MKIMBIZA MWENGE ALIVYOMBANA MHANDISI MBELE YA MBUNGE, "FEDHA ZA SERIKALI ZIKO WAPI, UNALETA USANII"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ส.ค. 2022

ความคิดเห็น • 219

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +28

    Huyu yuko kazini masuala ya kusema awe na heshima kanye ulale. Nahuyu namtabilia baada ya mwenge atakuwa Mkuu wa Wilaya.

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 ปีที่แล้ว +22

    Kazi nzuri mkimbiza mwenge mungu akupe ulinzi

    • @Zaburi-
      @Zaburi- ปีที่แล้ว +2

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @afrocushitic
      @afrocushitic ปีที่แล้ว +1

      @@Zaburi- ndo nini umesema

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 ปีที่แล้ว +11

    Jamaaa yuko smart sana

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +11

    Huyu jamaa mama Samia atapewa maneno ya kumuharibu hadharani

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 ปีที่แล้ว +5

    Hakika wewe siyo mwanasiasa ila ni mchapa kazi (Mtendaji). Mungu akulinde

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +14

    Huyu jamaa zaidi ya hayati Magufuli wallahi mrithi huzidi japo itachukuwa Miaka Mingi

  • @donardshaban6783
    @donardshaban6783 ปีที่แล้ว +6

    Mama Samia huyu dogo kaupiga mwingi Sana angania Hawa nyumbu wa Towm wanakuharibia 💪💪

  • @silasmichael602
    @silasmichael602 ปีที่แล้ว +13

    huyu mkimbiza mwenge wakipindi hii nimemwelewa

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 ปีที่แล้ว +10

    Mbona kadogo hivyo jaman 😂😂🤞hafu nimempenda Tena 🤭

    • @Cyper255
      @Cyper255 ปีที่แล้ว +1

      Ana mke huyo. Nitext mimi.

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄mbavu sina

  • @antonyvallerian1718
    @antonyvallerian1718 ปีที่แล้ว +6

    Uyu mshikaji yupo sawa sanaaaaaaa. Mwizi atasema hayupo sawa. Kwanza anajua vitu vingi... Ache ufala piga kazi

  • @donardshaban6783
    @donardshaban6783 ปีที่แล้ว +11

    Katika wakuu wa mbio zawenge 🇹🇿 huyu kiongozi nimzalendo sana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 ปีที่แล้ว +10

    Du kazi mnayo kijana wapeleke wezi hao

  • @dianasago9214
    @dianasago9214 ปีที่แล้ว +8

    Mkimbiza mwenge wa mwaka huu yuko makini

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 ปีที่แล้ว +5

    Dah safi sana pot angekuapo mzee we ilibidi uwe wazili wa fedha

  • @jumamsukwa6244
    @jumamsukwa6244 ปีที่แล้ว +6

    Wasumbuf sweka ndani ili wengine waogope kula hela zaselekali bambana uko vizur sana

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 ปีที่แล้ว +7

    Mzalendo, piga kazi ndugu yangu

  • @kijangwaalbert2303
    @kijangwaalbert2303 ปีที่แล้ว +12

    Young JPM ✊

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 ปีที่แล้ว +4

    Kweli MAGUFULI smetuelimisha Sana kuto KUKUBALI batili kuwa haki hongera baba MAGUFULI huko uliko kekima yako na uzalendo wako na ujasiri wakutuelimisha kupenda vya kwetu na kuheshimu UZALENDO ASANTE KIONGIZI WA mbio ZAMWENGE HINGERA SANA TENA SANA MASHAALLAH

  • @maromedia6272
    @maromedia6272 ปีที่แล้ว +5

    Nimekubali boy wangu pambana sana

  • @davidbahati3748
    @davidbahati3748 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa anajua vitu vingi kuhusu ujenzi dah! Mama hajakosea kumpa nafasi ya kuwa mzindua miradi, la mwenge likiisha amfikirie upya nafasi nyingne

    • @YusufYusuf-vk7hi
      @YusufYusuf-vk7hi ปีที่แล้ว

      Ukiwa hujui bora unyamaze tu maana unaweza kumtetea mjinga na ukamkandamiza mwenye haki. Huyo jamaa nimemfatilia katika miradi mingi anayoifungua na kwa kweli anafanya vituko kama sio ujinga. Hana lolote analolijua katika ujenzi na ni aibu kwa kiongozi kama yeye. Mfano kwenye huu mradi mkandarasi anasema kitu fulani hakimo kwenye mkataba yeye anamlazimisha lazima afanye. Sasa mtu huyu anajua ujenzi kweli? Wacha mbali ujenzi, huyu mtu anajua procurement kweli?
      Anachokifanya huyu jamaa ni ujinga na professionally wrong. Mambo ya kitaalamu waachiwe wataalamu.

