Shukrani sheikh kwa Elimu yenye manufaa kwa umma.Kwa upande wa hisrafu hili ni janga kwenye misikiti mingi sana kwani wengi wetu hatuzingatii ama hatuna elimu nalo kingine shekhei hapo leo umetupa faida yatosha kabisa nusu lita yamaji kushikia udhu,Vipi? Mtu akiwa chooni anatakiwa atumie maji kiasi gani? Anapo kuwa anakidhi haja zake kabla haja kwenye mabomba ya kushikia hudhu.
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Asalamu Alleykumu...kichwani unatumia kupaka maji kwazia mwazo wa kichwa adi mwisho kisogon kisha unamaliza kwa kupangusa ndani ya masikio...yaani unaweka mj kwa viganja kisha unamicha yake maji ndipo unapaka kichan

Asante sana mwalimu kunavitu pengine sikua najua mashallah
Alhamdulilah....
Tunajivunia kuwa waislam.❤❤
Alhamdulillah Mashallah Mungu akuripe heri🙏
Shukran san kwa somo zuri ❤
Maashaallah Allah akujalie mwsh mwem inshaallah
Masha Allah tabaraka Allah shukrani sheikh wetu tumejua namna ya kutawadha insha Allah Ameen 🤲🤲🤲🤲🤲🥰🥰🥰
Jazaakallahu Khayra sheikh wangu na kupata MaashaAllah Niko hapa nafaidika NMEFURAH
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR
Shukrani sana Allah akulipe kheri Dunia na kesho Akhera
Shukran shekhe nimejuwa makosa yangu weeengi hatujuwi
Ma shaa allah tabarakallah
Mashaallha mashaallha ❤❤
Shukran n JazakaaAllah kheir.
Jazzakallaahu kheir ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukran sana
Shukran jazaka Allah
Mashallah
Maa Shaa Allah
MashaAllah tabrakAllah
Mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah Mungu akujaze kheri
Masha allah
Mashallah mashallah
Shukran ❤❤❤
Mashaallah Allha
MashaAlla❤❤❤
Shukran Allah Akubarik. Tumefaidika sana.
Shukran
Mashaallah
Barakallahu fiika ❤
Masha Allah muungu akilipe pepo
Allah akbar
Asalam alaikum kutiya udhuu huku unazugumza na mwenziyo hii vp iko sahih
shukra kwa mafunzo mazuri nimeelewa insha allah
Shukurani
Shukrain
🙏🙏
Shukrani Allah akujaze elimu zaidi tuelimike
🎉❤❤❤❤
Shukrani sheikh kwa Elimu yenye manufaa kwa umma.Kwa upande wa hisrafu hili ni janga kwenye misikiti mingi sana kwani wengi wetu hatuzingatii ama hatuna elimu nalo kingine shekhei hapo leo umetupa faida yatosha kabisa nusu lita yamaji kushikia udhu,Vipi? Mtu akiwa chooni anatakiwa atumie maji kiasi gani? Anapo kuwa anakidhi haja zake kabla haja kwenye mabomba ya kushikia hudhu.
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Na ukiwa na nywele nyingi ao kiasi na si upara , utapaka namna hio ao ?
Suali langu ktk kupangusa kichwa vp kuhusu wanawake wenye nywele nyingi kichwani naomba ufafanuzi zaid.
Ndio mimi pia nina shida na swala hilo kama wenye nywele nyingi tunapangusa maji mpaka nyuma kwenye kisogo
Asalamu Alleykumu...kichwani unatumia kupaka maji kwazia mwazo wa kichwa adi mwisho kisogon kisha unamaliza kwa kupangusa ndani ya masikio...yaani unaweka mj kwa viganja kisha unamicha yake maji ndipo unapaka kichan
Kwan hakuna wanaume wenye nywele nyingi ushaambiwa kupangusa
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Assalam alleikum warrahmatillah wabarakatu swali langu kichwa una paka mara moja tuu inafaa
Assalam alaykum, vpi sheikh kuhusu kupangusa kichwa na masikio ni mara moja tu ama waweza pangusa mara tatu
Umesahau kukaa chini inshaallah muhimu 😊
Samahani Sheikh kuhusu kupaka kichwa je tunaweza kupaka mbele ya kichwa bila ya kwenda nyuma
Msikilize Sheikh ameelezea vizur jambo hilo wakati anapaka majini kichwani katoa ufafanuzi
Mwanamke ehe mbele tu kdg katikati bs ishara yaani unapangusa bs
Asalam aleykhum. Je ukitawadha mara tatu kichwani nisawa au sisawa
Msikilize vizur Sheikh ameelezea vizur jambo hilo
Saw sheikh je kama chochote kimetoka kati ya tupu mbili nn kifanyike ili niendelee na swala yangu au siluhusiwi tena kuswali mpk ibada nyingine?
Mashallah,lkn sheikh vp kuhusu sis wanawake ambao tuna nywele ndefu kuhusu kupangus kichwa hivyo
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video
TUNASHUKURU. SANA. ILA. SUALA. WANAWAKE. VIPI. WAWO. AKIWA. NYWELE. NYIGI. WAFANYENJE. ASANTE
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Swali langu ni je baada ya kupata udhu huwezi kuomba dua kwa Kiswahili????
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Je?kuguswa na nduguyo yafaa ukiwa na udhu (wa kiume)
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Shekh wakati unashika udhu mtu akakusemesha patakuwa na shida
Asante sana ndugu yetu mfatiliaji wa KHIDMA TV tumelipwekea swali lako InsahaAllah Sheikh Hamza Ramadhan atajibu maswali yenu yote kwa njia ya video endelea kufatilia video zetu
Ehe mtu akitia udhu hatakiwi kuzungumza
Mansha Allah❤❤❤
Mashallah
Maashaa. Allah
Shukran sana
Mashallh
Shukran
Mash'Allah tabaarakallah
🙏🙏🙏
Shikran sana
Mashallah
Mashallah