BALOZI WA PALESTINE NCHINI TANZANIA AONGEA KWA UCHUNGU MKUBWA SANA TUNAULIWA KWA DHULUMA, NI UKOLONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 ปีที่แล้ว +8

    Poleni sana sana,lakini mimi nawashauri kidogo kama mnaona nguvu yenu ni ndogo basi kuweni wapole na tumieni siasa katika kudai haki yenu
    Endapo mtapona kufutika ktk ramani ya dunia huu awamu hizi basi jifunzeni wakati mwingine msichokoze vita tena.
    Tubuni makosa Mungu awasamehe

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 ปีที่แล้ว +19

    Walaikum warahmatullah wabarakatuh free Palestine 🇵🇸 🇵🇸 from 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

  • @husnasalim9614
    @husnasalim9614 ปีที่แล้ว +11

    Walaikum warahmatullah wabarakatuh free Palestine 🇵🇸 🇵🇸 from 🇹🇿

  • @HosianaBuuta
    @HosianaBuuta ปีที่แล้ว +1

    Mwenyeenzi Mungu reheme palestina na Israel

  • @mrok284
    @mrok284 ปีที่แล้ว +27

    Tunawapenda Wapalestina. Allah atawapa nguvu. Sisi sote tunawaombea kila tuswalipo. اللهم انصر اخواننا في فلسطين

    • @jasmintanga2474
      @jasmintanga2474 ปีที่แล้ว +1

      Aamin yaa rabb

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +1

      Amiin thumma Amiin

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว +1

      Amiin amiin amiin

    • @godsonkyara4896
      @godsonkyara4896 ปีที่แล้ว +1

      Nimeona wanajeshi wa Israel wanaomba Mungu na waislamu wanamuomba Mungu wao, kila mmoja anataka ushindi. Sasa niulize ivi Mungu ni mmoja? Je! Kama ni mmoja anajibu vipi maombi ya maadui wawili? Kama ni Mungu Mmoja nafikiri kuomba amani kwa watu hao maadui ni jambo muhimu sana.

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      @@godsonkyara4896 Sasa kinacho kushangaza weye kitu gani Mungu ni mmoja tuu hana mshirika Ikiwa anaweza kufanya usiku na mchana kwa wakat wak kinacho kushangaza weye kitu gani hebu uwaangalie ukubwa wa Mungu umetokana na tone la manii mpaka ukafika miezi 9 kwenye kiza kinene ukiwa mzima leo unataka kumpa Mungu mshirika

  • @JaphetJairos-mb7oh
    @JaphetJairos-mb7oh ปีที่แล้ว +9

    Mungu awape islael nguvu zaid

    • @joshuakasemelo1675
      @joshuakasemelo1675 ปีที่แล้ว +1

      ISRAEL mkono wa MUNGU

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      Mungu yupi anae taka madhwalim Mungu ameharamishia dhulma na hawapendi madhwalim

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ety mkono wa mungu​@@joshuakasemelo1675

  • @kiizanormannoah7134
    @kiizanormannoah7134 ปีที่แล้ว +17

    Mungu wa Israel atatenda 🇮🇱

    • @Auf-uh3jq
      @Auf-uh3jq ปีที่แล้ว

      Sasa Wewe wa wapi ama nimsukuma

    • @dottokagoro2164
      @dottokagoro2164 ปีที่แล้ว

      @@Auf-uh3jq msukuma tena 😀😀

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว

      Huyu mpinzani kwani kitabu gani umesoma hawa wote watoto wa Ibrahim wewe unafurahia wasio na hatia kufa hao si wahamiaji tuu

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv ปีที่แล้ว +8

    Yaaa Allah walide ndugu zetu wa Palestina Na vitimbi vya Waya hudî Allahumma Ameen ❤ love Palestina ❤

  • @aflahabdula4084
    @aflahabdula4084 ปีที่แล้ว +25

    YA ALLAH WAFANYIE WEPESI NDUGU ZETU KWA HAKIKA HAKUNA KINACHO KUSHINDA WAFUTE MACHOZI WANAYOLIA MUDA MREFU 🙏🏻🙏🏻

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +1

      Amiin thumma Amiin 🇵🇸

    • @edoyoseph4606
      @edoyoseph4606 ปีที่แล้ว

      pia Allah waondolee uchokoz wape hkima

    • @swalehmohamed3034
      @swalehmohamed3034 ปีที่แล้ว +1

      Ameen Yaa Rabb thumma ameen

    • @shaniisack1153
      @shaniisack1153 ปีที่แล้ว

      Allah walinde watu was Palestine waangamize waisrael

  • @emmanuelbayi4640
    @emmanuelbayi4640 ปีที่แล้ว +2

    Asantee izraeli wapigeni hao plesta mungu ibariki izraeli

    • @stevendavid8054
      @stevendavid8054 ปีที่แล้ว

      Usiwe mlopokaji hekima ya Mungu ikusaidie

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 11 หลายเดือนก่อน

      Mh mungu akupe roho saf

  • @NgengeMkeni-uo5hq
    @NgengeMkeni-uo5hq ปีที่แล้ว +9

    Mungu endelea kulibariki taifa la Israel🇮🇱☝🏿

  • @martinkioko303
    @martinkioko303 ปีที่แล้ว +8

    Matokeo ya ugaidi na bado they have to pay dearly and lessons will be learnt for centuries to come

  • @hawahussein137
    @hawahussein137 ปีที่แล้ว +11

    Allah awanusuru ndugu zetu palestine Insha Allah

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu waweke huru ndugu zetu wapalestina yaarab

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 ปีที่แล้ว +4

    Ngoja mpigwe Israel hoyee!

