Mtumishi Pascal Kama kweli umetoka kwenye Ufreemason,basi mwisho wako utakuwa mzuri Sana na hawa wanaojiita mitume na manabii watakuchukia sana kwaukweli unaousema kupitia uimbaji
Mbarikiwe Sana nyoote mnao zidi kubarikiwa na huduma nilio PEWA ombi langu ili kuwa OKOA wengi jitahidi kuchukuwa link hii unapo maliza kutazama mtumie na mwingine ili atunguliwe hizi sio nyimbo za masherehesho Bali tunatamani watu wafunguliwe na kufaham majira tulio nayo huwezi kufaham NI yupi ataokolewa kupitia link utakayo mtumia
Ona wanavyomuabudu ona wanavyomsifia wewe n mtumishi unamaono makubwa Sana kwenye makanisa yetu meng kumejaa machafu is the name of Jesus kataa roho ya shetani inayotesa kanisa kataa kbsa Asante Yesu kwakuwa kupitia mtumishi wako watu wanaijua kweli yako ooobaba sema nasi Mungu eebaba tusamehe na vizazi vyetu vinavyokuja
MUMGU akulinde mtumishi kwa ujumbe, hizi ni nyakati za mwisho na tunaitaji watumishi Kama wewe ambao wanatuambia ukweli na kutufungu macho ya kiroho ,GOD BLS U🙏🏻
Namuomba Mungu akulinde kwa jina la yesu na nakutia nguvu kwa jina la yesu nakuagizia roho mtakatifu na mbingu zinazokupinga zishindwe kwa jina la yesu na imani zao za kishetani nazishusha kwa damu ya yesu bali imani ya kwa yesu ikue zaidi na zaidi na naifungua milango ya baraka kwako kwanzia sasa ifunguke kwa jina la yesu
Amina sana mtumishi hakika kinywa chako kimenena ukweli hizi siku za mwisho damu ya YESU KRISTO ikufunike uhubiri neno la mungu uendelee kuneno kweli na kweli huishi amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
HAKIKA YESU HATAKUACHA MTUMISHI MWENYE HAKI MUNGU HUMHIFADHI HAUKUVUNJIKA MFUPA WAKE HATA MMOJA MTUMISHI PASCAL HAKUNA ATAKAEKUWEZA WEWE WALA FAMILIA YAKO HIVYO VYOTE NI VITISHO VYA SHETANI ILA HAWATAKUWEZA KAMWE
Kujiombea ni vizur lakin ni vizur zaid ukaenda kanisan kwani Neno la Mungu linatuasa tusiache kukusanyika lengo ni kufundishana na kuonyana...kiukweli makanisa mengi saiv hayaelek lakin tambua kuna mengine yanaeleweka tafta kanisa linalosema kweli ya Mungu kwa kuainisha na Neno la Mungu....kikubwa lijue sana Neno la Mungu
O God have mercy on me ....Man of God you're ablessing to me and to whoever else is listening and watching your songs...More Grace from the almighty be showered unto you ...uongezeke ,upanuke katika huduma yako siku zote.Amen
OMG.....I can't believe this happening in this entire world Lord,,,no weapon formed against our lives shl prosper in Jesus might name 🙏×7...much 💞💞💞 frm ukunda Kenya SHALLOM
Mtu wa Mungu huu wimbo ni mzuri sana ungeimba part two yake ya kumsifu Mungu tu bila kumtaja shetani kwa vocal na rhithme hiyohiyo, kama Mungu atakavyokuongoza
May God's Devine Protection be sufficient in your life Man of God. Hatuwaogopi mashetani tena, maana tuna ujasiri katika YESU. Hatuwaogopi............ Washindwee ktk Jina la Yesu
Kumbe umegundua kitu kikubwa hapo mtumishi wallah kesho siku yahukum itakuwa mtihani sana kwa maana dunia tumeivaa kama nguo tutangaamia sana kwa kupenda maisha mazuri ya haramu Mungu alitangulia mbele mtumishi
Kengele iliapo mwenyi masikio naasikie ,wewe umelipa déni kwakujulisha dunia
Mtumishi Pascal Kama kweli umetoka kwenye Ufreemason,basi mwisho wako utakuwa mzuri Sana na hawa wanaojiita mitume na manabii watakuchukia sana kwaukweli unaousema kupitia uimbaji
Ubarikiwe Sanaa pasiko bwana akupe maisha marefu aminaa
Mbarikiwe Sana nyoote mnao zidi kubarikiwa na huduma nilio PEWA ombi langu ili kuwa OKOA wengi jitahidi kuchukuwa link hii unapo maliza kutazama mtumie na mwingine ili atunguliwe hizi sio nyimbo za masherehesho Bali tunatamani watu wafunguliwe na kufaham majira tulio nayo huwezi kufaham NI yupi ataokolewa kupitia link utakayo mtumia
Alafu mtafute mchungaji Mbarikiwa MWAKIPESILE Yule wa mbeya NI tipe yako kiroho atakusaidia saanaa..
