Safi Sana Mh Waitara umeongea point Sana, tuachane na Habari za umri, daaa leo Nimefurahi Sana Jambo langu ambalo nimekuwa nikilisema kwenye mitandao umri Umekuwa tatizo kwa Watanzania. Sio kuongeza ni kufuta kbsa.
Good 🎉🎉🎉 Kuna watu tumeomba ajira adi miaka zaidi ya 10 na Bado hatujapata. Apo kwene udereva pia tuangalie viziri kwani kwa uzoefu umri midogo na chombo Cha moto nichangamoto Sana.
Simba chawene umri wa kijana kisheria ni miaka 18 mpaka 45. Lakini wanapomaliza degree haajiriwi hapo hapo anaweza kukaa miaka mitatu mpaka minne. Wewe usiendelee kuongea vijana watakulaanu. Tunao watoto wamemaliza degree miaka minne na hawana ajira. Waziri mhusika ubarikiwe
Hizi hoja naomba kuwa na kipindi maalum kwenye tv TBC,ambacho kitaitwa bunge la wananchi ambalo kila waziri atatakiwa awe na kipindi cha kujibu maswali ya moja kwa moja kwa wananchi
Namna ya kuwazungumzia wakulima kama ni watu wa hali ya chin ,iiliteracy sio nzuri na ingekuwa vizuri kama haya mnayosema muanze kuyatekeleza ,maana kuna namna yale mnayoongea baadh mnayaacha bungen very sad😢
Amish tribe Hapa Marekani wana shule zao na mitaala yao. Humalizia la 7. Na inatamburika kama Elimu yao ya juu. Ni matajiri sana kutokana na uchapakazi Wa kwako Wa ukulima na ufugaji.
wabunge reo nimefurahishwa mungekuwa mnamawazo mazuri kwama aya kerere zingepungua wario shauriana watt zao wameandaliwa naishi ndio maana awajari watoto wawengine wapuzi kweri
Aha!!kutuchoshatu tutapambana kwa mbinu yoyote Ile tujiajiali na lazima tuendeshe mikoko wengine ata la saba hatuja maliza..kwanza apo ajira watu wamesha ajiliwa mnatupigiatu umbea apo!!!!
Yaani kuna viongozi wengine wanajibugi tu bila kuangalia kuna ndugu zao huko mtaani, wewe mpeleke mtu ashindwe mwenyewe bana, kwani ukisema basi kutokana na michango ya wabunge tufute kbsa. Hakuna Mzee wa miaka 30 bana
Ajira nimuhimu , lakini hakuna taifa duniani lililoweza kutoa ajira kwa vijana wote. Tatizo ni mfumo dhaifu wa Elimu yetu inamwandaa mwanafunzi kuajiriwa na sio kutumia elimu kuwa mbunifu na kujiwekea ajira binafsi.
Hata izoo nafasi za polisi na Uhamiaji umri uwondolewee, maana sie tupo mpka leo nna umri 34 na Degree polisi, jeshi, uhamiaj sipat tena, ila nna amin wapo nnaobwashinda wenye umri miaka 18 kwenye field
Hakiwezi kuwa sawa kwa sababu miaka tuliopata uhuru tulikuwa na watu wachache na wasomi walikuwa wachache na shule na vyuo pia vilikuwa vichache hivyo umri wa kuajili uongezwe mpaka miaka 45 ,kwani mwisho wa siku ukiona tangazo limetoka jua tayari kuna watu wamelengwa kupewa hizo hajira,na hasa wazazi wao ambao wapo katika nafasi za juu,tunaona hata uteuzi wa nafasi za uwaziri,ukuu wa mkoa,wilaya,ukurugenzi ni zakibaguzi wanaopata wengi ni watoto wa wakubwa
Tuyaondoe Haya mambo maana yaliwekwa awamu ya tano, ndo visheria visheria vingi vilianza sasa tunamuomba Mh Rais mama Daktari Samia Hassan afute vikwazo hivi, mm naamini Mh Rais anaweza maana tunamuona kipindi chake ametoa ajira nyingi Sana hilo tunampongeza, maana walirundikwa miaka 7 Sana huko nyuma. Sasa mama yetu Mh Rais pamoja na wabunge wote tufute kbsa hivi vigezo vya umri na JKT.