  • @fhnchjk5195
    @fhnchjk5195 ปีที่แล้ว

    Waleykum Salam warahmatullah 🇹🇿🇵🇸welcome Tanzania

  • @phchouse
    @phchouse ปีที่แล้ว +26

    Atwambie walipo watanzania wawili walio tekwa na maharamia wa Gaza Hamas.
    Pia muda umefika wa watanzania kujitambua. Wanakuwa wenzetu sababu wana shida?
    Na kwanini Wana tawanya chuki badala ya kujifunza kuishi kwa pamoja na kuheshimiana.
    Mbona waarabu walitufanya watumwa kwa kalne 12 lakini tunaishi nao kwa Amani.
    Matatizo yao watayatatua wenyewe, sisi weusi hatuwezi kutatu hata aje ana toa maachozi ya damu.
    Yaani sisi tufunge mkono mtu aliyeenda kuuwa watoto, wanawake na wazee. Pia kuteka watu 250 wakiwepo watanzania wawili. Kuna watu hapa nchini Hawa jitambui kabisa

    • @Splash_goodness
      @Splash_goodness ปีที่แล้ว +5

      Well said kabisaa

    • @KondeKazungu
      @KondeKazungu ปีที่แล้ว +6

      Hukucheza shuleni ulitumia karo ya mzazi ipasavyo uelewa wa hali ya juu

    • @AhmedKampe-j2j
      @AhmedKampe-j2j ปีที่แล้ว

      Hawa masheh wengine ni mchongo mtupu dini Haina upendeleo dini imejengwa kwa haki nani alieanza kumshambulia mwenzie na kuuwa takriban watu 1400 hao wote walikuwa sio viumbe maanayake hata wangekuwa wanyama hawakutakiwa kuuwawa kila kitu marekani kwani marekani na Israel hakuna waislam na je ninyi kama masheh mnaojitambua kuna mtu aliye tumwa na MUNGU ili amsaidie kuuwa watu hata kama wanamakosa acheni mamboyenu usione unasali kila siku lakini dini bado huijui na mlevi ndio maana iliingia peponi na alietia chakura kwenye kinywa Cha mtu mwenye njaa na kumnywesha na kumvisha na muisrael si myahudi, myahudi maandiko yanasema ni mtu kutoka Samaria na pia mparestina ni ndugu kabisa wa muisraeli ni ninyi na dinizenu ndio mnawachonganisha wanauwana kwanza nao hawajitambui siku wakijitambuwa na huo ugomvi hautokuwepo na mbaya zaidi hapo aliye wachokozea huwo moto ni mrusi kupitia Irani kwa mkono wa Hamas kisingizio cha dini na ndio maana leo nyie hapo mpo kuomba duwa kumraani ndugu mmoja bila kujuwa pia hata marekani na Israel wapo waislam

    • @brendabenedict9466
      @brendabenedict9466 ปีที่แล้ว +8

      safi sanaaaa, nakuunga mkono ndugu yangu sisi mbn tukipata shida hasa mambo ya ubaguzi amna hata taifa moja la kiarabu wanatoa tamko hata ila yy kasimama hapo kuwandisha nyie muwaunge mkono, aende zale uko asitafike huruma kwa mataifa ya kiafrika ambayo kila leo wanatunyanyasa dada zetu wakienda kufany kazi huko wanageuzwa watumwa na sio watumishi wa ndan, amke mwenyewe na taifa lake na ya kiarabu waende wakapigane

    • @Jrhythms.
      @Jrhythms. ปีที่แล้ว +3

      Wewe ndio inaonekana hujitambui sasa rudi shule ndugu yangu hujui unachoongea maskini.

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 ปีที่แล้ว +6

    Makafiri niwale wasiyojua BWANA YESU KRISTO. DAMU YA BWANA YESU YATOSHA. Don't cry, ISRAEL BELONG TO GOD, HIS FIRST SON . And The LORD said, I will give you this LAND and to your children after you. Fear not O ISRAEL for I'm with you, I WILL not leave you no forsake. All GLORY AND BLESSING AND HONOR AND POWER AND PRAISE BE TO OUR LORD JESUS CHRIST. AMEN.

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว

      Kwa uwezo wa Allah palestine itashinda hivi vita

    • @godlistenJohn
      @godlistenJohn ปีที่แล้ว

      ​@@nurumwinyi796 tatizo nchi zakiarabu zimeisaliti Palestine, umoja hakuna, bila umoja Palestine haiwezi chochote peke yake, Israel ipo na washarika wakutosha na wananguvu

    • @FearlessAfrican
      @FearlessAfrican ปีที่แล้ว +2

      @@nurumwinyi796 Mungu wa Israeli ndiye Mungu wa Miujiza. Miujiza yote mikuu ilitendeka katika Israeli. Miujiza Gani ikafanyika Uarabuni?

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว

      Unatetea dhulma?!😤

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 ปีที่แล้ว +18

    ''FREE FREE PALESTINE''
    ☝ALLAHU AKBARU☝

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      Allah Akbar

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      Free palestine 🇵🇸🇵🇸

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 ปีที่แล้ว +2

    Nimegandishwa sana na hii video ni safi sana mungu atubariki sana na uislamu wetu udumu sana milele na milele naipenda dini yangu y kiisilamu naichukia sana ezrael.

