MTIFUANO MZITO! MWANANCHI AMCHONGEA DC KWA MAKONDA - ''AMEDHULUMU SHAMBA - HUYOHUYO''....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 10 หลายเดือนก่อน +4

    ❤❤Makonda mung akupe maisha marefu Utete wanyonge❤❤❤❤❤

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +9

    Mama Samia kazi uliyoifanya kwa kumuweka Makonda Mungu akubariki sanaaaa naamini umeona watanzania wanavyoteseka watendaji wako umewaona wanavyofanya wanataka Ccm ishindwe

  • @jamesukombozi5216
    @jamesukombozi5216 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hadi sasa wananchi hawana imani na wakuu wa wilaya, Eee Mungu tusaidie 🎉❤❤🎉

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mh. Paul Makonda naomba uishauri serikali ifute mabaraza ya ardhi ya kata na ya wilaya maana yanasabsnusha migogoro... Kesi zote ziende mahamam

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mama samia Mungu akubariki sanaaaa kumuweka MAKONDA anaiokoa ccm

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 10 หลายเดือนก่อน

      Ana bahati Samia ccm ilikuwa kushnei ashukuru Makonda

    • @WinnieBenard-x5c
      @WinnieBenard-x5c 10 หลายเดือนก่อน

      Ccm imeshaoza 😢 tunasubiri mda tu , ccm inakandamizs wanachi na wala makonda hawezi kuikoa ccm ni lidudu linyonya damu

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 10 หลายเดือนก่อน

      @@WinnieBenard-x5c tuletee basi Chama chako Ili kikombie Nchi...Chenye mizizi kama CCM

  • @zainabukivale9571
    @zainabukivale9571 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mama samia naomba sana kuongea na wewe nashida ambayo naweza kupoteza maisha na nyumban YANGU pia naomba kuonana ata na makonda asante

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 10 หลายเดือนก่อน

      Makonda anasoma au mama samia wanasoma hizi comment?😂😂😂tafuta njia sahihi

  • @NicholausKalolo
    @NicholausKalolo 10 หลายเดือนก่อน

    jembe la mama samia❣❣❣❣

  • @neemakerefu4876
    @neemakerefu4876 10 หลายเดือนก่อน +3

    Shida kubwa viongozi wengi hawaendi kusikiliza kero za wananchi .wamekaa ofisini tuu

  • @AnnaMganyasi
    @AnnaMganyasi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ishi ulaumiwe kufa usifiwe hata magufuli enzi za uhai wake watu wengi walikuwa wanamsema vibaya ila alivofariki tu kila mtu bora magu, uongozi ni kazi sana na una lawama nyingi mkuu wa wilaya kajieleza vizuri sana, sisi ambao hatujui sheria tunazomea tu nakulopoka maneno ambayo sio sahihi, kamwe huwezi kumridhisha kila mtu kama unaakili timamu,tuwe na imani na viongozi wetu tusikalili kuwa kila kiongozi hatendi haki kwa wananchi

  • @JudithFrad-nk1di
    @JudithFrad-nk1di 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mkuu wa wilaya kajitahidi sana , kujieleza

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉makonda nil8kuaga sikuelewi sasa naanza kukuelewa

  • @norahfrank
    @norahfrank 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kila mahala ni taabu na uchungu mwingi kwa wananchi. Duh ,duh.

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna sehemu watendaji tumefeli, haiwezekani huu ndio uwe mbadala wa matatizo

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 10 หลายเดือนก่อน

    DC kachemka, bado kesi Iko mahakamani

  • @FatumaHizza
    @FatumaHizza 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤makonda awa wanalamba sukari na kuendelea kuzalisha migogoro

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anauliza iv Dc anaweza kuchaleng

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 10 หลายเดือนก่อน

    Sijapenda uyo mkuu wawilaya kujifanya mjuaji anamuuliza mwanasheria naweza ku challenge hapa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wanyonge hawana hakiii kuna njama zimafanyika hawa upande wa pili hawana lawyer au pesa zimepeperushwa

  • @addomapunda957
    @addomapunda957 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wananchi tusiwe was kushangilia bila kuwa sikiliza viongozi