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 ปีที่แล้ว +5

    Mama samia huyu kijana wa mwenge mpandishe cheo ni mzalendo.na anaonekana amesomea hili ni ombi langu ikikupendeza

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 ปีที่แล้ว +6

    Tunasubili mwenge uishe tuje tumpe wilaya

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 ปีที่แล้ว +3

    Kama umesikia unakula TU gonga like

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 ปีที่แล้ว +11

    Wakandarasi wetu mnatuangusha wakiwe Wachina mnaongea sana lakini kweli hamna kitu taa na feni sehmu 1!
    Ondoka nae atatupotezea muda tu fundi umechemka.

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 ปีที่แล้ว

      Iv kweli apo umeona Kuna feni kweli au siasa2 huo waya wa feni inaweza hamishwa kulingana na aina ya feni itakayowekwa

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 ปีที่แล้ว

      Ni maneno yake mkandarasi alipoulizwa na kwa ufahamu wangu mdogo kwenye ujenzi,taa angeweka ukutani au kama ataweka celling fan basi haiwezekani vile karibu kama vile alikua aweke angalau mita moja.

    • @romualdmadeniromuald525
      @romualdmadeniromuald525 ปีที่แล้ว

      @@didasseveline9013 garama za kuamisha utaoa wewe tena

  • @omarymakota8252
    @omarymakota8252 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kazi brother wanaleta sana

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 ปีที่แล้ว +1

    Hivi sifa za wakimbiza mwenge ni zipi maana nataka NAMI Nije nipige hiyo Kazi waze

  • @osiahstimah
    @osiahstimah ปีที่แล้ว +4

    Ivi ndivyo mwenge unavyofanya kazi sio kisa miladi mipya ni kuzindua tuu bila ukaguzi sasa wanaofuata ndio wanakazi utakuta wako kubomoa walekebishe #duniasimama nishuke 😀😀😀😆😆

  • @silasmichael602
    @silasmichael602 ปีที่แล้ว +8

    huyu jamaa yuko sahihi kabisa anatekeleza ilani...ya CHAMA cha mapinduzi na akosei wala akurupuki kwa hiyo mnaam beza shauri yenu

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 ปีที่แล้ว

      wao wamepewa pesa zote kwann wanashindwa kufuatilia au ndo ufisadi tu engineer imemudondokea

    • @husseinlatifa1443
      @husseinlatifa1443 ปีที่แล้ว

      We nawe unaleta uchama Tena humu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 ปีที่แล้ว +8

    Ni fact kabisa ukiweka taaa juu pangaboi ikashuka chini obviously utakosa mwanga ang'avu zaidi ya mwanga kama wa disko na hafifu

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 ปีที่แล้ว +7

    Watu wetu wengi wanapenda kula pesa za miradi tu bila kufanikisha mradi

  • @lamadunga1608
    @lamadunga1608 ปีที่แล้ว +3

    Kaza mwanaume ivyo ivyo che guevara

  • @richardsenkondo9852
    @richardsenkondo9852 ปีที่แล้ว +2

    Keep it up wataelewa tu

  • @jenniferkalimalwendohonger290
    @jenniferkalimalwendohonger290 ปีที่แล้ว +6

    Nipe namba za mkimbiza mwenge nimpe ya maji kwa kazi nzuli anayo fanya

  • @georgesikazwe5914
    @georgesikazwe5914 ปีที่แล้ว +3

    Mtu kazi...wabane hao wamezoea wanasiasa wenzao

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 ปีที่แล้ว +4

    Nimempenda jmn huyu kaka

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 ปีที่แล้ว

    Salute 🤚🤝

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 ปีที่แล้ว +8

    Mafisadi wapo mama huyu kk anapiga kazi

  • @dickchambilo9138
    @dickchambilo9138 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hapo ndo nn kimeendelea ,kamchekea huyo,ilibidi awajibishwe kbs🏋️

  • @hajiussi6641
    @hajiussi6641 ปีที่แล้ว +3

    Samia ukipumzika kiti mpeni huyu dogo anatufaa kabisa

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 ปีที่แล้ว

    Bro yuko vizuri....sema mara nyingi watu wazuri wa hiv hawadumu. Binadamu sisi ni viumbe wa ajabu saana.

