MPINA NA MSUKUMA WAZICHAPA LAIVU BUNGENI "ANANISIMANGA, WEWE NI MTUHUMIWA, HAJITAMBUI, HAIWEZEKANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 75

  • @user-fw6si9yd6x
    @user-fw6si9yd6x 26 วันที่ผ่านมา +4

    Huyu msukuma ndiye aliyeenda kule Dubai na DPW ikaja. Njaa kali sana

    • @solotap
      @solotap 26 วันที่ผ่านมา

      Bado haujasema , mpaka usemee ,🔥

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 26 วันที่ผ่านมา +2

    Hiiii nchi Tamu sana ❤❤❤❤❤❤❤ Unasemwa huku hadharani

  • @emmanuelkurwa3096
    @emmanuelkurwa3096 26 วันที่ผ่านมา +4

    Hayo ndo tuliyo watuma mtuwakilishe bungeni

  • @EmmanuelNyinyigwa
    @EmmanuelNyinyigwa 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe msukuma nirikuwa nakuamin kumbe boya kweli kweli mnpina wachape wapgine spana

  • @MaulidHaji-ol1no
    @MaulidHaji-ol1no 25 วันที่ผ่านมา +3

    Msukuma mnafiki

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 5 วันที่ผ่านมา

    Mpina hpo uko sana mungu atakusimamia mzee

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 26 วันที่ผ่านมา +3

    Msukuma mpuuzi tu

  • @ibrahimtesha2733
    @ibrahimtesha2733 26 วันที่ผ่านมา +2

    Tunachokishuhudia katika hoja hizo za bunge ni ushahidi kwamba bunge hilo halikuchaguliwa na wapiga kura, na halipo kwa niaba ya wapiga kura! Uchaguzi uliporwa! Mpina amesema kweli unaouma kwa wanaobwabwaja. Siku wananchi watapiga kura kwa haki, wachumia tumbo kama huyo Msukuma ataambulia kura yake na mkewe!

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 26 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania ndomjue hamna wabunge ila mnawachumia tumbo msema kweli amekuwa hafai Yani mungu ungefanya miujiza mikubwa ili wajitambue

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 5 วันที่ผ่านมา

    Nilikuwa nakukubali mzee hayo mawazo yko umejoka kweli

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 25 วันที่ผ่านมา

    Tusipo kuwa makini kwenye nchi hii umimi(ubinafsi), Watu kukosa uzalendo, watukupenda rushwa, wawakilishi bungeni kutotenda kazi yao vizuri, watukuwa chawa na kujipendekeza bila kuwa na tija tutaliua taifa lenye utulivu tulilopewa na Mungu. Watu wengi tulipata changamoto kupitia sukari spika tumjibu mpina kwa hoja si masimango

  • @ibrahimtesha2733
    @ibrahimtesha2733 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kama lingechaguliwa kihalali, wabunge hawa wa kughushi wasingekosoa Mpina kuwaambia wananchi alichokipinga kwa Bashe, kwani waamuzi ni wananchi walioshuhudia shida ya sukari chini ya uongozi mbovu wa Bashe. Wananchi tunamjua msema kweli na mlaghai. Subirini uchaguzi tutaamua kama Kariakoo walivyogomea ushuru wa kitapeli

  • @isaacs3904
    @isaacs3904 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wapiga deal wakali sana wakiguswa......mpina ataandamwa sana kwa sababu hiyo....angalia nani anamsema mpina ?.....Machawa na wapiga deal...

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 26 วันที่ผ่านมา +1

    Hiii nchi uchawa ndomwing lakin munamupoteza mama wabunge mmeshidwa kutetea wananch munafanya upambe

  • @user-yw7ud9th2l
    @user-yw7ud9th2l 26 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Bashe hananiajema na kizazi chatanzania anarihusu mbengu zirizo kufa ukipanda naukivuna huwezipanda Tena zikaota sasambenguyetu ya asiri ikiisha watanzania siwatakuwa watumwa wambengu zachakura

  • @mwitamwikwabe6611
    @mwitamwikwabe6611 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna cha mbunge hapo tena mumeferi endelea kupiga makofi na mabambio watu tumetaifishwa mifingo hatuna wa kututea nyie mama mama mama wengi hatuna mama mjue msturasishe kutukumbusha mama

  • @LIFESTYLE_1999
    @LIFESTYLE_1999 26 วันที่ผ่านมา +1

    MSUKUMA NI MJINGAAAAAAAAAAAAAAA , TOA HOJA ACHA KUSIMANGA WATU

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 5 วันที่ผ่านมา

    Achana na wivu wa vyeo msukuma jadilini maendeleo ya nchi sio majungu wala upambe.

