INGIZA MAMILIONI KWA KUNENEPESHA NGURUWE PART 2/EARN TANZANIA MILLIONS FOR FATTENING PIGS PART 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Video hii inaelezea jinsi ya kupata faida katika ufugaji wa nguruwe kwa njia ya kuuza nyama
    Video hii ina sehemu mbili
    Sehemu ya kwanza mbinu za kufanya ili uweze kupata faida
    Sehemu ya pili ni mchanganuo wa gharama na faida katika ufugaji wa nguruwe.

ความคิดเห็น • 9

  • @sammvictor7361
    @sammvictor7361 12 วันที่ผ่านมา

    Shukrani sanaa ndugu kwa shule nzuri,

  • @twororeturimekijambere5491
    @twororeturimekijambere5491 29 วันที่ผ่านมา

    Asante ni sana

  • @thomaspanga4264
    @thomaspanga4264 15 วันที่ผ่านมา

    Wapi mnapatokana?

  • @SeverinaCheka
    @SeverinaCheka หลายเดือนก่อน

    Asante. kwa mmaelekezo,mnashauri kuwatenga,mbona wwe hujawatenga hao ?

    • @laodapigfarmmrduroc8327
      @laodapigfarmmrduroc8327  หลายเดือนก่อน

      Banda dogo, nguruwe wamejaa so tumekosa page kuwaweka hvo tumewachanganya

  • @PetroLogani
    @PetroLogani หลายเดือนก่อน

    Brother naweza pata mavuno mazuri kww cross ya large white x PT

  • @mboneakaguo1320
    @mboneakaguo1320 หลายเดือนก่อน

    Hao ngurue hapo wanaumri gani?