LIVE: REMA KWENYE XXL YA CLOUDS FM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2020
  • LIVE: REMA KWENYE XXL YA CLOUDS FM
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 110

  • @yusram5145
    @yusram5145 3 ปีที่แล้ว +12

    Meena she is comfortable na lugha hiyo🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 3 ปีที่แล้ว +9

    Shida msanii amechelewa kwenye interview ndomana wanajitahidi kurush chap chap Kubalance muda angewahi interview ingekua kali zaidi ya hii ila all in all pongezi kwa interview nzuri

  • @mwakimedia291
    @mwakimedia291 3 ปีที่แล้ว +18

    Oy nimekujaa apa nimesikia REMA kamtaja SIMBA Mbele ya clouds😂😂🏃🏃

    • @noeliamosi2710
      @noeliamosi2710 3 ปีที่แล้ว

      Mwaki Media hahahahhahahhahahahaha

  • @salimsuleiman8204
    @salimsuleiman8204 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mami banah🤣🤣🤣 hey MEENA ALI NIMEKUKUBALI Upo hauna papara hauna mawenge meena woyooooooo🙌🏻🙌🏻🙌🏻pokea kisses from UAE WE LOVE UUUUUUU 😘😘😘😘😘😘😘😘😘

    • @yothamsoya7658
      @yothamsoya7658 3 ปีที่แล้ว +1

      Kelelee nyingi sana hao jua limeshazama kwao

  • @marioofficial3244
    @marioofficial3244 3 ปีที่แล้ว +11

    Jaman muulizen bongo anampenda nan rema tujuee mwanang mchovu

    • @kanisiakomba5833
      @kanisiakomba5833 3 ปีที่แล้ว

      Rema oyoooooooo

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 3 ปีที่แล้ว

      Kasema mond😂😂

    • @wamoroboy8963
      @wamoroboy8963 3 ปีที่แล้ว

      @@mwakimedia291
      𝑨𝒖 𝒏𝒅𝒐 𝒎𝒌𝒆𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒎𝒐𝒏𝒅

  • @josephybaruti1250
    @josephybaruti1250 3 ปีที่แล้ว +14

    HAPA HAKUNA INTERVIEWS..... #HAPA NDO Lilommy anapo Dhihilisha U MVP wake........#The switchwasafifm

  • @barakajulius4775
    @barakajulius4775 3 ปีที่แล้ว +7

    kila mtu anataka aonekane anajua lugha ya kizungu, hii ndo bongo😂

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 3 ปีที่แล้ว +24

    Kesho utaskia yupo na Mondi wapo mjini ameonekana kwenye gari na Simba. 🤣🤣🤣 Wacha tusubirie tu

    • @ghostelmendez7206
      @ghostelmendez7206 3 ปีที่แล้ว

      We subiri tu maana mnyama mkali hakwepeki yuleee

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 3 ปีที่แล้ว +9

    Mamy amepanic unaharibu interview chill out

  • @mkingasana400
    @mkingasana400 3 ปีที่แล้ว +10

    Mamy don't panic English is just a language tu...

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 3 ปีที่แล้ว +5

    Fitna haijawahi muacha mtu salama interview ikisharushwa live hata muedit vipi haiwezi ondoa uhalisia poleni sana mnapata tabu na ubaguzi na ndo maana mnakufa mdogo mdogo mpka tutawasahau

  • @dazzwazenji6181
    @dazzwazenji6181 3 ปีที่แล้ว +2

    American love American love ngoma Kali ilee

  • @godfreymasanjabundalah4817
    @godfreymasanjabundalah4817 3 ปีที่แล้ว +1

    Hoyaaa dumebi aimbee kidogo napenda sana hii kitu

  • @danieldeogratus1683
    @danieldeogratus1683 3 ปีที่แล้ว +1

    English kweli ni kipengele! kha!...... Nimeangalia Interview ya WURLD na hii ya Rema Tatizo ni moja tu......English. hii ya Rema Maswali mepesi Sana!. Hongereni kwa kutuwekea matangazo kama Yote

