Hakuwa pekee yake bali wengi. Hongera Brig na wenza kwa kumngoa dikteta Amin. Huyu shujaa anakaa babake aliyekuwa jaji mkuu inchini Kenya Bw David Maraga.
Afande naomba kukuuliza awali: Je Wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa Maafisa Wakuu walishirikishwa kutoa ushauri wao kiusalama kuhusu hili sakata la bandari?
Tusaidieni mtafute taarifa za akina jenerali nshimanyi,benjamin msuya, christopher gimonge,mike marwa,kanari kitete,imarani kombe na wengineo wengi sana
Hii sasa unatakiwa kupewa Corporal punishment. Afande DB Msuguri ni General. na siyo Meja. Hivi sasa yupo kijijini kwake Butiama. He is Healthy and happy. Yeye ndiye aliyepokea uongozi wa 20 Division kutoka kwa Luteni Generali Tuminieli Kiwelu ( RIP ). Tukavuka naye Front Line. Makamanda kama hawa ni wengi sana . Baba wa Taifa aliwapika wakaiva na mpaka sasa wapo wengi sana. Watafuteni watoe elimu kwa jamii.
Hata namm siamini mm navyomuelewa alikuwa dikteta hakupenda wageni kama waarabu na wahindi na wazungu kuwekeza Uganda Hadi Sasa ukifika Kampala wafanyabiashara wakubwa ni waganda wenyewe na chuki dhidi ya wageni na watu waliokuwa wanampinga alionesha hadharani hii ikampelekea kuzushiwa mambo mengine ambayo alikuwa hayatendi kutokana na maamuzi yake magumu mengine yalikuwa yakikatiri
Mzee ana kumbukumbu hatari, hongera sana mzazi, ww ndo unastahili kula matunda ya nchi maana umeyatolea jasho cyo hao wazee wa bandari
Bandari mama ameitendea haki na uchumi umepanda mama pia ni commandoo kwenye uchumi
Kuna kitu nimekipenda mzee kastaafu mwaka 1996 mpaka Leo yuko fiti.
Kifo na maisha vinapangwa na Mungu
Brigadier salute
Storia nzurii snaa
Sahihisha . Afande Sarakikya siyo Meja.
Yeye ni Generali na ni Balozi Mstaafu.
Tumetoka mbali 🇹🇿
Hakuwa pekee yake bali wengi. Hongera Brig na wenza kwa kumngoa dikteta Amin. Huyu shujaa anakaa babake aliyekuwa jaji mkuu inchini Kenya Bw David Maraga.
Yani huyu mzee sijui anakula chakula gani Yani ana nguvu kabisa za mwili na anakumbukumbu nzuri kabisa
Hongera makamanda wenzangu ❤❤
Afande naomba kukuuliza awali: Je Wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa Maafisa Wakuu walishirikishwa kutoa ushauri wao kiusalama kuhusu hili sakata la bandari?
Huyu mzee mfanyieni interview ndefu kuna mengi yakujifunza kutoka kwake
Tusaidieni mtafute taarifa za akina jenerali nshimanyi,benjamin msuya, christopher gimonge,mike marwa,kanari kitete,imarani kombe na wengineo wengi sana
Kweli wazee hawa Mungu wa mbinguni awajalie maisha marefu na afya njema. Ni hazina kubwa sana ya Taifa letu.
Pia kuna kitu nyuma ya pazia WATANZANIA KUSEMA IDI AMINI ILIKUA ANAKULA NYAMA ZA WATU. LAKIN SIJAWAHI SIKIA WAGANDA WAKILISEMA HILO.
Mbona sijamwana meja Sarakikya balozi wa Ethiopia na Kenya au ni mambo ya kikanda,,sielewi
Na meja msuguri sjui historia yake ikojee
Hii sasa unatakiwa kupewa Corporal punishment.
Afande DB Msuguri ni General. na siyo Meja. Hivi sasa yupo kijijini kwake Butiama. He is Healthy and happy. Yeye ndiye aliyepokea uongozi wa 20 Division kutoka kwa Luteni Generali Tuminieli Kiwelu ( RIP ). Tukavuka naye Front Line. Makamanda kama hawa ni wengi sana . Baba wa Taifa aliwapika wakaiva na mpaka sasa wapo wengi sana. Watafuteni watoe elimu kwa jamii.
Hivi ni kwel amin alikula watu? Nisaidieni
Hapana zilikuwa propaganda tu.
Sio kweli
Hata namm siamini mm navyomuelewa alikuwa dikteta hakupenda wageni kama waarabu na wahindi na wazungu kuwekeza Uganda Hadi Sasa ukifika Kampala wafanyabiashara wakubwa ni waganda wenyewe na chuki dhidi ya wageni na watu waliokuwa wanampinga alionesha hadharani hii ikampelekea kuzushiwa mambo mengine ambayo alikuwa hayatendi kutokana na maamuzi yake magumu mengine yalikuwa yakikatiri
Uongo ni mwingi juu ya historia zetu bali itabid tunyamaze tu maana mengi ni uongo
@@philemonmagesa5548alipovamia kagera majeshi yake yaliwapikia matoke wa Tanzania na senene eeenhee