MAPOKEZI AIRPORT: Davido kuhusu collabo yake na Alikiba, ku-perform ARENA NEXTDOOR DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2018
  • Mwimbaji staa wa Nigeria Davido tayari amewasili DSM kwaajili ya ku-perform June 16, 2016 kwenye ukumbi mpya wa kisasa NEXT DOOR ARENA.
    Miongoni mwa maswali aliyokutaka nayo Airport ni kuhusu ile collabo yake na Staa Alikiba.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 192

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +46

    Kama nawewe sheta kakuboa kuwa mdananda yaan bodguard w davido gonga like yako ili aache huo upuuzi

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 ปีที่แล้ว +19

    Shetta,,, kakonyeza then kashindwa kubonga,,,, Kama umeona,, like twende sawa.

  • @shabanimagogo502
    @shabanimagogo502 6 ปีที่แล้ว +20

    Alli kiba ninavyomjua mimi apo Iyo ngoma inaweza kutoka Miaka kumi ijayo 😁😁😁😁😁😁

    • @newhope5145
      @newhope5145 6 ปีที่แล้ว

      Shabani Magogo kwnn

    • @shabanimagogo502
      @shabanimagogo502 6 ปีที่แล้ว

      +New Hope ndio style yake ngoma anazo nyingi Sana ila anatoa wimbo mmoja kwa mwaka Mimi napenda kazi zake ila style yake siipendi

    • @newhope5145
      @newhope5145 6 ปีที่แล้ว

      Shabani Magogo
      nakuuunga Ila juz kat nilimuuliza Akanambia Awez toa ngoma wakati nyingine bado inafany vzr

    • @godlovegeorge2334
      @godlovegeorge2334 6 ปีที่แล้ว

      😂

  • @sish7012
    @sish7012 6 ปีที่แล้ว +8

    Ali kiba Ww unatisha pamoja wanakuchukia wengi ilamm sishangai sana wamechukiwa mitume kipindi wanatangaza dini sembuse,ww mwanadamu mungu ajakupa kipawa chochote kikubwa songa mbele mungu atakuongoza kwakila jambo ujawai kumkosea mtu sasa kwann mungu akufungie ridhiki

  • @ellymmbaga7691
    @ellymmbaga7691 6 ปีที่แล้ว +2

    i like binna kisembo , she is an amazing presenter , her magical voice is killing us.

  • @suleimankiumwa5328
    @suleimankiumwa5328 6 ปีที่แล้ว

    Ilove you davido 😘😘najuwa mmtauwa kinoma mkifanya ngoma na king kibaa

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว

    All the best my lovely ones.

  • @directorjson
    @directorjson 6 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @tabataonlinetv
    @tabataonlinetv 6 ปีที่แล้ว +1

    Noma

  • @kanyamapray945
    @kanyamapray945 4 ปีที่แล้ว

    nakubali

  • @nover8035
    @nover8035 6 ปีที่แล้ว +2

    questions are being downloaded😀😀 oh! God

  • @richardphilipo312
    @richardphilipo312 6 ปีที่แล้ว

    #achana na clouds .njoo uku tumewasha.......*yajayo yanafurahisha na kus night Dar lv

  • @winniemwasenga
    @winniemwasenga 6 ปีที่แล้ว

    Official Davido😂😍

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 ปีที่แล้ว +3

    Meak ziko mbili noma sana

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha. Tena awa majama wame rudisha kile kitangazo hahah. Nipe like hapa. Wanao chukiya hiki kitangazo chao

  • @chipagafashion
    @chipagafashion 6 ปีที่แล้ว +7

    Maiki zipo mbili tuu!! Ngoja nicheke kwa dharau

    • @robbemanase9051
      @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว

      Malipo ya Million 3 sio kitu raisi

    • @chipagafashion
      @chipagafashion 6 ปีที่แล้ว

      Daaaha TCRA wamezingua kinyama yaan cjui tutakimbilia WAP safar hii

  • @fncmedia11
    @fncmedia11 6 ปีที่แล้ว +14

    dear Millard tunaomba matangazo utuwekee mwishoni 🙏🙏 i hope umesikia kilio kwa niaba "

    • @kihanda2554
      @kihanda2554 6 ปีที่แล้ว

      Estör Barlow ili mkimaliza habari zenu msilitazame😂😂😂
      Mtanyooka tu hapa tangazo kwanza ndiyo mzigo na tunafanya miundombinu ya kuzuia kuforwad.