  • @emanuelalphonce4683
    @emanuelalphonce4683 ปีที่แล้ว +1

    Legend never Dead

  • @maranduhusen6683
    @maranduhusen6683 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mungu azidi kukulinda wahovu wa sikuone

  • @mohamedfakili3376
    @mohamedfakili3376 ปีที่แล้ว

    Safi sana depo

  • @kennethdc2577
    @kennethdc2577 ปีที่แล้ว

    Kichwa cha habari, kusoma kichwa kinaumaa 😂😂

  • @hamisimkongwe5035
    @hamisimkongwe5035 ปีที่แล้ว

    Uko sawa daah

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว +6

    Ogopa sana ukiona askari amevaa kofia kwa style hiyo harafu uingie kwenye target yake mbona utajuta maana wanakuwaga wanaa Sana ni majeshi mengi sana 😃🙆🙌🙌🙌

    • @hamadimgaza4390
      @hamadimgaza4390 ปีที่แล้ว

      Huyo ni askri au mgambo??

    • @mwigakatumpula5695
      @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว

      @@hamadimgaza4390 yaan mgambo anaweza kuaminiwa kwenye Kaz pevu kama hiyo wanakuwaga askari kutoka jeshini

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 ปีที่แล้ว

    Safi sana kamanda

  • @yusupramadhani4427
    @yusupramadhani4427 ปีที่แล้ว

    Uyujamaa namkubali sana Kaz nzulisana

  • @gidionmanwingi8936
    @gidionmanwingi8936 ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi huwa napenda kumfalia

  • @Bahandastar
    @Bahandastar ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana jembe hilo

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 ปีที่แล้ว

    Sjui n wap, alimchamba baba mmoja hiv n mkuu wa shule ya sec flan hiv🙌 huyu kaka noumaa

  • @mdl6463
    @mdl6463 ปีที่แล้ว +2

    😅😅😅mhandisi kofia ilivyo minywa anaonekana check Bob kabisa hata haliogopi jinga kabisa

    • @nickdemo640
      @nickdemo640 ปีที่แล้ว +1

      Kaka hii nchi tunahitaji wa2 kama hawa

  • @user-qf6th4zm5i
    @user-qf6th4zm5i หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 wapatikene 10000 tuna nyoka

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatariii

  • @Commentsplus
    @Commentsplus ปีที่แล้ว

    Mkimbiza mwenge nimempenda

  • @goodluckmringo1689
    @goodluckmringo1689 ปีที่แล้ว

    Hawa wanajeshi bhana ongea yao tu utafikiri anakukoromea..kumbe ndo anakuelekeza...

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣kijana njoo unioe niwe mke wako

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 ปีที่แล้ว

    Upuuzi tu na ngojela zisizoisha!
    Katiba mpya itawabana

  • @geofreylucas1877
    @geofreylucas1877 ปีที่แล้ว

    Hahahaha!!! Namm nmeona mnakula sana

  • @nickdemo640
    @nickdemo640 ปีที่แล้ว +4

    Kaka kuwa makini mfumo wa umeme utafery

    • @estermathias8354
      @estermathias8354 ปีที่แล้ว

      Aliezaliwa na haki moyon huwa haangalii hayo anajua sote tu ugenini

    • @zachariazabron3192
      @zachariazabron3192 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa maana tunaweza kukutana mzena🤣🤣🤣

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 ปีที่แล้ว +1

    Ety mnkula tuu nimeon chakula pale n chaii 🤣🤣🤣🤣

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 ปีที่แล้ว

    My type intelligent.

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 ปีที่แล้ว

    scope of work

  • @makulanangale588
    @makulanangale588 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi upo sahihi

  • @jitaboyfrommaratanzania6678
    @jitaboyfrommaratanzania6678 ปีที่แล้ว

    Mtoto wamara piga kazi brother

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 ปีที่แล้ว +3

    Unafaaa

  • @ejulaizerjulaizer128
    @ejulaizerjulaizer128 ปีที่แล้ว

    Tunaomba huyu jamaa aje kuwa mbunge wa jimbo letu arumeru........

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 ปีที่แล้ว +1

    Hao ni km baba zako au mama zako hata km wanekosea waelekeze kistaarabu sio kuwagombeza km watoto hicho ni cheo Cha muda tu ndugu mkimbiza mwenge. Ni maoni yangu tu staki povu hata mm Nina uchungu na Mali za serekali na Kodi zangu nazokwatwa

  • @hdmagaridismas456
    @hdmagaridismas456 หลายเดือนก่อน

    Uyu atapandishwa cheo

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics ปีที่แล้ว +1

    Wote tia ndani hao kwani takukuru wapo wapi?????

