MWIJAKU - ''NATISHIWA KUUAWA, HAKUNA TAKATAKA YEYOTE ANAYENIWEZA, NASIMAMA na AFRIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • MWIJAKU - ''NATISHIWA KUUAWA, HAKUNA TAKATAKA YEYOTE ANAYENIWEZA, NASIMAMA na AFRIKA"
    MUIGIZAJI Mwijaku, amesema tangu alivyoanza harakati za kumpigia promo mwanamuziki Burna Boy kutoka Nigeria ili ashinde tuzo ya BET na akashinda kweli, amekuwa akitishiwa kuuawa na watu wasiojulikana.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 55

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 ปีที่แล้ว +7

    DC mwijaku ndio msalendo wa kweli Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @lilpaff-noma8573
    @lilpaff-noma8573 3 ปีที่แล้ว

    Love from Mozambique 🇧🇮🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇧🇮

  • @eliasparf4m
    @eliasparf4m 3 ปีที่แล้ว

    HARMONIZE ni King djechi namupeda san Congo kitoko sss❤❤❤❤❤🐘🐘🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @colestmakoloo1500
    @colestmakoloo1500 3 ปีที่แล้ว +2

    Amkeni Amkeni Amkeni.......... Uko vizuri mwijaku

  • @aliakbarfazal3673
    @aliakbarfazal3673 3 ปีที่แล้ว +7

    Mwijaku 🇹🇿✌

  • @tudoaver8373
    @tudoaver8373 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwijaku moto mzee

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 3 ปีที่แล้ว +6

    Muulize mbona jumalokole anamtukana hamisa je haoni anamkosea mtoto?why umuulize mwijaku hilo swali

  • @pachabrantaya5012
    @pachabrantaya5012 3 ปีที่แล้ว +1

    Goooody mwijaku

  • @karmamnazi786
    @karmamnazi786 3 ปีที่แล้ว +2

    Wise man

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 ปีที่แล้ว +2

    Unausanii gani paka we

  • @tukadadi3425
    @tukadadi3425 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥Kaka🙌

  • @mo_hustler9099
    @mo_hustler9099 3 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe unalijua kuwa katika maisha jifurahishe mwenyewe usimfurahishe mtu, mbona unadiss watu mmbwa ww

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว +1

    Ananiambia “A you happy what ua doing??”” 😂😂😂😂R.I.P English.

    • @kakorejrboyz6447
      @kakorejrboyz6447 3 ปีที่แล้ว +1

      MSOMI Huyo wa MWENGE OPEN ACADEMY (MOA) KITUO CHA KURISITI Watu waliofeli sasa unashangaa broken English kwa MWIJAKU 🤣🤣🤣🤣

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 3 ปีที่แล้ว

      @@kakorejrboyz6447 kwakweli

  • @mohamedbakar7174
    @mohamedbakar7174 3 ปีที่แล้ว +3

    blooo nakukubali sana safi sana

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku4life

  • @idontknowwhoami3066
    @idontknowwhoami3066 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku DC for life much love 💙

  • @ogwangmakanya1234
    @ogwangmakanya1234 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku nani akutishie kwa hiyo crown unayoendesha

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongea yote lkn tisa kumi mwijaku umejaaliwa matako bro,naona umeenda kuungana na mashoga wenzio clouds

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 ปีที่แล้ว

    Weekeni distance kuzuia coronavirus

  • @angejeanboscohakizimana2402
    @angejeanboscohakizimana2402 3 ปีที่แล้ว

    Sema Mwijaku

  • @mbwanajuma2143
    @mbwanajuma2143 3 ปีที่แล้ว +4

    Uongo mtupu pale leo tena kazi yake ni kusoma matangazo tuu.

  • @shangwehalisi7659
    @shangwehalisi7659 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh kumbe baba levo alisema jamaa alitikisika kichwani

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 ปีที่แล้ว

    Wewe unaushawishi gani??

