Nduku ,kaka na ,madada ni mwaka mpya 2023 mwezi wa pili tarehe 13 saa 9.35pm...Hii nyimbo naisikiliza na kwa kweli natamani nyimbo zenyee ujumbe kwa Jamie.#FOREVER AND EVER KALAJEREMIAH NTAKUTAMBUA
Vizuri sana kaka jeremaya! Wakati mwingine watu ni wengi wanaotendewa mambo mazuri sana tena wakiokolewa kutoka ktk maisha ya chini kabisa, lakini badae husahau kabisa walilowasaidia.
Nimetafuta hiki kibao kwa muda.. Lakini kwa sasa nashukuru sana maanake technolojia imeniwezesha... Asante #bongohiphop.. Dj AD Mafuvu... Nakufagilia sana huku +254 kenya... Holla!
imetishaa kala hiyo kali sana yani dem hule huwa anatake time yake kusikia ngoma bac hii hapa itamtoa machozi mengi sana kila m2 katisha kwenye part yake nay.mo na jeremiah hongera sana kw mzingo mkubwa huo
Kama unaangalia hii song 2024 gonga like hapa, Bonge moja la songi linafundisha sana
💫✌️👊🎉
Daah umetoka nduki kama filibet nduki
Bado Ngoma mbichi
Oyeee
Kenya +254 🙌 🙌
Hili goma ni hatar,Ugopaa still hit 2024,2025,2026 nakuendelea,kama ishakukut hii kitu like
Mungu ni mwema,kama upo hapa sasa hivi june 2023 gonga 👍 ❤
Kama hili goma lilutoka ukiwa bado unasoma kama mim naomba like
Oyooooooooooooooooooo Ney umeuaaaaaaaa daaaah hawa jamaaa hadi nasisimka
nura hamis uhakika
Kala rudiii alakati ziliishia WAP baba magu kashakufa Rudi uimbe kuo hit kabisa
Kama unaangalia hii song 2023 gonga like hapa 😍
Tushahama tupo 2025 ndugu yangu
Nduku ,kaka na ,madada ni mwaka mpya 2023 mwezi wa pili tarehe 13 saa 9.35pm...Hii nyimbo naisikiliza na kwa kweli natamani nyimbo zenyee ujumbe kwa Jamie.#FOREVER AND EVER KALAJEREMIAH NTAKUTAMBUA
umetisha
😢😢😢😢❤mapenzi yanaumiza sana nyie kila anateseka Mungu akukumbuke akupe mtu sahihi.
Jamani tulio rudia2023 mwezi 12 tujuane naomba like😢
Aaa mna kazi poa sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤
Baada ya kumpenda sana nimemweka vizuri leo kaenda nimeukumbuka mziki huu nikabidi niusikilize 19/06/2020
Mnatisha sana kwauzoefu wangu Ney akishirikishwa nilazima matokeo yawe mazuri sana mkojuu mnatiiiiiisha kinona ujumbe mzuri umefika
Anajikojorea
Nimechekea sana hapa
kala mkari
mary mbwinga mnk
Kala
"Acha mbwe-mbwe bin't hii dunia maisha hayaendi hivyo, utaumia"
2na kukumbuka baba
Good work, good ideas, good dream's,good thinking, Tanzanian musician here we go, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎧🎧🎧
Kama bado unaangaliya hii? Nyimbo 2023 basi gonga like hapa twende mbele ❤❤
Asante ney kwa mashushu duuuuu wimbo una message nzuri nimeupenda
Kama kanyimbo kana kugusa mpaka unajicheka kama mimi gonga like twende pamoja
kama nawewe umeirudia hii ngoma 2019 gonga like twende sawa
Antony Mchina tupo hatupoi
Kali
Sana
@@andasonimichael3050 imetisha ngoma hiyo
Still 2021 bado narudia kuona
Aise kitambo sana waku kama unamkubali huyu jama gonna laik mku ira saiv simusikiii
Kama umerudia hii ngoma 2023 😊gonna like
Naitamaza hii ngoma now November 04-2019 kama Nawe upo like twende zetu 2020
2020
Daaaah ney anachanika humu mno
Ngoma kali mpaka 2024🎉
kala jeremiah ni moto wa kuotea mbali!
Wimbo mzuri una mafunzo kweli, natokea kenya naomba tu lyrics za huu wimbo Kala.
Wimbo mkali Sana
Nazipenda sana na kukubalii nyimbo za kala Jeremiah,,,big up ma nigga unaweza sana
Wimbo poa
Powa sana
2024 nabado hii Ngoma uko live👍
Nipo apa
Nilikupeleka saluni na bichwa lako 🙈🙈
Vizuri sana kaka jeremaya! Wakati mwingine watu ni wengi wanaotendewa mambo mazuri sana tena wakiokolewa kutoka ktk maisha ya chini kabisa, lakini badae husahau kabisa walilowasaidia.