Watu wanaandaa watoto wao wapate ajira ndio maana wanawasomesha shule za International school. Na sio shile za kayumba za mitaani kata za serikali. Nchi sasa ishakuwa ya wachache hadi kwenye ajira
Umri wa chini ya miaka 25 siyo sahihi.Miaka chini ya 18 ni umri wa watoto.TAWA wanataka kuajiri watoto? Pia,umri wa vijana nchini ni kuanzia 18 hadi 35.TAWA hawataki vijana? Hawa wanataka kulenga kundi lipi?
Nina swali kwa viongozi wa serikali kwa wale ambao wamemaliza degree wakiwa na miaka 25 je ni kwamba watasubiri ndani ya miaka 5 ndio wajiriwe baada ya kukamilisha hiyo miaka.hiyo sio haki mnatukatisha tamaa ya kusoma na kujiendeleza kimasomo
Mimi nataka niwashauri serekali kupitia TAWA. Mnaingia gharama kubwa kufanya ajira wakati mnauwezo wa kufanya ulinzi shirikiri kupitia vijiji vilivyozunguka mapori yenye wanyamapori na kuwawezesha kuwa walinzi wazuri na kupunguzia serikali mzigo wa ajira. Vile vile mgeshirikisha watanzania wazalendo katika uwekezaji katika haya mopori na wangeweza kufanya ulinzi na uwangalizi wa rasilimali zake. Kama vile mlivyoanzisha makampuni ya uwindaji wa wenyeji na kushindwa kuwapa maeneo walionunia kihalali katika mdaa wa vitalu wa 2021. Mwisho tafuteni maoni katika utekelezaji wa wizara yenu.
Hivi kazi ya kilimo ni laana?. Juzi waziri wa Tamisemi alisema watumishi wazembe watafukuzwa wakawe wakulima. Hapa mbunge anachangia kuwa vijana wetu wamesoma hivyo waajiriwe badala ya kuwa mkulima. Dhuh!!. Kilimo ni ajira jamani
Kwani ni serikari una sema katika nafasi baadhi mpaka Uwe nauzowefu wa miaka kadha wa kadha uwo uzoefu utaupata wapi na ndio umetoka Schule kwanini usimchukue ukamuweka na mtu m wenye uzoefu uzoefu aupate kwa huyo mwenye uzoefu japo kwamalipo kiasi
Tupo madereva hatujapata hayo mafuzo ya kijeshi na tunaendesha magari ktk barabara mbovu ajabu na ikiwa gari inamzigo mzito usiopungua tone therathini na tatu ijekuwa huyo mtahiniwa kuendesha gari ndogo tena kabeba abiria wawili? tuacha ubaguzi nchi hii ni yeto sote
Mbunge aliyetoa hoja kweli katumwa na wananchi big up kwake
Siyo kweli mbona Kijazi cheo mlichompa cha kijeshi alipitia chuo cha kijeshi gani ?
Hoja nzuri sana kwakweli watt wa wakulima tunakosa pakuelekea baada ya ku-graduate na wengi inatukutia tumefikia miaka 25 na zaidi
Safi Sana Mh Waitara umeongea point Sana, tuachane na Habari za umri, daaa leo Nimefurahi Sana Jambo langu ambalo nimekuwa nikilisema kwenye mitandao umri Umekuwa tatizo kwa Watanzania. Sio kuongeza ni kufuta kbsa.
Mungu ibariki Tanzania yangu!
Kwani wakulima tunaonekanaje jamaniii, mbona tunapewa mifano ya watu ambao hawasoma au kilimo ninkwa ajili ya watu waliyofeli maisha?
Nyinyi mbona ni wazee mnatafuta nini bungeni, solution vijana wote tuungane tusiwapigie kula hawa jamaa waliokaa muda mrefu bungeni
Legitimate expectation....bravo
Good 🎉🎉🎉
Kuna watu tumeomba ajira adi miaka zaidi ya 10 na Bado hatujapata.
Apo kwene udereva pia tuangalie viziri kwani kwa uzoefu umri midogo na chombo Cha moto nichangamoto Sana.