    • @geofreysolomon8532
      @geofreysolomon8532 6 ปีที่แล้ว +1

      Wabongo wanataka tangazo mwishonij😂😂😂😂dadeki

    • @kihanda2554
      @kihanda2554 6 ปีที่แล้ว

      Geofrey Solomon 😂😂😂😂

  • @hamisiseifu4110
    @hamisiseifu4110 6 ปีที่แล้ว

    Baba kaila

  • @ismailseiph5092
    @ismailseiph5092 6 ปีที่แล้ว +1

    hivi sheta na yeye alipanda gari pamoja na davido 😎

  • @dinahlwambi1734
    @dinahlwambi1734 6 ปีที่แล้ว +3

    Where's chioma??😀

  • @moshimongelwa7795
    @moshimongelwa7795 6 ปีที่แล้ว

    Wanalazimisha collaboration hahaha Simba Yuko juu mtamtafutia Sana huyo kiba wenu collaboration

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 6 ปีที่แล้ว +3

    mh how was flight!!!!!!! kweli kazi ipo

  • @deogratiuskingchichi9381
    @deogratiuskingchichi9381 6 ปีที่แล้ว +3

    Shettah we kwel mdananda khaaaa 😂😂

  • @dakxirdakxir5897
    @dakxirdakxir5897 6 ปีที่แล้ว +2

    This time nimeamin mond star zaid yaoooooooo kaja davido kama kaja harmorapa

  • @killerbona5018
    @killerbona5018 6 ปีที่แล้ว

    Oohooooo!!! mmerudisha tena tangazo?????

  • @godfreymsuya5471
    @godfreymsuya5471 6 ปีที่แล้ว +1

    Sheta kawa chawa Daa

    • @kakasele1786
      @kakasele1786 6 ปีที่แล้ว

      kama kupe chawa afadhali

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Dah! kama mfalme

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 ปีที่แล้ว +4

    siku hizi maiki ziko mbili 2

  • @khamicholo116
    @khamicholo116 6 ปีที่แล้ว +3

    Tunatarajia Collabo na
    KINGKIBA Lound hii

  • @hassanawadh7708
    @hassanawadh7708 4 ปีที่แล้ว

    Kama umemwona sheta gonga like

  • @annajoseph9959
    @annajoseph9959 6 ปีที่แล้ว

    Mmenishinda tabia

  • @rickymushi5802
    @rickymushi5802 6 ปีที่แล้ว

    Uyuu jamaaa wa Cloudz nii aandaaziiii...Maswaalii gaanii haayoo

  • @mussakizingiti3552
    @mussakizingiti3552 6 ปีที่แล้ว

    jamaa yupo normal sana hadi raha

  • @joyking424
    @joyking424 6 ปีที่แล้ว

    ahhh mbona mnamuchokesha jamani

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 6 ปีที่แล้ว

    ungeweka matangazo yako yawe ma option yakuskip!?

  • @alexlutengano687
    @alexlutengano687 6 ปีที่แล้ว +7

    Mwanaume kuwa shobo aipendezi Sheta ni choko ndomana Ney alikuita mdananda

  • @Dullaommy60
    @Dullaommy60 6 ปีที่แล้ว +1

    Eh

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 ปีที่แล้ว +8

    daaah mbona mnalazimisha collaboration😁😁😁

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Wilson Wizzo mi nashanga yani😂😂😂

  • @zahabujoseph6584
    @zahabujoseph6584 6 ปีที่แล้ว +1

    Davido namkubali sana msela kichizi hana shida,ukizungimzia mastaa Wawili wakubwa Africa kwa sasa lazima umuweke lakini anaweza kufanya collable hata na shetta na bila tabu.