2025 wapi likes zangu kwa hili goma
ayaaaa! inaendelea lin....? umetisha, true boy katisha....chorus ndo usipime...bonge la video, kibongobongo tu...haina haja ya kwenda sauzi!
love song mmetisha tunaitaji ngoma nyingine mshilikine
Comment ziwe nyingi tunao angalia hii ngoma 2024 kweli zamani walikua wanaimba
Nikakupeleka salon ukaset nywele na bichwa lakoo salute kala
Kali Sana Kaka , ww ni noma unaweza sana
naipendaga kila mwaka iiih 😍😍😍😘😍😘😍😘😍😍😘😍😘
Huu wimbo nita ukisikiliza kila mwaka kila mwezi kila wiki sjawai kuuchoka
Anaye jua jina la hiki kipande
Kosa gan nimefanya..... Anaimba huyo jamaa mwengine
Mo music
gonga like km na we umesikia alipopewa pole aliyeoa kuuziwa mbuz kwenye gunia maana awez kuacha tabia yke ya kujikojolea,
Kila nikiusikia huu wimbo nnapata kitu kipya... Kala unajuaga tuu🤛🏾🤛🏾
mob love hadi leo.Kenya tunaskiza
Dahaa ngoma Kali
Sana
Kama upo unaifuatilia nao like yak
Kali sana walahi. Nimeikubali 100% From Kenya ❤
Nimetafuta hiki kibao kwa muda.. Lakini kwa sasa nashukuru sana maanake technolojia imeniwezesha... Asante #bongohiphop.. Dj AD Mafuvu... Nakufagilia sana huku +254 kenya... Holla!
Hii nyimbo naipenda sana,cwez ingia tube bila kuchek ngoma Kali kama hii
uyu mjamaa kala ni mkali East Africa yote
NaaaNaaaaaaNaaaNaaaaaaaaNaaaNaaaaaaNaaaNaaaaaaaaaàaa
Anakwama wap ss
Tatizo nyota
Huy jamaa ni balaaaa an
Hello my phone and I'm
2020/01/12= nani yupo hapa baada ya kutendwa ndo tunaikumbuka hii ngoma ndo faraja yetu
Siya ona mwana mziki bora kama wewe mpaka nime ku love ki nyama depuis rd congo
Kwanza nikuurize shemeji umeshawai penda na yure ebwana bonge ra ngoma
Mamayangu huyu jamaa anaimba.your fan from kenya
Heee banaa ayo makavu kweli
Kama 2025 unaliangalia hili goma piga dole gumba hapa
😂😂😂😂😂😂😂😂kila mtu wa kwanza 😂😂🤣🤣🤣🤣na wamwisho yuko wap
Ngoma kama hizi huwa zinanifanya niendelee kuzurula kila siku kuangalia TH-cam🤗
hongera sana kaka angu nymbo zako naakubali sana ndg yng
Kala were no noma mm nakukubali sana by Thomas Mndamsheku from Sengerema
Very good song,, i real appreciate you,, big up
Nakupenda sana Kala nakutongilye
Siku zote nikiangalia nyimbo hii huwa namuwazia mtu aliyeolewa na ndugu yake na Mr nay maana shemeji ana chamba kuliko mume
well done kala ilikuwa mzuka kwenye EATV friday night Live ulipo chana freestyle na Baba Kaila..... eddy from mombasa
2023 Still sounding fresh in my vains
Hip Hop si lazima liwayne na Jay Z. Mambo haya, napendaaa
Mo Miaka 100000000 Nakukubarii Umen Ulia hik kipande
Ulikuja umepauka huna hataa mia nampaa poleee aliyekuoa kauziwa mbuz kwenye juniaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kosa gani ndo naawazaaa every time Avery night, kipi kilo fanya mpaka u goo sekelaa sekeaaa
is 2023 and the song is still dope
😂✊
😂😂😂😂
Ngoma kali lakini siipati itunes nawezaje ipata hii wazee
Mzik mzr sana umeendana na nilipo sasa
imetishaa kala hiyo kali sana yani dem hule huwa anatake time yake kusikia ngoma bac hii hapa itamtoa machozi mengi sana kila m2 katisha kwenye part yake nay.mo na jeremiah hongera sana kw mzingo mkubwa huo
Daaaaaaah balaaaaaa hiii ngoma
Dah, chorus Kali sana, cjui mo unaanguka wap!
nice song aiseee. Ney mkuu.....
Kama umerudi 2021 gonga like
More congrats Mr for this song
umetisha kala j &trueboooooy!
U rock kala jeremiah...great fan of uas
Paulina Mkama
Iko poa sana yaan big up Kala
Courage papa mnawez kwl kwl
Mo Music alikuwa anaimba daah
Kazi nzuri, fani na maudhi vina uwiano! Ongezeni bidii ili jamii ipate kujifunza zaidi kupitia muziki wetu Tz!
Kala jeremaa kirelelen 💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
Bado nzur tu na zinatamba💝💝💝
Yap Yap. big up xna. kali dah mistari ynguvu
Nyimbo za bongo za siku hizi hazina mafunzo yoyote kama hizi za kitambo...
❤❤umetisha sana mlongove
Rudiii humuu kaka 15/03/2023 nimewatch tenaa .kaziii inaishiiiiii hii
Yaliyotukuta kama ya kala tujuane kwa like
Kala Jeremiah WAP now days dah nakukubali sana good job
upo mbele sana kakaa wataelewa 2
wimbo huu umenigusa
Mandela Hamisi
Wakishindwa kuelewa basi
Wow!! I have watched it more than 20times
Nay nakukubali sana umejua kunogesha ngoma
Hahahahahahahahaha ".. eti umekimbiaa nduki kama filbert bai..." 😀😀
Kama umeiludia kuangalia kama mm mwaka 2022 gonga like za kutosha
Kala weeeee daah kitambo
Uko vizuri kaka
umetishaa mzaz upo juuu saaanaa
Kwanza una tamaa, kahaba, changudua
Hii Nyimbo Ipo Vzuli Sana
video simple bt smart nymbo saf msg nayo ipo njema well done braa
7
A we're at iyo stop
Dah! Ney kaachiwa sekunde kadhaa tu katukana balaa, hahaaa
Always your songs are best broo
Kamaunaangalia hiingoma hadixx gonna like
Dah nime angalia tena 12.3.2023 ni ngoma kali sana
dah! bonge la ngoma niko hapa june 6 2024