Rostam - Kaka Tuchati [Official Music Video]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10K

  • @paulo.k4618
    @paulo.k4618 4 ปีที่แล้ว +94

    Kenya me ndo nilikuwa wa kwanza kuskiza.....hii ni chuma moto....mliosema kundi limeporomoka mko wapi,mbona siwaoni tena.....Rostam 4 life🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @brianshija629
      @brianshija629 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha uwongo nani kasema ulikua wa kwanza

  • @SAM_163
    @SAM_163 4 ปีที่แล้ว +339

    Watu ya Tanzania inajua Muziki
    Inajua kuimba,
    Iko na Vipaji na Creativity ya hali ya juu. One LOVE🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇺🇬🇺🇬🇺🇬 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @allansadik3703
      @allansadik3703 4 ปีที่แล้ว +5

      Bonge la ngoma 👏👏👏

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว +7

      Asante kwa niaba ya Wasanii wetu

    • @athmanmushi2348
      @athmanmushi2348 4 ปีที่แล้ว +9

      Kesho wakenya watasema rostam na one6 ni wa kenya km samatta

    • @rukiamohammed5031
      @rukiamohammed5031 4 ปีที่แล้ว +4

      Umeona Eeh tz raha bhn 🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️😘😘😍😍

    • @kaaweemwenyewe2872
      @kaaweemwenyewe2872 4 ปีที่แล้ว +5

      Mzee baba unaonekana unajina la kiasili kabisa mgunya🙆‍♂️ ila kiswahili kama kinakupiga chenga hv, umekulia mbele nini?🙄

  • @kutmusiceastafrica5599
    @kutmusiceastafrica5599 4 ปีที่แล้ว +76

    Kama unafikiria kama mimi kuhusu"''' #KAKATUCHAT''',, stamina Takuwa anamuogopa nani😁?weka like tuchat...nipo zangu 254 love mingi wanangu 255

  • @LilmmyCrazyOfficial
    @LilmmyCrazyOfficial 10 หลายเดือนก่อน +39

    Kama wewe bado nimiongoni mwa watu? Wanao tizama huu? Wimbo MWAKA 2024 Basi gonga LIKE Hapa. I REMEMBER THIS SONG. KAKA TU CHATI. From. ROMA AND STAMINA ❤❤❤❤❤

  • @NhandiSweka
    @NhandiSweka 4 ปีที่แล้ว +87

    Nimeamini Duniani kuna VIPAJI.. ROSTAM ni habari nyingine🙏💪

    • @ibel4lf
      @ibel4lf 4 ปีที่แล้ว +1

      Nhandi Sweka vipaji haswaa...

    • @ednaabelu4468
      @ednaabelu4468 4 ปีที่แล้ว +1

      Nhandi Sweka nimevutiwa zaid Na kipande alichoimba ney hyo sauti dah km mwanakwaya kweli

  • @tantinebettynduwimana380
    @tantinebettynduwimana380 4 ปีที่แล้ว +394

    Hii nyimbo sijachoka kuiona nipeni like from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @SalminRahis-kd9sv
    @SalminRahis-kd9sv 6 หลายเดือนก่อน +21

    2024 hiii bado naishi nayo hii ngoma mmetisha sana mlikua na ubunifu mkubwa ira bado Rostam ndio kundi bora la mda ote la hip hop east africa

  • @kennedyotieno8926
    @kennedyotieno8926 4 ปีที่แล้ว +172

    Ngoma imeweza sana, love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @erickuiso3703
    @erickuiso3703 4 ปีที่แล้ว +26

    Hii nyimbo utairudia rudia mistari kama unaenda fanya mtihani
    Unataka kila neno libaki moyoni
    Kwani nyimbo yenyewe ina roho kamili
    Rostam, the voice of tz
    Kaka tuchati

  • @peterkatigulaclement4158
    @peterkatigulaclement4158 4 ปีที่แล้ว +36

    Nani kagundua mstari wa mwisho maneno kageuza koyu mbochi, yupo chimbo. ...mano likwe likwe... Noma kwelikweli.

