo 😳❓Tamaa ya fisi mbaya sana! Msi take kuifanya Tanzania 🇹🇿 na Africa kama Iraq 🇮🇶 watu waishi kwa hofu, ubaguzi, utengano, chuki, udini, uchochezi, vurugu na vita kama hayo mataifa ya kwenu huko😳! Tuacheni na Africa yetu nyie viumbe msio sikia 😏😡! Halafu mna wasema wa bara kuwa ni machogo wakati wewe mwenyewe ume jibebeza bonge la chogo😩🙄 ✌🏾

    • @abdulhakimjuma9112
      @abdulhakimjuma9112 4 ปีที่แล้ว +1

      Ushachanganyikiwa wewe

    • @shugakombo9683
      @shugakombo9683 4 ปีที่แล้ว +1

      Achaujinga wewe mbona kama afrika kenye ukingia huna passport unafukuzwa nakipindikikiishatu chamuda wa passport unatimuliwa, south Africa sijuzitu watu wameuliwa waafrika ila wa south Africa wamefanya Yale kwakujuwa uchungu na shida walionanayo unatwambia nini hatuja sema kama hatuwataki wasije wotehao ila wakija waje na vielelezo achakuji fanyaunajuwa wakiti wewe bwegetu

    • @dubzman5874
      @dubzman5874 4 ปีที่แล้ว +1

      Bwege mkubwa wewe unaongea kama baradhuli.
      Jaribu kwenda Nchi yeyote ile ya North afrika or South Africa na Passport lako la kibongo hilo halafu ndio utafahamu nini maana ya uzalendo wa nchi yako

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣CCM NAONA MNAPATA WAZIMU KWA KISHINDO CHA MAALIM. MMEKWISHAA NA ANAKUJA NA HUKO BARA KUZOA MAMILIONI YA WATU WANAOTAKA HAKI.

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      @Jonas Mathias 🤣🤣🤣CCM kijasho cha matako kinakutokeni ila wapiiiii. Mmeyatupaaa

  • @jumaally1899
    @jumaally1899 4 ปีที่แล้ว

    IlA SEIFU SHARIFU UNAPONGEA KUHUSU MASHEHE WAKATI WANAKAMATWA NA WW ULIKUA MAKAMO WA RAIS NA HAUKUSEMA KITU WALA HUKUWATETEA IWEJE LEO HUMO KTK SETEKALI UNAJITIA KUONGEA IZO NIDALILI ZA MTU MNAFIKI NA WW NDIO CHANZO KIKUBWA CHA KUTUGAWA WAZANZIBAR MPA TUMEKUELEWA SASA HUTUYUMBISHI TENA

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 ปีที่แล้ว

    Nyie wanasiasa wa zanzibar unguja na PEMBA. Kazi yenu mipasho kama makhnisi . Na tabia kama hizo wote wanakuwa wamoja kazi yao kuwapeleke peleka wasiojielewa to. . Sheni. Na Seif .nyote matapeli . Wachawi wa zanzibar nyie wanasiasa

  • @kassidpandu9806
    @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

    Wee habari zako kila siku za uzushi na uongo tuuu mbona mzee unatugawaa hebu pumzika leo wajukuu

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      Ndoapoo

    • @duniamapitosotewamungu3467
      @duniamapitosotewamungu3467 4 ปีที่แล้ว +1

      Anawaeleza ukweli sio uzushi fala ww

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      @@duniamapitosotewamungu3467 huenda mungu hataki awe rais asilazimishep

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 4 ปีที่แล้ว

      @@duniamapitosotewamungu3467 wee tukanaa lakini nchi hatutoi kwa karatasi kwani imepatikana kwa mapinduzi

    • @alyspare3024
      @alyspare3024 4 ปีที่แล้ว

      Jina la pandu pekee ni jina la kisheitwani halipo hata kwenye kitabu chochote mbwa ww

  • @mainaabuu8931
    @mainaabuu8931 4 ปีที่แล้ว

    Maalim ushaishiwa banaa a CCM IPO sawa haiwezi kumfanyia dhulma mwananchi wake ,ifikie wakati ukubali ww na wananchi wako kuwa tumetoka mbali mno kama zmefanywa dhulma ni zaman uko wakat wa ukoloni usituletee usnichi saiv CCM OYEEEE

    • @albassamjjamali9205
      @albassamjjamali9205 4 ปีที่แล้ว

      aaaaaa we ss waznz br wenyewe kwa wenyewe mtihani lkn sawaa yatakwisha tu

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      Oyeeeeeee🌱🌱🌱🌱🌻

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 4 ปีที่แล้ว

      Kisa ww ccm ndio huoni zulma

    • @lumuliy5476
      @lumuliy5476 4 ปีที่แล้ว

      "Ww n mkristoo au...?