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Mlivogeleana kwa umbea sasa mlivyo vibonge weusi hadi raha paaaambe mwijaku mzee wa research

  • @mbogofrank1154
    @mbogofrank1154 3 ปีที่แล้ว +2

    Hana lolote huyu mavi tu Kama mavi mengine

  • @lehhassan5853
    @lehhassan5853 3 ปีที่แล้ว +2

    Nenda zako wewe mwijaku huna Moja uwendezako mmafiki mkubwa puwa kama nguruwe

    • @marymary260
      @marymary260 3 ปีที่แล้ว

      Shii kwani weye hauoni sura Yako weye mbaya nitakuja kuu bure weye mind your own business

    • @lehhassan5853
      @lehhassan5853 3 ปีที่แล้ว

      @@marymary260 re' you talking to me madam ??

    • @marymary260
      @marymary260 3 ปีที่แล้ว

      Yeah I am talking to you

    • @lehhassan5853
      @lehhassan5853 3 ปีที่แล้ว

      @@marymary260 yes i am here , what ' re you up to ?

  • @geraldtarimo374
    @geraldtarimo374 3 ปีที่แล้ว +2

    Naniakuue kapuku?

  • @abdoulazizalimohamed7995
    @abdoulazizalimohamed7995 3 ปีที่แล้ว +2

    Dc kama dc

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa watishiwa na mkubwa Fela hivyo si vitisho ni salamu

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 3 ปีที่แล้ว +2

    Ushoga huo unarudi usiku mkeo anasona Novo ... Eh...kweli ndoa itadumu

    • @memoryplus8046
      @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona inadumu mpaka leo hawajaachana 😂? Kwani ao wanaojua mapenzi wako mbona wanazaa hovyo kama panya

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 ปีที่แล้ว

      kusoma novo imepitwa na wakati karne ya 20 sasa watu wamezama ktk net novo ujinga

    • @emmanuelyambo4143
      @emmanuelyambo4143 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saidalhinai1131 duh!! Kweli wewe ni mpumbavu!! Sasa ukisema kuwa novel imepitwa na wakati pia inamaanisha Bibilia Koran na vitabu vinginevyo vimepitwa na wakati?!!

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 3 ปีที่แล้ว

    Takataka yote

  • @frankfrancis2195
    @frankfrancis2195 3 ปีที่แล้ว +1

    Choko ww

  • @dietrichoswald34
    @dietrichoswald34 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume mzima unalamba miguu ya mwanaume mwenzio ili kupata kiki na msaada.
    Kuhusu maisha ya ndoa, unaongea pumba, mume na mke wanapoamua kuungana kila mmoja lazima akubali kubadilika ili kuwa compartible. Unapoongea na media hakiki unachoongea usije ukawajaza watu umbumbu wako

    • @marymary260
      @marymary260 3 ปีที่แล้ว

      Kwani nn umekuhusu weye dahh

  • @davidfrank1644
    @davidfrank1644 3 ปีที่แล้ว

    Mbona yeye adis magari ya wenzake kama anajali furah ya wengine

  • @judaspantaleo9779
    @judaspantaleo9779 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kukubali wewe jamaa dunia hii siwapendi watu wanaofurahia kujikwaa na kuanguka kwa mtu mwingine ni binadamu mwenye roho ya chuma mauaji yanatafsiliwa kwa udogo ukiamua kudefine mauaji ata unayofanya kufurahia matatzo ya wengine ni mauaji tena mabaya kuliko kumtoa mtu roho.

  • @ogwangmakanya1234
    @ogwangmakanya1234 3 ปีที่แล้ว

    Ata kingwendu anaendesha

  • @bononipolla2450
    @bononipolla2450 3 ปีที่แล้ว

    Musk vaeni

  • @bononipolla2450
    @bononipolla2450 3 ปีที่แล้ว

    Mask jamna

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 3 ปีที่แล้ว +1

    Akutishie nani wewe acha masifa sifa nyingine bana

  • @gracetanyungu4727
    @gracetanyungu4727 3 ปีที่แล้ว +1

    Hate u natural mwijaku

  • @gracetanyungu4727
    @gracetanyungu4727 3 ปีที่แล้ว +2

    Takataka ni wewe