MWANZO MWISHO MCHUNGAJI MGOGO ALIVYOMVUNJA MBAVU MAMA TIBAIJUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 676

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +143

    Mgogo wewe ni nomaaaa ni kweli kabsaaa DUNIA ili kusongea/ kufanya chochote tunategemeana

  • @TREASUREZION8
    @TREASUREZION8 4 ปีที่แล้ว +81

    Kenyans wapi likes🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ya Pastor Mgogo"Great Teachings & hilarious too😜🤣🤣🤣😜😜😜

    • @joshuakiingati4488
      @joshuakiingati4488 4 ปีที่แล้ว +1

      Siwezi kaa siku bila kumskiza mtumishi

    • @francismwangi3011
      @francismwangi3011 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyu ndiye man kush wa Tanzania...

    • @dorineatsiaya6794
      @dorineatsiaya6794 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 kafurahisha kwa kweli,barikiwa sana pastor 🙏🙏

    • @francismuya5302
      @francismuya5302 ปีที่แล้ว

      Here they come

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 ปีที่แล้ว +437

    Wanamkubali Mchngaji MGOGO agonge like hapa

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 4 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mchungaji ni muhimu sana katika maisha yetu. Very inspiring

    • @anamgesi2634
      @anamgesi2634 3 ปีที่แล้ว +1

      Duuuu! Jmn nimecheka mungu akubaliki sana kwa mafundisho mazuri

  • @reuben6130
    @reuben6130 2 ปีที่แล้ว +3

    From Kenya Sasa nimeona pastor mkweli alelluyaaaah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josephgagala2588
    @josephgagala2588 4 ปีที่แล้ว +42

    Aisee Mch umejaliwa kipaji cha kipekee sana, Mungu naazidi kukutumia Amina.

  • @abrahammorice3212
    @abrahammorice3212 4 ปีที่แล้ว +153

    Kwa huyu mchungaji bando langu haliendi bure🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @samwelmjika.8870
    @samwelmjika.8870 4 ปีที่แล้ว +28

    Lingeandaliwa kongamano kubwa la vijana pale taifa ..pastor aje vjna hatutabak kma tulivyo..Rc Makonda do this please

    • @neemamjengi9913
      @neemamjengi9913 4 ปีที่แล้ว

      Hakika mweshiwa alione hili,,,,tunayahitaji haya mafundisho

  • @mathiaskizito9780
    @mathiaskizito9780 4 ปีที่แล้ว +2

    Ase unae mkubali huyu mtumishi wa bwana. Ubarikiwe sna

  • @michaelmponeja2102
    @michaelmponeja2102 4 ปีที่แล้ว +42

    Unafaa kuuelimisha jamii kuhusu neno La mungu!

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 4 ปีที่แล้ว +92

    Mimi nimekuelewa sana mchungaji haina haja ya kuwa na akili nyingi kukuelewa na unayoyaongea ni maisha yetu ya kila siku, si kwa wakristo wala waislam.

  • @blasioshitsirishibachi9739
    @blasioshitsirishibachi9739 2 ปีที่แล้ว +5

    I love You apostolic messenger. You teach what I leaned in high school. ‘The modern Christian live principles’ Right on the point. Life as is.

  • @theworshiperheart
    @theworshiperheart 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaalaaaa,injili ya shambani uiitavyo Ni nzuri. Tunakupenda mtumishi wa Bwana. Hibiri kabisaaa,na mungu akuongezee neema

  • @winnifridaashery4449
    @winnifridaashery4449 4 ปีที่แล้ว +42

    Huyu ndo kiboko ya watumishi wooote.Barikiwa Mch.Mgogo

    • @annamzugi411
      @annamzugi411 4 ปีที่แล้ว

      WINNIFRIDA ASHERY we

    • @annamzugi411
      @annamzugi411 4 ปีที่แล้ว

      WINNIFRIDA ASHERY we we no mwalimu wa walimu kaka yng

  • @liliannamwaya8860
    @liliannamwaya8860 3 ปีที่แล้ว +6

    Ubarikiwe mchungaji Mungu akusitishie maisha marefu kwa ukweli wako.

