ZUMARI || Kamanda Abdallah W. Mssika mshindi wa tuzo ya nishani ya vita vya Kagera

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @Amoskyakajumba
    @Amoskyakajumba 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana kamanda,nimekuwa much interested na history yako pamoja na udhoefu wako,Zaid Kwa kaz uliyofany mkoan kwangu Kagera na henzi hizo kumkamata mhaini WA nchi yetu.Well done.

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah alinisaidia sana shinyangaAllah amlipe.

  • @hajjsuleiman3317
    @hajjsuleiman3317 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera saana kamanda Sheikh Abdalla msika kwa kuweza kustaafu vyema na kumaliza majukumu yako vyema kabisa ulik I wa mchapakazi mwenye weledi kabisa hongera saana nkuu

    • @kudramunisi2370
      @kudramunisi2370 5 หลายเดือนก่อน

      Kamanda mssika alikua Sio mtu wa kujiona. Alikua akifika Njia ya ng'ombe akitokea kwake Bucha.. Anawapa lift Watu Hana Makuu.. Naikumbuka discover yake nyekundu BSD na Mitsubishi colt yake.. Mama amuangalie ampe hata kitengo na Allah amjalie Afya njema kamanda

  • @arafaabubakar2665
    @arafaabubakar2665 6 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kwa host wa kipindi na hongera kwa mgeni wa leo na hongera kwake kwa uadilifu😂 na wa kazi zake , kwa sasa Jawa wazalendo hawapo tena

  • @getrudemadeko3703
    @getrudemadeko3703 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Kamanda Mssika, history nzuri mno ya KAZI zako.

  • @dicksonmoshi7480
    @dicksonmoshi7480 5 หลายเดือนก่อน +1

    Namkumbuka mtoto wake Mohamed msika nimesoma nae o level

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 9 หลายเดือนก่อน

    Be blessed Mzee wangu 🏹🙌

  • @elvisbunde6454
    @elvisbunde6454 9 หลายเดือนก่อน +1

    Respect sir ,and we'll trained officer,to the current officers pay visit to him for more advice, Afande sir.

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoto wa wazir hiyo watt wa mawazir mpoooo

  • @lamecklaurentius8936
    @lamecklaurentius8936 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Kamanda ni Mwalimu mzuri sana

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 ปีที่แล้ว +1

    kamanda msomi huyo,kumbe alipigana uganda paia hongera zake

  • @hajjsuleiman3317
    @hajjsuleiman3317 11 หลายเดือนก่อน +3

    Tunaiomba serikali yetu iwakumbuke watu kama hawa lamanda msika alikuwa ni mfano bora wa kuigwa hivyo tunaishauri serikali yetu iwakumbuke sana wakongwe wetu hawa walilitumika taifa letu hili kwa uweledi wa hali ya juu mno na izidi kuwatumia ili waweze kufanikisha mengi,huyu kamanda hana do na alikuwa hana ubabaishaji wowote

    • @ShamimuAbasi
      @ShamimuAbasi 5 หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri saana Babu yangu🇹🇿🥰😍🙌🤝

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @rashidimwambichi3340
    @rashidimwambichi3340 ปีที่แล้ว

    Naiomba hii part 2 yake tafadhari
    Jafari mponda

  • @orgenesdigina
    @orgenesdigina ปีที่แล้ว

    Daah, vyuma vimeondoka na vinazidi kuondoka, natamani kuona wanaobaki jeshini wawe conki km hawa wazee

  • @aziza9093
    @aziza9093 10 หลายเดือนก่อน

    Kazizur

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 9 หลายเดือนก่อน

    Kongole kwa utumishi bora