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 ปีที่แล้ว

      Hudumu kwa faida gani?

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      ​@@victorsanga2229siku ukipata akili utaijua faida zake nakukumbusha tuu hakuna sanda ya mtumba

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +17

    Mwenyezi awatie nguvu wapelestina wote....🇵🇸♥️👏✌️

    • @nicholauskilosa5336
      @nicholauskilosa5336 ปีที่แล้ว +1

      Wajinga hao jamaa zako,kama walikua hawana uwezo wakupambana ilikuaje wakachokoza alafu saahiz wanatafuta huruma

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @EdwinMbwilo-fj6bf
      @EdwinMbwilo-fj6bf ปีที่แล้ว +1

      Dunia imekaa kimya na inashangaa vita wameanza wapestina na wanalia wenyewe. Ni Ujinga na kutojitambua.

    • @omanmct135
      @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

      Aaaalllah huma amen yarab

    • @omanmct135
      @omanmct135 ปีที่แล้ว +1

      Kwanza wayahudi hawanachi wameiba

  • @cyprinernyaimwamu
    @cyprinernyaimwamu ปีที่แล้ว +1

    Israel ni taifa la Mungu,watanzania musiingilie huo ugomvii,mwache wapigane wenyewee.

    • @cyprinernyaimwamu
      @cyprinernyaimwamu ปีที่แล้ว

      Tanzanian ni nci ya amani ,tutawapokea wakijaa.

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +5

    Allah awape pepo ya firdaus waislam wote waliopoteza maisha

    • @jamilajumaa2980
      @jamilajumaa2980 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @AminaAmina-gs9zz
      @AminaAmina-gs9zz ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu muumba mbingu na inchi epusha vita hii maliza vita tunaomba amani kwa pande zote na uwasamehe wote walio kufa kupitia vita hii wa christo,waislam,wote walio angamia ni waja wako wasamehe dhambi zao na uwakaribishe katika ufalume wako Amen🙏🙏🙏

  • @Abdulrahman1971Abdulrahman
    @Abdulrahman1971Abdulrahman ปีที่แล้ว +1

    Subhaana Allaah...Tuko pamoja na Waislamu wote Ulimwenguni...Mzima...

    • @mohamedibrahim7236
      @mohamedibrahim7236 ปีที่แล้ว

      kitu ina ni shangaza nchi za uarabuni wote wame kuwa kimya naya pili misri ime funga rafah ili wana wake na watoto wa ingie na nchi kama turki na polifia wame kata na uhisiano lakini nchi za uarabuni akuna mtu ame fanya hivo na watu wengi wa ulimwengi wako na huzuni

  • @zulkhasalim3405
    @zulkhasalim3405 ปีที่แล้ว +18

    Yaa Allah(s.w)wape nusra na ushindi ndugu zetu wa Palestine na uangamize utawala wa kizayuni kama ulivouangamiza utawala wa Fir-auni🙏🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸❤️🥲

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      Amiin

    • @salimothmanhoza
      @salimothmanhoza ปีที่แล้ว +2

      Yahweh wape ushindi Wana wa Israel,timiza ahadi Yako,aameen!

    • @amsangi9949
      @amsangi9949 ปีที่แล้ว +1

      Aminaaa wameshalaaniwa mpaka Siku ya Kiama

    • @mwakatundujr1674
      @mwakatundujr1674 ปีที่แล้ว +2

      ​@@amsangi9949unaempa laana anazidi kuimarika na kukupigia ndugu zako😅😅😅

  • @HemediAhmedi
    @HemediAhmedi ปีที่แล้ว +2

    Bisbillaahi lrahmaani lrahym yaa rabbanaa nakuomba waondoleemabalaa waparestina na wape amaani waparestina yaa rabbii

  • @abuuyusufamashi5459
    @abuuyusufamashi5459 ปีที่แล้ว +40

    اللهم انصر إخواننا في الفلسطين

  • @IddiSaleh-n8j
    @IddiSaleh-n8j ปีที่แล้ว +1

    Poleni ndundu zetu wapalestina mungu yupo pamoja nanyi atawapa nguvu muwashinde makafiri

    • @LucasMwanamlya
      @LucasMwanamlya หลายเดือนก่อน

      Wewe ni mpalestina

  • @wahidashabaz814
    @wahidashabaz814 ปีที่แล้ว +3

    Allah tujalie amani na huruma katika taifa la palestin na tujalie umoja ummati muhammad na kushikirikian.

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 ปีที่แล้ว +5

    Nguvu moja ezilael💪💪

  • @Paul-w9f8i
    @Paul-w9f8i ปีที่แล้ว +4

    Tanzania fungeni ubalozi wa palestina.hiyo ni mbegu chafu.kama kuna waislamu wanawaunga mkono waende naye Gaza wakapambane na taifa teule.