Simba chawene umri wa kijana kisheria ni miaka 18 mpaka 45. Lakini wanapomaliza degree haajiriwi hapo hapo anaweza kukaa miaka mitatu mpaka minne. Wewe usiendelee kuongea vijana watakulaanu. Tunao watoto wamemaliza degree miaka minne na hawana ajira. Waziri mhusika ubarikiwe
Alafu mnanikera sana na neno uzoefu hivi uzoefu unaupataje bila kufanya
Eti bhn
@@GeraldLembris-jr3yz uzoefu muhimu
mwasi na ku follow sasa unajua dada ang❤❤
Good work MP
Bravo Mh Kamani
Huyu kama Tulia kichwa hicho
Niwapongeze sana wabunge kwa kuibua hoja zenye mashiko
Uyo anazingua sana
tuna mawaziri waajabu sana hii nchi duh!
Hizi hoja naomba kuwa na kipindi maalum kwenye tv TBC,ambacho kitaitwa bunge la wananchi ambalo kila waziri atatakiwa awe na kipindi cha kujibu maswali ya moja kwa moja kwa wananchi
Huyu mbunge wetu sisi vijana huw anatupigania sana sisi vijana hongera sana mheshimiwa kamani
Namna ya kuwazungumzia wakulima kama ni watu wa hali ya chin ,iiliteracy sio nzuri na ingekuwa vizuri kama haya mnayosema muanze kuyatekeleza ,maana kuna namna yale mnayoongea baadh mnayaacha bungen very sad😢
Wabunge na mawaziri wengine hapo wamezaliwa kabla ya uhuru bado wapo hapo na wanataka umri upunguzwe
Kweli kbsa hata uhamiaji, Takukuru yote hayo hayana maana hadi uwe mwanajeshi
dada mwasi kamani agiza soda apo ulipo nakuja kulipa❤❤🎉🎉🎉🎉
Wabunge wote wazee tusiwachague tena mwakani jamani. Bunge liwe la vijana tu.
Hawawez kukubali
Naona Mh. Mwakagenda kajichanganya kidogo. Ukulima unahitaji wasomi pia ili kukuza na kuboresha uzalishaji katika kilimo. Ukulima ni ajira.
Safi sana
Mama umeongea point ,ila mm bado nakazia point ifute kbsa swala la umri
Mh Dr Salim alikuwa balozi akiwa na umri gani?
Amish tribe Hapa Marekani wana shule zao na mitaala yao. Humalizia la 7. Na inatamburika kama Elimu yao ya juu. Ni matajiri sana kutokana na uchapakazi Wa kwako Wa ukulima na ufugaji.
Miaka iongezwe jaman
Mnasema miaka 30, Kuna wengine wamehitimu 2016 ambao tyr Wana miaka 34 vipi kuhusu hao?
Kulima siyo ajira!
wabunge reo nimefurahishwa mungekuwa mnamawazo mazuri kwama aya kerere zingepungua wario shauriana watt zao wameandaliwa naishi ndio maana awajari watoto wawengine wapuzi kweri
Wapeni watu ajira umri ni namba hawaendi kubeba tembo migongoni
😂😂😂
🤣🤣 kweli 😂😂
Mm nilikuwa sijui kumbe kuanzia miaka 30 ni wazee 😂😂😂
Mi nadhani hoja ya Mh Waitara izingatiwe kuwa lifutwe kbsa sio kuongeza miaka 30, ifute Jambo la umri kila mtu akapambane kivyake
Aha!!kutuchoshatu tutapambana kwa mbinu yoyote Ile tujiajiali na lazima tuendeshe mikoko wengine ata la saba hatuja maliza..kwanza apo ajira watu wamesha ajiliwa mnatupigiatu umbea apo!!!!
Vigezo vya ndani kumbe mtawadanganya wtz
Sio haki kabisa, walioko mtaani ni miaka 20-40.utawaweka wapi hawa
Hamuna kazi hao watawapoteza wawache wagonge meza
Saa zingine unanifurahisha sana
Uyu mbunge ni kichwa vijana wamekosa ajira kwa kigezo umri tuu.
huyu waziri anaongea kwa vile vijana wake wa ajira..
Yaani kuna viongozi wengine wanajibugi tu bila kuangalia kuna ndugu zao huko mtaani, wewe mpeleke mtu ashindwe mwenyewe bana, kwani ukisema basi kutokana na michango ya wabunge tufute kbsa. Hakuna Mzee wa miaka 30 bana
Ajira nimuhimu , lakini hakuna taifa duniani lililoweza kutoa ajira kwa vijana wote. Tatizo ni mfumo dhaifu wa Elimu yetu inamwandaa mwanafunzi kuajiriwa na sio kutumia elimu kuwa mbunifu na kujiwekea ajira binafsi.