  • @africamoja2924
    @africamoja2924 20 วันที่ผ่านมา

    Hii kweli ni darasa la Saba@an old man child. 😁😁😁

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 26 วันที่ผ่านมา

    Wabunge wa ccm ni wanafiki sana, Mpina ni mtetezi wa wanyonge

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 26 วันที่ผ่านมา

    Dah! Sijui ni lini nitampata mwakilishi wa kuniwakilisha vema 😢

  • @DivineWisdom-o8y
    @DivineWisdom-o8y 20 วันที่ผ่านมา

    Hii ndo shida ya kigezo Cha kujua kusoma na kuandika

  • @jeremiamwakilimaji8284
    @jeremiamwakilimaji8284 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kivuli hufaata jua.

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 26 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu msukuma kashakua bepari mambo ya wajamaa hayana nafasi kwake tena

  • @RamadhaniYahya-ls8li
    @RamadhaniYahya-ls8li 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wabunge wawe na maadili maana ni wawakililishi wetu

  • @user-us5xl4zu3r
    @user-us5xl4zu3r 26 วันที่ผ่านมา +1

    Teteeni wananchi wenu,achaneni na uchawa,mnaliharibu Taifa.

  • @emmanueljisendi8928
    @emmanueljisendi8928 24 วันที่ผ่านมา

    Leo umemgeuka hadi msukuma mwenzio .

  • @chelehanikamoga943
    @chelehanikamoga943 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mpina Yuko sawa

  • @user-ys3xx4nb7z
    @user-ys3xx4nb7z 26 วันที่ผ่านมา +1

    Msukuma acha kujipendekeza sana

  • @Maxmill_20
    @Maxmill_20 26 วันที่ผ่านมา

    Aaaah seriously we as a nation have to make greater use ya hilo bunge not this...hayo mambo ni ya kuzungumzwa kwenye kamati ya maadili huko sio haya matatizo kwenye hii nchi ni mengi kuliko haya.

  • @user-uh3eg5cj2r
    @user-uh3eg5cj2r 5 วันที่ผ่านมา

    Msukuma Hana hoja!

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 26 วันที่ผ่านมา +4

    Msukuma wewe ndie mtuhumiwa namba moja ila hujapata watu wa kufuatulia vyanzo vyako vya utajiri wote ulionao na gari lako la mamia ya mamilioni ulilolipata mara tu baada ya ziars yenu wambunge Dubai usimsakame mbunge wa jimbo letu hujampigia kura wewe

    • @solotap
      @solotap 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe fala kweli , Msukuma Tajiri Wa muda mrefu ana Mabasi , Migodi , Mijengo mi apartments, na kuhusu gari ni swala dogo sana kwake , anazo mpaka Defender New model Tena sio Moja mbili #fuatilia

    • @ShinjeMackenzie
      @ShinjeMackenzie 25 วันที่ผ่านมา

      Huyo muuza viatu utajir huo aliupata wapi unajuwa?Amshukur marehemu magu kumbeba akapata huo ubunge kuhusu kampuni ya mabasi hiv unayajuwa kweli hayo mabasi omba upande guta au toroli kuliko kupanda hiyo mikweche yaani ni mibovu harafu machafu mpaka siti zina kunguni huyo alikuwa mzur nyuma kwa sasa limekuwa chawa tu kujipendekeza ​@@solotap

  • @user-kx7ob5rx4p
    @user-kx7ob5rx4p 24 วันที่ผ่านมา

    Moja ya wabunge wa kipuuzi ni msukuma

  • @LIFESTYLE_1999
    @LIFESTYLE_1999 26 วันที่ผ่านมา

    yan bunge la machawa saiv, huu ni upumbavu wa waziz wazi msukuma kama jinga

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 25 วันที่ผ่านมา

    Safiiii msukuma

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 25 วันที่ผ่านมา

    Aka kasukum kamejaa uchawa tu Muogope Mungu kam huogop watu nakwambia kama sio ww watoto wako watalipia ushauri tubu mapema

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 25 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mbunge hapa bali ni mfata upepo, wala hajitambui ula watu wanasema eti ni mbunge mahili

  • @sylvanuskavindi2756
    @sylvanuskavindi2756 21 วันที่ผ่านมา

    Hao wana bifu kali, jamaa ali'seize basi la Msukuma kisa limekutwa abiria ana samaki

