ALLY KAMWE" DUBE ATAWAFUNGA SANA/CHAMA HAWEZI KUCHEZA SIMBA TENA/WANAOKOTA OKOTA WACHEZAJI/AZIZ KI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Meneja Habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali kamwe Leo July 7,2024 amezungumza na Mpenja Tv,punde tu alipotua kwenye uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport akitokea Mbeya, Aidha amefunguka kuhusu usajili unaoendelea huku akigusia kuhusiana na usajili wa Prince Dube.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 40

  • @user-rd3zb5rg5s
    @user-rd3zb5rg5s 8 วันที่ผ่านมา +4

    Hatunaga mda wa kwenda kuzurura nje ya nchi na kuja kuwa nafasi ya tatu🤣🤣🤣🤣 Simba mtaumia Sana na chama

  • @user-fy3cf1ri8m
    @user-fy3cf1ri8m 8 วันที่ผ่านมา +2

    Tisubili Ligi tu mengine tutajionea🎉

  • @majiddaud6099
    @majiddaud6099 8 วันที่ผ่านมา +3

    Tuxungumzie kuhusu kuchokonoA 😂😂 🔥 😊

  • @user-qu1ut5ri2z
    @user-qu1ut5ri2z 7 วันที่ผ่านมา

    Madrid ya Africa 🌍

  • @AllyJuma-if5xm
    @AllyJuma-if5xm 8 วันที่ผ่านมา +1

    Naamin kuwa maneno mengi huwa ayajengi mambo n uwanjan

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 8 วันที่ผ่านมา +2

    Ninani amesema simba hakuna mchezaji wakucheza yanga?

  • @DaydreamHimself
    @DaydreamHimself 7 วันที่ผ่านมา

    eti FAST & FURIOUS 😂😂😂

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naamini mchezaji anaweza kuwa bora sana hata kama timu yake inashika nafasi ya kumi nyie mmemchukua kibabage singida fountain gates ambayo iko nafasi ya 10 je anafanya vibaya?

  • @hakiba1207
    @hakiba1207 8 วันที่ผ่านมา +1

    Semaji la kafuu😝😝😆😂

  • @user-rd3zb5rg5s
    @user-rd3zb5rg5s 8 วันที่ผ่านมา

    Nawashangaa Sana wakinadebora wapowengi humu tupishen bn

  • @jackisonngosha5533
    @jackisonngosha5533 8 วันที่ผ่านมา

    Ivi tukisema simba washuke dalaja inawezekana mwaka huu

  • @EnoqueJoaoMamba
    @EnoqueJoaoMamba 8 วันที่ผ่านมา

    Simba hina lia pole jamani

  • @goblessjrtz5464
    @goblessjrtz5464 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona Utopolo mna mchezaji anaitwa joyce why mnamkejeli mchezaji wetu Deborah?

  • @user-cq1tf5sd3l
    @user-cq1tf5sd3l 7 วันที่ผ่านมา

    Chizi wee hayo yako

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 7 วันที่ผ่านมา

    Mshafulia vyura..igeni Simba kwenda nje

    • @GraceNdambo-t8w
      @GraceNdambo-t8w 7 วันที่ผ่านมา

      Inakueje ulie enda nje umeshika nafasi ya tatu?

  • @EliasMwende
    @EliasMwende 8 วันที่ผ่านมา

    ww acha

  • @alkhayriy7014
    @alkhayriy7014 8 วันที่ผ่านมา

    Mbwa akibweka sana harudishi mawe ya adui

  • @sethabeidkigodi8541
    @sethabeidkigodi8541 8 วันที่ผ่านมา

    Huna jipya

  • @MzeewaYanga-hm8jq
    @MzeewaYanga-hm8jq 8 วันที่ผ่านมา

    Kwn debora fc uku Wana fata nn

  • @christophermpogole4944
    @christophermpogole4944 8 วันที่ผ่านมา

    Atarudije wakati umri umeenda, simba haichukui wazee!

  • @JumanneNdiba
    @JumanneNdiba 8 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 8 วันที่ผ่านมา

    Chama hawezi kucheza Simba achezee mala ngapi Bado hauja ongea uta ongea tu acha muda useme

    • @raymondeliud5740
      @raymondeliud5740 8 วันที่ผ่านมา

      hahahaha unamuuliza mtu ambaye hata hasomi 😀😀😀😀😀😀

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mlete mamako basi iili acheze na Debora....
    koma kabisa..fedhuri ..mwanaharamu, nguo Kaa UV maCCM!!

    • @VIVIANMUKULU-kr8xp
      @VIVIANMUKULU-kr8xp 7 วันที่ผ่านมา

      Acha matusi 😂😂

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 7 วันที่ผ่านมา

      Ndo wamemletea Mama ako na Dada ako Wacheze nae , Uyo Dada ako Debora 😂

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 7 วันที่ผ่านมา

      @@azizymachadeson3577 .
      Limekuumaee......bwege we....
      Hujui Kuna soka la wanawake bado uone kumtaja mamako ni tusi🤪

  • @georgemallya4311
    @georgemallya4311 8 วันที่ผ่านมา

    Huna lolote weee subiri msimu uanze

  • @RamsoPedro
    @RamsoPedro 8 วันที่ผ่านมา

    Debora wanini sasa shemeji yenu

    • @user-id5oc7hm4n
      @user-id5oc7hm4n 7 วันที่ผ่านมา

      Mbona kwenu Kuna joyce😂😂😂

    • @user-id5oc7hm4n
      @user-id5oc7hm4n 7 วันที่ผ่านมา

      Nenda zako wewe ulishamwita chiba ,,vp uchiba umeisha

  • @sullehtz9327
    @sullehtz9327 8 วันที่ผ่านมา

    Alikamwe bhn😂

  • @aileenmphuru5106
    @aileenmphuru5106 8 วันที่ผ่านมา

    Amekaa Simba miaka sita tumemtumia mpaka tumemchoka mchukueni akamalizie mpira wake huko. Mnakwenda nje ya nchi mna hela nyie?

    • @ErickBrichard
      @ErickBrichard 8 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona kama unahasira hahaha em kunywa maji kdogo bhana e e nmeipenda hyo mwaka huu utakufa wallah duh huu mchezo hauhtaj hasira

    • @aileenmphuru5106
      @aileenmphuru5106 8 วันที่ผ่านมา

      @@ErickBrichard nife kwa sababu ya Chama aliyeikuta Simba na ameondoka akaicha. Kwani yeye ni nani walipita manguli wengi tu na bado Simba ipo. Itakuwa Chama kwani angecheza milele? Simba bila Chama inawezekana sanaaaa♥️🦁

    • @user-er6ox5xx1i
      @user-er6ox5xx1i 8 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅

    • @user-er6ox5xx1i
      @user-er6ox5xx1i 8 วันที่ผ่านมา

      Sizitaki mbichi hizi😅😅😅

    • @aileenmphuru5106
      @aileenmphuru5106 8 วันที่ผ่านมา

      Hizo sio mbichi zimeoza

  • @hatibulukindo2105
    @hatibulukindo2105 8 วันที่ผ่านมา

    Nyie wote wajinga fanyeni kazi