  • @NdayisabaKarim
    @NdayisabaKarim ปีที่แล้ว +3

    Allah azidi kunusuru waisilamu wooote wenye wako phalestwine

  • @jumadinya3796
    @jumadinya3796 ปีที่แล้ว +4

    YA ALLAH WAANGAMIZE MAYAHUDI NA WASHIRIKA WAKE DUNIANI TUNUSURU KWA MAJESHI YAKO YA ALLAH WAREHEMU MAITI WOTE PALESTINA AMINA

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 ปีที่แล้ว +2

      Mungu anazidi kuwabiriki waisrael na kuwata akili Kila kukicha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@miltonjohn9779thubutu, mbona hawajawahi kuishi kwa amani kila kukicha wanapigwa vita.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@miltonjohn9779yohana 17:3

    • @jumadinya3796
      @jumadinya3796 ปีที่แล้ว

      @@miltonjohn9779 unaonaje ni sawa kuuliwa hao wapalestna

  • @salminisaleh9249
    @salminisaleh9249 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢 Inshallah 🙏 Allah Ataleta Ushindi Na Dhulma Hii Ya Makafiri. Wapalestina Watashinda Inshallah 🙏

    • @martinkioko303
      @martinkioko303 ปีที่แล้ว

      Forget

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

      MAKAFIRI NI NANI ACHA UPUMBAVU

    • @kawiche4911
      @kawiche4911 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim alikuwa na wake wawili Sara na HAJA sasa watotocwso bdio waislamu na wayahudi na WAKRISTO sasa Kafiri ni yupi , Kila binadamu ana haki mbele za Mungu
      , acha ujinga kuita wengine makairi shuke umeenda wapi

    • @AminaAmina-gs9zz
      @AminaAmina-gs9zz ปีที่แล้ว

      Mimi hujiuliza sana hivi waislam kwa nini huita dini tofauti makafiri hivi mko mnajihesabia haji mbele ya Mungu nyinyi ni nani? Then I pray for all both sides to end the war my heart goes to the innocent peoples who dies and lost their life may God grant them HEAVEN and forgive them their sin Amen ❤❤

  • @YusraHamadi
    @YusraHamadi ปีที่แล้ว +8

    Allah anaona kwa hakika atawanusuru wapalestina wote bi-idhnillah 🙏🙏🙏

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +2

    Free palestine 🇵🇸🇵🇸🇵🇸☝️☝️

  • @African511
    @African511 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana balozi wa Palestine 🇵🇸 Mungu yupo nanyi na Dunia nzima tupo nanyi tunawaombea.

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 ปีที่แล้ว

      Ujinga ujinga tu! Vita muanzishe wenyewe alafu mnaanza kulialia! Hamas wameingia Israel na kuuwa watu 1200! Kwahiyo nyie hamkutaka wajibu mapigo? Ujinga ujinga tu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 ปีที่แล้ว +1

      Dunia ipi usijumlishe wengine .. others we stand with Israel 😅😅

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว +1


      Wewe una chuki zako binafsi mwenye akili vzr hafurahii mauaji ya wasio kua na hatia

  • @katemboyamotomoto420
    @katemboyamotomoto420 ปีที่แล้ว

    Inshallah Allah awape wepesi Palestine wa tashinda zidi ya makafiri

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว +4

    Allah atawafanyien wepes ndugu zeti tuko pamoja sema sina nguvu lait ngekua na nguvu ngeisaidya palestina daah poleni sana

  • @yusuphmakangemakange4474
    @yusuphmakangemakange4474 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mungu muumba mbingu nakila kichopo dunian wabariki ndug zetu walioko palstyn ibariki Tanzania ibariki Africa

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa ปีที่แล้ว +5

    Mungu waisraer uwalimde uwatete nawatu wanao wanenea mabaya nakupanga njama juu ya israer yote wayapangayo yawe juuyao wanaopanga mungu waisraer barik israer milele

    • @emmae9837
      @emmae9837 ปีที่แล้ว +1

      ❤❤🙏🙏🙏 amen amen

    • @amsangi9949
      @amsangi9949 ปีที่แล้ว

      Imekwishalaaniwa

    • @shabaniduduma8885
      @shabaniduduma8885 ปีที่แล้ว +1

      Israel we inakuhusu nini mbongo? Mwanamke mzima unasifia watu wakifa kwa ushetan,au nawewe ni Myahudi?

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 ปีที่แล้ว

      Mungu ni wa wote sio mungu wa israeil(ulimwengu mzima)

  • @janitashelyn1103
    @janitashelyn1103 ปีที่แล้ว +2

    God protect Israel in the name of Jesus I pray amen

    • @salma0000
      @salma0000 ปีที่แล้ว

      Ass licker, they'll spit at your stupid face if they see you. Free Palestine 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 ปีที่แล้ว +8

    Ameen ameen allah protect all muslim over the world 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🇵🇸🇵🇸🇵🇸

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 ปีที่แล้ว +2

    Yarabi tunakuomba kwautukufu wako na kwaizini yamtume wetukipenz yarasulallah wanusuru nduguzetu wapalestina katika Imani nauendelee kuulinda uislam juuyahao mayahudi Amin amin amin

  • @angelsgabriely3575
    @angelsgabriely3575 ปีที่แล้ว +7

    Kwan wakat kikundi cha hamas kimeanza kwenda kushambulia Israel mbona hamjasema na kukemea?..mmeona israel nao wanajitetea ndo mnaibuka kusema!.hvyo mltaka Israel waendelee kuwawa na hamas?.kemeeni kwanza na kustopsha hao hamas walioanza vita

  • @tommuturi.reallymijikendap8870
    @tommuturi.reallymijikendap8870 ปีที่แล้ว +1

    shida si wapalestina shida ni makundi haramu ya kidini. yanajificha katikati ya raia. mungu atunusuru.

  • @daudimazengo7772
    @daudimazengo7772 ปีที่แล้ว +8

    Mwenyezi Mungu atajidhihirisha kwa mwenye haki.
    USA na washiriki wao hawajawahi kuwa na nia njema kwa Dunia.

