MR BLUE " Nilitaka kuacha Muziki | Kifo cha Mama kiliniteteresha | Sitaki Utajiri | Sina Tuzo"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2020
  • #CloudsDigital Leo kwenye XXL Mr Blue alikuwepo ambapo amezungumza mambo mengi kuhusu Maisha na Muziki pia.
    #XXL #MJENGONI #JIWELAWIKI

ความคิดเห็น • 36

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 ปีที่แล้ว +4

    Blue mtu safi sana Mungu akuzidishie

  • @alibinali_
    @alibinali_ 4 ปีที่แล้ว +1

    Kusema kweli Mr Blue M/Mungu akuweke uko juu ila watu wanakupotezea Sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo yako nipo club na mademu bomba naipenda mpk sasa 🔥🔥🔥🍻

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 4 ปีที่แล้ว +2

    Interview kali balaaa..na yenye madini yotee,big u up Byser kwa kujielewa,na hongereni Clouds mko sawaa..mnapiga kaziii na mnajuwa nini mnachokifanyaa,mko juu👏💪.

  • @nkumbimnyamwezi2728
    @nkumbimnyamwezi2728 4 ปีที่แล้ว +3

    Blue noma since mapozi anajua

  • @georgeludakulo6848
    @georgeludakulo6848 4 ปีที่แล้ว +1

    # pombe na muziki umeua sana hujawahi niangusha kwenye game lako respect

  • @johnohando2390
    @johnohando2390 4 ปีที่แล้ว +2

    Blue uko juuu💣

  • @struggleempire5260
    @struggleempire5260 4 ปีที่แล้ว +5

    mkali tz

  • @simonmacktauo6521
    @simonmacktauo6521 4 ปีที่แล้ว

    this guy isa legend.ma favorite rapper yeye na prezzo

  • @jorepawakuja8061
    @jorepawakuja8061 4 ปีที่แล้ว +4

    Mangwea mwan Harakati

  • @Kijosh854
    @Kijosh854 4 ปีที่แล้ว +3

    Blu mziki mzuka

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama kifo kilikuteteresha kumbuka DUWA kwa mama ako ni muhimu kuliko ya dunia na vilivyomo. Kumbuka kifo.

  • @yumna128
    @yumna128 4 ปีที่แล้ว +3

    Legend 💪💪

  • @headboy5247
    @headboy5247 4 ปีที่แล้ว +6

    Yani unafanya kitu ambacho unaona aibu mtoto wako kukisia aisee hapo jua unachofanya kina walakini

  • @oliverherry6945
    @oliverherry6945 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyani mzeee

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 3 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @allyseif2407
    @allyseif2407 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @lungusii
    @lungusii 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhanaallah

  • @hamishajjy8683
    @hamishajjy8683 4 ปีที่แล้ว +3

    Blue watoto wko plz wasiwe wasanii wasome dini tu

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 4 ปีที่แล้ว +2

    sikiliza hadithi fupi ya kusisimua bure, bofya th-cam.com/video/vhPavtscBqU/w-d-xo.html

  • @jamaaking5823
    @jamaaking5823 4 ปีที่แล้ว +2

    👏🏻

  • @Forester__
    @Forester__ 4 ปีที่แล้ว +4

    muwe mnaweka content tu, sio matangazo pia

  • @alimkubwa8927
    @alimkubwa8927 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa yupo vzur ila ukimuona km anajisiy ila tafaut

  • @kherysamiryamsaaka8309
    @kherysamiryamsaaka8309 4 ปีที่แล้ว +2

    Baisa 1@@

  • @domedeus3488
    @domedeus3488 4 ปีที่แล้ว +3

    We Fundi, ibaki kueleweka ivyo! Coz upo flexible kwenye game kwa miaka yooote hyo umekuwepo Lkn bado status yako ipo palepale!

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 ปีที่แล้ว +1

      Sababu hajasuka nakuvaa manguo yakiwazmu namikufu mingi mapete naherin ndio maana wanaona hastahl tuzo nasifa

  • @georgeludakulo6848
    @georgeludakulo6848 4 ปีที่แล้ว

    Mtu mwenye blue zake

  • @dullahben1613
    @dullahben1613 4 ปีที่แล้ว

    Jina LA kueshimiwa

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 4 ปีที่แล้ว +1

    Nooma

  • @gresitimoth4142
    @gresitimoth4142 4 ปีที่แล้ว

    D

  • @mastermbarak254
    @mastermbarak254 4 ปีที่แล้ว +2

    Babilon byser

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 4 ปีที่แล้ว

    Rudi kwenye muziki wako wa zamani bro! Huu wa sasa unapoteza!

  • @fathergenerally3112
    @fathergenerally3112 4 ปีที่แล้ว

    fire

  • @hassanalfred8653
    @hassanalfred8653 4 ปีที่แล้ว

    Tuzo iko kwa Mungu acha mziki rudi kwa Allah ndio maanake