    • @aminielmbise5475
      @aminielmbise5475 4 ปีที่แล้ว +1

      peter katigula clement ww noma mwamba nmeelewa ww genus

    • @bernardlkisha5749
      @bernardlkisha5749 4 ปีที่แล้ว +1

      Nilikuwa natafuta hii 👍👍👍

    • @georgeadolf9421
      @georgeadolf9421 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah nmerudia Mara kibao sijaelewa umetsha mwamba

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 4 ปีที่แล้ว

      Daaaa kweli

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 4 ปีที่แล้ว +108

    Hawa ndio wasanii unaskia kioo Cha jamii...team Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪2020

  • @shabs221
    @shabs221 3 ปีที่แล้ว +22

    Tunawapenda sanaa watanzania, mob love from kenya 🇰🇪. Ngoma safi, naiskiza kila wakati. Heshima kwenyu.

  • @eliamsigala3034
    @eliamsigala3034 4 ปีที่แล้ว +38

    yaaani nyie rostamu mnanitesa hivi jamani maana nimeirudia hii ngoma zaidi ya mara 10 aiseeee ni fireeeee ile mbaya yaaani mmeuaaaa

  • @KevchenkoTZ
    @KevchenkoTZ 4 ปีที่แล้ว +464

    0%Bangi
    0%Matusi
    0% video queen
    100%Ujumbe
    100% creativity
    100% Pure talent
    VIVA ROSTAM VIVA

    • @festomapanga4720
      @festomapanga4720 4 ปีที่แล้ว +7

      Ngoma Sana

    • @youngtz1637
      @youngtz1637 4 ปีที่แล้ว +4

      Ujumbe

    • @youngtz1637
      @youngtz1637 4 ปีที่แล้ว +4

      Ujumbe

    • @abu2554
      @abu2554 4 ปีที่แล้ว +5

      Wakuu MNAJUAAAA
      100% mwanzo mwisho

    • @abu2554
      @abu2554 4 ปีที่แล้ว +4

      Kelvin TZN nmeview mara 7 online

  • @karanidicky4489
    @karanidicky4489 4 ปีที่แล้ว +54

    "Poa Mwanangu Tuendelee Kujifukiza" 😀😀..Dah Atari Sana 🇰🇪🇰🇪

  • @alphoncewanjala
    @alphoncewanjala 10 หลายเดือนก่อน +104

    Kama bado unasikikiza 2024 🇹🇿

    • @salatmuhsin3322
      @salatmuhsin3322 8 หลายเดือนก่อน +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @abeltoo1816
      @abeltoo1816 3 หลายเดือนก่อน

      Lazima kaka

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 หลายเดือนก่อน

      R.I.P MAGUFULI

  • @yekajallah7407
    @yekajallah7407 4 ปีที่แล้ว +79

    Dah! hii nyimbo imenifanya nilie maana ina ujumbe wa ndani sana kwa kila mstari kama ukitulia na kuichambua....Mungu awabariki kina ROSTAM🙏🙏🙏❤

  • @mamadoublem353
    @mamadoublem353 4 ปีที่แล้ว +25

    Km nikulipwa nyinyi mungepata sallary ya juu wallahi mfumo wenu level nyingine distance dornt matter viva roma strong forever

  • @saulimwakyusa3859
    @saulimwakyusa3859 4 ปีที่แล้ว +62

    Ha haha bonge ngoma jamani japo nimechelewa lkn kama umeiyelewa naombeni like hata mm nione kama tuko pamoja Roma anakumbushwa round hii cyo ununio ni darajaa la mkapaaaa sema nn mungu awape maisha marefu rostam Alf huyo mcezaji ninani? Tye tye tye

    • @saulimwakyusa3859
      @saulimwakyusa3859 4 ปีที่แล้ว +1

      Poa

    • @amisimlocwa3703
      @amisimlocwa3703 4 ปีที่แล้ว

      Daaa kutoka usa chicago nakubali sanaaaa hiii ngoma respect kaka namikubali sanaaa mistari mizuri sana

    • @jonakajigili6991
      @jonakajigili6991 4 ปีที่แล้ว

      Atakua moringa Huyo

    • @japhetmichael3973
      @japhetmichael3973 4 ปีที่แล้ว

      ipo vyemasana na inatisha kinyama ROSTAM ni hataree sana

  • @majorcrazy1988
    @majorcrazy1988 4 ปีที่แล้ว +34

    Hawa majamaa kuungana walichelewaa saaana,ubunifu wao kuelewa mpaka ueleweshwe!!
    Nyimbo ya mwaka 100%
    From Bujumbura,hawa vijana wananinspire kabisaaa!!!