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 ปีที่แล้ว

    Hakuna siku anakosea mch mgogo mungu amemshusha kwa tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥 hapa tuna mtu god bless mch mgogo

  • @evawayesu5865
    @evawayesu5865 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubaliki sana Baba 👍👍🥰 huwa na penda sana mafundisho yako Asante

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mchungaji ni comedian.😄😂😆😆

  • @davidwainaina3899
    @davidwainaina3899 2 ปีที่แล้ว +1

    God bless christians church leaders ,i Love you from KENYA Man of GOD for giving me happy, bible study, hii cinema ziwekwe kwenye bustani la jijini NAIROBI KENYA

  • @jumamuhando2504
    @jumamuhando2504 3 ปีที่แล้ว +5

    Am here 3/3/2021 nimemuelewa sana mchungaji point 👊.
    Note "ukiona mtu anakuzarau anataka akupate "

  • @oliviercamunani6863
    @oliviercamunani6863 2 ปีที่แล้ว +3

    PASTEUR Daniel Mgogo est reellement excellent. Dieu lui a donné un don parfait. La compréhension qu'il a de la parole et de la vie est extraordinaire. Merci infiniment.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nakukubali sana mchungaji Mgogo Mungu akubariki sana uendelee kutushibisha kwa neno tamu la Mungu.

  • @jacobsemwenda4923
    @jacobsemwenda4923 4 ปีที่แล้ว +19

    Mchungaji wewe ni professional, nimekukubari ubarikiwe Sana.

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua wewe Mchungaji mgogo ni MTU na NUSU ninakuelewa sana wangap wanamwelewa mgogo kama Mimi tia like hapa tuone.

  • @forgivepraisebetogod8196
    @forgivepraisebetogod8196 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakenya mko wapi? Gonga likes za injili.

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +20

    Asante mwalimu,maana mafundisho yako ni kweli kabisa.live by principles.

  • @linetlumadede1750
    @linetlumadede1750 4 ปีที่แล้ว +7

    Mchungaji na kupenda bure, you make me shed tears, mungu kweli alikuchakua. Mafundisho yako ni Mzuri mnoo.

  • @thebigdadyzebedayotz1140
    @thebigdadyzebedayotz1140 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi uifanye kazi ya mungu vyema

  • @radhanisenko3425
    @radhanisenko3425 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha mmmh nikweli baba mungu akubaliki baba

  • @akanakeza917
    @akanakeza917 4 ปีที่แล้ว +1

    pasta Wangu Nami Pia nakuelewa saana niko Burundi mucowa wa inyabisindu baba familia Yangu inakupenda saaaana Pia Nami NINAKUELEWA🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @MaliNgushani-bx1cj
    @MaliNgushani-bx1cj 11 หลายเดือนก่อน

    Mwamba ee chana yaliopo rohoni tunakukuli mungu akulinde ndani ya maisha Yako🙏🙏👌👌❤‍🔥❤‍🔥😍😍

  • @wazirihussein1800
    @wazirihussein1800 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nakukubari sana mungu akuzidishie ufaham na akupe umri mrefu

  • @yasintareva996
    @yasintareva996 ปีที่แล้ว

    Mchungaji sijui Mungu akupe nn ,ww ni mchungaji wa kwel unanifurahisha sana

  • @liliank.wilberforce7095
    @liliank.wilberforce7095 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe Ni wa baraka Sana kwa mwili wa Kristo.Umetubariki January na February pale Deliverance

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 ปีที่แล้ว +31

    Duh!! Huyu Jamaa anakipawa cha kuzungumza....tunawaita wasemaji...

    • @juliuskilae2492
      @juliuskilae2492 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubari sana mtumishi ,yani unatupariki sana

    • @andrewmellau7527
      @andrewmellau7527 3 ปีที่แล้ว +1

      Usiseme msemaji. Sema muhubiri wa . Neno la . Mungu.

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 4 ปีที่แล้ว +37

    #Mithali 22:2
    "[2]Tajiri na maskini hukutana pamoja;
    BWANA ndiye aliyewaumba wote wawili."

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa mchungaji nakubali maneno.uyasemayo katika uhubiri wako .