  • @ommyzugha1651
    @ommyzugha1651 3 ปีที่แล้ว +1

    Matangazoo kibaoooo

    • @stevehiraly9127
      @stevehiraly9127 3 ปีที่แล้ว

      English baba.... wanaknywa maji kwanza

  • @wamburagattende1385
    @wamburagattende1385 3 ปีที่แล้ว +2

    Mond ni maji mjipange sana

  • @soudybrown1494
    @soudybrown1494 3 ปีที่แล้ว +11

    Hahaha clouds wanawaleta wasanii kutoka nigeria wakishafika bongo wasanii wenyew wanaona hawawez kuondoka tanzania bila kukutana na simba japo wapate colabo moja maisha haya

  • @fadhilmhapa386
    @fadhilmhapa386 3 ปีที่แล้ว +3

    love you king REMA

  • @begaca
    @begaca 3 ปีที่แล้ว +1

    Your So Good REMA

  • @habibuhamis2209
    @habibuhamis2209 3 ปีที่แล้ว +3

    Rema namkubali sana

  • @wamburagattende1385
    @wamburagattende1385 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila mungekuwa mnawapanga tu hao wasanii wenu wasimtaje mond mnawamezesha majina ya akina ally, juma nature na 20:% wangeelewa tu

  • @adamtanakhel8185
    @adamtanakhel8185 3 ปีที่แล้ว +3

    Minah ally kauwa yupo comfortable Sana

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah watu wana interview mbovu washazoea interview za kimbea..sasa yaliwakuta

  • @buka7682
    @buka7682 3 ปีที่แล้ว +7

    Watangazaji wa bongo bhana sijui kawaroga nani maswali yao ni ya Insta na twitter tu awafanyi research kabisa🚮🚮🚮

    • @Thebking
      @Thebking 3 ปีที่แล้ว +1

      hahaha

  • @juxlayzertv7455
    @juxlayzertv7455 3 ปีที่แล้ว +1

    Minaa Alli You are genius,

  • @geofreybahema5118
    @geofreybahema5118 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah mamy ufaiii kukaa co .host unarush vituuu sanaa na piaaa mkiwa na international interview jarbun kuingiaa deep kuhusu mzikiii sio personal isuee sanaa zen musiwe mnavimbiana kuongeaa yaiii kama hapo adam na james mamy na adam and big credt kwaaa meena ally ameuaaa fluently yai

    • @yusram5145
      @yusram5145 3 ปีที่แล้ว

      Meena leo ameonyesha umahiri wake she is alone na kajiweza nimempenda sana

    • @geofreybahema5118
      @geofreybahema5118 3 ปีที่แล้ว +1

      @@yusram5145 yupoo vyediiii anapronounce vzur manenoo na ndomana ata flowing zake na rema was frendlyyyyyyyyyy kabsaaa

    • @begaca
      @begaca 3 ปีที่แล้ว

      Kaka na Ndo Maana Unaona Wapo Wengi Kwaiyo Hapo Hazungumzii Ki2 kimoja Wala Hazungumzi M2 Mmoja

  • @directorerikey3291
    @directorerikey3291 3 ปีที่แล้ว +3

    Angekua kaingia baba levo apo adam angekua anaongea tuu an

  • @hamadymsuya9302
    @hamadymsuya9302 3 ปีที่แล้ว +3

    That how we remember BDOZEN👑

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 3 ปีที่แล้ว +3

    Mchomvu wendo mwanetu sana ila Apo wote wamekukuta Ata intaviu uwe Unatulia utani Usiwe mwingi kuliko maswali yamaana Mina kawa zidi Mami baby fujo2

  • @donald-mwilwa3070
    @donald-mwilwa3070 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah mamy alipanic sana asee

  • @adamalibhai4921
    @adamalibhai4921 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna cordination kati ya hosts

  • @yusram5145
    @yusram5145 3 ปีที่แล้ว +5

    Mamy kelele nyingi 🤣fyoko fyokoo anaruka ruka anaonekana kama presha sijui kupanik ..meena anaongea english comfortable🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @geofreybahema5118
      @geofreybahema5118 3 ปีที่แล้ว +2