Amen Kaka Paschal Ubarikiwe , Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.,
Amina
MUNGU wambinguni akufunike kwa damu ya Yesu Kristo wanazareti
MUNGU wambinguni amukuchagua uhubiri kwa wimbo huu .na Bwana Yesu Kristo wanazareti. Atakulinda na mabaya yote.
Ona wanavyomuabudu ona wanavyomsifia wewe n mtumishi unamaono makubwa Sana kwenye makanisa yetu meng kumejaa machafu is the name of Jesus kataa roho ya shetani inayotesa kanisa kataa kbsa Asante Yesu kwakuwa kupitia mtumishi wako watu wanaijua kweli yako ooobaba sema nasi Mungu eebaba tusamehe na vizazi vyetu vinavyokuja
❤❤❤Amena kubwa
Mungu akulinde na mabaya yote katika jina la Yesu kristo.
Barikiwa
Wangapi tutaingia mbinguni😢
Israel the servant from Kenya says more grace servant 🙏♥️
Hapa Kenya wengi wamedanganywa na maji, vitambaa, kalamu na vikorokoro vingi sana. Asante kwa kuifanya kazi hii, wasijewakasema hawakuambiwa.
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏🙏
Is true brother
Malaika wa BWANA Wakulinde sikuzote za Maisha yako,Damu ya Yesu ikufiche adui asikuone,Jiikazi nikubwa sana
Na wewe pia
Amina❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Barikiwa mtumishi wa mungu nakusikiliza na kufungukiwa nikiwa Oman
Mungu akubariki sana mchungaji nyimbo zako hunijenga sana ki imani kwanza ile ya sote tutakufa hufanya nimrudie Muumba wangu kabisa
Asante Sana niko pamoja na wewe ujumbe wa kweli kaka mungu akupe nguvu
Kwa kweli nabarkiwa sana na huduma uliyopewa na Mungu akuinue zaidi mtumishi
Mungu akuinue zaidi na akufunike Kwa mbawa zake ..... amen
MUMGU akulinde mtumishi kwa ujumbe, hizi ni nyakati za mwisho na tunaitaji watumishi Kama wewe ambao wanatuambia ukweli na kutufungu macho ya kiroho ,GOD BLS U🙏🏻
wewe umechaguliwa casian piga. kazi
Eeh Mungu tuhurumie 😭🙌 this is true, Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na Mungu azidi kukulinda na kukuinua ki uduma🙏
Wewe mwenyewe unachafua wenzako we tutakuamini vipi??sisi tuache na watumishi na manabii wetu,we pambana kivyako upate waumini
Asantee mtumishi. Tuko pamoja yani sjawah kuwaamin nawachukia....sanaaa... Mungu azidi kukutumia. ... siku zinakuja watajua hawajui.
Ni ukweli mtupuu.
O
Amen.man of God
Asante mtumishi kwa ujumbe mzuri mungu akulinde na akuzingile na wigo wa moto wa roho mtakatifu adui shetani asikupate
Ahsante kwa kuliweka bayana hili,acha Mungu aitwe Mungu,hakika mambo yote yatapita lakini neno litasimama.
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏🙏🙏
Namuomba Mungu akulinde kwa jina la yesu na nakutia nguvu kwa jina la yesu nakuagizia roho mtakatifu na mbingu zinazokupinga zishindwe kwa jina la yesu na imani zao za kishetani nazishusha kwa damu ya yesu bali imani ya kwa yesu ikue zaidi na zaidi na naifungua milango ya baraka kwako kwanzia sasa ifunguke kwa jina la yesu
Balikiwa Sana mtumishi
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏🙏🙏🙏
@@nsimiremparanyifrancine1789 ubalikiwe
Me namwabudu mungu ktka roho Na kweli sitaki mwingine
Kweli ni wangapi tutaingia mbinguni, waah! Mungu tusaidie
Eeee mungu nitangulie mm Jacqueline baba unaimba sana mungu akutangulie popote uendako
Mwenye maskio asikie
Amina sana mtumishi hakika kinywa chako kimenena ukweli hizi siku za mwisho damu ya YESU KRISTO ikufunike uhubiri neno la mungu uendelee kuneno kweli na kweli huishi amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mtumishi ,tunakuombe ,pia Mungu hamwachi mwenyew haki wake aangamie
Oooooh yes,Mungu aturehemu maana tupo nyakat mbaya hata kuzisimulia ni shida ifike mahali tujue Mungu wa kweli ni yupi ili tusimame ktk kweli yake
Nimekuwa wakwanza kuusikiriza uyu wimbo ubarikiwe sana umenifunza mengi nimetunga film kutoka kwanyimbo zako inayo itwa kiapo ca damu.