  • @amirikivambe6751
    @amirikivambe6751 ปีที่แล้ว

    Mafisadi wanaona unawatibulia, kaa chonjo mdogo wangu.

  • @UFC_HIGHLIGHT123
    @UFC_HIGHLIGHT123 ปีที่แล้ว

    piga hao ....tozo zetu waseme wanapeleka wapi

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว

    Oya wauni tunaenda mbinguni af bangi sio mbaya amini ya kwamba.

  • @ibrahimnyanda7451
    @ibrahimnyanda7451 ปีที่แล้ว

    Kijana piga kaziiii usiangalie sura

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 ปีที่แล้ว +1

    Fanya haraka ukuje Tunduma,
    Ntakuonyesha wanapotaka kukwepesha usikague.

  • @aahasaidi1977
    @aahasaidi1977 ปีที่แล้ว

    huyu yupo vizuri, wakimbiza wengine waliopita walikua wanakimbia kimbia tu

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว +1

    Dogo yuko vzr

  • @jeromeshirima2053
    @jeromeshirima2053 ปีที่แล้ว

    Uyu alie hoji ni mzalendo sana tunatakiwa tuwe na uchungu kwa wezi wa wazi kwa pesa Za umma

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 ปีที่แล้ว

    Kwanini mkimbiza mwenge achukue hayo majukumu kwsni hakuna waliteuliwa na wengine walichaguliwa na wananchi? Hilo ndio ttzo la cc watanzania tusiojua maana ya kua kiongozi mzalendo unayetakiwa uwajibike.hilo linaturudisha nyuma sana.

  • @user-qf6th4zm5i
    @user-qf6th4zm5i หลายเดือนก่อน

    Msukuma uyu sio

  • @josephmaduka468
    @josephmaduka468 ปีที่แล้ว

    Saf hiyo roho ya magufuli

  • @francisnyaji5000
    @francisnyaji5000 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Soldier.

  • @geroldmwinuka6411
    @geroldmwinuka6411 ปีที่แล้ว

    Hela za tozo hizo wafuatilie vizuri yupo vizuri

  • @nandondefredrick1386
    @nandondefredrick1386 ปีที่แล้ว

    Mchaga huyo safi sana mwana

  • @didasrugimbana6260
    @didasrugimbana6260 ปีที่แล้ว

    Kidgo aseme usiniletee majibu yakisenge kisenge Sema kaheshim kamera 😃

  • @allymsega5639
    @allymsega5639 ปีที่แล้ว

    Tena huyo mkimbiza mwenge dogo ana hekima xn kwel kbx angekuwa mwngn cjui

  • @kyungualbetina8739
    @kyungualbetina8739 ปีที่แล้ว

    Namuona jpm live

  • @sarahkaminyoghe6115
    @sarahkaminyoghe6115 ปีที่แล้ว

    Yani kwa mara ya kwanza mkimbiza mwenge amefanya kazi ianayo kubarika

  • @shizodizzy6603
    @shizodizzy6603 ปีที่แล้ว

    Du? Huyu atakuja kua Rais

  • @johncontandu2713
    @johncontandu2713 ปีที่แล้ว

    Jamaa anamsimamo atari safisana

  • @tabiafataki6896
    @tabiafataki6896 ปีที่แล้ว

    Kamanda weka ndani uwezi kula Kodi zetu kirais ivyo

  • @eliaskahory7116
    @eliaskahory7116 ปีที่แล้ว

    Dogo kuwa Makin watakuua. Tanzania Umekuwa ngumu Saàna.
    Mkumbuke yalompata Mzee Wetu Magufuli

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +1

    Kipaji jamaaaa

  • @davisnjorogehi3551
    @davisnjorogehi3551 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndo tz bwana aaahhhhh

  • @djtiffa9664
    @djtiffa9664 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html
    DAWA YA KUMUWEKA MPENZI KIGANJANI ATAKUPA UTAKACHO..*#
    th-cam.com/video/6tia-5UH4MI/w-d-xo.html

  • @fadhilikisigo9648
    @fadhilikisigo9648 ปีที่แล้ว

    Wataelewa tu wanyooshe na hiyo kofia imekubali kumwaga maji hatari

  • @erickwilliam6610
    @erickwilliam6610 ปีที่แล้ว +2

    Bro tunakuelewa Sana Sana

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Kamanda yupo vizuri sana

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 ปีที่แล้ว

    Hivi kwa nini viongozi hamfanyi kama maelekezo yanavyotaka? Kuelekezwa kila kitu kwa nini jamani?

  • @nicodemmabala1904
    @nicodemmabala1904 ปีที่แล้ว

    Wapeleke mwendo wa bus kamanda