Davido Anazidi Kutengeneza Historia, Anakuja na Album na Filamu yake Mpya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2018
- Leo kwenye kipindi cha "Bongo fleva" alidondoka Mwanamuziki Davido na alipiga stori kibao ikiwemo experience ya kufanya show na wamuziki wakubwa duniani tazama hapa.
- บันเทิง
Cloud's mmechemsha subrn kwa the playlist Lilommy uone interview itavonoga km unamkubali Lilommy like kwa nyng
THE MVP, 0.5 MAN 0.5 AMAZING NI ZAIDI YA NOMA MZEE BABA..
Ashraf Rajabu makini
siwezi mkejeli mtanzania mwenzangu nice clouds xxxl
Davido your amazing ilove you course you love your daughters 😍😍😍your lovely
Davido unawazenguwa hao Maneno Mengine Yanapita hapo 😂😂😂
Mrembo anajisaidia Kiasi big Up
Its ....its.....its..itxs. amaizingi guys UONGO...ITS amaizingi.....six days ago you share the stage with lil wayne.. ..what is experience. ?
I laughed out loud here
Augustino Abel hahahahhhahahhah!!!!!!
Mohamedi Yusuph yaaani hawa jamaaa sio kabisa...kama hii ndo redio inayofunika bas tz tumefunikwa maaana hamna kitu braza .
afadhali ml8jua mkaleta huyo dada kwa apo nawapa big up maan mngechemxha!!!!!
Wahuni Wanavoitikia sasa ooooooh!!😂😂😂😂😂😂kama waazungu pori
ha ha haaaaaaaaa, noma sn!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆😆😆
Lufal Dcliver hahahhahahhHa
Lufal Dcliver 😂😂😂👊🏻
kwa bongo presenter mkali even at English is Lia all the way from #WASAFI
Daaah! Kijiwe kimepooza Leo. Kama sio XXL ya clouds. Utazani kipindi cha salamu kwa wagonjwa. Kweli hii lughaa sio poaaa. 😂😂. Ngoja tu ni switch off data.
Hiv kumbe watangazaji wengi wa clouds fm kiingereza tee dah kama unamkubali chibu hata kama wanambania gonga like yako hapa
team hatutaki tunataka burudani nyie mnaojua kingereza andaeni interview yenu
Uyu dada yeye pekeyake ndo anajua wengine wabaitikia tu ka wapo kwenye dua
bdozen mda wote na simu huyo mdada peke yake ndo anajua halafu yupo very competent
Guys, Swahili is our national language! Najivunia kujua kiswahili, kiingereza sio kitamu kama kiswahili bana! So all you haters going after those with broken English, shame on you! Just let them be! Tupo bongo na sio Marekani au Nigeria . Viva 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
lilOmmy ndo presenter mzuri ck iz
Dah! Perfect chrispin ndugu yangu wewe ni unga sana kelele zako leo zimeishia wapi jamani kmy km bubu kingerezaaa ninomaaaa dah! 😂😂😂😂
Huyo dada kawabeba sana kwa upande wa lugha,,, b12 na kenedi kiingereza kibovu had aibu....# LilyOmmy iz the 1 and only MVP in Tz wengine wajifunze kupitia yy
born to shine eeeeewuuuuuuiwiiiiiii lughàaaaaaaa sling
The man with a frog voice.baddest
O.B.O 💞👐🏾
Uyo dada kawaokoa watu hapo😂😂😂😂😂 mchonvu leo angekuwepo duh tungekua hapa hatuerewani kwa vicheko
its language that's y
Hii cio xxl bro
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!1
Rocky vlogs 😂😂😂😂
Rocky vlogs hahahaa noma
Mamy bebe amekimbia studio leo amecovor lady hahaha chezea kdhungu wew
interview na vibom, vnondo duuu na matango poli humo humo but iko pouwa saana mmetsha
Naona wa zee wakelele wamekimbia interview wapi mchomvu wap mamy
Watu wengi wanahofu yadaimond kaja kwenye shooo hajaja kwAajil ya daimond jaman
Wengine naona hawaonekani leo apo kizungu zungu au
Ladyhahaa respect mingi kwako ujawahi niangushaaa
SHOW ILIKUA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥, WATU WENY WADHFAA TULIENJOY SANAAA, SJUI WALE WAUSWAZ ILIKUAJ KWENY MACHINGA NIGHT.....
