SAUTI YA MWANAKWAYA ILIYOWASHANGAZA WENGI MISA YA UPADRISHO PAROKIA YA MT.BONAVENTURE KINYEREZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2022
- Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...
Hongera sana kuimba ni kisali mara mbili
Enendeni ulimwenguni mwote aleluya, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu.
Hongra sanaaa nimeskia raha mnoo
kanisani kwetu kinyerez hiyo hobgera sanaaaa madamu wetuuuu❤❤❤❤❤❤
Safi sana mungu akuzidishie uzima katika uimbaji hakika sauti tamu 4:34
Sauti tamu hakika Mwenyezi Mungu atukuzwe milele na milele Amina
Hakika kweli Mungu atukuzwe na mwanadamu atakatifuzwe
Woow Aiinuliwe Mungu Kwa binti huyu
Ubarikiwe Sana binti mzuri
#Hadi mwili wangu umesisimka 🙏
Mumeimba vizuri, mubarikiwe.
Hakika ameimba vzr sana ukuu wa Mungu ni mkubwa maishani mwetu
Kuimba ni kusali mala mbili mungu aidumishe kalama hiyo ndani yako
Sifa na utukufu ni kwake bwana hongera sana.❤❤🎉🎉
Hongera sna nice voice unarikiwe sana
🎉🎉🎉congratulations mum.sauti nzuri
Vigelegele kwenye wimbo wa Kati umekuwa unaondoa usikivu. Hasa wakisoma mashairi watoto au vijana
Na haifai kabisa, vigelegele katika somo. Na imekuwa mtindo sana Tanzania, nimeskia hata kwenye zaburi zake Florence.
Anaimba vizuri sana
Mwenyezi mungu akuzidishie
Haleluyahaleluya
Yes beams amemwaga vipaji na atukuzwe bilakukoma
Uimbaji Zaburi unaosisimua na kuinua moyo wa ibada
Amina Mungu akuzidishie
Nyimbo hizi ninapozikia najisikia amani
...
❤❤❤❤❤🎉safiiii
Mbalikiwe sana
Sifa kwa Kristo
Niceeee anakipajiii
Uniq voice
Wapi hapo ?mwapendeza Mungu awabariki.
Kinyerezi, Dar es salaam
Ubarikiwe sana
Roman catolik
Atukuzwe Mungu
Amina
❤❤
Wow
wow
🎉🎉🎉🎉🎉
Nzuri Sana... tusapotiane kwa kusubscribe
Anastasia kuwa mwanakwaya
❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥
Safi
Mbona umejipamba kama Yezebeli? Ndugu yangu mapambo ni dhambi kwakuwa ni ibada ya kishetani. Hubirini juu ya dhambi
Kama ndivyo unavyoamini, pole. Eti kujipamba ni dhambi!
Wewe uliwahi kumuona Yezebeli? Au wahukumu tu kama farisayo katika upofu wako?
@@josephlango5591 Mwanzo 1:26,27 na 31. Isaya 9:16, 1Timotheo 2:9-11, 1Petro 3:3-5, Yeremia 4:30, Warumi 1:21-26, 28, 29-32, Warumi 12:1-2. Hivyo ni baadhi tu ya vifungu,ninavyo kibao. Tatizo lenu wakatoliki mnaongozwa kwa mitizamo ya kirumi ikiwemo misale ya waumini na maelekezo ya papa,hamtaki kusoma biblia ili mpate ufahamu. Naomba na wewe unipe japo kifungu kimoja tu ambacho kinaruhusu kujipamba na kuwa siyo dhambi. Tusiandikie mate hali wino umejaa. Poleni sana.
Hujui kutafakari biblia kaka kajifunze maandishi yana maana gani
@@CloudearChris endeleeni kudanganyana na kufundisha mawazo yenu. Siku ile utaukumbuka ujumbe wangu huo. Jibu kama mtu anae elewa Neno la Mungu. Naomba kifungu japo kimoja tu kinachosema mwanadamu jichubue,vaa heleni,weka wigi,bandika kope bandia na kucha bandia,pakaa wanja na vaa kitu chochote cha kujilemba. Kwa ufupi nakupa baadhi ya vifungu; Mwanzo 1:26,27,31, 1Timotheo 2:9-11, 1Petro 3:3-5, Yeremia 4:30. Hivyo ni baadhi tu,nami naomba unitumie vifungu vyako pia. Tafadhali sana fanya hivyo usiniangushe.
@@josephlango5591 sasa tutaongea nini endapo hujui hata habari imuhusuyo yezebeli? Kazi bado ipo pevu kabisa