TAZAMA BOARDGUARD WA MAGUFULI ALIVYOMVUA KIATU NA KUMVALISHA VIPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 414

  • @stevenmhesi4635
    @stevenmhesi4635 4 ปีที่แล้ว +107

    Magufuli una vitu vingi sana vya kutufanyia I like how you motivate us yaan kuna muda unanunua mahindi yaliyochomwa na kula pamoja na nafasi ulio nayo hujali kabsa God bless you my president

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว +5

      Halafu kuna washamba eti wanamfananisha JPM na Mobutu aliyekuwa anafanyia shopping zake Parisi Ufaransa.

    • @brightonadam7142
      @brightonadam7142 4 ปีที่แล้ว +1

      ili game lishapangwa😆

    • @raymondmusa1834
      @raymondmusa1834 3 ปีที่แล้ว

      Onnh aliyemuuzia muhindi unaona wakawaida yani ukampe tu muhindi rahisi labda umeweka sumu

    • @habibahabiba7128
      @habibahabiba7128 3 ปีที่แล้ว +2

      @@raymondmusa1834 ye anakua Kwa kustukiza hiyo sumju utaweka mda gan na hukupewa taarfa, mbona alikunywa kahawa na masela kitaan kwe2 Tena alizuka tu

    • @goodluckjacob7170
      @goodluckjacob7170 3 ปีที่แล้ว

      L

  • @Asheri-k5k
    @Asheri-k5k ปีที่แล้ว +7

    Tunao mkumbuka like zetu hapa

  • @josephnjoroge5649
    @josephnjoroge5649 4 ปีที่แล้ว +30

    Huyo mwanajeshi yuko chonjo kabisa na imara,,kachangamka kwa haraka kuvua na kumvalisha mkuu Wa majeshi kiatu kama umeme,,salute kwa colonel💂

    • @khadijagundumu6210
      @khadijagundumu6210 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @matundumgweno4533
      @matundumgweno4533 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaahah Eti kiatu Kama umeme watu wanajiwa Sana kazi zao na kinachomfanya ale tonge la ugali

    • @giztony2009
      @giztony2009 หลายเดือนก่อน

      Huo ilinzi ulipitwa na wakati mkuu wenzetu huko duniani hawalindi kwa kutumia nguvu kama huku

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +13

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

  • @lucyisrael6121
    @lucyisrael6121 3 ปีที่แล้ว +31

    Kama vile bado uko nasi duniani kumbe umetuacha,hakuna wa mfano wako,R.I.P Baba,mbele yako nyume yetu,inauma mno kutuacha

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 ปีที่แล้ว +29

    Daaah 😥 mbona kama ndoto jmn 😭
    Mbele Yako nyuma yetu MW/MUNGU akulaze mahara pema peponi 🙏😭🇹🇿

  • @kaystyle614
    @kaystyle614 ปีที่แล้ว +1

    Mwigine kama huyu tutamtoa wapi..?? Natokea Kenya lakini nampenda Sana magufuli alikua mchapa kazi mtetezi wa wanyonge 😢😢 we miss you magufuli

  • @magretkijanga8833
    @magretkijanga8833 4 ปีที่แล้ว +57

    Rais wangu nakupenda .unafanya kazi mzuri Sana

  • @catholicsaints9007
    @catholicsaints9007 4 ปีที่แล้ว +32

    Mungu atupe Rais gani tena kama huyu aongoze tu hata hadi ukomo wa maisha yake tutakubali watanzania🙏🙏🙏

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 4 ปีที่แล้ว +2

      Eti jamani.Mungu atiupe nini tena

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว +1

      Thanks Peter. Aendelee kuongoza hadi miaka buku plus

    • @annasamo7063
      @annasamo7063 3 ปีที่แล้ว +1

      Na kweli ameongoza mpaka ukomo wa maisha yake daaa siamini kama sahivi jayupo nasi

    • @ruthsebastian4633
      @ruthsebastian4633 ปีที่แล้ว

      My dear hakuna na ajazaliwa

  • @jeremiahzacharia7655
    @jeremiahzacharia7655 4 ปีที่แล้ว +116

    Naumia Sana kuona Rais anavyojitahidi kutuonyesha utamu wa Nchi yetu alafu mafala fulani yanashindwa kujua uzuri wa Nchi hii
    Natamani hata wananchi wote tungeungana kuijenga Nchi yetu ila nasikitika kuona wapo saio itakia mema Nchi hii ya maziwa na asali