      Kabsaaa yan alafu ni walee ambao washatengenezaaa swaliiii kchwaniii yani ashajimezeaa mamisamiat yake kadhaaa ashaungaaa soo ataki asahau kwahyo fastaa anaulzaa kumbe anaharbuu

    • @abdallazakaria6953
      @abdallazakaria6953 3 ปีที่แล้ว

      @@geofreybahema5118 hahaha 😅😅😅😅 you just spoke my mind bro

    • @jafarimurutu7147
      @jafarimurutu7147 3 ปีที่แล้ว

      Meno juu

    • @jafarimurutu7147
      @jafarimurutu7147 3 ปีที่แล้ว

      Kutojiamini

  • @lil_yn982
    @lil_yn982 3 ปีที่แล้ว +1

    Msituchanganye sie wabongo tunajua kiingerezaaaa zaidi hata ya huyo adam mchomvu

  • @Tozzyclever
    @Tozzyclever 3 ปีที่แล้ว +3

    mr dumebiiii..

  • @juxlayzertv7455
    @juxlayzertv7455 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimerudua kama mara tano hv swali lako mina Ali kuhus Twitter ya Rema....

  • @mussageorge5810
    @mussageorge5810 3 ปีที่แล้ว

    Mm nawapeni tu hongera mnajua kingereza

  • @thewavenetwork
    @thewavenetwork 3 ปีที่แล้ว

    Best Media
    Sai hawawaongelei

  • @digaboytz9593
    @digaboytz9593 3 ปีที่แล้ว

    Anaweza rema0G
    By:digaboyTz
    Ur.fanc

  • @gracemamuu5937
    @gracemamuu5937 3 ปีที่แล้ว +4

    Very unprofessional interview I relevant questions mnaangusha media za Tanzania yani hadi Kero

    • @dangotesam9845
      @dangotesam9845 3 ปีที่แล้ว

      English is their biggest problem!

  • @winniefrida5092
    @winniefrida5092 3 ปีที่แล้ว +6

    Diamond is like water

  • @shollodegeorge9056
    @shollodegeorge9056 3 ปีที่แล้ว +5

    Wapi KENEDI the remed 🤣🤣 shkamoo kingereza

    • @geofreybahema5118
      @geofreybahema5118 3 ปีที่แล้ว

      Boraaa kennedy mzee yupo real afekii ktuuu coz anajuaaa anakijuaa kwa kusoma na kuandkaa tuuu lkn siii kuongeaaa mana kuongeaa ni freestyle broo so big up kwake hana makuu lkn huyu mamy nyoko nyoko nyng ndomana ameharbu interview leooo bhat meena kabalanceee show

    • @yusram5145
      @yusram5145 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @gracekrey7391
    @gracekrey7391 3 ปีที่แล้ว +3

    Mamy unawashwa

  • @mkingasana400
    @mkingasana400 3 ปีที่แล้ว

    Cool dumei fella

  • @valentineivan8381
    @valentineivan8381 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubar sana huyu jamaa

  • @dollamaleko7539
    @dollamaleko7539 3 ปีที่แล้ว

    Penda sana wee mamy baby

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 3 ปีที่แล้ว +4

    Wapenda mziki mzur zawd yenu iyo
    th-cam.com/video/BrWgfUmV_RY/w-d-xo.html

  • @patrickmabula4918
    @patrickmabula4918 3 ปีที่แล้ว +1

    Mamii!! Mwache adam aongee bas! Try be a little less aggressive.

  • @wamburagattende1385
    @wamburagattende1385 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu nao ni utopolo robo SAA nzima kurekedi ujinga tu😤😤😤

  • @mattjr4206
    @mattjr4206 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 Mamy na Adam wanagombania kutranslate duh

  • @stevehiraly9127
    @stevehiraly9127 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata kutafsiri hawajui.... ati nlkuwa namuulza ni impact gan???

