Ni Wakati Wa Mavuno Usilale || Mwl Christopher Mwakasege.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 65

  • @lizpallangyo8057
    @lizpallangyo8057 11 หลายเดือนก่อน +8

    Nilibarikiwa mno,ubarikiwe mno mtumishi wa Bwana Mwl C. Mwakasege pamoja na huduma nzima ya MANA,Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu

  • @Mollelwilson
    @Mollelwilson 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli yesu apewe sifa kwa uzuri wake, Mungu Akubariki sana Mtumishi C. Mwakasege pamoja na timu yako yote.

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi ASANTE kwa somo zuri

  • @DicksonHeavenlight
    @DicksonHeavenlight 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika ni wakati wa mavuno me sijajua kama watu wakao ndani ya nchi hiii wanajua tulipo na tuendapo ni ngumu sana kujua mana mitaa tunayo ishi imebeba hatima ya manabiii imebeba neno la kinabii na vita wanayo kutana nayo ni kumbwa mno....Anasema naliwatuma watumishi wangu wakawaua🙇 🙇🙇🙇 MUNGU turehemu MUNGU tusamehe Tanzania 🇹🇿

  • @HumphreyHorace
    @HumphreyHorace 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mbarikiwe watumishi wa KRISTO.

  • @KijaNgwido
    @KijaNgwido 11 หลายเดือนก่อน

    Amen baba nabarikiwa

  • @rehemashayo5024
    @rehemashayo5024 11 หลายเดือนก่อน

    Nashukur Mungu nimejua mengi ambayo ckuwa nayajua barikiwa sana mwalim

  • @tonnyshoo5369
    @tonnyshoo5369 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tumebarikiwa sana leo,hakuna kusinzia in jesus name

  • @GermainKIKANDI
    @GermainKIKANDI 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aksanti sana Mwalimu
    Germaine Kikandi nakufuata toka Kinshasa DRC

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy 11 หลายเดือนก่อน +1

    tuna barikiwa sana sana, oni langu mada mic yake inafunica buckap wote halafu anaimba ya pili bora angeimba ya kwanza, pia wakati wa kuanzisha aanzishe mmoja nawapenda ni oni tu

  • @rosemassawe1979
    @rosemassawe1979 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa Neema hii,Asante kwa mtumishi wako pia Mwl Mwakasege🙏

  • @GeorgeSylvester-d6r
    @GeorgeSylvester-d6r 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tumwache yesu twende kwanani, yesu juu,

  • @justicemollel4928
    @justicemollel4928 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah! Hallelujah! ubarikiwe sana

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni kumbuke Amen

  • @rabanmwanambesi1482
    @rabanmwanambesi1482 11 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @brownmwakalikamo47
    @brownmwakalikamo47 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu kwetu sisi ni kimbilio🙏🏾🙏🏾

  • @LucyLwiva-h9l
    @LucyLwiva-h9l 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki

  • @hosianamunuo15
    @hosianamunuo15 11 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah 🔥🔥🔥

  • @elizabethmangapii7477
    @elizabethmangapii7477 11 หลายเดือนก่อน

    Eeh Mungu tunahitaji rehema zako,turehemu,wewe ndiye kimbilio letu..mavuno yetu yaliyoshikiliwa yaachiliwe..

  • @EllyMarua-ge8rf
    @EllyMarua-ge8rf 11 หลายเดือนก่อน

    Holy spririt help me to understand more the world of God

  • @MusaMalekela-k5q
    @MusaMalekela-k5q 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mno mwl.mwakasege🙏

  • @ElizabethLyandala
    @ElizabethLyandala 11 หลายเดือนก่อน +3

    Amen I receive it🙌

  • @tracychesoli2900
    @tracychesoli2900 11 หลายเดือนก่อน

    Am blessed and learn where have not been doing right

  • @TheresiaNkwera
    @TheresiaNkwera 11 หลายเดือนก่อน

    Napenda yesu yeye ajuaye tunakotoka na kulle tukoenda. Tuudumie Bwana yesu

  • @justicemollel4928
    @justicemollel4928 11 หลายเดือนก่อน

    Mwl. Ubarikiwe sana

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy 11 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTE BABA MUNGU KUTUPA MWAKASEGE TANZANIA