    • @sammotv6920
      @sammotv6920 4 ปีที่แล้ว +5

      Wee acha tuu

    • @pauloqaymo8925
      @pauloqaymo8925 4 ปีที่แล้ว +12

      Huyu Rais ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu ,Tunamhitaji kuliko anavyodhani yeye

    • @kulwamathias7680
      @kulwamathias7680 4 ปีที่แล้ว +7

      Safi sana inchi hii tulikuwa tunazalaulika Sana wageni wanaingia na kufanya wanachotaka wao

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 ปีที่แล้ว +18

      Eti wanasema hakuna haki na usawa na anabana uhuru, me najiuliza uhuru wa ainagani wanautaka wao? Muda wowote ukijisikia kwenda popote pale duniani milango ipo wazi ukiamua kurudi kwako usiku wa manane hakuna atakae kuuliza, ukiamua kuvaa hata gunia hakuna atakae kuuliza yeye mwenyewe anatukanwa wee mitandaoni hata hadharani hakuna anaeguswa sasa uhuru upi tunautaka? Na hapo hapo anatujengea nchi kwa vitendo anaahidi anafanya, mimi nipo nje kuna nchi hata pakitokea ajali tu ukipiga picha tukio lolote hata usipoonekana na mtu utaonekana na CCTV ni kosa la jinai, ni kulinda matukio yao mabaya yasitoke nje, sisi kwetu unapiga na unapost mitandaoni huulizwi, uhuru gani tunautaka?

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 ปีที่แล้ว +4

      Zipo nchi afrika ni kosa zaidi ya jinai kumkosoa raisi ukisikika tu unamkosoa raisi kweupeeee unapigwa risasi au unakatwa na mapanga tena na askari mbele za watu mpaka unauwawa na hakuna uhuru wa kusafiri hovyohovyo kwenda nje ya nchi, Togo, Congo Brazaville hizi nchi maraisi wao utadhani wametokea motoni hawajazaliwa vile kwa matendo yao mabovu na mpka sasa wapo madarakani, Wanaojifanya wanaipenda Afrika (western) kama hawazijui hizi nchi vile maana kwa togo Ufaransa wamejimilikisha bandari kwa asilimia tisini. Je tunataka je tunatamani viongozi wa aina yao ndani ya Tanzania yetu?

  • @nambafudiana9953
    @nambafudiana9953 3 ปีที่แล้ว +27

    All the good comments about this man made me cry More 😭😭😭🇺🇬🇺🇬

  • @samwelmelam7174
    @samwelmelam7174 4 ปีที่แล้ว +10

    Mzee Magu Wewe ndie Raisi wa Africa.
    Nafurahi sana kua na Rais mwenye maono ya mbali.

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 4 ปีที่แล้ว +61

    Natamani sana magufuli uongoze tanzania miaka yako yote.Mungu anakujua vzuri

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 4 ปีที่แล้ว +7

      Kabisa Umenena!!Wasio jua kua Tuna Rais mzuri utawaona tu

    • @sundayandrew1787
      @sundayandrew1787 4 ปีที่แล้ว +3

      Jumatano tusifanye makosa kura kwa JPM

    • @isakabaragomwa296
      @isakabaragomwa296 4 ปีที่แล้ว +2

      Mim nahis Africa inaweza ikawa moja na lugha moja kiswahili, raisi mmoja akitokea kwanza Tz
      Pia tunaweza kuwa bara lenye maendeleo na uchumi mkubwa.

    • @modestapeter7355
      @modestapeter7355 4 ปีที่แล้ว +1

      kweli bwana maana ni adimu sana kutokea mtu kama magufuli

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 4 ปีที่แล้ว

      Watu wanamtusi sijui wanataka siku moja aje Hitler hapa!!!Mungu tuokoe sie tusiokua na hatia kwakweli

  • @tumainimwanyonga6601
    @tumainimwanyonga6601 4 ปีที่แล้ว +21

    Mungu Mwema Atajitukuza Yehova Sana Haleluyaaaa Ilike this God is Good Ipraise God

  • @SaidSaid-bq6mk
    @SaidSaid-bq6mk 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mwema sana kupata raisi km huyu ana hofu ya mùngu anajali taifa lake anajua majukumu yke mwenyez mungu azidi kukuongoza akulinde na kila baya azidi kukutia nguvu ww ndo raisi peke dunia inaangalia utendaji wko huna ubaguzi huna udini we ndo raisi bora dunia kuwahi kutokea ktk karne hii asante sana mwenyez mungu kwa kutupa kilicho bora