  • @shebbytz7111
    @shebbytz7111 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii wasafi hawaruhusiw kuchungulia,,,,,,,,,,,.
    Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
    Davido ana makelele!!! Huyo.

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 6 ปีที่แล้ว +1

    Davido hana Photographer🙉🙉🙉. Aisee mpk hapo nimegundua Mond yupo juu. Sijawahi kumuona akihangaika na simu kuchukua matukio😂😂😂

  • @wasafitvofficial5217
    @wasafitvofficial5217 6 ปีที่แล้ว +1

    UMEWASHA UMESHA,,,
    NDIO NMEWASHA

  • @jumambarale699
    @jumambarale699 6 ปีที่แล้ว

    Ayo umekuwa majungu kaka haya bhana hata Kwenye shoo siji sihitaji

  • @ismailmsuya5129
    @ismailmsuya5129 6 ปีที่แล้ว +4

    Chaneli yako imekuwa ya kibwege sana

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 6 ปีที่แล้ว

    Hahaahahhhh.!!! mnamuona sheta huyo????

  • @tuntufyemwakalukwa1704
    @tuntufyemwakalukwa1704 6 ปีที่แล้ว +2

    Clouds this time mnamzigo ambao haubebeki(kiba) mnalazimisha huyo jamaa sio entertainer show ya harmonize itawachallange ndio mtajua platform yenu

    • @dakxirdakxir5897
      @dakxirdakxir5897 6 ปีที่แล้ว

      tuntufye mwakalukwa I like you for what you say!!

  • @athensgreece8015
    @athensgreece8015 6 ปีที่แล้ว +1

    Ole wao wafuatao nyayo za Simba. Ubungo Posta nauli sh30.

  • @rajabmnyimwa3126
    @rajabmnyimwa3126 6 ปีที่แล้ว +32

    useless questions, how was flight? waandishi inabidi wajipange sana

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 6 ปีที่แล้ว

      Nimetaka kucheka hata mm maaana poor english poor question

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Rajab Mnyimwa kwanza hata hiyo ya ali kiba wanaonyesha kupigia debe kabisa eti ulisema kufanya kolabo na alikiba sasa vipi umefikia wapi mpk sasa yani waandishi wanalazimisha kolabo😂😂😂

    • @sophyali8840
      @sophyali8840 6 ปีที่แล้ว

      Kizungu ndo shida

    • @cleopajackson9761
      @cleopajackson9761 6 ปีที่แล้ว

      Daah hizi kazi watu wanasomea. bongo unga unga nyingi

    • @luvmo04
      @luvmo04 6 ปีที่แล้ว

      kumbe umeona na wewe,,,,,ndio tabu ya kutunga sentensi kichwani lugha usiyoijuwa

  • @hekimaisaya1005
    @hekimaisaya1005 6 ปีที่แล้ว

    sheta 😂😂😂😂😂

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 6 ปีที่แล้ว

    Millard hapa watu wako wamepuyanga, wafanye kazi kiuweledi.