  • @kazimilykulwa2516
    @kazimilykulwa2516 3 ปีที่แล้ว

    Jaman mwanaume kudhalilika huku sasa naona Hawa wadada wanavo mkata upepo mchomvu akitaka kuongea tu mamy ana mkata upepo akitaka kuongea tu meena ana mkata upepo jamani au kizungu ndo taabu 😀😀

  • @ashraphmushi5594
    @ashraphmushi5594 3 ปีที่แล้ว

    This is hilarious😂😂😂😂

  • @roi2553
    @roi2553 3 ปีที่แล้ว +1

    Kingereza😂😂😂😂😂

  • @adammohammed8993
    @adammohammed8993 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa ndio nn dakika kumi nzima kumrecord mtu yupo barabarani😒😒😒

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 3 ปีที่แล้ว

      Et

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 ปีที่แล้ว

      Ubunifu umeisha ndgu yangu,utfkr Magu yupo way kwenda kwenye mkutano.

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 3 ปีที่แล้ว +1

      @@happyjohn5882 So poa, cjui wamekosa editor wakuifupisha iyo safar au cjui walkua wanatka 2 ku2malzia MB!🤷🏾‍♂️

    • @happyjohn5882
      @happyjohn5882 3 ปีที่แล้ว

      @@mattjr4206 wakifnya mchezoo watakosa watazmaji,maana wanafanya vitu kwa mazoea sana,na mumy baby sijui hyo nabidi afundwe apaswi kuwa co Host wa kipindi kikubwa halafu anafanya maduduu,sijui jinamizi gani limewakumba clouds, au ndo dhambi ya unafikii ?

    • @mattjr4206
      @mattjr4206 3 ปีที่แล้ว

      @@happyjohn5882 😄😄😄 me nahic ivo

  • @christianmwashala276
    @christianmwashala276 3 ปีที่แล้ว +1

    Mina ndo kaitendea haki iyo sio ile iliopita maswal mepesi mepesi tyu af sif nyingiii

  • @dangomc_niger
    @dangomc_niger 3 ปีที่แล้ว

    Mumy nimeskia akimtaja simbaaaaa kwwr nimeamin

  • @directorerikey3291
    @directorerikey3291 3 ปีที่แล้ว +2

    Adam si muongeaji sana mbona yuko kimya🤣🤣🤣

  • @mgunyaosward812
    @mgunyaosward812 3 ปีที่แล้ว +2

    Masela mmemkatili mzee wa nje ya box.......kaanza kwa story afu hajatoa ata madini yke

  • @gracemamuu5937
    @gracemamuu5937 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukitaka kufaidi interview mcheki Tambwe hawa wengine ni Hanangwa tuu

  • @muuevara8069
    @muuevara8069 3 ปีที่แล้ว +1

    SIKILIZA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ NA REMA th-cam.com/video/jtGSGh-l4WU/w-d-xo.html

  • @ramatokwete6896
    @ramatokwete6896 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Rema nae you know tu 🤔🤔

  • @rajabuabdalah4859
    @rajabuabdalah4859 3 ปีที่แล้ว

    Ohoo

  • @bwiganemwakifuna3580
    @bwiganemwakifuna3580 3 ปีที่แล้ว

    Nyie madem mnaongea kama machine,mpeni nafasi mchomvu bana.

  • @claudiokelly8944
    @claudiokelly8944 3 ปีที่แล้ว +5

    Peaneni muda mtamkera adamu awapige mitama.🤣🤣🤣

  • @remakonte7564
    @remakonte7564 3 ปีที่แล้ว

    R.m.a

  • @ijsound5149
    @ijsound5149 3 ปีที่แล้ว

    you know

  • @starrythegenius
    @starrythegenius 3 ปีที่แล้ว

    🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬

  • @sulubumrambakakorogo9084
    @sulubumrambakakorogo9084 3 ปีที่แล้ว

    Mbona ya patoranking hamkuekaa

  • @gilbertmushi.
    @gilbertmushi. 3 ปีที่แล้ว +3

    Clouds always on top

  • @jumannehussein6188
    @jumannehussein6188 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma kar conboy

  • @alecbayrine7161
    @alecbayrine7161 3 ปีที่แล้ว

    Adam anashobo sana the last interview alikuwa all over the place leo wamemueka meena kauwa...Adam kama kamaind kumtindo leo kila akitaka kuongea wanamnyamazisha.....hahahahah

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaa English bana

  • @saidijuma9386
    @saidijuma9386 3 ปีที่แล้ว

    Adam kasanda