Asante kwa mafunzo hayo,Mungu akubariki sana,umefafanua Hilo Neno vizuri sana,wengi huchanganyikiwa mpaka watupoteza,nimekufata vizuri na nikaelewa hii to roho ya uchawi ilitoka wapi
Nimeelewa vzr sana, hasa kwenye ndoto mbaya na ndoto nzuri, nimekua nikiota ndoto na baada ya siku chache inatokea kama nilivyoona ndotoni, nahata ilichelewa, lakini itakuja kama nilivyoiyona kwenye ndoto😢
Shalom!peace be upon you for the enlightement as many ppo dont have time to read the bible but ur a great teacher stay blessed bro for the good job can't wait for the next lesson✌
Blo jitahidi mwanzo mgumu ila jamalii apewe kiti chake tu Yani IPO ivi jamali kwazidi vitu ving sana kwanza 1 anatupitisha vitabuni kiusahihi kabisa bila kukosea blo JAMALY 💯🙏
Believe it or not, prophet ur good story teller. Nimeelewa ulichokiongea, niliwahi kusikia kuhusu hao 'nephyles' "hope got the spelling right", na niliskia waliishi kipindi cha Zaman kitu ambacho kwenye biblia hakijaelezea but wanasadikika waliokuwepo. Thank you for explaining
Unafundisha jamii katika maelezo na picha unajua sana mwandishi Mzuri na elimu bora kwa vijana,tumia maneno ya kiswahili zaidi kuelezea unganisha story yenye mwelekeo mmoja usichanganye story Sana kwa yote uko vizuri snaa tu nakupenda
Watu ni wanafki sana wakati anakuja jamali mlimtukana sana mlasema Mtiga Abdallah ni the best leo unampraise hapana kila mtu ana flavor yake .. Thank you.
Jamal April... alichomzidi huyu mtumishi👉ni mpangilio wa..1 sauti ya kujaa na kupungua... na...2 maandiko ya Quraan...3..kutufanya tusikilize kwa ham kubwa..... ILA amejitahid sanaaa
Gonga like hapa wale wote waliomkumbuka Prof.Jamal.
Asante kwa mafunzo hayo,Mungu akubariki sana,umefafanua Hilo Neno vizuri sana,wengi huchanganyikiwa mpaka watupoteza,nimekufata vizuri na nikaelewa hii to roho ya uchawi ilitoka wapi
Yesu hakuwahi kuwepo. Dini ni uongo sana. Mungu yupo ila dini zina matatizo sana.
Anything on earth belongs to God Jehovah elshadai ❤❤
Asante MUNGU ufunuae Siri nami Leo nimejua Siri nzito😭😭😭😭😭
Shalom peace 🙏🙏 nimekuelewaa vizur sanaa
Kunavitu umenifundisha Asante
Nimeelewa vzr sana, hasa kwenye ndoto mbaya na ndoto nzuri, nimekua nikiota ndoto na baada ya siku chache inatokea kama nilivyoona ndotoni, nahata ilichelewa, lakini itakuja kama nilivyoiyona kwenye ndoto😢
Asante kwa taarifa na maarifa
This voice hai nishawishi mimi , kusikiliza the story book
utaizoea tu hata jamal ilkua ngumu kdgo alpo toka yule kenge 😂
Kilaza ni kilaza tu....huwezi elewa kitu
Hiyo sio the story book
Nakubali brother mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
Shalom!peace be upon you for the enlightement as many ppo dont have time to read the bible but ur a great teacher stay blessed bro for the good job can't wait for the next lesson✌
Mungu ni mwema. Asante sana Prophet. Tubarikiwe Sote
Jamal eeh jitahidi kumfahamisha huyu jamaa zaidi na zaidi na imani yangu tutamkubali tu,
Huyu Jamaa Yuko vizuri sana Yani Anajua kweli na Anaongea kweli kabisa Yuko vizuri wasiojua Neno na wasiokuwa na Mafunuo hupendwa kudanganywa
Umetisha prophet
Nguvu ya Mungu inayotumika katika uasi
Shalom bro...thanks for enlighten us...mwenye ufahamu na afahamu.
