PATANISHO : SIDHANI KAMA NITARUDI WACHA TU NIKULELEE MTOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2023
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 40

  • @annmwariri3059
    @annmwariri3059 9 หลายเดือนก่อน +12

    The fact remains that the mother ddnt like boaz and he's such a cool guy otherwise hakuna college huyo dem anaenda......wacha apambane na life lkn atapoteza mbili akijaribu kufikia moja na ataja regret.

  • @Waziri77
    @Waziri77 2 หลายเดือนก่อน

    come we stay ni ndoa siku hizi Gidi bana hatuna mahari sai bora amani na shibe

  • @kwahmah230
    @kwahmah230 9 หลายเดือนก่อน +4

    Gidi uko na ujinga sana myb hata wewe hujalipia bibi yako mahali na uko hapa kupayukia wengine si wote wanauwezo wa kulipa mahali

    • @Lilianmuriithi-nx3pv
      @Lilianmuriithi-nx3pv 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kama huna uwezo mbona ujiingize kwa ndoa😢😂😂

  • @wanjikuwaweru8541
    @wanjikuwaweru8541 9 หลายเดือนก่อน +5

    Wanaume wafuatililie ndoa vile inavyo hitajika! No short cuts!!!

    • @user-xs2mw3jb5t
      @user-xs2mw3jb5t 9 หลายเดือนก่อน

      2

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 9 หลายเดือนก่อน +1

      Na pia ataheshimiwa

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 9 หลายเดือนก่อน

      Marriage is not only about men , marriage is about two grown ups woman and a man , wewe kama unataka ndoa rasmi don't accept kulala na mtu , because ata hiyo ni shortcut , the moment unalala na mwanaume alafu unasema unataka marriage ramsi my friend ningumu ata heshima hauwezi pewa and that's why Kuna cheating

  • @patrickj.136
    @patrickj.136 9 หลายเดือนก่อน +4

    My dear Men, don't be desperate to where you are not needed, ukiwa na Mwanamke ama Msichana na control yote instoka kwa mamake it's either ukomeshe mapema ama be ready kupigwa character development,mahari haifai kulazimishwa, you pay at your time and the right one,,,,, Boaz move on enda utafute Msichana mahali utaeshimiwa,iki bado kinafanyiwa business na mamake.

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 9 หลายเดือนก่อน

      Very true Kuna shida hapo mm 11yrs na mwanaume ajui kwetu mpka tumewachana sai

  • @linetmoses3290
    @linetmoses3290 9 หลายเดือนก่อน +1

    mambo n ngumu Sana

  • @wilbrightwekesa1269
    @wilbrightwekesa1269 2 หลายเดือนก่อน

    Kusema ukweli mwanamke hapendi huyo jamaa ingekuwa anampenda hangesikia maneno ya mamake

  • @jackieshamim3162
    @jackieshamim3162 9 หลายเดือนก่อน +1

    Boaz move on.wachana na hao watu.hata hakuna mambo na college hapo

  • @millicentatienoatieno5630
    @millicentatienoatieno5630 3 หลายเดือนก่อน

    Gid unabooooii na maswal ya kiufala

  • @vivianjohn2482
    @vivianjohn2482 9 หลายเดือนก่อน +3

    But uyu mwanaume anaka humble aki thn leave this lady kama hawataki kuku understand wachana nao

  • @millicentatienoatieno5630
    @millicentatienoatieno5630 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu mama acha to atatufutia uyu mschana wake bwana ata kwaa bar

  • @miriamchepkurui9257
    @miriamchepkurui9257 4 หลายเดือนก่อน

    Uzuri ya wakale atuna mila mtoto anyolewe na kila mtu

  • @stephenkaroki3002
    @stephenkaroki3002 9 หลายเดือนก่อน

    14:34 Mahari hailazimishwi tena hawa wameanza mapema na wataishi kukusimbua siku hizi pesa ni shida na watu inabidi kwanza wakae watafute then kwa hiyo mahari pesa inapatikana mtoto mmoja na wanakukimbiza mbio hivyo siku hizi ishi na msichana kidogo ujue ni mtu waaina gani usikimbilie kutoa mahari sikuhizi madame hawaeleweki.

