Mkutano wa Chama Cha Wananchi CUF BUBUBU; Terehe 22 Septemba 2012; Part 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 4 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani da!!! Ardhi imemeza watu imemeza miamba,Allah akurehemu

  • @khayratrajab9503
    @khayratrajab9503 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akurehemu kipenz chetu maalim sef nakumbuka siku niloskia tangazo kwamba umefariki nililia sana😢

  • @khayratrajab9503
    @khayratrajab9503 4 หลายเดือนก่อน +3

    Alikuwa anaongea maneno mazima sana kama na wew unaangalia 2024 gonga like hapa

  • @deleali6864
    @deleali6864 3 ปีที่แล้ว +4

    Allah akulaleze mahal pema pepon amiin tukiskia hiz kaul zinatuumiza tunakuona km upo kumbe umeshatangulia mbele ya hak allah akupe pepo kwa rehma zako amiin na ss atupe mwisho mwma amiiin

  • @MozaMoza-uf9vs
    @MozaMoza-uf9vs 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo na omo ujinga ujinga Sasa basiiiiii 😊

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hazina,hazina imetupotea
    Maalim Seif TAASISI iliyojitoshereza,Lulu yetu Taasisi imara lala salama pumzika mzalendo wa kweli mpenda wazanzibari na Zanzibar,kamwe na.hakika hautasahaulika na ktk hilo tutaendelea kukuheshimu na kukuenzi

  • @rashidally1149
    @rashidally1149 3 ปีที่แล้ว +4

    Haji Omar kheri Mungu atakufanyia lile unalostahiki

  • @aminially4456
    @aminially4456 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah akufanyie wepesi ktk kaburi lako maalim sef sharifu hamad

  • @omarhaji9827
    @omarhaji9827 3 ปีที่แล้ว +4

    Siamin kama umeenda raisi wetu, mungu ilaze roho yake peponi

    • @salehpapai106
      @salehpapai106 3 ปีที่แล้ว +1

      Allaw akulaze mahal pem pepon amni

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuraham kipenzi chetu akujaalie pepo ya darja la juu in shaa Allah 😭 😭

  • @DaudiJuma-oo7kx
    @DaudiJuma-oo7kx ปีที่แล้ว +1

    Yaa rabil hufrlahu warahmha wajaalna min husmin hatima 🤲😭😭😭

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akurehemu akuweke peponi.Amiin.nass tutakuezi.

  • @ahmadjuma6083
    @ahmadjuma6083 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akurehemu ulituachiya majonz sana

  • @MozaMoza-uf9vs
    @MozaMoza-uf9vs 3 หลายเดือนก่อน

    Allah amsamehe mambi yk amuondeshe mchang mzito wa kambri

  • @sayyidsaidmaalim6999
    @sayyidsaidmaalim6999 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akurehemu maalim sefu

  • @MohdRashid-cu9qb
    @MohdRashid-cu9qb 6 ปีที่แล้ว +4

    Hizi hutuba za Raisi wetu zinatuliza sana tunapozisikiliza eee Mola mpe umri mrefu na afya njema daima

  • @maryambello5519
    @maryambello5519 ปีที่แล้ว +1

    Mhhiii ulitujali. Sana

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli huyu jamaa alikuwa mwamba wa siasa Allah ampe janat huko aliko.

  • @makinibwika1427
    @makinibwika1427 11 หลายเดือนก่อน

    Wazanzibar endeleeni kudai hakiyenu isiwe mwisho hatakama mheshimiwa Seif kafariki isiwe sababu ya nyinyi kulegea tafuteni msimamizi mwengine mwenye ari, shujaa kama marehemu mtafaulu insha'Allah. Natoka Kenya- Mombasa

  • @rajabsanatenahawafaiismail612
    @rajabsanatenahawafaiismail612 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulaze mahalapema peponi amin

  • @hamzahamddan547
    @hamzahamddan547 3 ปีที่แล้ว +2

    Namuomba ALLAH amsamehe madhambi yake.

  • @assaasuleiman2422
    @assaasuleiman2422 3 ปีที่แล้ว +2

    Ewe mwenyezi muungu msamehe mja wako pale alipokukosea mfanyie wepesi katika kaburi lake

  • @MozaMoza-uf9vs
    @MozaMoza-uf9vs 3 หลายเดือนก่อน

    Bado tuna kupenda tupo km kawaida 2024

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Mungu. akurehemu!!