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 ปีที่แล้ว

      Tayari Mwenyezi Mungu ameshajidhihirisha tayari na Anae shinda ndio mwenye haki

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@nicksonlyimo1562anayeshinda nani?. Israeli? Kwa kutumia nguvu za Marekani au

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@nicksonlyimo1562yohana 17:3

    • @daudimazengo7772
      @daudimazengo7772 ปีที่แล้ว

      @@nicksonlyimo1562
      Hii vita na suala la Palestina na Israel ni gumu ndugu yangu kuliko tunavyoweza sema kiurahisi.
      Tuachane na habari za Taifa teule na siasa kama hizo. Tutangulize utu aka ubinadamu kwanza.
      Ukiona mtu anasaidiwa na Marekani na mataifa ya Ulaya ujue wao wana maslahi Yao binafsi na huyo mtu ananyonywa tu kwa kivuli Cha kusaidiwa.
      Tuombee ndugu zetu wapalestina.
      Mm ni Mkristu Tena Mroma aka Mkatoliki. Lakini nachoangalia ni utu kwanza mbali na siasa za wanafiki wa Dunia hii.
      Mungu hatatuhukumu kwa dini zetu ila utu wetu. Vilio vya wanyonge wa Palestina vitatuhusu wote tunaoshabikia.
      Israel chokochoko zake Toka enzi na enzi hajawahi tulia zidi ya Palestina.
      Ugomvi wa kipande hicho Cha Ardhi ni history ndefu na maazimio mengi yamefanyika na Israeli wekuwa wakiyakiuka.
      Hivyo tusiende haraka kuhukumu ila tuombee vita vikome na ubinadamu utamalaki

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 ปีที่แล้ว

      @@Catherine-mh8sw kinacho fanyika Israel sio swala la marekani au nchi yoyote ,ujue 2 kia hakuna binadamu anaekosa rafiki ,au nchi ikakosa wa kumsaidia mwingine ,hata sisi Tz tulipambana na Uganda na tulipata marafiki walio jitolea kufa na sisi wa Tanzania na tukashinda vita na idi amin alikua na wakwake Kama gadari wa Libya na tukawaaibisha pamoja na hayo yote Mungu alitupigania kwa kua aliona tunaonewa tulishinda Ile vita kwa kishindo kikubwa Hadi Leo ni historia ya kimataifa isio Isha,idiamin alikua na silaha za kisasa haswa lakini haki iliamua,hata wewe unae rafiki kwa matatizo yako yanapo kusibu ,hata wapalestina wanao wanaowasaidia ,hao wanao piga kelele za vitisho ,Yule ambae Mungu atamhurumia basi ndiebatakae mtetea kwani atakua anaonewa ,sisi wanadamu tunapendelea kutokana na hulka yetu tukidhani kulaumu au kumsikitikia mwenye matatizo ndio njia ya kuyakomesha sii kweli Wala kutaja Mungu eti ndio itakua ushawishi kwa Mungu kumtetea sii kweli kwani Mungu anatazama tofauti na wanadamu na anajibu Kama alivyopenda elewa hilo

  • @rubenigaudence4940
    @rubenigaudence4940 ปีที่แล้ว

    Mungu wape wepesi ndugu hao maana wewe c Mungu wa vita saidia watu hao wape nguvu mpya waachane na ubaguzi huo Amina

  • @PoulinSimon
    @PoulinSimon ปีที่แล้ว +4

    Tunaomba tumsikilize na balozi wa israel

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 ปีที่แล้ว +1

    Allah awastiri ndgu zg Palestine ❤❤

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 ปีที่แล้ว +8

    *Yesu Mungu Wa kweli Wanyenyekeze watoto wako wajue yaliyo mapenzi mema*

    • @HafidhKhamis-ph8qg
      @HafidhKhamis-ph8qg ปีที่แล้ว +1

      We acha kufru humu ka kimya

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว +2

      Yohana 17:3

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      Huyo yesu mwenyewe si ndio aliuliwa na hao hao waisrael mayahudi.. Leo Tena unamshirikisha yesu.. 😂

  • @gabrielmarcel3776
    @gabrielmarcel3776 ปีที่แล้ว +1

    Kwani Hamas walipo vamia israel na kuuwa watu mbona hamkukemea mlikua mnashangilia kua wameua makafiri, Kwahiyo waliouwawa israel walikua nyani ila nyie ndo binadam, stand with Israel❤

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 ปีที่แล้ว +7

    Viva Palestine vivaa 👍💪🇹🇿🇹🇿🇵🇸🇵🇸

    • @sureboyofficial6473
      @sureboyofficial6473 ปีที่แล้ว

      Mungu ilinde #AFRIKA Haihusiki na chochote toka mwanzo wa historia ya dunia ,#MWAFIKA NI MWAFRIKA ,AMANI ITAWALE ULIMWENGUNI NA WAFRIKA ISIGUSWE HATA ANGA YAKE ,NI WAKATI WA MUAFRIKA KUAMKA NAKUSIKILIZA MITHALI NA MISEMO YA WAZEE WETU

    • @sureboyofficial6473
      @sureboyofficial6473 ปีที่แล้ว

      WAZEE WETU WALISEMA ##VITA_VYA_PANZI_NI_FURAHA_KWA_KUNGURU TUSIJIHUSISHE MAANA TUSIJEKUWA PANZI TUKANYAKULIWA NA KUNGURU,YOTE NI MIPANGO TU

