MAMA AANGUA KILIO AKIMUOMBA RAIS MWINYI, HOFU YA ENEO LAO KUJENGWA UWANJA WA NDEGE PAJE ZANZIBAR

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 7

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duh huu uwanja kwa mita sabini hadi mia mbili hadi kwenye mapango ya maji ya kunywa,viongozi tusaidieni wananchi kupata haki kwa hao wakaguzi hata ukiwauliza ofisi zao zipo wapi wanakujibu nenda kwa sheha,mbona sheha hayupo ktika zoezi hili

  • @kessysleyum
    @kessysleyum 5 หลายเดือนก่อน +1

    wana nchi semeni tu ukweli mnataka muwauzie wazungu,iyo paje yote ishanunuliwa

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani ccm mutatuuwa hali zanzibar ngumu

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 5 หลายเดือนก่อน +1

    mm hamn kitu kinach nishangaza km kusema mwinyi tusaidie mt yy nd mwizi mkuu kish unamuomb msaada

  • @Bin_Sumai
    @Bin_Sumai 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani kuna haja gani unapotaka kujenga nyumba yako ushauriane na watoto wako wakati kila mtu unamuwekea chumba chake ......
    Jenga nyumba BABA ukifa sisi watoto ndio warithi wako..... ijenge iwe na thamani ukiondoka itusaidie soteeeeee.

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 5 หลายเดือนก่อน +1

    kumb sio ss t bumbwini

  • @kessysleyum
    @kessysleyum 5 หลายเดือนก่อน +1

    wana nchi semeni tu ukweli mnataka muwauzie wazungu,iyo paje yote ishanunuliwa