ALIYEMSAJILIA LINE MAGUFULI: NILIVAMIWA GHAFLA OFISINI, SIKUHIFADHI NAMBA YA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 133

  • @rashidijafary2858
    @rashidijafary2858 3 ปีที่แล้ว +5

    Da! Amlaze mahala pema peponi amina jemedali wetu Amina Amina amina

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasafi hakika muko vixuri sana❤❤❤🎉🎉

  • @danieljonas3442
    @danieljonas3442 3 ปีที่แล้ว +19

    Tumepoteza zaidi ya kupoteza, mungu mlaze rais wetu magufuri mahali pema, Amen

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.9733 3 ปีที่แล้ว +17

    Huyu mtu hakuwa wa kawaida,alikuwa na Mungu ndani yake.
    Pumzika Baba yetu

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa namna wasafi wanachapa kazi......congratulations kwa wafanya kazi wote

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 3 ปีที่แล้ว +13

    Dah eww mwnyz mungu mbariki na mlaze mahali pema peponi

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 3 ปีที่แล้ว +4

    Mzee Aliishi kiafrika ingawa ni kiongozi mkubwa kabisa wa nchi.Mungu akulaze mahali pazuri mbinguni.Amen

  • @nenkoang9731
    @nenkoang9731 3 ปีที่แล้ว +4

    We never forget his speech,
    The most benevolent and decent president,

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +9

    Uyu baba pepo anayo jamani masha Allah

    • @mercychinwo7606
      @mercychinwo7606 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in Lagos state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว

      @@mercychinwo7606 amiin

  • @paschalmartin9598
    @paschalmartin9598 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa amani Baba Magufuli tunaomba Mwenyezi Mungu akuangazie Mwangaza wa milele mahali pema peponi

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 3 ปีที่แล้ว +59

    Marehemu Magufuli naye alikua baraka Kwa kila mtu

  • @juliethhope7281
    @juliethhope7281 3 ปีที่แล้ว +6

    Aisee nmeskia faraja jmniii.basi tuu yani😭😭😭😭😭naamini miaka ijayo atajitokeza kama huyu

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 3 ปีที่แล้ว +22

    Endelea kupunzika salama Babaetu mz Magufuli

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kumpumzisha salama

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 3 ปีที่แล้ว +27

    Magufuli Baba wa wanyonge mbona hakwenda shopy alikwenda kwa mnyonge wa kawaida 😭😭😭

  • @davidobonyo7558
    @davidobonyo7558 3 ปีที่แล้ว +12

    Magufuli ni Malaika aliyeletwa na Mungu tanzania kwa kaz maalum na tayari amaimaliza kazi yake to God be the glory, R.I.P. JPM

    • @sarahwawuda5164
      @sarahwawuda5164 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 3 ปีที่แล้ว

      N kweli dear

    • @gabrieldenicc4502
      @gabrieldenicc4502 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kashaenda kuwaongoza malaika maana alikua anajisemea kupewa cheo icho mbele ya adhala

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 3 ปีที่แล้ว +9

    Vinzuri sana magufuli mtu wawatu tutamkumbuka sana Raisi mangufuli 😭😭

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 ปีที่แล้ว +10

    Was very the humble magufuri wetu dah

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 ปีที่แล้ว +23

    rest in peace shujaa wa Tanzania na Africa

  • @michellewangoe2244
    @michellewangoe2244 3 ปีที่แล้ว +9

    I can hear the voice of barnaba "magufuli simama😭😭😭😭😭😭

  • @yohanakiyumbi4795
    @yohanakiyumbi4795 3 ปีที่แล้ว +2

    Daah! Mh. Rais DKT JPM tutaendelea kukukumbuka Milele Daima 😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 ปีที่แล้ว +6

    Daah..!! Nothing to say🙌🙌

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamaniiiii😭😭😭😭😭Mimi ninamajonziii Sana hii story imeniumiza

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 ปีที่แล้ว +4

    DAH INAUMA SANA ... RIP THE SON OF AFRIKA JPM

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +11

    Raisi wa wanyonge JPM ametutoka daaah roho inauma Sana 🙏🏾

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 3 ปีที่แล้ว

    Apumzike kwa amani...mtumishi wa Mungu, mimi kwangu huyu Magufuli alikua zaidi ya raisi,alikua ni nabii wa Mungu aliyetumwa kutuamsha Watanzania...🙏🙏🙏

  • @lilianmngulwi7119
    @lilianmngulwi7119 3 ปีที่แล้ว +3

    Alikuwa na baraka sana ,Pumzika kwa amani baba.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว +20

    Anko Magu alikua anaishi uswahilini sio ikulu. G.O.A.T utaishi nasi daima 😭😭

    • @juliethhope7281
      @juliethhope7281 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kwel jmn

    • @mariumkirungi3699
      @mariumkirungi3699 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli jaman mimi hadi leo naumia nikiangalia video zake

    • @magdalenaadam1149
      @magdalenaadam1149 3 ปีที่แล้ว

      hakika alipenda muda mwingi kuwa jirani na wananchi wanyonge

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭🙏❤️DADDY ❤️❤️❤️

    • @mercychinwo7606
      @mercychinwo7606 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in Lagos state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 ปีที่แล้ว

