UDANGANYIFU UNAOVUTIA WENGI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @ElizaphanKamando
    @ElizaphanKamando หลายเดือนก่อน +1

    Amina hakika maneno ya Mungu ni ya faraja tu na sio huzuni, ubarikiwe sanaaa mtumishi wa Mungu

  • @Nunn-oo6ou
    @Nunn-oo6ou 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe sana pastor

  • @CosmasCosmasLucas
    @CosmasCosmasLucas 25 วันที่ผ่านมา +1

    Amina sana masomo ya pastor yananibariki sana

  • @lucynjeri-rr1wf
    @lucynjeri-rr1wf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow

  • @ZakayoYohana
    @ZakayoYohana หลายเดือนก่อน +1

    Mtishi wamungu daudi alipewa kuchagua aangamie kwamkono wabwa au aangamie kwamkono waadui zake daudi alichagua tauni kutoka kwabwana ila wachungaji waleo mpo kufundisha eti kwamungu nirahatu inamaana ikina yakobo walikufa kwasababu sheta aliwaua kaa ukijua walio upande wa mungu kila liwapatalo niwe nijema au nibaya hutoka kwamungu

  • @ZakayoYohana
    @ZakayoYohana หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji usidanganye watu soma ayubu 1:16 moto kutoka mbinguni kwamungu ukashuka ukateketeza vitu vya ayubu nanyinyi mnao danganya kua kwamungu kunakupata mema tu poleni naayubu alisema tupate mema tu mbele zamungu namabaya tusiyapate pamoja nahayo ayubu hakumuasi mungu

    • @user-fd8kx7ml6e
      @user-fd8kx7ml6e หลายเดือนก่อน

      Hujamuelewa pastor vizuri...