  • @mpenzujaneth7119
    @mpenzujaneth7119 4 ปีที่แล้ว +27

    Nabarikiwa sana na mahubiri yako Pastor, Mungu akulinde miaka mia

  • @osiakita346
    @osiakita346 4 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana baba Nimekuelewa kwa kweli nakuelewa sana unatoa elim ya Neno la Mungu la kumponya mtu Ubarikiwe sana

  • @user-dp8xf6su3r
    @user-dp8xf6su3r หลายเดือนก่อน

    ❤napenda Sanaa mubirii yake na mafunzoo

  • @user-nf3in4jw5l
    @user-nf3in4jw5l หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe mtumishi wa mungu unayo ongeanikweli 😂😂😂😂❤❤

  • @elizabethelizabethngajiro8755
    @elizabethelizabethngajiro8755 4 ปีที่แล้ว +31

    Wario barikiwa kama
    Mim weka like hapa

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 ปีที่แล้ว +22

    AMAZING! GOD bless you man of GOD

  • @emmauajustnbuvi3678
    @emmauajustnbuvi3678 4 ปีที่แล้ว +7

    Good preaching pastor God bless you

  • @ShidaKazungu-tp8ld
    @ShidaKazungu-tp8ld 2 หลายเดือนก่อน

    Ameni pastor pastor na kufatilia sana mahubiri yako

  • @peterlukose3987
    @peterlukose3987 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishii mgogoo,Saluteeeeeeee

  • @joelinmusau263
    @joelinmusau263 3 ปีที่แล้ว +5

    Wonderful thanks for your words of encourage

  • @johannes4127
    @johannes4127 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki sana sana sana sana sana sana sana sana sana

  • @patrickmbaji2737
    @patrickmbaji2737 ปีที่แล้ว

    Aki pastor nakupenda Bure tu mm Kwa mafundisho yko mazuri🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-hv2kr9pk9j
    @user-hv2kr9pk9j ปีที่แล้ว

    YESU KRISTO akubariki muchungaji na MUNGU akupe mwisho mwema

  • @primtivacharles6854
    @primtivacharles6854 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atujalie siku moja tupate kongamano kubwa la vijana Kila mkoa na mch Daniel mgogo

  • @thomkimaro5801
    @thomkimaro5801 4 ปีที่แล้ว

    mchungaji Mungu akulinde na mkono wa shetani. neno la Mungu liko pahala pake. mimi sijaokoka ila apa nimeanza nimepokea kitu. hakikaMungu niwawote.

  • @barakangobuku6031
    @barakangobuku6031 ปีที่แล้ว

    Mungu amuongezee miaka mingi za kuishi pastor daniel

  • @sabinaviolet805
    @sabinaviolet805 4 ปีที่แล้ว +21

    Mchungaji uko sawa kabisa💯✅nakupenda bure

  • @angelangare863
    @angelangare863 4 ปีที่แล้ว +17

    God Bless you man of God watching all the way from kenya

  • @nicholasrubando8148
    @nicholasrubando8148 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen asante neno na nimebarikiwa . watching from Kenya

  • @rhodahbranice5302
    @rhodahbranice5302 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda ukweli wako Sanaa mchungaji... Mungu akuinue juu juu Sanaa.

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli Kbsa Nimekuelewa Mzee Baba Umeongea Ukweli Kbsa Mtupu 2naishi Kwa Kutegemeana 🙏🏽🙏🏽👏👏

  • @jkonlinetv4262
    @jkonlinetv4262 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana mchungaji mafundisho yako yanabadilisha mtazamo

  • @oscarmwambene4411
    @oscarmwambene4411 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana huwa nakuelewa sana mtumish

  • @tembarooney7899
    @tembarooney7899 ปีที่แล้ว

    Nampenda hadi basss...ni kiwa Naiobi kenya❤❤❤❤❤❤😂

  • @agathakomba143
    @agathakomba143 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mchungaji kwa enjili unayotupa ,tutaponya nafsi zetu

  • @damianoadam1041
    @damianoadam1041 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji.unaongea uhalisia.Mungu akubariki

  • @ndilanajunior
    @ndilanajunior 4 ปีที่แล้ว +5

    uku unacheka uku unapata elimu 😂 respect

  • @kisimbopenina4313
    @kisimbopenina4313 4 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂😂😂 nmekuelewa mnoo mtumishi wa Mungu

  • @jamilaterry9724
    @jamilaterry9724 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwel kabisa baba MCHUNGAJI uko kwenye well kabisa ,ila wewe nomaaa!!