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 26 วันที่ผ่านมา +1

    Uchawa tu

  • @daudysanga8492
    @daudysanga8492 26 วันที่ผ่านมา

    Ndaza kweli ww

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 15 วันที่ผ่านมา

    Muangalie msukuma asiludi anatukaanga

  • @SheikhIjumaa-r7i
    @SheikhIjumaa-r7i 22 วันที่ผ่านมา

    huyu mpina ni tahiya sijui katoka jimbo gani matahira kama haya yakina mpina yawe yanapimwa akili kwanza ndo yaingie bungeni

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 26 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mchungu

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 26 วันที่ผ่านมา

    kweli kaka

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 26 วันที่ผ่านมา

    Yani mpina kazi IPO baba

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 18 วันที่ผ่านมา

    Msukuma hafai..Bashe Ni mwizi.sasa hivi Tanzania Haina samaki nchi nzima.manyavu feki yanatumiwa anaona sawaa.mabwa na maziwa yamefungwa uliona wapi??? Msukuma anatetea ujinga hafai na yeye

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 26 วันที่ผ่านมา

    Hiweleki

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 26 วันที่ผ่านมา

    msukuma nilisha kufta zaman sana mungu atashugulika nanyinyi

    • @solotap
      @solotap 26 วันที่ผ่านมา

      Unajiona wewe msafi sana kenge wewe ?

  • @SadickHamis-vm1qi
    @SadickHamis-vm1qi 25 วันที่ผ่านมา

    Msukuma kigeu geu😢😢😢😢

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2g 26 วันที่ผ่านมา +1

    leo wambea wamelipwa mshiko mrefu kumchafua mpina wanaojali matumbo yao bila kujali mateso wanayopata watanganyika, wasikuvunje moyo mpina, wananchi tupo na wewe

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 26 วันที่ผ่านมา

      Ningekuwa Mpina moja kwa moja ningewakomesha kwakuhama chama cha machawa

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 26 วันที่ผ่านมา

    Aliyesababisha ikafika elf 10 ni nani?😮 Huna cha kusema nyamaza ..Ulimpima ukaona ana matatizo ya akiri?😮

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 26 วันที่ผ่านมา

    Kweli kuna vichaa wengi duniani

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 26 วันที่ผ่านมา

    afya ya akili tena 😂😂😂

  • @user-ws9no8hz8k
    @user-ws9no8hz8k 25 วันที่ผ่านมา

    Msukuma konyo sana

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli 18 วันที่ผ่านมา

    Sitaki ccm

  • @MasoodEmasubi
    @MasoodEmasubi 26 วันที่ผ่านมา

    Nduhushi huendani na ulicholopoka

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 26 วันที่ผ่านมา +2

    Msukuma Upo Sahihi Sana Bashe ni mfano wa kuigwa

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 26 วันที่ผ่านมา

      Unatombwa nyuma na baba yako mzazi, huyo Bashe Kama unamkubali anavyomtomba mama yako nyamaza tuachie Mpina

    • @Brama_A37
      @Brama_A37 25 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 25 วันที่ผ่านมา

    Msukuma atasoma comment za watu kaz maslahi mpin piga kaz mpina hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 26 วันที่ผ่านมา

    Jikiteni kwenye tuhuma badala ya kutaka kuua hoja kijinga. Kwani alitoa ushahidi wa uongo au ukweli. Msitutoe kwenye hoja. Nashauri Mpina aende mahakamani

  • @EmmyJumanne-mf2nu
    @EmmyJumanne-mf2nu 26 วันที่ผ่านมา

    😂😅😅

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 26 วันที่ผ่านมา

    Msukuma ni kibaraka sku izi

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu Msukuma ni Mpumbavu Sana Sasa aende hotel ya esparabce akachukue CCTV camera Ili iwe nn yaan Mpina harusiwi kuongea na Watu nonsense kabisaa

  • @user-qm2ds9mr9r
    @user-qm2ds9mr9r 25 วันที่ผ่านมา

    Msukuma alihusika kwenye rushwa ya bandari, leo hii anasimama kumsimanga mpina

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 25 วันที่ผ่านมา

    Juzi mlimchambua bashe na mkasema leo mnamsifia bashe

  • @user-fw6si9yd6x
    @user-fw6si9yd6x 26 วันที่ผ่านมา

    Sisi Watanganyika tunasimama na Mpina