  • @odacksonlinetv7564
    @odacksonlinetv7564 4 ปีที่แล้ว

    Lana hii ya kiapo mbaya sana uyu mzee analudi utotoni Yani hakili yake dogo sana kwakweli inasikitisha sana Mwanasiasa Mkongwe Kama uyu anazungumza ujinga unaadabu wewe

    • @hajjihijja1989
      @hajjihijja1989 4 ปีที่แล้ว

      We hasa mpumbavu sana unakosa cha kuongea au we sio muislam?

    • @anwarally1106
      @anwarally1106 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo huna adabu kwanza jifunze kusema halafu ww sio muislam kwaiyo kaa kimya

    • @anwarally1106
      @anwarally1106 4 ปีที่แล้ว

      Odacks jifunze kuongea kwanza sheeeeenz

  • @omarymohamed4805
    @omarymohamed4805 4 ปีที่แล้ว

    Mbona wewe unawadharau sana wananchi wa kusini Pemba?
    Je huoni km ilo ni kosa?
    Je ubaguzi haram ni wa ccm tu lkn wa Seif Sharif ni halali?
    Ama kweli nyani haoni mkia wake!

    • @tawfiqissa6123
      @tawfiqissa6123 4 ปีที่แล้ว

      Ckwel mm niwa kucni tena originally 😋

    • @ashuraomar7658
      @ashuraomar7658 4 ปีที่แล้ว

      Kuwa na akili ww Zanzibar imetawaliwa na wabongo habisi ww

    • @omarymohamed4805
      @omarymohamed4805 4 ปีที่แล้ว

      @@tawfiqissa6123 ...
      Mbona baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 Dk. Shein alimwambia Maalim Seif km ampe wawakilishi 7 ili wateuliwe kuwa mawaziri mbona Maalim Seif alichukuwa wawakilishi wa Unguja na kaskazin Pemba tu lkn kusini hakuchukua ata mwakilishi mmoja?
      Pia alipoambiwa apeleke majina ya wawakilishi ili wateuliwe kuwa manaibu waziri pia Maalim Seif alichukua Unguja na Kaskaziñ Pemba tu kusini Pemba hakumchukua yeyote!
      Je uwo si ubaguzi?

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว +1

    Seif alikuwa Makamu wa kwanza wa rais mbona hakuwatoa??? Huyu apumzike tu,huko ACT.

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Hakua na mamlaka ya kutosha. Muulize makufuli na sheni kwanini hawawatoi mashekhe

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 4 ปีที่แล้ว

    Maalim Seif watu wamesha kushutukia umeshachukua fungu lako ACT Wazalendo unawafanya watu wajinga. Sasa hapo unaleta uzushi gani hapo?

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 4 ปีที่แล้ว

      Wa.zanzibar pezichetu.malim.self peace and freedom everywhere malim message from USA 🇺🇸

  • @mwanahawa2703
    @mwanahawa2703 4 ปีที่แล้ว

    Kwani so uliwakataza jamaa zako wasende kuchukuwa vipande ah saiv unasema nini

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 ปีที่แล้ว

      Hamuna akili kwa ushabiki.

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaaaa

  • @sisiniccmtv849
    @sisiniccmtv849 4 ปีที่แล้ว +2

    Uliwatumia mwenyewe uhamsho kisiasa nenda kawatoe sasA, umewadanganya familia zao zinapata shida ww na wanao mnakula bata ww mzee ni mwanga

    • @ima_tamymy3972
      @ima_tamymy3972 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwanga mwenyewe msxueeee

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว +2

      Hwayajuihayo alipomwagiwa sheh soraga tindikali hawana walichokiongea sasa mashehewalokamatwa kwakua wenzao ndiokutwa kubweka

    • @fatmahamed3285
      @fatmahamed3285 4 ปีที่แล้ว

      @@didakassim8666 sora si shehe

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      @@fatmahamed3285 askofu?

    • @sarangeboy9079
      @sarangeboy9079 4 ปีที่แล้ว +2

      Hakuna muislam anae support na kufrahiya kuzalilika kwamuislam mwenziwe ispokua huyo nikafir tu

  • @sleimanalisleiman1238
    @sleimanalisleiman1238 4 ปีที่แล้ว

    KYEFULE wewe ni mwanga tena mwanga mkubwa muamsho wewe umewatuma mwenyewe uliwataka wafanye fujo saivi wewe umetulia kwako

    • @feiz3180
      @feiz3180 4 ปีที่แล้ว

      Sefu Ali Iddi mjomba enu ndiye mwenye masuul ya UAMSHO....

    • @didakassim8666
      @didakassim8666 4 ปีที่แล้ว

      😺😺😺😺😺😺😺😺

    • @nassorali265
      @nassorali265 4 ปีที่แล้ว

      Mwng ypo

  • @mwanaishashaaban9037
    @mwanaishashaaban9037 4 ปีที่แล้ว

    Maaalim bwana wewe mnafiki bwana sana inqakuuma bashiru yupo

  • @mwanaishashaaban9037
    @mwanaishashaaban9037 4 ปีที่แล้ว

    Wewe unasema ujweli au nawe piya utahojiwa t usidanganye wat