    • @igeoflas4464
      @igeoflas4464 2 ปีที่แล้ว

      Nikisema hawani amini bro. Naku ungamkono asilimia Moja na moja

  • @pigapesa2366
    @pigapesa2366 4 ปีที่แล้ว +230

    Like nyingi kwa Rostam...hawa jamaa noma wanajua hadi wanaboa do...!😱

  • @dogosaint771
    @dogosaint771 4 ปีที่แล้ว +74

    Hyo nyimbo kwa walio isikilizaza zaidi ya mala 11 tujuane rostam mmeua aise salute kwénu✊🤞

  • @mosesambrose5709
    @mosesambrose5709 4 ปีที่แล้ว +61

    Hyoo Demu mwenye mimba kwa MWAMBA ndani mme muona jamn waliomuona kwa Stamina naomba Like Kama zote!!

  • @antonykairu4114
    @antonykairu4114 4 ปีที่แล้ว +20

    Upendo chungu nzima kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @AlexMumoMalonza
    @AlexMumoMalonza 4 ปีที่แล้ว +111

    Mke wangu akinizalia mapacha wa kiume bila shaka mmoja ni Roma na mwenzake Stamina.

  • @priscaissaya4012
    @priscaissaya4012 4 ปีที่แล้ว +19

    Sauti kali
    Ujumbe mkali
    Waimbaji wakali
    Wimbo nimeuelewa kuliko matangazo dhidi ya korona.
    Kama umeangalia na kusikiliza wimbo zaidi ya mara moja gonga like.

  • @ligeriusathanasemugishagwe1682
    @ligeriusathanasemugishagwe1682 4 ปีที่แล้ว +35

    Nyie watu hamuwezeki kwa ubunifu wenu make hatukutegema salute kwenu ....tuendelee kuchat wajuba like nipeni

  • @TheDiasporianTraveller
    @TheDiasporianTraveller 4 ปีที่แล้ว +103

    Hawa ndio Wasaniii, Inform, Educate, Entertain, 💯💯💯💯 Viva #Rostam! Artistes in their own Class!

  • @yuppiemastoryupdates9541
    @yuppiemastoryupdates9541 4 ปีที่แล้ว +171

    Creative sana, , , like my comment kama umeelewa song

    • @MotivationalMusic-ADI
      @MotivationalMusic-ADI 4 ปีที่แล้ว

      Tafadhali bonyeza linki hapo chini kisha Sabsikraibu, Laiki na Komenti kupata ladha ya Kinanda.
      th-cam.com/video/3tA7CfEGc4A/w-d-xo.html
      ​th-cam.com/video/BYvIBrv1lI8/w-d-xo.html
      ​th-cam.com/video/E01l_X03OPw/w-d-xo.html
      ​th-cam.com/video/KmXkjMOkPbk/w-d-xo.html

  • @Mangitv9989
    @Mangitv9989 4 ปีที่แล้ว +129

    Creative sana hawa jamaa,
    Gonga like kama umeelewa hii ngoma

  • @amoslaurent860
    @amoslaurent860 4 ปีที่แล้ว +29

    Huu ndio wimbo Bora tangu wa dunia wa millenia: Ndio maana napenda HIP HOP ,FIREEEEEEEEEE

  • @Face256
    @Face256 2 ปีที่แล้ว +29

    I’m just amazed by the creativity and the song it’s self. I enjoy Rostam very much. Love from 🇺🇸. 🇺🇬

  • @rwabusisihonore
    @rwabusisihonore 4 ปีที่แล้ว +96

    Omgoodness 🙆‍♂️😍 Rostam🔥🔥🔥🔥 ongera kaka🙏👌🏻 upendo❤kutoka +250/ Rwanda . Nyimbo kali🔥🔥🔥 naomba like ndugu zangu wa Bongo &Kenya .

    • @idrismujahid6044
      @idrismujahid6044 8 หลายเดือนก่อน

      Uztxiddeyeyye6eee825d8e🎉7r6f6f6rr😮7eyr6r😅6e6fhjsuctsidiwysydhĵĵisjjsjO,hy, 2:49 wisu 2:49 yzuuadlduy😂yqusuhsuwuususuwuusia🎉5yauausususuusu🎉5ays

  • @omaryjingili2801
    @omaryjingili2801 4 ปีที่แล้ว +50

    "Bwana wa mabwana, mungu wa miungu, alfa na omega" hii bonge la ubunifu, big up rostam

  • @bushmendatoga4754
    @bushmendatoga4754 4 ปีที่แล้ว +67

    eti kuna watu wana dislike hii ngoma acheni wivu jamani, rostam ni wabunifu wa kiwango cha juu mno...