    • @AminaAmina-gs9zz
      @AminaAmina-gs9zz ปีที่แล้ว

      @@sureboyofficial6473 unahakili sana nimependa comment yako unajitambua ❤❤

  • @jasmintanga2474
    @jasmintanga2474 ปีที่แล้ว +1

    Allah awape ushindi wa hali ya juu ndug zetu wapalestin

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +5

    Hakuna baada ya dhiki dhiki, Inn Shaa Allah mtashinda kwa kishindo Tena kikubwaaaa mno

  • @Shockabsober
    @Shockabsober ปีที่แล้ว +1

    Kwendeni uko kwenu, mheshimuni Mwisrail utabarikiwa na Mungu

  • @thamani5842
    @thamani5842 ปีที่แล้ว +12

    Yaa ALLAH, wewe ni muweza wa kila kitu iteremshe amani Palestin

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 ปีที่แล้ว +1

    Mpigwe kabisa kwa jina la Yesu. Mmeichoza wenyewe Israel halafu mnajiona wenye haki.
    Free Israel_ Mtamjua Mungu wao kipindi hiki

  • @eliaslaurent940
    @eliaslaurent940 ปีที่แล้ว +7

    Hawa watu wanahitaji suluhu,tu Ni wajukuu wa iblahim wote Ni familia moja

    • @shifaaal-baity4503
      @shifaaal-baity4503 ปีที่แล้ว

      Iblahim ni nani?

    • @Awatee
      @Awatee ปีที่แล้ว

      Wayahudi hawana ata 1 wanao mtaka zaidi ya ufisadi ktk ardhi laanatullah

  • @RichardJailo-pp7kj
    @RichardJailo-pp7kj ปีที่แล้ว +1

    Wapalestina waliwakumbatia hao wabaya ndiomaana walikimbilia kwao raia Moto ni Moto

  • @ABDULShq-wv6st
    @ABDULShq-wv6st ปีที่แล้ว +3

    ❤❤❤We love you May Allah protect my Muslim brothers

  • @BonifacePunte
    @BonifacePunte ปีที่แล้ว +1

    Mzee umejitahidi sana kutafsiri.

  • @simonlulenga7062
    @simonlulenga7062 ปีที่แล้ว +4

    Watukifu waisilamu vita hivi si vya kidini ni vita vya wawili tu wafilisti na waebrania basi. Wengine tukae tukimwomba Mungu rehema awahurumie watu hawa wamalize tofauti zao

    • @suleimanabdillah7490
      @suleimanabdillah7490 ปีที่แล้ว +1

      Ni wapuuzi tu wanaoweza kuuelewa ujumbe,na hata ingekua hivyo kunahaki gani ya kuua wanaadam aliyewaumba Mungu kwa halaiki

    • @edsonndomba1049
      @edsonndomba1049 ปีที่แล้ว +1

      Kwan Nani ameanza mashamnulizi na mauaji

  • @ombenijelos2993
    @ombenijelos2993 ปีที่แล้ว

    HAKUNA AMANI NJE YA YESU KRISTO mtapigwa mpaka muikimbie DUNIA israel ni taifa teule la MUNGU msijipe moyo kuwa mtashinda hii vita labda mshinde njaa (YESU NI MUNGU) love 🇮🇱

  • @AshimNassor
    @AshimNassor ปีที่แล้ว +3

    Allah awafanyie wepesi yarabby wakati huu mgumu

  • @ahmedmsangi1653
    @ahmedmsangi1653 ปีที่แล้ว +2

    Innalilahi wa innailaih rajiun hakika kila mwenye nguvu na akazitumia vibaya basi yupo mtenza nguvu na atawapa udhalim na udhalili

  • @seifjuma4252
    @seifjuma4252 ปีที่แล้ว +3

    Allah wape nguv na ueledi wa vita kama ulivo wapa waislam wenzet katika vita vya Baddru na Ukhhudi inshallah,,,Bless Palestina. we love Palestinian

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว +1

      Pumbafu kabisaa yaan badala ya kuombea Vita viishe we unaongeaa wapate weledi WA vita...hivi nyie elimu mnaachaga wapi....anyway ...my one parent is jew...and l hate that war... I hate killing innocent people.. Mungu twakuomba maliza mzozo Kwa suluhu ya kudum

    • @AminaAmina-gs9zz
      @AminaAmina-gs9zz ปีที่แล้ว

      @@flova7022 unajitambua maombi mazuri ❤❤

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 ปีที่แล้ว +2

    Ilove palestina❤❤

  • @julianajackson8031
    @julianajackson8031 ปีที่แล้ว +4

    Muache uchokozi mlianza kuwapiga wenzenu Kwa Nini na bado mnaendelea kuwapiga acheni kaeni wote Kwa upendo

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu ปีที่แล้ว

      Umeona eee acha wapigwe

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

      Wewe hujui chochote wewe.. huyo huyo unaemtetea muisrael ndio kwanza nyinyi wenzetu mnadai walimuua mungu wenu YAANI yesu wenu.. Sasa je na huyo yesu wenu aliwachokoza hao mayahudi mpaka wakamuua au??