  • @romanambelle6356
    @romanambelle6356 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana mchungaji Mgogo. MB zangu haziishi bila kukusikiliza

  • @zachariangassa4189
    @zachariangassa4189 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji ubarikiwe na mungu wewe ni mteule wangu amina sana

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 4 ปีที่แล้ว +9

    You are a genius man of God

  • @gjsghe7322
    @gjsghe7322 4 ปีที่แล้ว

    Napende sana mafundisho yako.Mungu akuzidishie

  • @stanleymanya536
    @stanleymanya536 3 ปีที่แล้ว

    Uko na ukweli mwingi Sana japo ni kama stand-up comedian, Ubarikiwe sanaaa

  • @PatrickWambura-ls5zm
    @PatrickWambura-ls5zm 29 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mchongaji unanijenga sana sana natamani kujuwa kanisalako lilipo nikulete zawadi yangu nakupenda sana

  • @joshualwinga
    @joshualwinga 4 ปีที่แล้ว +15

    Bila chenga amaa kumng'unya maneno hiii ndiio injili....!!

  • @erastomwakalukwa3946
    @erastomwakalukwa3946 2 ปีที่แล้ว

    Tusiabudu vipawa na karama za watu,be blessed pastor!

  • @shaluamkumbo9880
    @shaluamkumbo9880 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante baba Mchg kwa mafundisho yako mazuri. Umeibariki j2 yangu ya leo. Hakika tunategemeana

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 4 ปีที่แล้ว +1

    Injili safi sana.. Ubarikiwe mchungaji

  • @anethalson3940
    @anethalson3940 4 ปีที่แล้ว

    Hongera xana pastor mungu akubarikiwe xana

  • @mumberearistote8518
    @mumberearistote8518 2 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu aliyekupa karama nakukufanya mhubiri mkubwa utukufu umurudilie kwakuwa tumebarikiwa kupitia haya mafundisho ubariwe na Mungu

  • @neemasanga2565
    @neemasanga2565 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki kwakwer mwe

  • @carolinemukami8222
    @carolinemukami8222 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mchungaji. Mafundisho sawa kabisa.

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubarika sana mchungaji.umenena vyema.

  • @markkwemoi8585
    @markkwemoi8585 ปีที่แล้ว

    Hapo n kweli kabiza Mtumishi wa mungu uko sawa 🙏🙏🙏

  • @AlexSwai-iv4ix
    @AlexSwai-iv4ix ปีที่แล้ว

    Baba mungu akubariki nimeupata ujumbe mzuri waungu kupitia ww

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Hongera mchungaji mgogo,, pasua pasaua tu njia ya ukweli tupite

  • @pstpenninahmakau3180
    @pstpenninahmakau3180 2 ปีที่แล้ว

    Servant of God you are blessed.Unanibariki kweli.

  • @chuggajuma2201
    @chuggajuma2201 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa na mkubali sana mahubiri take,mungu azidi kumuongezea kipaji hicho zaidi

  • @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny
    @RichardGilbartMPAGAZE-hk2ny ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe muchungaji mgogo nakupenda sana

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +7

    You inspire me pastor Daniel Mgogo

    • @yusuphlwanji9492
      @yusuphlwanji9492 3 ปีที่แล้ว

      Siku moja nilizani huyu mchungaji ni komed,lkn nimekubali mafundisho yake ni konki🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wemaibrahimkibona7865
    @wemaibrahimkibona7865 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi kwenye vikao hapo mungu atuponye

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamaa kichwa sana aisee😁😁😁👏👏👏

  • @kasiwakasi9453
    @kasiwakasi9453 4 ปีที่แล้ว +4

    Much respect pastor Daniel mgogo.

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahaha Barikiwa Sana Mtumishi

  • @georgerajula2824
    @georgerajula2824 4 ปีที่แล้ว

    Neno nzuri, nafurahia mafundisho kwa kweli

  • @danielmwadomukavuta7816
    @danielmwadomukavuta7816 ปีที่แล้ว

    Kwel kabsaa mchungaji. Mahubiri yako yananiweka kiwango cha juu

  • @mathayoluhanga2985
    @mathayoluhanga2985 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji hakika nimefurah sana kusikia neno lako barikiwa sana

  • @nelsonbenjamin515
    @nelsonbenjamin515 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji Mungu akubariki zaidi.

  • @gracedjuma3352
    @gracedjuma3352 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mchungaji nabarikiwa nahubiri yako

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 ปีที่แล้ว +25

    Hahahaha da! Huyu mchungaj always spoken the truth

  • @ongesanyamboga5384
    @ongesanyamboga5384 ปีที่แล้ว

    Yesu Kristo aendelee kubariki kazi ya mikono yako.

  • @stephenkihongozi2760
    @stephenkihongozi2760 4 ปีที่แล้ว

    mchungaji nimekuelewa vizuri sana barikiwa mtumishi