    Tutakukumbuka daima rais wetu kipenzi cha wa Tanzania

  • @mbonekodominique3023
    @mbonekodominique3023 3 ปีที่แล้ว +4

    Alale salama baba

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว +10

    Angekuwa raisi mwingine angeenda airtel makao makuu au angemtuma mtu kwa mkurugenzi wa airtel

    • @pendokissatu937
      @pendokissatu937 3 ปีที่แล้ว +1

      Alijua kujishushaa Sana'a Huyu Baba Mungu ampe Pumziko LA Milelee

  • @faudhiamallata3074
    @faudhiamallata3074 3 ปีที่แล้ว

    Baba

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 ปีที่แล้ว +10

    Rais Magufuli ulikua una haraka kuibadili Tanzania km ulijua huna muda wa kuishi duniani, jamani baba Magufuli umetuumiza wenzio tumebaki tunaweweseka tu

  • @neemaibrahim679
    @neemaibrahim679 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah kweli alikuwa mtu wa watu jaman kaah hatutakaa tumpate mtu Kama huyu😭😭😭😭

  • @negrooscet1319
    @negrooscet1319 3 ปีที่แล้ว +1

    Ipo sawa

  • @shameemrashid5219
    @shameemrashid5219 3 ปีที่แล้ว +4

    Raisi pekee mwenye history nzur ya kupendwa na watu,, tutakukumbuka milele baba

  • @charlessimbeye9884
    @charlessimbeye9884 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli nimeamini unapo kula chakula kitamu huwa kinanoga mwishoni

  • @rodriguepattbadesire4199
    @rodriguepattbadesire4199 3 ปีที่แล้ว +3

    Africa nzima tunakuliliya baba

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +5

    Dah jmn Magu alikuwa hajikwezi

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว +2

    Nenda salama BABA

    • @mercychinwo7606
      @mercychinwo7606 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in Lagos state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you

  • @agustinoezekiel367
    @agustinoezekiel367 3 ปีที่แล้ว +7

    Imebaki deni kwetu na watoto wetu, namna gani tunaweza kutenda mema na kujali wengine ili tupate kuurithi uzima wa milele? Swali kwetu sote

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

    Pasipo hofu ya Mungu huwezi kuenenda sawa na makusudi yake

  • @sengendotwaha9333
    @sengendotwaha9333 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip papa African hero

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 3 ปีที่แล้ว +8

    Rip magufuli

  • @emmanuelbonifas2804
    @emmanuelbonifas2804 2 ปีที่แล้ว

    Ni raisi asiyekuwa na majivuno kwa mtu yeyote ndani ya tanzania yetu mungu amsamehe sana masikini huyo

  • @calvinkavishe304
    @calvinkavishe304 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu.ampokee

  • @davidmasaba3606
    @davidmasaba3606 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP father

  • @oldboy3760
    @oldboy3760 3 ปีที่แล้ว

    R.i.p our president

  • @elizabethndasa3262
    @elizabethndasa3262 3 ปีที่แล้ว

    Hakika alikuwa mwana wa Mungu

  • @elishajegeje6482
    @elishajegeje6482 3 ปีที่แล้ว +5

    Yaan mm hapa ningechukuwa no zake
    Dah sahiz ningekuwa ikulu hata nakata maua

  • @janethrogato1483
    @janethrogato1483 3 ปีที่แล้ว

    Wasafi media

  • @TANFLIXMOVIES
    @TANFLIXMOVIES 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnajua kubuni title asee....

  • @brightonisaac4257
    @brightonisaac4257 3 ปีที่แล้ว +4

    😢😢😢

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba alikuwa na leseni kama tunavyoambiwa sasahivi na makampuni vijana wote wawe na leseni ya biashara pamoja na ofisi isiyohamishika na kama mtu hana hawezi kuendelea na kazi mwisho tarh 1 may...?

  • @queenjuma2818
    @queenjuma2818 3 ปีที่แล้ว +1

    Mngu akupe.balaka nzote apa duniani amna

  • @DeboralwitikoKapepe
    @DeboralwitikoKapepe 15 วันที่ผ่านมา

    Da kwael

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว

    Niwakipekee duniani kaludi kwao kwawatakatifu katuacha na ushetaniwetu

  • @shangwekamando2599
    @shangwekamando2599 3 ปีที่แล้ว +1

    Rip daddy

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwanaume alikuwa haendi mahali kizembe

  • @sampatrick308
    @sampatrick308 ปีที่แล้ว

    Mh kwa waliosoma cuba 😂

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 3 ปีที่แล้ว

    Mjomba MAGU BHANA alikuwa na Raha yake kwenye UTAWALA WAKE

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 3 ปีที่แล้ว

    Dah ina umiza sana mwezenu kila nikiangalia picha ya merehem magufuri roho inauma najikuta nalia tu dah ama kweli pigo kubwa sana kama ndoto tu jamani