  • @davidngenda924
    @davidngenda924 ปีที่แล้ว

    Ila wabongo, noma sana kwo anatafuta huruma huku Tz

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 ปีที่แล้ว +9

    Haki itapatika lakini kwajudi za kumlilia Allah kwalilayi sio kwa unafiki

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 7 หลายเดือนก่อน

    Ewe mungu iangamize iziraili na washirika wake wotee

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 ปีที่แล้ว +4

    Allahumma aaminn tutashinda wapalestina

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nawaombea wote bwana yesu awasuluhishe,hila tusipande roho za chuki baina yetu,tuwe makini na hawa watu weupe,tusije kufanana na nchi zao wana vita kila kukicha na wanakimbilia kwetu kututia roho za chuki hapana kwa jina la yesu.sisi tanzania ni wamoja na ndugu bhasi

  • @anthonywachira9857
    @anthonywachira9857 ปีที่แล้ว +5

    Don’t forget how all these chaos unfolded and turned out to be a humanitarian catastrophe

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 ปีที่แล้ว

    Allah akbar mungu iokoe palestina na madhalim

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 ปีที่แล้ว +16

    اللهم انصر اخواننا في فلسطين

    • @PoulinSimon
      @PoulinSimon ปีที่แล้ว

      Badala ya kuwaombea amani et unawatakia ushindi wapalestina, paleatina kumpiga israel siyo rahisi

    • @nadinenturo7553
      @nadinenturo7553 ปีที่แล้ว +1

      Viva Israel ❤❤ we stand with Israel victory with go to the IDF , not terrorist Hamas

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      Free palestine 🇵🇸 ✌️

    • @MUKSINIMBARUKU
      @MUKSINIMBARUKU ปีที่แล้ว

      @@PoulinSimon wamevamiwa kwenye ardhi yao na waingereza ndio waliwachukua wapalestina wakawapeleka pale. Baadae ikaanza kuvamia maeneo ya wapalestina zaidi

  • @ZaituniOmary-z2j
    @ZaituniOmary-z2j ปีที่แล้ว

    Walyikum salam warahimatulah wabarakatuh mungu wahurumie wapalisitin

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 ปีที่แล้ว +4

    Mlichokoza wenyewe kwani hamkujiandaa HAMAS WAMEWAPONZA WANANCHI WA PALESTINA MSICHOKOZE KAMA HAMNA UWEZO WA KUJILINDA.

    • @husseinally6699
      @husseinally6699 ปีที่แล้ว

      Kiukweli mm nawachukia israel ( wayahudi) lakin kinachoniuma sana hamas wao ndo walianza mashambulizi najua kwamba wamejiandaa vizur , badala yake chuki za wayahud wanazimalizia kwa wananchi wa palestina , hamasi walitegemea nn baada ya kuchokoza mzinga wa nyuki?
      Wajifunze kwa urusi, ilivamia ukraine ilijipanga ndo maana mpaka sasa pamoja na kuungwa mkono na marekani lakini bado ukraine inachezea kichapo
      Allah awanusuru palestina

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 ปีที่แล้ว

      ​@@husseinally6699Ndo shida hiyo Sasa,halafu hamas inaonekana wanajichanga na raia wa kawaida na waisraeli wamekuwa Kama mbogo aliyejeruiwa wanatupa tu mabomu.

  • @NaomiLivingstone
    @NaomiLivingstone ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh ปีที่แล้ว +5

    Tupo pamoja ni ndugu zetu waisilam wa parestina inshaallah tutshinda kwa sote

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      InshaAllah amiin

    • @bonifaceomallya9201
      @bonifaceomallya9201 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 Mtashinda kapigane na wewe 😂😂😂😂😂

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh ปีที่แล้ว +1

      Mahayudi hawahaja na waksito wala waisilam we mjinga jipendekeze hujui historia ya hapo

    • @Omarjumanne-zm9zh
      @Omarjumanne-zm9zh ปีที่แล้ว +1

      Msikize malema kiongozi wachama cha ANc anaongea juu ya waparestina weye mbubu tu

  • @maulidinchasi6401
    @maulidinchasi6401 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalinde na.walotangulia Allah awape makazi mema

  • @MagutaMabawa-hz7if
    @MagutaMabawa-hz7if ปีที่แล้ว +4

    Mungu Ibariki Israel 🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱

    • @salumkhamis8547
      @salumkhamis8547 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi weye hujielewi hawa wanaipelekesha dunia nzima yaani hadi sie waaffrika wanatuibia RASILIMALI

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 ปีที่แล้ว +1

    Nduguzangu wa Palestine pamoja na wa Israel tunawapenda wote Hamas waache kuchonganisha Palestine na Israel na kusababisha vifo ya wasiokuwa na hatia

  • @jacobtandila2019
    @jacobtandila2019 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania tunajibebesha mambo yasiyo tuhusu

    • @seifjuma4252
      @seifjuma4252 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio wa kwanza kuftlia habar zisizo kuhusu nan kakuambia ucommet habar isio kuhusu,, katafute jembe ukalime

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

    We stand with Palestinians!!

  • @mkude
    @mkude ปีที่แล้ว +3

    Free Palestine 🇵🇸,balozi wa Palestine tupo pamoja na wewe tunawaombea dua ndugu zetu wa palestine dhidi ya wavamizi wa Israel.