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 4 ปีที่แล้ว +10

    Mh Raisi wetu mzuri sana tunaomba Mungu akupe maisha marefu utuongoze maisha yako yote pls

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      Thanks saaana wajina

    • @fanleck2922
      @fanleck2922 3 ปีที่แล้ว

      Dah, leo naisoma kwa majonzi

  • @mkombozikiratv.9733
    @mkombozikiratv.9733 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe maisha na pumziko la milele mhe.Magufuli wetu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +22

    Tazama watu wamefurahi wanaraha lissue anataka KUTULETEA balaa ashondwe kwa Jina la mungu Amina

  • @theopisterjovent3483
    @theopisterjovent3483 ปีที่แล้ว +1

    Tutampata wapi tena mtu kama huyu😭😭😭 pumzika kwa Amani Magufuli wetu

  • @chrispinondieki7059
    @chrispinondieki7059 ปีที่แล้ว +5

    Continue resting easy uncle magu....Africa will forever miss you

  • @DuniayaHabari
    @DuniayaHabari 4 ปีที่แล้ว +39

    Mitano tena mzee magu rais bora africa.. Aya ingieni kwenye accnt yangu mcheke kwa vituko vya mwaka

  • @jovinjoseph2625
    @jovinjoseph2625 4 ปีที่แล้ว +30

    Mi5 kwa Baba

  • @mavuzijiwe6805
    @mavuzijiwe6805 4 ปีที่แล้ว +24

    Viatu vizuri sana , Watanzania Tumpigie kura JPM Haya Maendeleo Ndiyo Tunayataka

    • @josephatkichanilo3802
      @josephatkichanilo3802 4 ปีที่แล้ว

      Dah hivyoo viatu bas mvisambaze mpka uku dar tupunguzien bay tusiande xhina

  • @ramadhaniabdi9530
    @ramadhaniabdi9530 4 ปีที่แล้ว +14

    Ni Fahar Kuiona Nchi Yangu Inazd Kupiga Hatua Za Kimaendeleo🙏
    #ChaguaMaendeleo
    #ChaguaAman

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah🙂...Mh Rais mnyenyekevu sna, adi anaomba kama ana ruhusiwa kijaribu kiatu

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว +17

    Tunapanda taratibu , uchumi wa kati baadae uchumi mkubwa.
    Wazungu hawahitaki hii inawaumiza sana wanapenda kuona tunabaki kua ombaomba ndio maana wanafanya kila wawezaro kutuvuruga kutumia upinzani .
    Ila kwa nguvu za Mwenyezi Mungu tunashinda kila vikwazo.
    Kama tuliitandika corona kwa jina la Mungu na wapinzani tutawatandika kwa jina la Mungu na tutashinda.

  • @hashimahmed3284
    @hashimahmed3284 4 ปีที่แล้ว +11

    Magufuli wewe ndie kiongozi unaestahili kuongoza ug na kenya iwe wewe ndio rais wa hizi nchi nyengine ua da best

    • @angelanaftael7965
      @angelanaftael7965 4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you you have seen him.he is seeable kbs.only few in Tz cant see him esp lisu pretends he doesnot see what our precious presida is doing.Jelousy and greedy shame on you old man

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      @@angelanaftael7965 thanks dear

  • @mimiwewe6617
    @mimiwewe6617 4 ปีที่แล้ว +27

    Mitano tena kwa JPM, halafu viatu vizuri kweli

  • @oscarbaltzar1645
    @oscarbaltzar1645 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli umetisha kura yangu we chukua

  • @edistarickmarandu8597
    @edistarickmarandu8597 4 ปีที่แล้ว +5

    Miaka mingi t
    TANZANIA IMEONEWA SANA NA WACHACHE

  • @maryfrancis1836
    @maryfrancis1836 3 ปีที่แล้ว +1

    Tutukukumbuka daima Rais wetu

  • @oddoluambano342
    @oddoluambano342 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Penye Amani Pana Raha na Kicheko Muda wote... Big up Mr President na Askari wako Mjeshi

  • @peterlujuo1640
    @peterlujuo1640 4 ปีที่แล้ว +6

    USIMFANANISHE JPM NA VITU VYA KIPUMBAVU. JPM AGAIN. #PERIODT

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 3 ปีที่แล้ว +1

    Canari Wa jeshi bordgurd atamic Sana hayati muheshimiwa magufuri

  • @faridadaniel8510
    @faridadaniel8510 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Rais wangu Kwa kazi nzuri unayoifanya Mungu ni mwaminifu kwetu