Woooo!! Nici
Kwanini hautoi ule wimbo kiapo cha Damu?
Na ule wimbo wa makanisa ya kuzimu mbona hautoi huo wimbo?
Yaan nausubir kwa hamu kiapo cha Damu na makanisa ya kuzimu saaana
HAKIKA YESU HATAKUACHA MTUMISHI MWENYE HAKI MUNGU HUMHIFADHI HAUKUVUNJIKA MFUPA WAKE HATA MMOJA
MTUMISHI PASCAL HAKUNA ATAKAEKUWEZA WEWE WALA FAMILIA YAKO HIVYO VYOTE NI VITISHO VYA SHETANI
ILA HAWATAKUWEZA KAMWE
Mungu aendelee kukuinua mtumishi wa Mungu,nabarikiwa sanaa na huduma yako😍
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe unaobariki sana!! Haleluyah!!
Amen 🙏... Mwenyezi Mungu akulinde Muchungaji 🙏
Que Dieu te bénisse pour l'Évangile 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu akulinde mtumishi wa Mungu katika kaz ya huduma kwani umekuwa baraka kwangu
Hakika nabarikiwa sana na nyimbo zako nakuombea Kwa Mungu wa mbingu na nchi akutunze sn Ili kusudi la Mungu litimie
Mungu unirehemu Leo unipiganie pia unitenge na matabau ya dunia
Kaka Cassian kiufupi napendezwa nahuduma Yako mimi zabron James wewe unaongea ukweli mungu akubaliki kaka mimi nakufatilia sana
Barikiwa Sana brother Acha kibali cha Mungu kiwe pamoja nawe, may He protect you in whatever you're doing.
Nani kaimba huu wimbo
@@Bonita2962 anaitwa paschal cassian
Nakupenda bure mtumishi utaishi maisha marefu hadi washangae
Amina mtumishi wa mungu we sema ujumbe wamungu wasije wakaraumu kuwa hawajaambiwa
Asante mzee was Kazi Za Mungu
Asate san mutumishi Mungu akubariki
Nmeshutuka sana mmm MUNGU akuzingire nadamuyake takatifu
Wew mungu akujarie unawambia
Eeee mwenyezi MUNGU wa mbinguni tuhulumie maana hii Dunia umefka pabaya sana
Pascal God bless you umepigilia msumari kwenye kidonda
Barikiwa sana Mungu yup pamoja nawe songa mbele kaka🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mwenye masikio na Asikie
Exactly, wanahubiria watu vile watapata mafanikio, hawahubirii watu waache dhambi......
Mungu ukuzungushie ukuta wa moto Hawa mashetani wote wazidi kuabika
Mungu tuhurumie mi hufikia time moyo wakuenda kanisa sina afadhali kujiombea mwenyewe kwanyumba naomba msaada ushauri wenu ndugu🙏
Kujiombea ni vizur lakin ni vizur zaid ukaenda kanisan kwani Neno la Mungu linatuasa tusiache kukusanyika lengo ni kufundishana na kuonyana...kiukweli makanisa mengi saiv hayaelek lakin tambua kuna mengine yanaeleweka tafta kanisa linalosema kweli ya Mungu kwa kuainisha na Neno la Mungu....kikubwa lijue sana Neno la Mungu
Great congrats kaka great cheers Mungu akubariki sana
Thank u mtumishi umefungua wengi macho Mungu akubariki sana
Hongera sana usirudi nyuma.