  • @ahmedseifsuleiman4031
    @ahmedseifsuleiman4031 6 ปีที่แล้ว +10

    Sheta umekuwa kama chawa sikuhizi 😂😂

  • @kulwakhalfan2369
    @kulwakhalfan2369 6 ปีที่แล้ว +5

    how was flaght kwa kiswahili maana yake nn halafu huyu shetta alikuwa anawasiliana na davido kwa kizaramo mbona alikuwa hasikiki au ndio na yeye how was flight

    • @alihajimnyama7488
      @alihajimnyama7488 4 ปีที่แล้ว

      Acheni usenge nyie shtta kafanyaje mpaka mnamtukana kuma nyie

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 6 ปีที่แล้ว

    Ebu tumchekee shetaa 😂😁😁😁😁😁😁😁

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 ปีที่แล้ว +3

    Davido kalibu Tanzanian

  • @mudyramadhani3020
    @mudyramadhani3020 6 ปีที่แล้ว

    wasenge nyie mna4c collaboration

  • @bethodyfrank9838
    @bethodyfrank9838 6 ปีที่แล้ว +1

    davido alijua shetta ni kibaka ndo 😂😂

  • @rodgerzdangote8629
    @rodgerzdangote8629 6 ปีที่แล้ว

    Kazi yako utangazaji lakin mnafiki

  • @beentertained4173
    @beentertained4173 6 ปีที่แล้ว

    Team ya waandishi wa habari hawajielewi na it seems hawajajipanga kabisa..unapata wasaa wa kumhoji mtu..unamuuliza useless questions..Tubadilike tufanye kazi by heart na sio kazi kama kazi ili mradi upate rizki..kama kitu hukifeel ni bora kuacha..Millard Ayo unaaminika sana kaka..Train vijana wako wafanye kazi kwa ueledi na sio bora liende tu

  • @masterbosco8781
    @masterbosco8781 6 ปีที่แล้ว

    mbebeni sana Kiba ila asipojaribu kubadilika atakuwa na lifespan ndogo sana kwenye music

  • @hendryolotuz863
    @hendryolotuz863 6 ปีที่แล้ว

    Aibu wala amjui alikiba ungemuulza diamond

  • @muuliker7879
    @muuliker7879 6 ปีที่แล้ว

    sheta choko kwl

  • @husnakibahatarisnsimbila1264
    @husnakibahatarisnsimbila1264 6 ปีที่แล้ว

    sheta bodigard au mwenyeji mbona kimy jamani lugha izi

  • @brendaduncan8121
    @brendaduncan8121 6 ปีที่แล้ว +2

    It's all About FORCING 😥😥😥😫

  • @philiposimon1392
    @philiposimon1392 3 ปีที่แล้ว

    Huyu dada ni kiinglish konk daaaah wamba wengine wanaungaunga paka awajauliza maswali🤣🤣🤣 kiinglish nishusheeee

  • @idayakey6886
    @idayakey6886 6 ปีที่แล้ว

    si sh alikiba ata backi kua mfalume na atabacki kua king acha wachukie na leo wanashabulia sheta dah wana roha mbaya sana kila mtu wanachukia wanataka wasikike wahotu

  • @suedissa7500
    @suedissa7500 6 ปีที่แล้ว

    ..uliwasha uliwasha...asee ndugu watangazaji wa Tanzania fanyeni muwe weledi katika kazi zenu

    • @suedissa7500
      @suedissa7500 6 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo collabo hadi mkikutana,hata kutafutana hamkutafutana? Mbona kama hii ni interview ya kihunii kuwahi fanyika kabisa....😁😁😁 dakika tatu mnatuonesha gari ilivyokua ikitembea

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 ปีที่แล้ว

    Mbona anae uliza maswali ni mmoja tu apo?😀😀😏

  • @peterfabian8860
    @peterfabian8860 6 ปีที่แล้ว +3

    SHETA MZIKI UMEMSHINDA KAAMUA KUWA DALALI 😂😂😂😂😂😂

  • @mkaliwenuoriginalpleasesub9297
    @mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 ปีที่แล้ว

    Wabong bhna hawajui kingerez mpak wakamtafut vanessa mdee ili aongee na Davido

  • @k-radtz8743
    @k-radtz8743 6 ปีที่แล้ว

    Kwel Diamond Samba bdo ni star kwa uyu yn ata wandishi wa habar wajataka kufata habr zke kbs naona maik y Millard na cloudstv bac kwn wngne awajua km iki kiumbe kinakuja dar Tz???