    • @eliusiabeli6808
      @eliusiabeli6808 4 ปีที่แล้ว +1

      yep kusema kweli n benge LA👍 mkwajuuuu,,,,,,,,,, nk👂pongezi Sana 👏♒kwa Hawa mas,taaa💒🆗meuelew

    • @eliusiabeli6808
      @eliusiabeli6808 4 ปีที่แล้ว

      Chuma hcho bwana wa mabwana alufana,,uamega

    • @islandinsuranceagency8008
      @islandinsuranceagency8008 4 ปีที่แล้ว

      bushmen datoga eti jaman !! wachawi siku hizi ni vijana wadogo sana

    • @antoinettedjumapili2522
      @antoinettedjumapili2522 4 ปีที่แล้ว

      @Bongoland Media wachawi lazima wa dislikes

    • @juniornamao527
      @juniornamao527 4 ปีที่แล้ว

      Bonge la ngomaaaaaaaaa zaid ya ukimwi

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว +8

    This is Tanzania I love my country, kijifukiza na maombi tumeshinda vita na dunia nzima imetuelewa sema tu tatizo Rangi ndio maana wako kimya, tuzidi kuomba zaidi corona bd ipo,

  • @benjaminmwalemba7204
    @benjaminmwalemba7204 4 ปีที่แล้ว +36

    Ila uyu director kafanya ubunifu wa kinyamwezi sana ongera qwake

    • @imanisongoro6838
      @imanisongoro6838 4 ปีที่แล้ว

      Benjamin Mwalemba nihatari nimaubunifutu yaani apani kaka tuchati ndorostam hao nimeamka nimeshaweka bando namsubir ummy ..,......

  • @kaaweemwenyewe2872
    @kaaweemwenyewe2872 4 ปีที่แล้ว +184

    Yaan ingekuwa inaonesha mtu gan? Kaitizama hii video mara nyingi aiseee mimi ningevunja record Bonge la nyimbo #Rostam kama na ww umeirudia hii video kama mm. gonga like twende sawa.

  • @edwardelius8259
    @edwardelius8259 4 ปีที่แล้ว +343

    Nyimbo hii kali kichizi acha unafiki. Toa like hapa kwa rostam

  • @newyambazi4653
    @newyambazi4653 4 ปีที่แล้ว +89

    Kama umeopenda mstari
    " mwana kulitafuta mwana kulipata"
    Gonga Like

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 ปีที่แล้ว +37

    04:27 Nasikia koyu zeka mbochi, mano likwelikwe
    Nasikia yuko zake chimbo... Noma kweli kweli.
    Nipeni like zenu kenya na tz zifike hata elfu sijawahi kupata like hata moja jomon

    • @reesemoneymagnet
      @reesemoneymagnet 4 ปีที่แล้ว

      VIDEO YA #KAKATUCHATI👇👇👇👇
      th-cam.com/video/Q4_nxi6awZM/w-d-xo.html
      UTASHANGAA

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 4 ปีที่แล้ว +38

    Outta Kenya sipendi hip hop ila zenu zimetishaa aisee,,new fan here, subscribed💯

  • @ringojr8643
    @ringojr8643 4 ปีที่แล้ว +127

    Awa jamaa wabunifu sana
    Like kama unawakubali ROSTAM 🇹🇿

    • @SmartBrainTv2020
      @SmartBrainTv2020 4 ปีที่แล้ว

      NAOMBA U SUBSCRIBE CHANNEL YANGU PLEASE !

  • @makamiandalangwa5718
    @makamiandalangwa5718 ปีที่แล้ว +250

    Kama mpaka leo unasikiliza wimbo huu gonga like

  • @jodocusjoseph728
    @jodocusjoseph728 4 ปีที่แล้ว +372

    Ubunifu 100%
    Mistari 100%
    Location 100%
    Timing 100%
    hongera mmefanya kazi yenye ubunifu mkubwa sana

  • @annasimon4118
    @annasimon4118 4 ปีที่แล้ว +82

    Kama unapenda kuona ikibaki 01 ON TRENDING gonga like tupaishe

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 4 ปีที่แล้ว +41

    Dah hawa jamaa ndo wasanii mzee wapo serious sio wale wengine kila siku ...bby apo kati cjui nni yan nyimbo nzima ni ngono tu inaimbwa kwa mafumbo rostam ndo mafundi jmn

  • @ababosamuel1586
    @ababosamuel1586 4 ปีที่แล้ว +92

    Like it or not Tanzania leads the rest of East Africa in Music now. Love from Arua Uganda

    • @chrisoghenetegamaloney5799
      @chrisoghenetegamaloney5799 4 ปีที่แล้ว +2

      Ababo Samuel which position is Ugandan?