  • @djkusumaboy784
    @djkusumaboy784 4 ปีที่แล้ว +14

    Duhh magu mitano

  • @esperancetabitha9322
    @esperancetabitha9322 4 ปีที่แล้ว +7

    Sijuwi watanzania mnataka mungu awape nini tena sisi wa kongomani waishio ulaya tunawaonea gere

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      Umeona eeh. Atawale hadi miaka buku plus

  • @williamshija1516
    @williamshija1516 4 ปีที่แล้ว

    Namshukuru rais magufuli kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi

  • @pauloqaymo8925
    @pauloqaymo8925 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana Rais wetu ,Watz tuthamini vya kwetu jmn tuijenge nchi yetu

  • @dannytv5883
    @dannytv5883 4 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa uzalendo aliouoshesha bodyguard wa Rais wetu nmejiskia vizuri saana .....

  • @edistarickmarandu8597
    @edistarickmarandu8597 4 ปีที่แล้ว +14

    Mwacheneni huyu ainyooshe inchi maaana tunakwenda vizuri sana

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana. Kuna mkaka anaitwa Thobias Marandu, duh sijui ni wa nchi gani maana anamchfua Rais wetu

    • @bernardoleonard7331
      @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว

      @@missangela6720 mkenya

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      @@bernardoleonard7331 duh

  • @movies_store01
    @movies_store01 4 ปีที่แล้ว +14

    huyui mmi ndo raisii wngu nakupenda bure maguu 2020 ni ya kwakoo tena

  • @khamishemedsaid2134
    @khamishemedsaid2134 4 ปีที่แล้ว

    Mweshimiwa makufuli hongera kwa ushindi

  • @judithlejalearnmore2236
    @judithlejalearnmore2236 4 ปีที่แล้ว +2

    Aaa,Wazi ,,Babaa ngara ku ngara,Waongoza vyema tanzania,Kungara nikwako hongera.,Ndani ya mombass

  • @elizerbethmichael9992
    @elizerbethmichael9992 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli vzr havidum jamani daaaaah 😭😭😭😭😭 umeondoka kweli Baba ye2 mpendwa au naota aiseee

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana jpm

  • @HeavenlyStorytime-w2k
    @HeavenlyStorytime-w2k 3 ปีที่แล้ว +3

    This PRESIDENT was really fun.
    God rest his soul in eternal 🙏🙏 peace

  • @liliansamson674
    @liliansamson674 4 ปีที่แล้ว +3

    Magufuli nakupenda sana mzee wangu

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni sawa kumvalishaaa maaana ni kama baba yake tuu.Hongera JPM Viwanda vinakua

    • @emmanuelmohammed1294
      @emmanuelmohammed1294 4 ปีที่แล้ว

      Umri wanakaribiana tu japo Magufuli Ni mkubwa yaani Ni sawa na kaka yake!

  • @roselyimo7785
    @roselyimo7785 3 ปีที่แล้ว +4

    Allyways you will be in our hearts 💕

  • @juliethecstacy8646
    @juliethecstacy8646 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhuhu...Mungu akutetee baba yetu maaamaa😥😥😥

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu ana choice nzuri

  • @hamzamohamed5102
    @hamzamohamed5102 4 ปีที่แล้ว

    Rais wetu.kweli mungu ametu letea kiongozi Bora .ata nchi nyingi wana tamani kuwa na rais kama magufuli. CCM oyee

  • @kisoukejothame210
    @kisoukejothame210 4 ปีที่แล้ว +1

    Hicho kiatu mheshimiwa Rais Uvae Tarehe 28 0ctober

  • @rogatiusscarion726
    @rogatiusscarion726 4 ปีที่แล้ว +5

    Home quality products 🇹🇿🇹🇿

  • @josephatcharlesorslemmycha5908
    @josephatcharlesorslemmycha5908 4 ปีที่แล้ว

    Hongera jpm nakukubal sana rais unaejel bira kuangalia hali na Mali nakuombea mungu akuzidishie na katib ibadilishe tukupe moja kwa moja tz uiongoze tuufikie uchumi Mkubwa Tanzania ni tajil sana

    • @josephatcharlesorslemmycha5908
      @josephatcharlesorslemmycha5908 4 ปีที่แล้ว

      Hongeraa jpm nazid kujifunza mengi ombi ifikie Zanzibar uwaokoe wafanya biashara wadogo wadogo wanaumia na kodi

    • @josephatcharlesorslemmycha5908
      @josephatcharlesorslemmycha5908 4 ปีที่แล้ว