  • @RioIpo
    @RioIpo 2 ปีที่แล้ว

    Allah atujaalie tuingie Jannat firdausi

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa Amani maalim seif raisi wangu wamudawote

  • @assaasuleiman2422
    @assaasuleiman2422 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante maalim seif

  • @mohamedmande3958
    @mohamedmande3958 3 ปีที่แล้ว +2

    رحمه الله

  • @nassorrashid2857
    @nassorrashid2857 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehem kiongoz wetu

  • @aishasulaiman4144
    @aishasulaiman4144 3 ปีที่แล้ว +4

    Allahuma ghfirlahu warhamhu waaskanuhu filjannah

  • @omarhaji9827
    @omarhaji9827 3 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa aman raisi wetu

  • @hidayabakar7026
    @hidayabakar7026 3 ปีที่แล้ว +3

    Baba kiongozi wetu mpendwa utatuliza kila siku tukizisikiya kauli zako

    • @hidayabakar7026
      @hidayabakar7026 3 ปีที่แล้ว

      Hutuba zako tamu mzuri mnoomuungu akusameh

  • @lakinanemuna9330
    @lakinanemuna9330 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akuweke mahali pema peponi amini 😭😭😭

  • @deleali6864
    @deleali6864 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba km mwamba mtetez wetu mung akupe kaul thabit

  • @enockkagomba1261
    @enockkagomba1261 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungi akupumzishe hakika kukusahau ni vigumu jabari la siasa

  • @2pacshakuru520
    @2pacshakuru520 5 ปีที่แล้ว +1

    Jabari wasiasa Zanzibar na Tanganyika

    • @kitalechapombe6602
      @kitalechapombe6602 5 ปีที่แล้ว

      Hapa tulipofika msiwe na matumain kama tutarudi nyuma,2012 hiyo lakn mpaka leo umezeeka bado tu hukubali

    • @badranassor3303
      @badranassor3303 3 ปีที่แล้ว

      @@kitalechapombe6602 wewe sio mungu wala hamna uwezo wowote wa kumzuia mungu alitakalo. Kwa uwezo wa Allah znz itakuwa huru. Nyinyi sio mlioiumba znz.

  • @hamoudsaisaid4694
    @hamoudsaisaid4694 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe makazi kaburuni uliko

  • @sulesulesh3406
    @sulesulesh3406 8 ปีที่แล้ว +2

    Asantee mzee

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli mtupu

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 ปีที่แล้ว

    رحمك الله ياغالي المعلم سيف شريف بن حماد

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah amrehemu

  • @issalamon2769
    @issalamon2769 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah tumeondokewa znz0

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 ปีที่แล้ว +2

    Nakuaminia mzeee ila mungu anawapa mtihani awoooo

    • @mbaroukmohd1391
      @mbaroukmohd1391 4 ปีที่แล้ว

      Mwenyezingu akupe subra yatakwisha tu

    • @mundhiribrahim6292
      @mundhiribrahim6292 3 ปีที่แล้ว

      Pumzika kwaamani tulipenda nasahayako mungu atawalipa

    • @kabaisahaji100
      @kabaisahaji100 3 ปีที่แล้ว

      Hungera baba seif nakukubal daima

  • @issaal-busaidi4479
    @issaal-busaidi4479 3 ปีที่แล้ว +2

    Bandari mpya itakayojengwa, iitwe Jina Maalim Saif Port kwqnza kwa kumuenzi, pil, kua bandari maarufu kwq haraka kwa africa na duniani

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 4 หลายเดือนก่อน

    Hapaa nimeangaliaa coment hakunaa Alomsemaa vibayaa huyuu jamaaa bas kuwen mfano kwa watu kama hawaaa

  • @shebyboy2809
    @shebyboy2809 3 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭

  • @MasoudKhamisAlBimani
    @MasoudKhamisAlBimani 12 ปีที่แล้ว +2

    sema usiogope baba

    • @kitalechapombe6602
      @kitalechapombe6602 5 ปีที่แล้ว

      @Ali Ali mshaingia kwenye mtego wa panya nyie tyr

  • @fatimakhalifa144
    @fatimakhalifa144 5 ปีที่แล้ว +1

    sema baba usiogope

  • @yunussially7261
    @yunussially7261 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 ปีที่แล้ว +1

    dje lete mikutano ya cuf ya pemba

  • @albatashalbatash2498
    @albatashalbatash2498 2 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali8676 5 ปีที่แล้ว +1

    💛💛💛💛💛

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 ปีที่แล้ว +1

    pasua baba wambie awo zulumata

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Yarabi wafanye wapesi wapate nchi yao ili wafaidie uchumi wao NA kusaidia wenzao nchi nzuri sana

  • @maulidsaleh1794
    @maulidsaleh1794 3 ปีที่แล้ว

    Rest in peace

  • @2pacshakuru520
    @2pacshakuru520 5 ปีที่แล้ว +1

    Mpeni

    • @nahidaaa7355
      @nahidaaa7355 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akulaze Mahal pema ameni

    • @jeymohammed5573
      @jeymohammed5573 3 ปีที่แล้ว

      Allah akujaalie firdaus huko uliko upendo wako haukua na mfano na Allah anakupenda zaid ukipendwa na Allah umefaulu

  • @fatimakhalifa144
    @fatimakhalifa144 5 ปีที่แล้ว +1

    yote kayataka babualihuyo lakini ataondoka tu

  • @hamoudsaisaid4694
    @hamoudsaisaid4694 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe makazi mema kaburini uliko