    • @dr.swagztv3559
      @dr.swagztv3559 4 ปีที่แล้ว +2

      Great we love ugandans

    • @Face256
      @Face256 2 ปีที่แล้ว +1

      I see no lie but Chameleon also has really good hits except his music don’t get streamed as much as these guys

  • @ericksangajr7173
    @ericksangajr7173 4 ปีที่แล้ว +60

    Hawa jamaa wataendelea kuondoka na vijiji kwenye show zote za Tanzania wabunifu sana kuna vinyimbo vingi vya corona vimetoka ila hii balaa unaskiliza huku unacheka

    • @mashambaelectronicsworksho495
      @mashambaelectronicsworksho495 4 ปีที่แล้ว

      Kacheki ngoma ya kala Jeremiah pia no motoo

    • @ericksangajr7173
      @ericksangajr7173 4 ปีที่แล้ว

      @@mashambaelectronicsworksho495 inaitwaje niicheki sa hivi naye ni mwandishi mzuri sana sema sytle yake ya kuimba ndio shida

    • @SimuliziZaOscar
      @SimuliziZaOscar 4 ปีที่แล้ว

      Hii hatari

    • @raymond_anthony95
      @raymond_anthony95 4 ปีที่แล้ว

      Wametisha sana

    • @ericksangajr7173
      @ericksangajr7173 4 ปีที่แล้ว

      @@SimuliziZaOscar hatari sana hii yaani wameimba jinsi corona inavyochukuliwa Tanzania hasa uswahilini

  • @janjaz
    @janjaz 4 ปีที่แล้ว +81

    l love this guys, creativity of highest level, big up frm nairobiiii

  • @mtuwagreen7076
    @mtuwagreen7076 4 ปีที่แล้ว +47

    Daaah narudia rudia asee" mnajua hadi so poa" jaman like 20 tu znanitosha

    • @Suleimansalum
      @Suleimansalum 4 ปีที่แล้ว

      hawa jamaa lazima urudie tu 😂

  • @jameskaimenyi5334
    @jameskaimenyi5334 4 ปีที่แล้ว +26

    That creativity is on another level 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว +69

    Wait a min , Hivi mtu anajuaje ANA KIPAJI KIASI HIKI 🤣🤣🤣😂🤔.This is mind blowing 😱😱...... 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🇹🇿

    • @JR-db8yq
      @JR-db8yq 4 ปีที่แล้ว +3

      Amazing man

    • @gloshyjm2375
      @gloshyjm2375 4 ปีที่แล้ว +1

      Ama out of words, this gang is something else🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nyamsalyanyamsalya918
    @nyamsalyanyamsalya918 4 ปีที่แล้ว +23

    Bwana wa mabwana alpha na omega nani kama wewe

  • @amisibikyeombeawi8469
    @amisibikyeombeawi8469 4 ปีที่แล้ว +38

    RoStAm = Roma, Stamina, Amalin, pamoko kundi langu. Kama imefika nipe likes twende mbele. Shabiki from DRC

  • @halidyassin5739
    @halidyassin5739 4 ปีที่แล้ว +25

    Well anything Rostam and Stamina is always educative,creativity top class big big luv from Arua Uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @mr.sayoosayomusic7064
    @mr.sayoosayomusic7064 4 ปีที่แล้ว +63

    😂😂😂😂😂😂nyie majamaaaa hamnaga shoooo mbovuuu kbxaaa yani daahhh #SALUUUUUTE gonga like kwa Rostaaaammmm, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @officialSkuBy
    @officialSkuBy 4 ปีที่แล้ว +41

    Wangapi wamemsikia one six kwenye chorus Gonga like

  • @denisfavours598
    @denisfavours598 4 ปีที่แล้ว +118

    Most creative video ever seen in East Africa kama umemkubali Director nicklass na rostam kwa ujumla gonga like twende sawa👊
    👇👇