      Unatuonesha kututhamin daima hatuta kuangusha rais wetu tunakupend na kukuombea wapinzani hawatak kujisalimisha na kusema mema yako ingawa mioyo na nafsi zao zinajua kuwa unachapa kazi """ love tz """ love Joseph john pombe makufuri we love you

  • @djkusumaboy784
    @djkusumaboy784 4 ปีที่แล้ว +10

    Anko maguu

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 ปีที่แล้ว

    Itokee kama ajali.. rudi Magu wetuu😭😭😭😭

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว +15

    Hii inaitwa china nkafwate nini?
    Kazi nzuri kwa raisi wetu.
    Maendeleo ni watu na watu ndio sisi hatua nyingi mbele tutafika tu

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว

      China nkafwete nn umenichekesha dear

  • @suzanejeremiah3463
    @suzanejeremiah3463 4 ปีที่แล้ว +19

    Kazi inaendelea

  • @hamislipangine9649
    @hamislipangine9649 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaah!!!...... Nalia kila nikikuwaza JPM ila umetuachia mwanga Maana kila Mtanzania anajua Kama nchi hii inataka kiongoz wa aina gani.
    Pumzika kwa Aman Kazi Yako imeeleweka ndio Maana Dr. Mpango ameonekana.

  • @khadijamohd1216
    @khadijamohd1216 4 ปีที่แล้ว +16

    Hlf kun msenge fulan anapig kelel na miguu yak mibovu

  • @samwelshipande1923
    @samwelshipande1923 4 ปีที่แล้ว +8

    Rais wa Maisha yajayo watoto wetu watayashuhudia

  • @samirkusow3520
    @samirkusow3520 3 ปีที่แล้ว

    magufuli utakumbukwa sana rais marehemu na wa africa nzima

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 ปีที่แล้ว

    Baba yangu jaman mbona siamini kama ndo uliondoka hivi😭😭😭😭 nakupenda sana

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 4 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyezi mungu tena miujiza yako magufuli wetu apate miaka mitano tena nakuendelea

    • @mwanakhatibu3722
      @mwanakhatibu3722 4 ปีที่แล้ว

      Yarrabi tenda miujiza magufuli kura apate tena

  • @AllyMchume
    @AllyMchume 4 ปีที่แล้ว +11

    Sio yule mkundu lissu anaonekana supermarket ananunua mvinyo ambayo hata aitengenezwi Tanzania

    • @isaacmbade6955
      @isaacmbade6955 4 ปีที่แล้ว

      Ww ndo mkundu bwege ww

    • @AllyMchume
      @AllyMchume 4 ปีที่แล้ว +2

      @@isaacmbade6955 Mkundu lissu maybe na wewe kidogo but definitely MKUNDU LISSU that's for sure

    • @deborahkiunoswaf5907
      @deborahkiunoswaf5907 4 ปีที่แล้ว

      Hata magufuli alikuwa mkundu hivohivo hiyo heshima ulimpa kahaba wewe!

    • @drgeofreykupaza7707
      @drgeofreykupaza7707 4 ปีที่แล้ว +3

      Hahaha shoga mwenzie anamtetea lissu 🥴😁😂😂

    • @iddyboy4345
      @iddyboy4345 4 ปีที่แล้ว +1

      Lisu n mkun.....

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 4 ปีที่แล้ว

    Raisi Magufuli Ubarikiwe sana.
    Uzalendo wako n wa kweli
    Kweli tupu.

  • @Mudathiruali192
    @Mudathiruali192 4 ปีที่แล้ว

    Alhamudullah TZ you have are gift of president log live much love from Uganda East Africa 🇹🇿🇺🇬❤❤

  • @genesisnew5718
    @genesisnew5718 4 ปีที่แล้ว +3

    Una Upendo usiobagua Baba,MUNGU BABA azidi kukutunza pia atufungue macho watanzani ili tuuone huu upendeleo tuliopendelewa wa kumpata Rais mwenye kumtanguliza aliyemuumba

  • @guzomc255
    @guzomc255 4 ปีที่แล้ว

    Wewe ndo hitaji LA watanzania wenye uzalendo na nchi hii asante sana mh. jpm

  • @geja8708
    @geja8708 4 ปีที่แล้ว +5

    Mh raisi navaa nae namba Sawa, president 2020-2025

  • @monicakanza5411
    @monicakanza5411 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana magereza moshi mko vzr