Watangazaji wa clouds hamuelewi kingereza pili can't you guyz sit down kwani mkiona davido mnajishaua Kama machangudoa
I love davido
Kweli lugha noma wamepoza sana watangazaji wamemwachia huyo Dada,dazan kapoa
You only need two people here Davido and the guy interviewing him wengine wote wakatafute kazi wafanye wanajaza studio tu bure Waende wafanye kazi mijengoni wavue samaki na konda
mlifikiri Wcb nikama wale wasanii wenu ambao mkiwabania wanakosa hata hela ya pango
Nan kaziona dimpoz za Davido
Jamani tunamtaka Mchomvu wetu mmemficha wapi?😂😂😂😂😂, kwani Lady Haha naye ni wa XXL ama ndo mchezaji wa mkopo?😁😁, inabidi kila mmoja amchangie mshahara wake wa mwezi maana àmewafichia aibu. Nakumbuka enzi zile Nchakali alikuwa anawaokoa sana kwenye dhoruba kama hizi😝😝😝
Xax uyo dada leo kawasaidia wengne ambao shule ilipita kushota sema me nawakubali sana xxl
Fair interview.......
Obo westside baddest
wabongo bhana unakuta huyo anaesema hawajui kingereza yy anamiliki YES na NO mdomon mwake lkn ndo utasikia hawajui kabsa wakat wenzio wameingiza siku yan bongo hatuendelei kwa majungu yasiyo na faida asew
kweli yaweza kua hata yy hajui anamponda mwenzake
Kabsa yaani hapo ikitokea amefariki mtangazaji mmoja hapo utasikia alikuwa anajua sana English pengo lake halitazibika ndio maana wengi hatuendelei tumejaa fitina tu
Prince Mkanda Umeona heeeeee!!!
yan asew TZ tunahtaji maombi kabbisa jaman
Prince Mkanda waropokaji wengi kwl yani kwnn wacfkirie mambo ya maana kupondea tu ndo wanachojua
Wabongo bana hawakosagi kukosoa kila kitu wanaponda utasikia ooooh hawajuii kingereza Mara oooh cjui nn acheni ushamba kazi kujikuna mikundu tu maana comment nyngi wao ni kukosoa tu pumbavu
Davido kalibu wasafi TV
yeah your right
Askof Wa dar unazingua
Huko ndo Hanna kitu kabsa
Huko ndo Hanna kitu kabsa
Askof Wa dar 👍💞
diamond ndo mpang mzm huku kitaa wat hawaskiliz clouds coz mnazingua
Aisee Lillommy atabaki kuwa MVP all the time....maswali gani hayo clouds si mngemuuliza insta DM tu kama ndo hivyo.
Inapiga mikelele radion kumbe ngeri haijui mwambie davido aende wasafi TV ndo kuna chombo kwa hewa
Wewe unajipendekinzatu mshamba cloubs ni yawajanja sikilisa midia chafuenzo sio mjengoni kwa wajanja hatutaki wanawake weye kujipndekinza kwa wasani
Askof Wa dar wanafanya kwa wepesi kabisa kuliko graduate kibao hao vijana
#davidoooooooo
Mi leo ndio nimefuatilia hii interview kwa makin ...Ilikua inatakiwa wa Nigeria wakiongea cc tuwajibu..lakin tunajibizana wenyewe walala hoi ..wenye mb za kukopa motandaon..kweli #Bongonyoso
Itabaki hivi, huwezi kushindana na Mungu au na media (Technology) ever
kinywaji chenu kimetoka???😃😃😃
Yoooo too yooo! Yes yes yes! OK OK OK mmmmmmmh! Wa TZ ni shidaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Davido sauti imekauka then he speaks like ada bafuaaa sa sijui anaimbaje mpk melody zinakua nzuri, pia nashindwa kuelewa kwamba huyu dada ni nani coz ni mtu pekee anabhonga mnyeng'enyo.
mpaka ceo unaenda zungu😂😂😂😂bora mchomvuuuuuuuu......... ceo baki na jiwe la weeeeek naaaaaa mueeeeeeeee
hahhahah Be dozen ukinyang'anywa hiyo simu utakuwa bubu
It's amazing Mzee Huwongo ? 😂😂
HUROUCK Tv kila kitu amazing hahahahahahahahaha
HUROUCK Tv kumbe umemskia Kennedy 😂😂😂😂
penda kinyama davido welcome tz
Clouds forever
afuuuuuu the pp ston
hamna jipya kwamaana wcb ndo inteinment
💥💥💥💥
Nice
Jamaa sauti hii anaiimbia vipi mpaka ana sound good
WAMALIKO LUMUMBA anahimba Sana hata Chris brown ndio hivyo
WAMALIKO LUMUMBA my ribs 😅😅😅😂
😂
Tone ipo
Huwa mna maswali lakini Leo yes nyingi na light ,kingereza nikilewa nakitwanga
Et Wanasemaje Cijui Ngeli
I see yoh #Kennedy the Lemedy
Ukaamua kuwa bubu
Kingereza kinanyonya damu😂😂😂 mchomvu ashausoma upepo mapema ata hakutokea
BDonz Mbn kama anauliza maswali kama hajiamin fulan iviii?