  • @peacepeace1779
    @peacepeace1779 6 ปีที่แล้ว

    Comments nyigi Bone kamaivi muna attack shetta sote mbinadamu. Sometimes kujishusha nimuhimu mu maisha. Bone Mimi amuona iko freshi tu🤷🏿‍♂️

  • @kakasele1786
    @kakasele1786 6 ปีที่แล้ว

    shetta mbona hujiamin achaga ushamba Sam times

  • @hoseanobocka4533
    @hoseanobocka4533 6 ปีที่แล้ว +1

    Millard ayo vipi mbona kchwa ulchoweka ni tofaut na alchoongea Davido ????

  • @isackbaton9759
    @isackbaton9759 6 ปีที่แล้ว +1

    Et corrabo kwanza nmegundua huenda huyu jamaa hamjui hata huyo kibamia m naona brother Millard ayo ni bora umshauli alikiba afanye biashara ya machupi makubwa makubwa Kama ile ya nandi

  • @fahmigold520
    @fahmigold520 6 ปีที่แล้ว

    daah clous mnakaz sana kumshusha mond eti mnamuombea kiba collabo kwanza amjui ndio maana akujibu

  • @lastseen6815
    @lastseen6815 6 ปีที่แล้ว

    Uyo reporter wa clouds mpelekeni shule kaenda kukaa mbele alafu anauliza maswali ya kiboyaa ila dada alieshika MIC ya milard salute kwako uko na accent poa sana

  • @darisimauridi8183
    @darisimauridi8183 6 ปีที่แล้ว +2

    M niljua atasema atafnya kolabo na alikiba safar hii alokuj kumbe tofaut na heading uloandika hapo juu wabongo bhn kukuza mambo

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว

      Darisi Mauridi waandishi kumpigia debe msanii afanye kolabo eti anamuuliza si ulisema utafanya kolabo na alikiba sasa mbona kimya umefikia wapi swala hilo
      Sasa huko si kijikomba jamani wanalazimisha kolabo au ndio kumpigia debe kiba

    • @darisimauridi8183
      @darisimauridi8183 6 ปีที่แล้ว +1

      Mufas Carysa hahahhahhahaaaa! kumbe ht we umeona hlo swala maana habar hzo tumeanza kuckia kitambo sana mpk leo kimya hawana jipya

  • @diamondplatnumz7400
    @diamondplatnumz7400 6 ปีที่แล้ว

    Sheta alikua anatafuta picha na davido akapost ista😀😀

  • @sylvanoshauti2961
    @sylvanoshauti2961 6 ปีที่แล้ว

    Millard siku hz unafeli

  • @glover2553
    @glover2553 6 ปีที่แล้ว

    Interview za kitoto,,jamani someni kiingereza ili muwe mjiamini kuuliza maswali

  • @badboy2577
    @badboy2577 6 ปีที่แล้ว

    Shetta yuko sawa ila Davido ndo anavimba.jiulize kwa nini shetta na si msanii mwengine aliyempokea Davido.Davido ana act tu hayuko real.

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 6 ปีที่แล้ว +2

    Ebana we Mpopo hujui kwamba it was late na watu walikua wame lala na hayo makelele yako hotelini ? Hapo ujue hauko kwenye Ghetto za Ojuelegba , hapo uko Masaki , and its a posh area na hatupendi makelele , sawa?