  • @hassanmkungile6021
    @hassanmkungile6021 4 ปีที่แล้ว

    God bless you Mr. President
    Boardgud anavalisha kibabe atat

  • @elishaobadia8829
    @elishaobadia8829 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sio boardguard ni msaidizi WA rais Na kufany ivo ni moja ya jukum

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 4 ปีที่แล้ว +1

    Mitano tena kazi iendeleee Hapa kazi tu

  • @alisele5299
    @alisele5299 4 ปีที่แล้ว +4

    Jaribu mwenyewe product zako baba kumbe tunaweza

  • @MiskyAlberty-wy4ie
    @MiskyAlberty-wy4ie ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤muda wote tunamic

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 2 ปีที่แล้ว

    Kama vile uko nasi duniani bab Magu. Tunataman kam bado ungekuwa nasi ilakaz y Mungu haina makosa. Mlazemja wako mahali pemaa peponi Amina

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 4 ปีที่แล้ว +7

    Tundu lisu akiona hivi anatapa wivu kweli

  • @gta9318
    @gta9318 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndiooo!kumbe inawezekana.

  • @pauloqaymo8925
    @pauloqaymo8925 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais Jpm ni mzalendo kwa nchi yake mpk raha

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว +4

    Tano tena PERIOD

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว

    Hatuko nae Tena mungu aiweke roho ya marehemu Mahali pema peponi

  • @magossqwaynithebest3674
    @magossqwaynithebest3674 ปีที่แล้ว +1

    Da kaka

  • @tashatrump6678
    @tashatrump6678 3 ปีที่แล้ว

    Allah akuweke mahali pema pepon kipnz ch watu😭😭 kweli kizur hakidumuu

  • @ericmkami7578
    @ericmkami7578 4 ปีที่แล้ว +43

    Magufuli Bana 😂😂 kaamua kujaribu kabisaa

    • @neemapaul2162
      @neemapaul2162 4 ปีที่แล้ว +1

      Mswahili uyoooooooooh 😂😂

    • @radhiambwana8787
      @radhiambwana8787 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahahaa huyu rais ataakisema tule ugal tu mchele wakiyela tuuze ilitupate pesa zamaendeleo mie nipo tayari.

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว

      Na kuvibeba kabisaa!

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 ปีที่แล้ว +2

      @@radhiambwana8787 😂😂 uwii umetisha!

    • @radhiambwana8787
      @radhiambwana8787 4 ปีที่แล้ว

      @@teychriss3248 hahahaa wiki mbili kiatu kinacheka mie naulizaga wanaleta vyann mbona jmn tunachoka kuwest pesa.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana mzalendo wetu jpm

  • @allyduwa9914
    @allyduwa9914 4 ปีที่แล้ว +1

    Basi lisu hapo roho inamuuma kweli shenz zake rais ni huyu john pombe maguful ndyo rais wetu

  • @paschalmichael4480
    @paschalmichael4480 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana rahis wetu mwenye maono ya mbali na nchi yetu ya Tz.

  • @p.be.s
    @p.be.s 3 ปีที่แล้ว +2

    His assistants loved him dearly, aside from doing their job..when ADC was helping with fitting, the 2 others on the flanks had their hands protecting him from any eventuality.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +4

    Pur president😍😍

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว

    Mtu wa watu huyo! Mungu wangu nilimpenda sana!

  • @letshikuku39
    @letshikuku39 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Rais wangu mpaka naona tarehe 28 inachelewa. Kura yangu inaniwasha 😂😂😂😂fire

  • @exaveryngonji8761
    @exaveryngonji8761 4 ปีที่แล้ว +4

    Yani ww razima uongeze miaka ya kuiongoza Tanzania

  • @samwelmelam7174
    @samwelmelam7174 4 ปีที่แล้ว +1

    MAGUFULI NIPO TAYARI KUITUMIKIA NNCHI YANGU KWA BIDIII

    • @missangela6720
      @missangela6720 4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana tulijenge my kaka Sam

  • @frankmalema5350
    @frankmalema5350 4 ปีที่แล้ว +2

    Congole magereza

  • @bulaloalindamtobesyaofficial
    @bulaloalindamtobesyaofficial 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana, sasa magereza mkomae na quality, hata kama bei ipo juu ila quality ni muhimu sana, mbona soko letu litakua kwa kasi ya ajabu.. kazi nzuri sana. Hata mimi ntakuwa mzalendo kama mtamaintain quality

  • @kamleshpabari668
    @kamleshpabari668 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice -This why god took him he needs people like him may his soul rsst in peace . 👌👌