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 9 หลายเดือนก่อน

    Watu wa Serikali mara nyingi huchukuwa Rushwa ndio sababu kuna kushinda na kutoshinda

  • @nebartmwakibinga7064
    @nebartmwakibinga7064 10 หลายเดือนก่อน

    MAKONDA NAMUOMBA YESU AKUTUNZE UJE KUWA KIONGOZI MKUU ZAIDI YA HAPO NAKUONA UKIENDA KUWA MTU MKUBWA MNO DUNIANI UNASAIDIA WANYONGE KAMA SISI BARIKIWA SAANA

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hunger makonda hakim tutapata masikini.

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 10 หลายเดือนก่อน +2

    Watu Msiwe Mnashangilia2 Zingatieni Sana Elimu Anazotoa Makonda Kwenye Vikao Vyote Siku Ukiona Jipu Baki Nalo Siku Ikifika Ujue Utaanzia Wapi Kuyasema Kwa Viongozi Wa Juu Zaidi

  • @JonasKatundu
    @JonasKatundu 10 หลายเดือนก่อน

    Mh. Makonda hao DC na. DED lao ni moja wanazurumu watu ardhi zao . Ndio maana swala linalo husu DED hukilalamika kwa DC ni kupoteza muda.

  • @Josephineexsuper
    @Josephineexsuper 10 หลายเดือนก่อน

    Na hiyo kesi kama haikupita baraza la kata, hayo maamuz ya ushindi ni batili tupu

  • @RahmaYassinmlaponi
    @RahmaYassinmlaponi 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa viangozi wabadilifu wametoka kwa wananchi so siajabu mwananchi akawa mbabaishaji pia maana kunawananchi huku mtaan kama wakipewa uongozi kwa 1 week bas hazima hiyo waiuze nakila raia apewe chake

  • @jastinyohanes6388
    @jastinyohanes6388 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa uelewa wangu mm rufaa haizuii kutekelezwa hukumu ya mwanzo ,kwa kuwa inakuwa hukumu ishatokewa

  • @dismaskanondo2049
    @dismaskanondo2049 10 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa mokonda ana akili kubwa si kawaida na uwezo mkubwa sana wa uelewa

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mtu ana haki ya kuongea,

  • @fatmaalhabs6939
    @fatmaalhabs6939 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wote wanao fanya serekalini majambazi

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 10 หลายเดือนก่อน +2

    SEMA MAKONDA UNAJUA KUHOJ ATAR

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 10 หลายเดือนก่อน +1

      Makonda ni mzoefu. Alikuwa Mkuuwa Wilaya na Mkuu wa Mkoa tena Dar es Salaam.

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 10 หลายเดือนก่อน

    Makonda Piga kazi du napenda unavyo wabana Rais mama Samia S Hassan Mpe ruhsa aanze kutumbua ili kumuenzi Baba Rais magufuli

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 10 หลายเดือนก่อน +4

    Samia tumbua wakuu was wiilaya ote Ni chanzo Cha migogoro.kila apitapo makoinda Ni wakuu wawilaya

  • @Naju645
    @Naju645 10 หลายเดือนก่อน

    Yaan kuna viongozi wanyonyaji utafikiri hawata kufa

  • @RahmaYassinmlaponi
    @RahmaYassinmlaponi 10 หลายเดือนก่อน

    Yaan huyu makonda inatakiwa uwe naakili zambaali sana ndoutagundua kuwa anafanya sias kwenye mikutano yake

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 10 หลายเดือนก่อน

    Hao wanajua kunyosha maelezo kwa wanyonge..Lisa hawajui sheria

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 10 หลายเดือนก่อน

    Mama samia unaona unachaguwa wasaidizi wako unaletewa majina unateuwa ndio unaona sasa nakuomba bimkubwa muangalie makonda ndio taa yako sasa fukuza wote viongozi wa serikali uliowateuwa wanalala tu uko wanadhurumu wananchi

  • @HammyJuma
    @HammyJuma 10 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kama makonda,mam samia raisi wangu mpatie makonda hata uwazir mkuu,ana karama ya uongoz

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 10 หลายเดือนก่อน

    Kwan hyu makonda anamamlaka ya kuwa shurutisha wateule wa rais

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 10 หลายเดือนก่อน

    Makonda ni km Mungu wetu baada ya mwendazake kutuacha.

