WILAYA YA BUHIGWE YAPOKEA MSAADA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2023
  • Profesa PIUSI YANDA ambaye ni mdau na mzawa wa wilaya ya Buhigwe ametoa msaada wa mashuka ya hospital pamoja na vifaa vya shule katika wilaya ya Buhigwe.

ความคิดเห็น • 1

  • @michaelkizwili2616
    @michaelkizwili2616 ปีที่แล้ว

    Genious professor mchango wake unaoendelea uko ni moja ya juhudi zake anazo endelea kufanya kuipammbania jamii ya watu wa kigoma kwa ujumla tujivunie kuwa na prof Yanda tupo dar es salaam ila uwepo wake uku uku alipo anatuoneaha upendo wa hali ya juu na kutufungulia milango ya kuuendeleza mkoa wetu. Tunahitaji akina prof Yanda wengi wengi katika mkoa wetu