Daaaaaah
Safi sana
Wabongo hawajielewi yani unacomment majungu na matusi ila hukumbuki kua umeangalia so umeongeza views na wenyewe wanaingiza hela hahahahaha poleni sana ila clouds big up mnafanya makubwa sana
Lilyommy is the most presenter in tanzania for interview.
kizazi sana
Dahaaaaa nger n tamu san adamu mbn hakuepo dadek na mamy mnyamwez hahahahah clous mko juu san yaan nawakubl
kilikuja Na meli.
utakuta washamwambia asimtaje diamond au wametengeneza maswali yaxio muhusisha mond
Kwani mondi ndio nani mondi kwako usimlete mjengoni kwa wajanja wew vp
mondi ni maji ya krimanjaro
selemani Haluni ww kuma
mrudishen fety
They asked ,the questions like they don't know how to speak english
hapo nackia tu ooooooh kila kitu ooooooooooooh
naona kuna watu wanategeshea wakiona dada kacheka na wenyw wanalianzisha
+Chrisking JR ""not as when you fail and your partners fail"" ....hahaaa. ..ndug yang km unaongea kingereza cha iv rud shule ...ko ulkua unamaanisha et "" sio ukifel na wenzio(partners) watafel ....huhuuuu....sema uambiwe ...Cheka kwa dharauuuuuuuuu
+Chrisking JR af unatakiwa kujua """ English is not the measure of intelligence.. its just a language """
+Chrisking JR af unatakiwa kujua "" English is not the measure of intelligence is just the language as other languages """ namaanisha kingereza sio kipimo cha akil ya mtu Bali n lugha kama zilivo lugha zingine ko usiwe mjinga
+Chrisking JR wee Jamaa English kwako bdo n tatzo ..futa hio comment ucje ukachekwa ....
Baraka Simon 😂😂😂m nasoma cmments tuu
Iv kubaniana kutaisha lini bongo kwann msimuulize artist anaemkubali tz
watu mnatoa mapovu kuhusu english acheni ushamba mbona hamshangai davido hajui kiswahili nyambaf
wazeee wapiii adam mchovuuu daaaaah
Abduli Kenbo kakimbia
mulivyomzunguka sasa
Wasafi TV
lady hahahaa umetisha mdada
wezi ni wezi tuuuuu
Kazi ipo
DOVIDO punguza kunywa gongo ona sauti imeenda zake
Watangazaj wa Crouse nimekubal hamnaga Swaga Vichwa tu mnatikisa yes !ok! yeaa!
Duu hizi comment nouma
Hahah lady haha cjui amefuat nn xxl leo kwel kizungu tuwaachie wenyew duh
mmh ngeri bhana
Hapo mnakitu kwenye ngeri alikuja rickross walimuita vanessa leo wamemuta uyo daaah ndo watangazaj wetu ao wa redio kubwa et 😝😝😂😂
peter ngasala yan lazm wamtafute mtu anaejua vzur kam vanes ujakosea kabs chezea Ngel wew unawez usielew anchokiongea
unafanana na ommy dimpoz
Mondi hawezi kosea
mawingu fm polen nyie wasenge hamna jipya mshapuyanga
DANIEL ELWIN pambana na hali yako
wengine wanatikisa kichwa tu Kama Mimi wananyapia yes na no wanatisa vichwa😀😁😂😁😀
Agness John hahaha
Agness John Haaaaah! "😃😃😃"
resty Mlale Veep pita na kwangu usubscribe
NJOMBE BOY yeah! 😃😃😃"
resty Mlale 0745500555whatsap
be dozen ...na wenzake wote hamjui ...kiingereza ...huyo dada kawaokoa
Mumy baby wap mbn umeikimbia hii interview my dada? Au ngeli aipandi....?
Winnie Mack amekimbia na mwenzie Adam 😂
Ok ziko nyingi mno wahuniiiii😂😂😂
Nice clouds media
Adam hapo Chenga tu..😂😂 hii lugha bana..😂😂
Anakuja kuchukua mihela ya maboya mkienda kwao mnakaushiw
Imanue
Imanuely Mrema hahahhaha
Uyo mdada yai analiweza
The people station
jaman kama kuna mtu anajua maana ya neno obio naona davido analitumia sana
O.B.O = Omo Baba Olowo
anamaanisha nini??
naomba kiingereza ni lugha yetu kujua kiingereza ndiyo lugha yetu kiswahili naomba mnijibu clouds watabaki kuwa clouds watoto walikuwepo wateule hardblastazi daznunda kwanza unit watengwa kwanini mnatupigia kelele kuhusu wasafi