PATANISHO: NICHOLAS - NILIPACHIKA MSICHANA MWINGINE MIMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2020
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya
#Patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Sheila is serious with life,,Nico endelea na "stray bullets zako", umemkosa mke wa maana!
Waaah enyewe huyo dem anareason vizuri sana
I like this sheila she knows what she want.. if women were this firm men would change
Drop likes za wakale😁😁😁😁
Tuko ndani
Sex outside marriage is a sin bwana Nicholas... Jirudie na uende chini Kwa magoti na Mungu atakusamehe.
I love this lady,,,,,,mwanamke n msimamo
The best patanisho ever ati walifanya
Boychild na kujipima👍👍👍👍
Sheila well done. Hakuna haja ya kujistress 👍🏾
Kigen .ati "sina mwigine lakin ntaoa mwingine"😂😂😂😂😂🙌
This lady is composed, cool and firm , she knows what she wants no matter her condition .. huyu hureview notes zenye tuliandika kwa women's conference..
Caro kemunto watching from saudia team saudia mko wapi?? hii nao ni kali sana , huyu mwanauma mjinga sana
N mjinga saana
Honest,faithful and commitment is key of relationship uyu mme ni mjanja
Love,prayers, and communication too.
Natafuta mume number yangu Ni hiyo
Gidi umecheza kiwewe, ungetoboa ile ya mtoto ingekua more worse. Work well done
Hawa mnasema first to watch kwani mnapewa trophy 🏆
🍞🍞🍞🍞🍞mkate nusu.
Pia mm ii kitu hunishangaza sana.kwani huwa wanalipwa?
@@mosesmutwiri9411 huwa wanabore
@@fridahmaingi6025 sawa
@@gloriamwikali5626 nani atawambia hapa c shule ukifika wa kwanza unasema?
Ndoo 😂😂😂😂😂Ghost your sooo addictive the laugh
Ndani Ndani kama kawa no 10 Leo
First one yay team Turkey
Team Turkey hoyee
Number 3 team Lebanon 🇱🇧
Sheria akisema amesema😅😅,,, ndugu kimeumana hivyo, pole...
Ukisikia mwanamke akisema , nichukue kama dada yako, jua ashakutema.., p
Hata hamuskizi patanisho mnakimbilia kucomment number 1,2,10
Huyu kijana si aishi na mwenye alizalisha
Wengine hawasikizangi hukimbilia numbers
@@mosesmutwiri9411 ni sasa wanalipa wanabehave ka watoto wa nursery
@@lioness8207 mayb hawaelewi ii ni pande ya comment c ya numbers
Anaogopa shidano ati kaa nili kukosea hajui kama alikosa my dear mbele kuzuri napenda iyo Dada usirudi
Gidi, if you don't get migraines after some of this segments, man, you are strong bruh 😂😂
Team kujiamini mpo
2ko kama tarehe..tukiendelea kujiamini
Tuko tena kwa fujo
Walai sheila,is a good girl
When a woman lough in an argument.... Just know the physcho part has been activitated....
😂😂😂😂
Nipatiwe namba ya Sheila plz
Kwa team hamam number one 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko apa pia
Mkale mkora wa mwisho
Hahaha hahaha
Mwanaume mkora huyo....ata hiyo mimba ni ya mwezio.....aaaah... Wanaume wakenya ..balaaa..aaaaaah
Kabisa ni wakora sana
Kwani patanisho walihama
Kenya kuna wanaume sio mchezo.
😢
Wakale mlikosea wapi jameni 😂😂😂😂😂😂Ati nilijipima
Naokopa shindano
Wanandoa eeeish muwe waaminifu. Ata mimi nimekataa married men in my inbox sitaki upuzi. Watu wapambane na hali zao za ndoa
Ndio hivyo inavyokuwa ukiheshimu mwanamme huwa anakudharau
Msijifanye hamjackia mm naogopa shindano na nilinini inje kujipima kama naeza zaa
Ati "wee mimi sio bibi yako"
😂😂😂😂yeye alinini tu
🤣🤣🤣
Matapeli 419 wamekutana.
Tuned
Arafu huyu Dame ako namtoii staitwaa singles mum just ya mjingaa ,
Asamehewe tu
Gidi uko sawa
Present
Mlikuwa mume na mke baadae mkawa dada na kaka😁😁😁😁wanaume wakenya mna nini lakini hamridhiki na mke mmoja?
Kigen say the truth and the truth shall set u free. Ulizalisha nje may b kulingana na kuchelewa kwa mkeo kupata mtoi. Ulikosa ungeenda hosi bt hakuna mkamilifu maishani. B open na Sheila umpe sababu zako za kufanya hivyo na umwombe msamaha..uko hewani nabado unasema uongo hutaki kufunguka...Sheilla move on wth ur life. Ona daktari upate matibabu utapata mume serious muowane. Wachana na huyu mwongo haaminiki
Big up Gidi n Ghost Good job, Sheila she's wife material with faith n great hopes in life but Nicole hana wasiwasi hana msimamo Na uvumilivu. Marriage needs ,100%patience n sacrifice. Sheila seek medical and go for deliverance and you with be a successful wife with a new husband.