Wale wote tuliojikuta Sunday school bila kupenda gonga like😂
Fantastic vile unajua bible 🙌🙌
Daaah PROPHET MALISA ndo utaje kweli wa makonde siungewataja bas hata wasukuma
Asantenabii nimeelewa kitu
Kaka Uko Vizuri sanaaa 👏👏
Unaelezea Vizuri pia
Blo jitahidi mwanzo mgumu ila jamalii apewe kiti chake tu Yani IPO ivi jamali kwazidi vitu ving sana kwanza 1 anatupitisha vitabuni kiusahihi kabisa bila kukosea blo JAMALY 💯🙏
Kaka pambana hakunaga nabii anaekubalka kwao mwaya so maneno yasikurudshe nyuma 👏
Doto UPO mpaka Huku..
😂😂😂😂..
@@jeremiapeter683 aah pacha ww leo ndio naona mesej yako etiii😂😂😂
Jamaa Yuko vzuri Sana...huu ni mwanzo tuu
Kabisa
Ahaaaa wamezengua asaa
Mpaka nime mmis MTIGA ABDALLAH
Informative enough, Shukrani Brother
Nzuri Sanaa keep it up..
Nimemkubali prophet
Jamal April ndio bora zaidi
Kaka nakuelewa sanaaa
Believe it or not, prophet ur good story teller. Nimeelewa ulichokiongea, niliwahi kusikia kuhusu hao 'nephyles' "hope got the spelling right", na niliskia waliishi kipindi cha Zaman kitu ambacho kwenye biblia hakijaelezea but wanasadikika waliokuwepo. Thank you for explaining
Mmmmh hapana masikio hayataki
Força doctor
Jamaa kajitahidi sna Ila jamali is the best
Safi sana,umeeleweka
Imepoa sana
Ivi ni wasafi au nimejichanganyaa
Unafundisha jamii katika maelezo na picha unajua sana mwandishi Mzuri na elimu bora kwa vijana,tumia maneno ya kiswahili zaidi kuelezea unganisha story yenye mwelekeo mmoja usichanganye story Sana kwa yote uko vizuri snaa tu nakupenda
Uko vizuri kaka
Watu wakizoea wata enjoy sana
Nakumbuka alipokujaga Jamal pia watu aliongeaga pumba ila mwisho wasiku waka enjoy sound yake
Hakika. Basi, Jamal yupo wapi leo ?
Hiyo sio the story book guys
Nikweli kabisa mimi mutu wa Burundi 🇧🇮
Jamaa anajua Na anamadini mengi Sanaa keep it up
Story nzuri ila msimuliaji nzuri utadhan yupo msibabn
Ahh bro unajua bhana ukwel usemwe tu...... Sasa nyie mnatak achangamke achangamke vp 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🎉wewe ni mwamba kaka barikiwa sana
kwel mwalimu
Kazi nzuri
Mi nshabiki wako wa kwanza kutoka 🇧🇮 burundi oii umeuwaaa
Watu ni wanafki sana wakati anakuja jamali mlimtukana sana mlasema Mtiga Abdallah ni the best leo unampraise hapana kila mtu ana flavor yake .. Thank you.
Umetupiga kamba bro, ile roho iliyoongea na sauli ni shetani mwenyewe, roho ikienda kwa Mungu Yesu atairudisha siku ya mwisho na sio wachawi.
Kwakweli bado anatakiwa akopi au amuangalie sana Jamal iliaweze kurithi vtu kutoka kwake
Namtaka Professor Jamal Mustapha
Nimependa hii
Jamal April tushakuzoea wewe ...so rudi kwa the story book. Your voice hits different😊
Hiyo sio the story book
@@innocenthauleewabongo wanakaza fuvu sana😅
Tunamkubali jamali
@@thierybien7051 jau sana😅
Hujui kutangazia kaka bora urudi shule
Uko pow sana kaka
Unatuboaaa
Kwani umelazimishwa
Do nn hik @wasafi😢😢
Jamal April... alichomzidi huyu mtumishi👉ni mpangilio wa..1 sauti ya kujaa na kupungua... na...2 maandiko ya Quraan...3..kutufanya tusikilize kwa ham kubwa.....