  • @robertmwagandi4186
    @robertmwagandi4186 11 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa Jehova Shamma

  • @stephenruth050
    @stephenruth050 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa Yesu raha

  • @ritakakonga
    @ritakakonga 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen ❤

  • @estermollel
    @estermollel 11 หลายเดือนก่อน +1

    Haleluyaaa

  • @eduuclassic6997
    @eduuclassic6997 11 หลายเดือนก่อน +3

    Yataka akili nyingi na kumuomba roho mtakatifu kumuelewa mwalimu.mwakasege,

  • @happyntalima4634
    @happyntalima4634 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa🙏

  • @jisraelel2334
    @jisraelel2334 11 หลายเดือนก่อน +1

    ROHO MTAKATIFU NAKUSHUKURU KWA UJMBE HUU. NIENDESHE KATIKA SAUTI YA MAAGIZO YAKO , KWA MAANA NINAPENDEZWA NAYO.

  • @PraiseMwaisumo-eu1xs
    @PraiseMwaisumo-eu1xs 8 หลายเดือนก่อน

    😍😍😍😍😍😍😍

  • @Noela-Wilfred-Kimasso
    @Noela-Wilfred-Kimasso 11 หลายเดือนก่อน

    Hata Sasa Bwana Umetusaidia

  • @RehemaKivamba
    @RehemaKivamba 11 หลายเดือนก่อน

    Yuko mbeya sehemu gani??

  • @christerbellaangelo4783
    @christerbellaangelo4783 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @janechengula2833
    @janechengula2833 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @dorismfinanga1478
    @dorismfinanga1478 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen

  • @NickolausHappy
    @NickolausHappy 11 หลายเดือนก่อน +1

    NA SISI SONGWE NI SEMINA YA MBEGU NA NI WAKATI WA MAVUNO TUNAJIUNGA KUPOKEA TOK MADHABAHUNI DAR ES SALAAM.

  • @annamgeni3453
    @annamgeni3453 11 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @yacntahellyrehema
    @yacntahellyrehema 11 หลายเดือนก่อน

    Amen😊

  • @farajabasila7811
    @farajabasila7811 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @MamaLio475
    @MamaLio475 11 หลายเดือนก่อน +1

  • @jenipherludovick5906
    @jenipherludovick5906 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @wililoatu989
    @wililoatu989 11 หลายเดือนก่อน +2

    Glory to God

  • @EzekielMlinge
    @EzekielMlinge 11 หลายเดือนก่อน

    Mbeya lini

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani wimbo mwanzoni kaimba nani?

    • @alfredkuria7673
      @alfredkuria7673 11 หลายเดือนก่อน +1

      Upendo Nkone

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@alfredkuria7673uwo wimbo wakwanza hajaimba upendo

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 7 หลายเดือนก่อน

    baba shalome shalome kwa wale waliyopo mbali tunakupataje tafadhali tupe number ya whastapp

  • @JoshLingz
    @JoshLingz 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AlfaSanga
    @AlfaSanga 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @marthaayo4980
    @marthaayo4980 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Milcahjkenny-b7y
    @Milcahjkenny-b7y 11 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv 11 หลายเดือนก่อน

    Aminaaa

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @annaangetile4666
    @annaangetile4666 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @merinamanya6069
    @merinamanya6069 11 หลายเดือนก่อน

  • @jacklineonany2948
    @jacklineonany2948 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RizikiRaphael-c7g
    @RizikiRaphael-c7g 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @HubaKasu-w3n
    @HubaKasu-w3n 11 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FranchescaJohn
    @FranchescaJohn 11 หลายเดือนก่อน

    Amen