Yani uncle Magu ni kama ulisomaga comment yangu. Nilisema Bashe angepewa uwaziri ktk wizara ya kilimo. Mwenyezi Mungu amuwezeshe na amlinde ktk kazi zake. Shukran uncle wetu wa taifa.
bashe kazi anayo sasa,kilimo ni kila kitu.shida maji ila serikali inabidi kupunguza kodi zaidi na zaidi kwenye pembejeo na vifaa vya kilimo hasa pump machine za kusukumia maji.
Ulimfungulia mlango hatakusahau kamwe maishani mwake Mung akupe Pumziko la Amani masee wetu
Kaka yangu bashe nakupenda sana na wewe ni kichwa chuma alikuamini sana haujawahi kutuangusha mola akupe kheri zaidi na umri mlefu💯💯💯💯👋👋💕
Amen
Yani uncle Magu ni kama ulisomaga comment yangu. Nilisema Bashe angepewa uwaziri ktk wizara ya kilimo. Mwenyezi Mungu amuwezeshe na amlinde ktk kazi zake. Shukran uncle wetu wa taifa.
Amiin
Hongera sana mungu akuongoze
safi sn
Wakulima tunafuraha na imani kubwa na uteuzi huu.
bashe kazi anayo sasa,kilimo ni kila kitu.shida maji ila serikali inabidi kupunguza kodi zaidi na zaidi kwenye pembejeo na vifaa vya kilimo hasa pump machine za kusukumia maji.
Kwa bashe mzee hajakosea
Siulikua Hautaki Ushauri
Tuna kuamini Bashe wewe ni Jembe utabadilisha mambo mengi kapige Kazi
#SAMSUNG wametoa brand ya simu mpya ya maajab ili kujua bei yake na kama unataka kuinunua uchek kupitia th-cam.com/video/p1__jGF8OvU/w-d-xo.html