  • @peterbuju5837
    @peterbuju5837 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭

  • @simplybeautiful2479
    @simplybeautiful2479 3 ปีที่แล้ว +1

    😢💔

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭

    • @mercychinwo7606
      @mercychinwo7606 3 ปีที่แล้ว

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in Lagos state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348169781934) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you

  • @pascalmsuyajr.7980
    @pascalmsuyajr.7980 3 ปีที่แล้ว +1

    Daah 😢😢

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

    Hakuwa yeye bali ni Mungu ndani yake

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

    Na ndio maana aliweza kusema na kutekeleza

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania kwanzaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @calvinkavishe304
    @calvinkavishe304 3 ปีที่แล้ว +2

    Nuru.imepotea

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika kwa Amani Kipenzi chetu

  • @jacksonarid1471
    @jacksonarid1471 3 ปีที่แล้ว +1

    Haifa kaa ifutike hii kitu kiukweli

  • @parfaitkalemela6749
    @parfaitkalemela6749 3 ปีที่แล้ว +1

    RIP

  • @magotipatrick4219
    @magotipatrick4219 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mkubw ata tufuta machozi

  • @juniorcx0114
    @juniorcx0114 3 ปีที่แล้ว

    Sasa!

  • @bundukitv
    @bundukitv 3 ปีที่แล้ว +4

    Pamoja na yote lakini Sitoacha kuwakumbusha katika kumuabudu MwenyeziMungu. Karibuni kutazama mawaidha FAIDA ZA TWAHARA (Sheikh HASSAN)
    th-cam.com/video/JzimeRXK2cs/w-d-xo.html

    • @yesunialamayakiama.9013
      @yesunialamayakiama.9013 3 ปีที่แล้ว

      Allah wenu si Mwenyezi Mungu muumbaji! Acheni kuwadanganya watu. Dawa yenu inachemka tu!

  • @platnumzkawiche1861
    @platnumzkawiche1861 3 ปีที่แล้ว

    go

  • @maryshirima8203
    @maryshirima8203 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimejikuta nalia jamani

  • @Sadock-r6
    @Sadock-r6 3 ปีที่แล้ว +2

    Poah poah

  • @anoldykamugisha9993
    @anoldykamugisha9993 3 ปีที่แล้ว

    Ndo muamini kuwa watu walikuwa wanapangwa af hamwelewi

    • @HASASON
      @HASASON 3 ปีที่แล้ว

      Usalama wa Rais ni muhimu ulitaka Usalama wake usihakikishwe? Ulitaka msajili asikaguliwe kama anatoa kweli huduma stahiki?

  • @dytohdith6457
    @dytohdith6457 3 ปีที่แล้ว

    Kwaio apo kavamiwaje ?

  • @allykorosho266
    @allykorosho266 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuh

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kilicho andikw sicho nilicho sikia

    • @rashidseif7240
      @rashidseif7240 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣C kavamiwa ghaflaa

    • @nativeinfotv9620
      @nativeinfotv9620 3 ปีที่แล้ว

      Alimaanisha baada ya Rais kufika alihisi amevamiwa

  • @janetmtemi2253
    @janetmtemi2253 3 ปีที่แล้ว

    P

  • @mayaltv9441
    @mayaltv9441 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unauliza maswali ya kijinga

  • @jahzooh5913
    @jahzooh5913 3 ปีที่แล้ว

    bedh

  • @jamescarlifa6449
    @jamescarlifa6449 3 ปีที่แล้ว

    Fake headline just to attract attention of viewers, you wasted my time really. Plz stick to your line specialization i.e music

    • @judithubarikiwesanaloseria2985
      @judithubarikiwesanaloseria2985 3 ปีที่แล้ว

      Hayo ndio maisha mungu anapenda ajikwezaye anashushwa ulale salama

    • @pjp5164
      @pjp5164 3 ปีที่แล้ว +2

      What attention did they gather? They have written the truth. If you've not understood the language just ask

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 3 ปีที่แล้ว +1

      He is uneducated so no need to blame him

    • @suleimanabdillah7490
      @suleimanabdillah7490 3 ปีที่แล้ว +1

      The online tv is not there for you,neither they haven't force anybody to subscribe,the story could touch anyone not necessarily you!?REST IN PEACE OUR LOVED H.E HON JPJM

  • @kinyagajr2399
    @kinyagajr2399 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ampumzishe kwa amani

  • @davidsmael3703
    @davidsmael3703 3 ปีที่แล้ว +1

    Tulimubotesa kiongosi shuja huyu wa afrika

  • @alinaitweflorence7357
    @alinaitweflorence7357 3 ปีที่แล้ว +3

    Rip magufuli

  • @habibamohamed6388
    @habibamohamed6388 3 ปีที่แล้ว

    😢😢😢

  • @nadinemasengo9970
    @nadinemasengo9970 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭

  • @alinaitweflorence7357
    @alinaitweflorence7357 3 ปีที่แล้ว +6

    Rip magufuli

  • @JohnAlute-bw9fk
    @JohnAlute-bw9fk 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rip magufuli