  • @BinHakim
    @BinHakim ปีที่แล้ว +2

    Ee mwenyezi Mungu wabariki Waisraeli kwakuwa wamechokozwa kwakupigwa mabomu na kundi la Hamas na wayahudi wengi walifariki siku ile(ukianzisha vita usipende kutia huruma)

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 ปีที่แล้ว +3

    Hapa nakuunga mkono hata kama mimi mkiristo. Wapalestina wameonewaaaaaa😢😢😢

    • @AlexMkwama
      @AlexMkwama ปีที่แล้ว +2

      Hayo sio ya kidini , Hapo unajikosha maana ukoo wako ni kusini

  • @benjamingilbert603
    @benjamingilbert603 ปีที่แล้ว

    Maana ya neno Israel ni Umeshindana na Mungu na watu nawe Umeshinda Mungu simama katika neno na kulitimiza

  • @ZuraAdam
    @ZuraAdam ปีที่แล้ว +14

    Ya Allah grant victory to our brothers and sisters in Palestine 😢😢😢😢😭😭🙏🙏🤲

    • @swalehmohamed3034
      @swalehmohamed3034 ปีที่แล้ว

      Allahumma ameen

    • @hulalamotivation5372
      @hulalamotivation5372 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @nshimuwitekayedayah6821
      @nshimuwitekayedayah6821 ปีที่แล้ว +2

      Achana na israel wewe,kula pesa za ubalozi hata wewe bomu isikupate ukichokoza taifa la yahweh baba wetu wa mbinguni

    • @kakaijunior1216
      @kakaijunior1216 ปีที่แล้ว +1

      Victory over what???

    • @cathe-wr7gb
      @cathe-wr7gb ปีที่แล้ว

      Ani baada ya kuomba amani mnaomba ushindi haya piganeni mpk mkome

  • @beautiful1423
    @beautiful1423 ปีที่แล้ว

    Free free Palestine 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸Inshaallah Falastin will be free soon 🇵🇸

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 ปีที่แล้ว +4

    Binafsi yangu naumia sana kuona watoto wanawake ambao hawana silaha wala hawajui kinachoendelea wanauwawa inaniuma sana sana ee Allah wasaidie nduguzetu wote bila ya kujali itikadi Maana binaadam sote ni wamoja tusigombane jamani dunia ni muda mdogo tuu ni mapito

    • @oparetionmaalum9030
      @oparetionmaalum9030 ปีที่แล้ว +1

      @@ladislausngoyinde4384 ndomana nikasema binaadamu sote ni wamoja kwa hiyo Hao weusi ndio wananiumiza zadi mana ndio rangi yangu ila mimi hua aichagui kwangu mimi binaadamu wote ni Sawa yoyote akipata na shida Mimi inaniumiza

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 ปีที่แล้ว +1

    Isaiah 9:6 mpokee yesu kristo kama jibu la amani ya kweli...bila hivyo mtajiju....

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 ปีที่แล้ว +7

    ❤❤❤ Palestine Free

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 ปีที่แล้ว +1

    Allah wajalie heri inshallah twawaombea Ameen yarabi

  • @thedon8467
    @thedon8467 ปีที่แล้ว +6

    Allah atufanyie WEPESI

  • @alloycejames5285
    @alloycejames5285 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Yakobo ni mkuu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว +14

    Tunaomba vita iishe jamani sisi ni watoto wa mzazi mmoja

    • @filbertmk4807
      @filbertmk4807 ปีที่แล้ว +1

      Hakika

    • @mwakatundujr1674
      @mwakatundujr1674 ปีที่แล้ว +1

      6 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
      Amosi 1:6
      7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
      Amosi 1:7
      8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
      Amosi 1:8

    • @mwakatundujr1674
      @mwakatundujr1674 ปีที่แล้ว

      ​@@filbertmk48076 Haya ndiyo asemayo Bwana; Kwa makosa matatu ya Gaza, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu waliichukua katika hali ya kufungwa kabila nzima, wawatie katika mikono ya Edomu;
      Amosi 1:6
      7 lakini nitapeleka moto juu ya ukuta wa Gaza, nao utayateketeza majumba yake.
      Amosi 1:7
      8 Nami nitamkatilia mbali mwenyeji katika Ashdodi; na yeye aishikaye fimbo ya enzi katika Ashkeloni; nami nitaugeuza mkono wangu uwe juu ya Ekroni; na mabaki ya Wafilisti wataangamia, asema Bwana MUNGU.
      Amosi 1:8

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 ปีที่แล้ว

      ​@@mwakatundujr1674Hayo Cyo Maneno Ya Mungu . Na Ya Amosi Kwa Mujibu Wa Maandiko Yako Uliyoyawela Hapo

    • @jonasdaniel1025
      @jonasdaniel1025 ปีที่แล้ว

      ​@@salminisaleh9249lete maneno Yako hapa maana ya Mungu Kwa kinywa Cha amosi huyataki wewe,, Sasa toa yako wewe

  • @hadharaally6523
    @hadharaally6523 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah 😢 😭 hakika Allah halali wa hasinzii anayashuhudia yote yanayofanywa na madhalim hawa lailahaillah Muhammad Rasulullah yaa rabbi tunatomba dua Kwa waislam wenzetu wape ushindi na subira ya ushindi waja wako wajaalie wote waislam walio kufa huko wawe ni mashahid mbele yako wawe karib na kiongozi wa umma mtume wetu Muhammad Rasulullah

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      Ujinga kitu kibaya.kwahiyo wewe badala ya kuombea Amani we unaombea Palestine ashinde...ndio maana unaandika matusi

    • @rajabumadu440
      @rajabumadu440 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ni mwehu kabisa. Haya matusi yametoka na wapi tena....??? 😂🤣😅