Hata izoo nafasi za polisi na Uhamiaji umri uwondolewee, maana sie tupo mpka leo nna umri 34 na Degree polisi, jeshi, uhamiaj sipat tena, ila nna amin wapo nnaobwashinda wenye umri miaka 18 kwenye field
Hakiwezi kuwa sawa kwa sababu miaka tuliopata uhuru tulikuwa na watu wachache na wasomi walikuwa wachache na shule na vyuo pia vilikuwa vichache hivyo umri wa kuajili uongezwe mpaka miaka 45 ,kwani mwisho wa siku ukiona tangazo limetoka jua tayari kuna watu wamelengwa kupewa hizo hajira,na hasa wazazi wao ambao wapo katika nafasi za juu,tunaona hata uteuzi wa nafasi za uwaziri,ukuu wa mkoa,wilaya,ukurugenzi ni zakibaguzi wanaopata wengi ni watoto wa wakubwa
Kiukwel hili ndo bunge wananchi tunaitaji kusikia
WABUNGE KWELI MMEONYESHA UZALENDO WA HALI YA JUU
hususani aliyetoa hoja
Bora ijadiliwe tuu
Mnajisahau watu tunaishi maisha ya kijijini shule tunaanza na umri mkubwa kwani nyie wote miaka 25 mlikuwa mmepata ajira ila mnatutesa
ONDOENI HATA KWA UBUNGE NA URAIS.
Tuyaondoe Haya mambo maana yaliwekwa awamu ya tano, ndo visheria visheria vingi vilianza sasa tunamuomba Mh Rais mama Daktari Samia Hassan afute vikwazo hivi, mm naamini Mh Rais anaweza maana tunamuona kipindi chake ametoa ajira nyingi Sana hilo tunampongeza, maana walirundikwa miaka 7 Sana huko nyuma. Sasa mama yetu Mh Rais pamoja na wabunge wote tufute kbsa hivi vigezo vya umri na JKT.
😂😂😂hoja ya mkono😂😂😂 uku no comment 😂😂😂
😂😂😂😂weee acha kunichekesha aise
@@simonchambo1230 pameanza kuchangamka hahah
Umri uongezwe miaka 30 Watu wapimwe uwezo kwenye felfd.
Watu wanaandaa watoto wao wapate ajira ndio maana wanawasomesha shule za International school. Na sio shile za kayumba za mitaani kata za serikali. Nchi sasa ishakuwa ya wachache hadi kwenye ajira
Mtu unampeleka shuleni anamaliza shule hadi afikishe Miaka 23! Unakua umemuua kielimu
Huyo waziri anasema miaka 30 ni wazee😢
Nimekuelewa Simba chaweni achana na mbumbu maswala ya kijeshi ni ya kitalamu
Very sure
ngumu sana tunakwenda kuharibu kabisa hizo taasisi
Basiii wabunge woteee wazeee tena kupiliza mjitathimini kutoa hoja
Hahahaahha kaz ipo inchi hiì apo bado mjadala wa umeme barbara n maji haujaanza 😂😂
Tawa sio jeshi nikama shirika
Tunashukuru mweshimiwa mbunge kwa kutuwakilisha
ndo maana wakija huko wanatupga kwa sabau mnawaita jesh
Interval ya kusoma awazingatii
Siasa ni kitu cha ajabu. Hapa picha inayotengenwzwa ni ipi? Serikali na Bunge vinajali vijana
miaka iongezwe
Kamani❤ ww jembe letu
Umri wa chini ya miaka 25 siyo sahihi.Miaka chini ya 18 ni umri wa watoto.TAWA wanataka kuajiri watoto? Pia,umri wa vijana nchini ni kuanzia 18 hadi 35.TAWA hawataki vijana? Hawa wanataka kulenga kundi lipi?