  • @royalsmilesmalaba
    @royalsmilesmalaba 9 หลายเดือนก่อน

    gidi wewe fikiria kwanza kisha shauri mwanaume mwenzako

  • @joelwanyonyi2728
    @joelwanyonyi2728 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu ambae anasikia maneno ya Mama yake wachana naye, juu utakuwa uko kwa penzi na mkeo na mama anamwambia achana na mapenzi kuja hapa, na anakuacha, achana nae shughulika mtoto wako.

    • @mrambafred7591
      @mrambafred7591 9 หลายเดือนก่อน

      That's what happened to me. Mke anaskiza mamaa

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 ukweli inauma

  • @user-ew6fn1id6l
    @user-ew6fn1id6l 9 หลายเดือนก่อน

    Mahariii wanaforce nipate mtu 😃😃😃😃

  • @denisoyieyo6093
    @denisoyieyo6093 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani Gidi watu wanaoana siku moja na kulipa dowry na sio harusi wamefanya 🤔🤔

  • @derrickdeya7061
    @derrickdeya7061 9 หลายเดือนก่อน

    Na uko college anawezaget a comrade!

  • @user-ps7ej3ep4e
    @user-ps7ej3ep4e 5 หลายเดือนก่อน

    Peleka mahar acha kutaka mteremko ww

  • @jdeejedida6923
    @jdeejedida6923 9 หลายเดือนก่อน

    Ati mnyoe mtoto pthothooooooo wangu namnyoa hizo kimila siwezani nazo😂

    • @kathurejane9980
      @kathurejane9980 9 หลายเดือนก่อน +1

      km hujaoleka bac western culture ni ivo

    • @millykezy9529
      @millykezy9529 9 หลายเดือนก่อน

      Mwacha mila ni mtumwa!.

    • @annkimani5921
      @annkimani5921 9 หลายเดือนก่อน

      Hehe wangu alinyolewa na mother inlaw na sikucomplain

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 9 หลายเดือนก่อน

    Dowry is a discussion. That guy already said that wanajipanga. Stop making it look like it's the only reason. Reasonable parents understand.

  • @bensonathewa5956
    @bensonathewa5956 9 หลายเดือนก่อน +3

    Another reason why women usually get wrong in marriage , hi family yakina caren ni biashara wanafanya , 😴hiyo family inataka pesa , na wanajifanya ni story na shule , so bad 🙄

  • @b.3940
    @b.3940 9 หลายเดือนก่อน +1

    Shida ya Boaz ni nini? Kama hajaenda kwa wazazi wa huyo mwanamke hana bibi, ana girlfriend.

    • @elizabethiradukunda1950
      @elizabethiradukunda1950 9 หลายเดือนก่อน +1

      kwani wanawake ni bidhaa za soko.. lazima wanunuliwe? .. so mwanauma kama hana pesa, hataoa?

    • @b.3940
      @b.3940 9 หลายเดือนก่อน

      @@elizabethiradukunda1950 si lazima hela zitolewe but mtoto atanyolewa na nyayake kama babake hajajijulisha kwa family ya mwanamke.

    • @elizabethiradukunda1950
      @elizabethiradukunda1950 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@b.3940 Hapana hapo gidi anauliza kama hajapeleka kitu.. acheni kuuza waschana iyo ndio inafanya wanaume wana mistreat wife zao because anyway ni property yake

    • @b.3940
      @b.3940 9 หลายเดือนก่อน

      @@elizabethiradukunda1950 but kuwacha mila ambazo zimedumu miaka millenniums si kitu rahisi.

  • @wapower
    @wapower 9 หลายเดือนก่อน

    Boaz hii ni red flag toka mbio acha aolewe na mamake 😢