    • @mjombamjomba1481
      @mjombamjomba1481 4 ปีที่แล้ว +1

      nasikiaa...ma koyuzeka mbochi..umeelewaninii

    • @omyhaby1912
      @omyhaby1912 4 ปีที่แล้ว

      Hiii ni dunia nzima sio EA tuuu

  • @muniragambere2680
    @muniragambere2680 4 ปีที่แล้ว +29

    Kati y ngoma ZOTE za corona hii wallahi ni nzuri sana...inamafunzo sana......mziki bongo upo unata ubunifu w zaidi kma wa roma na stamina

    • @ridhiwanifundi1431
      @ridhiwanifundi1431 4 ปีที่แล้ว

      Umeasahau na ngoma ya kala Jeremiah hawa jamaa wako vizuri

    • @henrykinga9825
      @henrykinga9825 4 ปีที่แล้ว

      Sure jamaa yupo vizuri

  • @samtz2506
    @samtz2506 4 ปีที่แล้ว +45

    Umeona TEXT niliotuma "KOYU KEZA MBOCHI MANO LIKWE LIKWE" yaani YUKO ZAKE CHIMBO NOMA KWELI KWELI.... daaah hawa jamaa noma kweliiiii aiiseeeee CHATO HUKO

    • @azasamuel2068
      @azasamuel2068 4 ปีที่แล้ว

      Samwel Kwagilwa umetisha babu..Hii Sanaa dah

    • @karimhamdani793
      @karimhamdani793 4 ปีที่แล้ว

      Daa nlikua sijaelewa hapa

    • @ahazimtindo345
      @ahazimtindo345 4 ปีที่แล้ว

      Nasikia hapo kwa "MZEE" kasema"KEZA" sijui ni kweli

  • @salomebonifasi4936
    @salomebonifasi4936 4 ปีที่แล้ว +135

    Hizi ndo nyimbo ambazo zinatakiwa zipate viewers mil 10

    • @fidelisraymond940
      @fidelisraymond940 4 ปีที่แล้ว +5

      Hakika ila akitoa diamond SAA tu views 2m

    • @deborahnguo7884
      @deborahnguo7884 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 ปีที่แล้ว +4

      @@fidelisraymond940 kuelimisha sio dhima kuu ya muziki bali kuburudisha ndo dhima ya kwanza. Japo mi mpnz wa nyimbo hizi wala sishangai kuona viewers ni wachche kuliko za huyo dimond kwasababu anapiga za burudani ila pia brand yake ni kubwa sana

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 4 ปีที่แล้ว

      haaahahah

    • @vincentbabili4499
      @vincentbabili4499 4 ปีที่แล้ว +2

      Hamna anaejali message ishu ni nani kaimba.

  • @ireneshirima1598
    @ireneshirima1598 4 ปีที่แล้ว +75

    Sijawahi kuomba like ila kam unamkubali Rostam ni Fundi acha like tusonge mbele

  • @KiiruMich
    @KiiruMich 4 ปีที่แล้ว +8

    Dope! Awesome!! Deeeeep!!!
    Mad respect from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Reminds me of Juma Nature na kina prof J.

  • @derricksanya301
    @derricksanya301 4 ปีที่แล้ว +116

    From kenya wapi like zangu nampenda Roma sana ❤

  • @andrewsayi1599
    @andrewsayi1599 4 ปีที่แล้ว +21

    Daaah hawa wajamaa wamenkosha gong like twnde pamoja rostam n shiiiiidah

  • @johnsonmtango8326
    @johnsonmtango8326 4 ปีที่แล้ว +67

    What a creativity...
    Salute ROSTAM

    • @Nesphore1
      @Nesphore1 4 ปีที่แล้ว

      Legend bana 👍🏾💯✔️

  • @sarahpoledadaangmnguakutan8961
    @sarahpoledadaangmnguakutan8961 4 ปีที่แล้ว +30

    Sipendi hpop lakin hiii noma nawapenda San❤️❤️💋👏

  • @twalibmgagi1652
    @twalibmgagi1652 4 ปีที่แล้ว +83

    Jamani hizi ladha hizi hadi basi yaani, UNAFURAHI, UNAELIMIKA na UNAJIFUNZA UBUNIFU wa gharama nafuu kabisa. Dah nyie ROSTAM nyie siyo mchezo!