    • @BetoSmith-u3i
      @BetoSmith-u3i 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu afananishwi❤

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 10 หลายเดือนก่อน

      Ulaaniwe mtu kmfananisha na MWENYEZ MUNGU

    • @angelavayinga914
      @angelavayinga914 10 หลายเดือนก่อน

      @@personpeter2221 ulaaniwe wenyewe kenge wewe. Kila mtu ana maoni yake,achana na comment zangu pita kule.

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 10 หลายเดือนก่อน

      @@angelavayinga914 umeshafanya kufuru huwez kusema makonda ndo MUNGU wetu MUNGU wako ww na family yako mwehu ww

    • @angelavayinga914
      @angelavayinga914 10 หลายเดือนก่อน

      @@personpeter2221 mwehu mwenyewe

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenye nguvu anachukua

  • @jacksonkema7888
    @jacksonkema7888 10 หลายเดือนก่อน

    makonda chapa kazi usiogope

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 10 หลายเดือนก่อน

    Tatizo mnaongizwa na viongozi wasio heshimu Sheria kama huyo Makonda. Hapo hawezi kuelewa kama hakuna zuio la kisheria lililo ombwa juu ya usitishaji wa hukumu ya kwanza ....

  • @julianpeter7165
    @julianpeter7165 10 หลายเดือนก่อน

    Ina maana hawa wabunge wako bungeni. Kumsifu raisi Tu ? Je hatuoni kuwa kuna haja sasa ya kuchanguwa viongozi kwa namna nyengine hata ya mambo badala ya kuyeuwa watu ambao raisi ki haki hawajuwi kabisa lakini likitokea basi tunamlau yeye haya yote INAONESHA KATIBA MPYA

  • @knaanadam8785
    @knaanadam8785 10 หลายเดือนก่อน

    Hi watanzania

  • @edwinmedson8961
    @edwinmedson8961 10 หลายเดือนก่อน

    Halafu anatokea mtu anasema makonda hajasoma jama hata mkuu wa wilaya anasubl

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 10 หลายเดือนก่อน

      Makonda amesoma, kisomo kipi unazungumzia

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 10 หลายเดือนก่อน

    Makonda tutakufuata Irina unaenda lini Iringa?

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 10 หลายเดือนก่อน

    Wakuu wa wilaya wanajifanya wanasheria ,mama Samia Tumbua huyo mkuu wa wilaya

    • @jackiefredrick586
      @jackiefredrick586 10 หลายเดือนก่อน

      Kwa kosa gan

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 10 หลายเดือนก่อน

      DC hana kosa.. ni taaluma ya watu

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 10 หลายเดือนก่อน +5

    Tuwe na akili za kuelewa haraka. DC kamwe hakuamuru shamba lilimwe. Rufaa imekatwa, iko kwa judge, na, hakuna amri yoyote ya mahakama kusitisha shughuli kwenye shamba husika wakati maamuzi ya Jaji yanasubiriwa; Ungekuwa wewe ndiye DC unafanyaje?
    Tuache kurahisisha mambo. Halafu hii ya kuwa kama unawadharirisha watumishi na viongozi wa Serikali siyo poa. Nchi haiongozwi na kuendeshwa hivyo. Athari zake ni mbaya.

    • @emmanuelbarua5784
      @emmanuelbarua5784 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hujielewi

    • @kikongajoel5172
      @kikongajoel5172 10 หลายเดือนก่อน

      Wew unakula wp

    • @KennethMgona-jy4vc
      @KennethMgona-jy4vc 10 หลายเดือนก่อน +3

      Wew ni mchaw watu wana teseka wew una sema ana wazalilisha urahaniwe na family yako

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe unaroho ya kichawi

    • @avitusmichael5
      @avitusmichael5 10 หลายเดือนก่อน

      Ww ni punda kweli