Alichoandika kaandika hakun cha labda, kwani ukiandika ujumbe unaokusudia kwa mtu msomi, lazima ahakikishe anahakiki na kuhariri alichokiandika kabla ya kuyatuma. Hivyo alichoandika ndicho alichokikusudia, kwani kimtokacho mtu moyoni mwake ndicho kimtiacho unajisi.
Mimi maoni Mbowe na mheshimu sana na amekijenga chama Kwa kiasi kikubwa mno na Hadi Sasa chama kina nguvu lakini kwasasa nilitamani Kuna anastaafu na itakuwa ni heshima kuwa sana kwake
....kudharau mchango wa wengine ni kosa kubwa sana maishani mwa mtu yeyote.
....
Mbowe you are a great liability,just go
Hakuna,watu kuchoka viama viliviopo na kutafuta kwingine-Huko kwingine hakupo!!
Mboweyuko vizuli acheni unafiki
wala haja kosea Tatizo Baadhi ya mawakili wanadha TLS ni chama cha siasa na kaz yake kubwa ni kukosoa serrkali tu
Alichoandika kaandika hakun cha labda, kwani ukiandika ujumbe unaokusudia kwa mtu msomi, lazima ahakikishe anahakiki na kuhariri alichokiandika kabla ya kuyatuma. Hivyo alichoandika ndicho alichokikusudia, kwani kimtokacho mtu moyoni mwake ndicho kimtiacho unajisi.
Mimi maoni Mbowe na mheshimu sana na amekijenga chama Kwa kiasi kikubwa mno na Hadi Sasa chama kina nguvu lakini kwasasa nilitamani Kuna anastaafu na itakuwa ni heshima kuwa sana kwake
😅😅😅😅😅masese
Tulikuamini Mwabukusi kumbe tayari umelambishwa. Laa Tanzania ni shida kweli
Siyo kweli hii nitaadhali,kwa chadema,mbowehahitajiki kwa chama saizi, abaki kuwa mshauri
So kweli mwabukusi sio wa ruxhwa
Hivyo kweli kunaupinzan nchini ,wapenda ela tu
Mwabukusi kwisha kabisa 2025
Mwabukusi kama unamaanisha bc umeshapewa posho
Hakuna posho ila ni tahadhali na wala hajakosea
Mbowe aachie ngazi,hatuwezi hubiri democrasia afu chadema kinakuwa na mtemi mmoja wachana,aache kutaka kuwa m/kiti wa milele,aache kuzingua mbowe,anawarudisha nyuma wanaharakati
Badala ungesema ccm iachie ngazi miaka 63 unamsema mbowe jamani
Mwabukusi anawaamsha kiakili wahusika. Ukituliza akili utamuelewa.
Mwabukusi tangu kapat cheo hakuna k2
Mwambukusi amefer sana,,mwanasheria makini hushauri na kukosoa walio madarakani,,
Kwahiyo wakiwahujumu wa Tanzania akae kimya, tatizo lenu nyie mnapenda mtu badala ya kupenda nchi
Mwambukus umeisha kua boya ww