  • @a.shakursomo6206
    @a.shakursomo6206 4 ปีที่แล้ว +36

    Rostam is a true East African Brand, great message... Love it.... Organize Nairobi Kenyan Concert.

  • @mohamedjafferali2423
    @mohamedjafferali2423 4 ปีที่แล้ว +20

    Nyimbo 1 na nusu ....creativity ya dunia🔥🔥🔥

  • @aishasaid5484
    @aishasaid5484 4 ปีที่แล้ว +41

    This song is just more than amazing much love frm 🇰🇪

    • @Steezymalama
      @Steezymalama 3 ปีที่แล้ว

      What is it talking about?

  • @joackimbakary7392
    @joackimbakary7392 4 ปีที่แล้ว +30

    Nje ya box, akili Kama manabiii, asee shikamoo ROSTAM

  • @basilking5964
    @basilking5964 4 ปีที่แล้ว +42

    Aseee kuna nyimbo zngine unasikilizia rohoni 👏👏👏👏

  • @karathajunior6675
    @karathajunior6675 4 ปีที่แล้ว +41

    Nani mwengine ameirudia zaid ya mara 2...ngoma ya kufungia mwaka....!

  • @mamalange2277
    @mamalange2277 2 ปีที่แล้ว +2

    Timeless. Roma anaweza akarudi na akamaliza stage show with this music

  • @faddy8929
    @faddy8929 4 ปีที่แล้ว +26

    Utaskia staki hip-hop ila nataka Ngoma za ROSTAM 🔥🔥

  • @TheMandela21
    @TheMandela21 4 ปีที่แล้ว +165

    I HAVE NEVER SEEN A GROUP SO CONSISTENT WITH HITS AND VERY SENSIBLE SONGS. THESE GUYS DESERVE MORE VIEWS AND MORE MONEY...THEY ARE REVOLUTIONARIES

  • @medybytv5004
    @medybytv5004 4 ปีที่แล้ว +202

    nimeka sana jamn muninyime like hata kumi zina tosha kaka tuchat

  • @painkillerz7007
    @painkillerz7007 ปีที่แล้ว +2

    Straight Up representing from jinja ,,, ngooma ne smart wasee

  • @joslandphilipo3592
    @joslandphilipo3592 4 ปีที่แล้ว +31

    Amen "Bwana wa mabwana, Mungu wa miungu, Alfa na Omega nani kama wewe"

    • @barakabidiga3257
      @barakabidiga3257 4 ปีที่แล้ว

      ANGALIA HII kALI YA MWAKA KISHA SUBSCRIBE th-cam.com/video/WPUZiNBTPUA/w-d-xo.html

    • @doricibrahimu2490
      @doricibrahimu2490 4 ปีที่แล้ว

      Nakukubali san

    • @VeeJong2639
      @VeeJong2639 2 ปีที่แล้ว

      Sorry naweza kuuliza kitu hv wale waliokua wanaimba kwaya ile wanaitwaje

  • @gabrielgabito4197
    @gabrielgabito4197 4 ปีที่แล้ว +89

    *""kiukweli Mi Mwaminifu ingawa jogoo anawika"**
    Daaa huyu jamaa ni kisangaaa

  • @infospring3767
    @infospring3767 4 ปีที่แล้ว +182

    Creativity✔
    Mistari✔
    Location✔
    Messages✔
    💪🏿💪🏿💪🏿 Proudly Tanzanian🇹🇿

    • @omariabdalatube1313
      @omariabdalatube1313 4 ปีที่แล้ว +2

      Ngoma safi inaburudisha na kuelimisha. Big up Rostam

    • @goodluckyabsalom516
      @goodluckyabsalom516 4 ปีที่แล้ว

      Yeap asee good ideas,,mmetisha Sanaa ,,nimeipenda hii😂😂

    • @regganjohnreggan8727
      @regganjohnreggan8727 4 ปีที่แล้ว

      Viva Roma 💯💯💯💯💯💯💯

    • @SmartBrainTv2020
      @SmartBrainTv2020 4 ปีที่แล้ว

      NAOMBA U SUBSCRIBE CHANNEL YANGU PLEASE !

    • @infospring3767
      @infospring3767 4 ปีที่แล้ว +1

      @@SmartBrainTv2020 usijali

  • @omwoyowycliffe1074
    @omwoyowycliffe1074 ปีที่แล้ว +1

    Cam here after Kaligraph mentioned them in his song. Just waoo....amazing!