Very powerful song Mtumishi wa Mungu. Endless kusema kweli ambao wengi hawapendi
Watamuua wenzie anawatolea tonge mdomoni
Ukiimba bila kutaja watu mbona inakaa vizuri ila ukitaja watumishi wa mungu kwakwel nakuchkia
Wasipoambiwa wataambiwa na nani? Hata YESU alimtaja Herode na kumwita mbweha
Barikiwa sana mtumishi
Ubalikiwe sana na ww pia kazi nzuli sana mungu azid kukupa nguvu na afyaa njema piya
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu aliye hai uzidi kutunzwa na Bwana hadi utakapolikamilsha kusudi lake
O God have mercy on me ....Man of God you're ablessing to me and to whoever else is listening and watching your songs...More Grace from the almighty be showered unto you ...uongezeke ,upanuke katika huduma yako siku zote.Amen
mwenyez mungu awe pamoja na ww nadhan huu ujumbe lazima wausikie mungu akurinde ..
OMG.....I can't believe this happening in this entire world Lord,,,no weapon formed against our lives shl prosper in Jesus might name 🙏×7...much 💞💞💞 frm ukunda Kenya SHALLOM
Ubarikiwe sana Mtumishi Yesu akuinue na akulinde na kukutunza milele uzidi kumtumikia kristo ktka kweli
Libarikiwe tumbo lilokuzaa unamwakilisha Yesu asiyeshindwa Mungu akutumie Sana
Mungu akutunze damuni make
Mtu wa Mungu huu wimbo ni mzuri sana ungeimba part two yake ya kumsifu Mungu tu bila kumtaja shetani kwa vocal na rhithme hiyohiyo, kama Mungu atakavyokuongoza
Hakika umetumwa na yesu uihubiri injir, mumgu azidi San kukuficha katika mbawa zake
God bless you brother 💓💕🥰nyimbo zako zinaukwel kabisa dunia ya sasa watu tumepotea san
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Kwa huduma nzuri ya uimbaji ktk kumtukuza Mungu
Unafumbua mengi sana wasiojua wayajua hadithi tu Mungu alie juu akulinde mtumishi
Daa mungu aturehemu
God bless u Pascal ad be protected by the blood of Jesus Christ
Amen 🙏🏽
Nitazidi kumwomba Mungu akutunze na alinde roho yako na akuzingire kwa moto ,yule mwovu sheitani asikupate
Mtumishi mungu akubaliki niVianney kutoka 🇧🇮 burundi!!
Mtumishi wa mungu nashukuru sana kazi nzuri unayofanya
Amina mtumishi mungu aendelee kukupigania
Kazi nzuli sana kaka angu, mungu akubariki sana
Mungu akulinde Sana pascal
Mtumish Mungu akubariki, Sema ukwel ,Fikisha kile k2 Mungu anakuagiza, usiogpe watishao, wala hawazdi nguvu za Mungu.
Mungu atuonyesheée njia itupasayo uyuu MUNGU ni waajabu mtumishi mungu azidi kukutumia utufundishe kweliiii aminaaaa...
Eeee mwenyezi MUNGU tusaidie tuwe na mwisho mwema tusitekwe na huu ulimwengu mpotovu
Amina Amina ubarikiwe ubarikiwe bwana akurinde
May God's Devine Protection be sufficient in your life Man of God. Hatuwaogopi mashetani tena, maana tuna ujasiri katika YESU. Hatuwaogopi............ Washindwee ktk Jina la Yesu
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumish
Hongera Sana mtumishi wa MUNGU ubarikiwe San
Eee Mungu naomba jicho la tatu niweze kja sehem sahihi
Mungu awazidishie mzidi kumuabudu huyo shetani mana mwajifanya hamjui kua kuna mungu ila hio siku ya hukumu ndo mtajua
Mungu akulinde na kukuinua
Mungu akubariki mtumishi
Ubarikiwe sana
Baraka nyingi zimiminyike kwako
Ukweli mtupu mwinjilist, ahsante kutufunua macho ya ndani, mungunwa binguni azidi kukuzingira Ameni🙏🙏🙏
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻th-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/w-d-xo.html God bless you🙏🙏🙏
Mungu azidi kukulinda siku zote za maisha yako
Mungu tusaidie tu
Mungu akiupande wako hakuna alie juu yako
Kumbe umegundua kitu kikubwa hapo mtumishi wallah kesho siku yahukum itakuwa mtihani sana kwa maana dunia tumeivaa kama nguo tutangaamia sana kwa kupenda maisha mazuri ya haramu Mungu alitangulia mbele mtumishi
Aiseee hii nyimbo ni fundixh toxha
Wewe ni mboni ya Mungu lazima Mungu atazidi kukulinda
Ayayayayaya iyi Kari kabisa
Asante kaka. Mungu atusaidie kufunguka macho
Mungu akubaliki sana mtumshi asante kwakutufungua macho