Woooo
Since amepachikana mimba si aoe huyo mwenye amebebesha ball
Agree
Aki Hawa wanaume
number 5😜😜
Team Nairobi Kenya pia tuko represented watu wa majuu wametuzoea kututangulia uku🤣🤣🤣🤣🤣
Tuko ndani!
@@nahyialetomia9284 kabisa
Time majuu Sana ,✈️
Ptooo!
Uyu dame nmemnoki
How sure are you Kama hiyo mimba ni yako
Wanawake n FBI tosha hahaha wanaume hamna bahati
Ndani
Cheza na mwanamke wewe akishaamua harudi nyuma
True!!
Wanaume nguvu ya kujitetea ilienda wapi
Good job madam Sheila. Akuchukuwe Kama sister.
😂😂😂😂kenyan men😂😂😂😂mtaniuwa ati alicheza nje road test
Aliogopa sindano😄🤣🤣
Unaogopa mashindanoo🤣🤣🤣🤣🤣
Siku hizi ndoa ni ngumu
Wakalee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nicholas we shinda hapo achana na Sheila. koseng'eng' wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sengen'gwa
@@KosgeiEvans 😂😂😂😂abusan kapisa kale nilijipima niko sawa,,,nliongoja niskie daktari alisema nini, kumbe fisi ilijipima kwa dem 😂😂😂😂😂😂
@jane bure kabisa
Ndoa ndoani
Acha akinye Sheila...kikale maliza mimi
Gidi, nisaidie phone no.
Will you ignore the fact that Nico alifanya😅😅😅😅😅😅
Dada yangu move on with your life. Huyu kichana hako serious yawah
Kichana gani?
😂😂😂😂😂wamefanya
Wanaume wanaume wanaume wanaume, nimewaita mara ngapi? Kuwa mkweli kwa mkeo
Weeeee mbona usiblame ladies
@@shadieproductions2547 mmmh inategemea
Not really,,we always run away Kama kunashida😂😂😂!!!
Pwahahahaha!! Kigen nawe..eti naogopa sindano yet wewe ndo wadungana sindano
Hauko serious mwanaume, Yani unapachika mwingine mimba alafu yeye abaki single.
Self testing
Stupid hiyo Mimba c yako nani alikwambia ni yako Sheilah continue with your life
Watu wa Nairobi muko wapi
Tuko baridi ndio mob mm nataka kuleta yangu na boyfriend wanawake wa FB wote ni wake nimeachia Mungu sai I'm married to jesus
@@hellenmpapale8019 🤣🤣🤣
@@hellenmpapale8019 😂
James Gathaiya uko wapi ukuje usikie hii ujinga ya Nicholas 😂😂😂😂😂
Sheila ni mtoto bado,
What if Yule alienda kujaribu Nate awe pia alikuwa na mwengine akamuwekelea mimba what if aende hosi apatikane hazai nashajichocha amezalisha inje bibi wa inje balaa utalea mtotoi sio wako
Gidi umepatikana na Sheila,,,ati walifanya ?...,,anyway Sheila endelea God will send another one on your way.
Ukalee ni ugonjwa....Kelenee mbhoiyoo?!
Kondoo we😂
Wah
Waaah men can lie sikia huyu ata ana swear hana bibi na alredy yuko n mtu na mtoy woiii gal move on with your life
Gigi yani huyu jamaa mwenyewe ni darktari,sasa hapo ni pangumu,akule kiburi chake
Mulize Gidi na uyo mwanamke wake angeenda nje na mwanaume mwingine aone kama anashika mimba angemliza?
Uyo.mwanaume.ni.mukora..ayende.ayendeleye.na.ule.mwenye.alizaa.na.yeye.juu.hajijuwi.kabisa..labuda.huyo.deem.alikuwa.na.mimba.ya.mwingine..na.akakuja.kujikinga..uyo.mwanau.e.ni.mukora.sana.kwa.nini.hakuenda.na.mke.wake.kwa.dakitari.wapime.wote.
8
Experiment to another girl
Uyu n mkale kweli.hahaha
,🤣🤣🤣🤣🤣huyu n mjanja aky
🤣🤣🤣nimekwama
Hahaha wamechwa kama ndugu na Dada
🤣🤣🤣this Nicolas is joker hayuko serious
hyo msee ayuko serious ata alambe lolo
Na muache kucheka,ovyo,ovyo.some issues are serious.kwanza hio kicheko ya Ghost sio tafadhali.
Ddani
Si ajabu hata huyo mtoto amesingiziwa huyu mpuuzi.
Chamnge 😆😆😆😆🔥
😁😁😁😁😁😁😁😄😄😃😃😁
Waaaaa wanaume ak na kuhanya🥵🥵🥵mnatakanga ajy surely
Labda hata hiyo ball uliekelewa si yako
😂😂😂😂😂
SHILA MBELE KWA MBELE 😆😆😆😆 BUT UNA ONGEA VIZURI UTA PATA WAKWAKO.. WACHANA NA YY 🙆🙆🙆AENDELE KUJARIBU JARIBU WANA WAKE
ATA JUA MBELE YA SAFARI..🇰🇪🇸🇦
😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo fare nitumie mm nikam
Wanaume waongo nyie duuh 🤣🤣🤣 amemwambia Gidi akona mtoto nje alafu hasemi ukweli kwa mke wake
Hahahahahaha