Wanataka mademu
Simba chawene acha uongo huo
Mnafanya hoja kwa vitu vidogo sana
Tatizo vimemor kutoka juu
Je supika mhe mzava hayupo bungeni hakuna anacho ongea hapo bungeni je korogwe vijijini hakuna shida atuambie😅
Hata. Wa Bunge. Mwisho. Miaka. 60 tu
Nawahakikishia kuna vijana watoto wa wakubwa wataingia wenye umri wa miaka zaidi ya 30
Spika Yuko poa apambane azaidi
Miaka salasini wauze bisi dodoma
kilimo ni ajira kwa nini mtu akilima aambiwe analima😀😀😀
Mwenye level ya diploma ni miaka 27 na degree ni isizidi miaka 30
KUMBE HUA UNAPOINT NDUGU YETU , UTETEA TAIFA VIZURI SANA
Kwa hiyo kumbe wenye miaka 30-ni wazee😓😓😓😳
Matter kubwa huwezi kucompare TAWA na police coz police wanaenda kusomea kazi Pasiansi wanasoma wanapewa vyeti wanasubili kazi
Nina swali kwa viongozi wa serikali kwa wale ambao wamemaliza degree wakiwa na miaka 25 je ni kwamba watasubiri ndani ya miaka 5 ndio wajiriwe baada ya kukamilisha hiyo miaka.hiyo sio haki mnatukatisha tamaa ya kusoma na kujiendeleza kimasomo
Unapokngeza umri wa kuajiriwa inabidi uongeze na umri wa kustaafu.
Mimi nataka niwashauri serekali kupitia TAWA. Mnaingia gharama kubwa kufanya ajira wakati mnauwezo wa kufanya ulinzi shirikiri kupitia vijiji vilivyozunguka mapori yenye wanyamapori na kuwawezesha kuwa walinzi wazuri na kupunguzia serikali mzigo wa ajira. Vile vile mgeshirikisha watanzania wazalendo katika uwekezaji katika haya mopori na wangeweza kufanya ulinzi na uwangalizi wa rasilimali zake. Kama vile mlivyoanzisha makampuni ya uwindaji wa wenyeji na kushindwa kuwapa maeneo walionunia kihalali katika mdaa wa vitalu wa 2021. Mwisho tafuteni maoni katika utekelezaji wa wizara yenu.
Huyu wzr simba chawene anatusababisha tumchukie kwani umri wa ujana unaishia wap mbna anatunyanyasa
Hivi kazi ya kilimo ni laana?. Juzi waziri wa Tamisemi alisema watumishi wazembe watafukuzwa wakawe wakulima. Hapa mbunge anachangia kuwa vijana wetu wamesoma hivyo waajiriwe badala ya kuwa mkulima. Dhuh!!. Kilimo ni ajira jamani
Waziri Simba chaweni unayumbisha mambo
Kwani ni serikari una sema katika nafasi baadhi mpaka Uwe nauzowefu wa miaka kadha wa kadha uwo uzoefu utaupata wapi na ndio umetoka Schule kwanini usimchukue ukamuweka na mtu m wenye uzoefu uzoefu aupate kwa huyo mwenye uzoefu japo kwamalipo kiasi
Tupo madereva hatujapata hayo mafuzo ya kijeshi na tunaendesha magari ktk barabara mbovu ajabu na ikiwa gari inamzigo mzito usiopungua tone therathini na tatu ijekuwa huyo mtahiniwa kuendesha gari ndogo tena kabeba abiria wawili? tuacha ubaguzi nchi hii ni yeto sote
Kweli kabisa wako mafund mageti magari
Wazili unapinga kwakua watoto wako wanamisha mazuri.
Wekeni ukomo umri kugombea ubunge
nina wasi wasi na weledi wa waziri mwenye dhamana aiseee
Na vilekunawanao hamia hiyo kada unakuta umri Anamika 40 naanatakiwa kwenda kozi?
Hao ni viraza wawe machinga barabarani au fundi pikipiki
Sehem ambayo ni nguvu ya mtu mwache apambane akishindwa itajulikana
Mbona Kuna vijana ambao ukiwapeleka jeshini hawawezi kabisa
Shida ni kwamba wanatangaza ajira wakati tayar majina wanayo,si kutupima tu apo
Sio.minne.zaidi..ya.4.na.tatizo.liko.kwenu.nyie.selikali.mtu.ana.maliza.anakaa.muda.mlefu..halafu.ajira.zinatoka.eti.mnataka.wenye.umri.huo.hivi.itawezekana.mtaacha.wengi.mtaani.mwishoe.mtajua.wenyewe.kwa.kuwaweka
Sikiliza watalamu siyo wabunge hao ni kelele umachinga ccm imeluhusu nani hapati lidhiki
Inaonekana ujasoma wew. Unapingaje huu mjadala wa leo
Hivi wewe unajua ata mtu akimaliza kusoma hua ana miaka mingapi
Wewe vipi mbona ata hufikilii