ILA amejitahid sanaaa
Sauti nzuri
Ujitahidi kuongeza vikolezo
That's true ❤
duh achiya proffesor jamal iyi kazi mzee ✍✍✍
Sasa anaetoa ruhusa ya vipindi si ndio jamal
Dah hamna k2 hapa
Bila Jamal April nahama uku Mimi heri niachane na story book 😢😢
Bora tu left tuuh😂😂 uyu naona ni mchungaji na mashetani yake😂😂😂 utafikiri muubiri
Ni heri nirudie😂😂😂zile Jamal ambazo ashaga tafasi labda na Mimi nitapata knowledge 😅
The story book 📖 ndio bs tn Au
Jamani madia imevamiwa uku
Kwan Jamal kaenda wapi tena 😢😢
show haivutiii tena
Jaman Kwan wapi mmeona wameandka hii ni THE STORY BOOK
Roho yetu imrkukataa toka kabisa toka
Salama
Nlimzoeaga yule wa mwnzo ,nikapata taabu kuizoea sauti ya jamal leo huyu nae 😭
Jamali jaman
Haujuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
BILA JAMAL APRIL ..THE PROFESSOR SIANGALII TENA SHOW
But ayuko mbaya vile
so used to jamaal, story book seems so different🥲
this show will never be the same again
Tunamtaka jamal april .ama ,mtiga abdallah
Akajambe uko bhna, jamal rud bhna
Ana sauti nzuri Huyu Kaka ❤❤
Sasa uo umalaya ushaanza
Jamal upo wapi sauti hii inabowesha, tafadhali rudi jamal🥱🥱🥱
Nenda kasimulie mke wako na ndugu zako tunamtaka Jamal April
😂
Jamaa anajaribu kuelezea nini 😢😢
Ahahaha
Picha
Keep it up gud work👏
Duuu hajui huyu bora jamali
Poco a pouco vamos chegar força meu irmao 💖
Dadeq hii tumepigwa 😂😂😂
jamal wetu jmn
Huy lugha ya kiswahil haijuw vizur ... kafala hapa wamefel
Waah! Mliamua kuajiri pastor? 😢😢😢
Nimecheka kifala eti meajir pasta 😂😂😂
Huyu jamaa nimeamini ana penda movie sanaa
Jamaal plz usimrudsh huyu
HIZI KAZI ZA KINA MTIGA,,NDO MIPANGO TU.BOSS ALIONA KIJANA ANACHANJA MBUGA..AKAMPOTEZA.
Wait 😳 Nice story new guy , but Jamal is not here , BTW he is doing great too
Hi siyo the story book huyu ni mtumishi
❤❤❤
PROPHETH OF DESTINY
Ndo anavojiita?
@@nickalreadyknows naona ndo jina la hiyo content yao
sa sielew kama ndo replacement ya the story book au vp
😢 anachosha tu🥱
Kapooza kama mkojo wa shoga
@nancy45619😂😂😂 unamjua Prophet wewe
Waturudishie professor Jamal jaman huyo hana hata sauti ya ushawishi jamaniii
Wenye kumtaka professor gonga like nyingii wamrudisheeee😂
Mwanzo mgumu jamani hata jamal alianza kama huyu
Nimesoma mala tatu tatu kama niwasafi au nimepotea waliorudia kusoma hapa kama ni wasafi tujuane
Sio wew tu mm pia nilikua sijaamin maana tumemzoea Jamal prof😂😂
Ata Mimi mzeee
Hata me nimeona imepooza kinoma
Kweli mi hadi miwani nimetafuta labda sioni, kumbe nikaona wasafi kweli duuh imepooza
tumepigwa parefu JAMAL yupo wapi 😢😢😢
jamani tuwape chanci na wengine tuone vipaji vyao sio kila siku jamali April tuwa chance na vijana wengine