  • @ramadanmtama1245
    @ramadanmtama1245 4 ปีที่แล้ว +59

    talented guys in da country, no one like them

  • @sayulap9107
    @sayulap9107 4 ปีที่แล้ว +115

    Gonga like Kama umeskia "Wametukusanya kutuambia tusikusanyike"

  • @kingmuhashjr5676
    @kingmuhashjr5676 4 ปีที่แล้ว +39

    Hii nyimboo ingekuwa kenya ushalipwa rostam Nakubalii Wazee
    Hatuombii likes kenya balii tuna unganaa kwa kuipendaa twendeee naloo

    • @sophiaissa5891
      @sophiaissa5891 4 ปีที่แล้ว

      Nimeirudia zaidi ya Mara tano kiukweli ladha tosha

  • @amimwesh
    @amimwesh ปีที่แล้ว +3

    My alltime favourite #ROSTAM.Please stamina roma bring another hit

  • @patoaddo7643
    @patoaddo7643 4 ปีที่แล้ว +31

    Aisee hawa rostam ni shida🔥🔥 hebu nipe like yako nami

  • @trueboy3211
    @trueboy3211 4 ปีที่แล้ว +20

    Hapa Kenya tunakubali kaka Tuchati🔥🔥

  • @ERICXOMAGAWI
    @ERICXOMAGAWI 4 ปีที่แล้ว +49

    From 🇰🇪Kenya hili ni bonge la track..niliwajua Kwanza na collabo na Khaligraph Jones mko juu sana..Tuepuke Corona

    • @cosmcosmo2412
      @cosmcosmo2412 4 ปีที่แล้ว +1

      Jaman naipenda hii nyimbo nairudio kila mda

  • @elizabethrogath6902
    @elizabethrogath6902 4 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli nilikuwa sipendi hip hop ila hawa wawili wamenifanya niipenda, wananipunguzia stress big up brother's mungu azidi kuwalinda.

  • @josephjose8902
    @josephjose8902 4 ปีที่แล้ว +530

    Team Rostam gonga like twende sawaa

    • @nassorokallanda1275
      @nassorokallanda1275 4 ปีที่แล้ว +4

      Hii nyingine tena

    • @zainaally7991
      @zainaally7991 4 ปีที่แล้ว +2

      Tunaachaje

    • @sultandady1183
      @sultandady1183 4 ปีที่แล้ว +2

      rostam nyinyi ni hatariii Roma juuuu stamina juuuu

    • @sultandady1183
      @sultandady1183 4 ปีที่แล้ว

      rostam nyinyi hatariii roma juuuu stamina juuuu

    • @fababindawood8363
      @fababindawood8363 4 ปีที่แล้ว +1

      Hawa majamaa wanajuwa 🔥🔥🔥🔥🔥 km umeckia pale maneno yamegeuzwa hebu iyandike kwa usahihi hapa

  • @isayaoscar7335
    @isayaoscar7335 4 ปีที่แล้ว +19

    Nimesikia mende kaongelewa..nyie watu ni fire🔥🔥🔥🔥

  • @elicemarco59
    @elicemarco59 4 ปีที่แล้ว +46

    well, wimbo mzuri
    ubunifu mzuri
    ujumbe mzuri
    wakati mzuri
    big up boys

  • @culturetvke1596
    @culturetvke1596 4 ปีที่แล้ว +7

    ngoma kali, na pia ina mafunzo. I like this duo. great content. madd love from kenya.

  • @israelfrancis9734
    @israelfrancis9734 4 ปีที่แล้ว +17

    Wewe!!! Hili ngoma balaa nani kapenda ule mstari tanga wametoa sanitizer za iriki ukipaka unanukia gonga like hapa

  • @shukuranimtesigwa3439
    @shukuranimtesigwa3439 4 ปีที่แล้ว +39

    Jaman nimechelewa kidogo but naomba like 50 kabla ya 2M

  • @mussakitulanya4486
    @mussakitulanya4486 4 ปีที่แล้ว +50

    Namskia @one six kwenye kiitikio
    Aliye mskia gonga like

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 3 ปีที่แล้ว

    Roma elimu kubwa sana; shule iliotumika hapa sio ya hapa na pale. Viva Roma, viva ROSTAM