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 6 ปีที่แล้ว +7

    yani heading ni tofaut kbx na alichosema ndo kumshusha mondiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ama niaje........ ndo maana nme UNSUBSCRIBE

    • @festoedward1902
      @festoedward1902 6 ปีที่แล้ว

      Rogers Davis @kweli kabisa halafu hawa waandishi wa tz wengi ni majuha tu cjui wamesoma vyuo gani

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 6 ปีที่แล้ว

    naomben interview n huda basi km kwel hmn ttz na muende dar live maan jana mondi kagawa pesa hamjatokea kbx hmjui kua SUBSCRIBES wengi n shabiki wa mondi angalien mtapotea kama clouds ..... mbona WASAFI wanamuhoji mpk producer wa KIBA ila ninyiiii ni shiiiidaaah

  • @shakiraataafanyajemondnimo100
    @shakiraataafanyajemondnimo100 6 ปีที่แล้ว +6

    Hata Yule alie enda kugawa mkono wa idi kule tandale kapokelewa Kama nabii sasa iko nini

  • @Discover70
    @Discover70 6 ปีที่แล้ว +10

    Duh, huyo sheta kama mkia

  • @owennicholous9706
    @owennicholous9706 6 ปีที่แล้ว

    Millard unazingua bwana, matangazo yamekuw mingi kuliko mauzui ya habar yenyewe 😞😞😞

  • @celinelawrence3417
    @celinelawrence3417 6 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀😀 i just laugh about shetta. alitaman kuongea but lugha imekua ngumu ameamua ku cool down 👇 😎 😀

  • @sulejiTv
    @sulejiTv 6 ปีที่แล้ว +22

    Sheta bro Na wewe umekua guardian man hahahaaaa Mbona wenzetu mara nyingi wa kija kwetu ata kama wewe ni Star mkubwa huaga mna jishu shaga sana sijui Kwa Nini Ndugu yanguni.

    • @pelodieudonne9098
      @pelodieudonne9098 6 ปีที่แล้ว +2

      Wasafi TV sasa akose kumpokea msanii mwenzake haja urofa wewe pumbavu mmoja

    • @wilsonwizzo2483
      @wilsonwizzo2483 6 ปีที่แล้ว

      shetta anajishusha sana

    • @petermwambungu1191
      @petermwambungu1191 6 ปีที่แล้ว

      Wasafi TV sheta kafeli

    • @kihanda2554
      @kihanda2554 6 ปีที่แล้ว

      Pelo Dieu Donne nikweli Sheta kachemka. Kaniboa kweli kutoa meno pale.

    • @omarymbalala6224
      @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว

      acha kifwatilia yawatu weww utamsaidia nn sheta mwache atafte maisha yake

  • @TravelTheWorld0000
    @TravelTheWorld0000 6 ปีที่แล้ว

    Who else came to see a Magufuli speak English?

  • @deusgabri
    @deusgabri 6 ปีที่แล้ว

    Huyo mtangazaji wa clouc maswali ya kijinga, umeshindwa kujiandaa kwani mlikuwa hamjui kuwa atakuja. Credit to mtangazaji wa AYO TV kauliza vizuri sana.

  • @georgenagabona203
    @georgenagabona203 6 ปีที่แล้ว +4

    Bongo bwana??? Et umewasha yah nimewasha!!!

  • @nurumashaka3148
    @nurumashaka3148 6 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂 sheta unatia aibuuu😭

  • @dalalibangokigamboni3958
    @dalalibangokigamboni3958 6 ปีที่แล้ว

    KAMA UNAHITAJI MAKONTENA YA AINA ZOTE 20 FT NA 40 FT CALL #0718295182 #0765505909

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 6 ปีที่แล้ว

    Aka kasheta kaache shobooo

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 ปีที่แล้ว

    Sheta umetumwagia aibu hahahhaaha

  • @youngsouijapyoungsouijap472
    @youngsouijapyoungsouijap472 6 ปีที่แล้ว

    Sheta umezingua Acha udananda

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 ปีที่แล้ว

    hivi davido simu zisinge kuwepo ungejipotezea kwa kipi maana sio kwa ubusy huo na simu watu wanakuongeresha uko kubofya bofya tu,kenge zingine bwana zingekuwa zinaishi majini tu,na sio nchi kavu,

  • @janekuria7688
    @janekuria7688 6 ปีที่แล้ว

    They can make a gpod collabo with kiba.