Mungu awafunguwe macho mpate kuona wapi mlipo jikwaa basi mpate kuinuka maana mmeanguka hamna tofauti na watu wa dunia na ole kwenu maana ukweli mnaujuwa but mnataka kwenda na wakati Heri mwisho kuliko mwanzo ole tena ole kwenu
Mmejua kuniweza yaan mmehudumia moyo wangu sana Mungu awabarik sana sana zaid ya sana nomeona sura flan flan had raha nimewamiss sana zaidi ya yote mbarikiwe zaidi ya hiv nisemavyo:
Waaawh its wonderful beautiful song teaching us in today world treasures are unworthy let us submit all unto the living God only be blessed abundantly.
Aisee mmenisuprise sanaaaa maana naona sauti,muonekano, location kila kitu kwa productions Hakika mmebadilisha nimewapenda Sana.... Na baba wa mke mwema amekuja kivingine nawapenda sanaaaa
Nasemaje Mwl wa kwaya ni mmoja tu, mwl Issa kazi Yako ni njema, Roho Mt aendelee kukuatamia na kukutumia Kwa viwango vya juu Kwa utukufu wa Bwana, binafsi unaubariki moyo wangu Toka nikiwa mtoto Hadi Leo.
Wow beautiful video. I am one of.your greatest listener here in the USA . But originally from kenya. Thank you for your hard work. I known is not easy to organize it. Praise God.
Albamu yenu ya Mke mwema mlinibariki,ila kwa hii mkijichanganya na mambo ya Dunia.Sijawahuku na Mungu anisamehe ,ila Kwaya Mke mwema sio hii ambao naiona kwa sasa!!!!😢😢😢
SASA mmebadilika Sana sio kama mwanzo.Nakumbuka ile wimbo mlioimba Dubai Isikuhandae na kujibadilisha sura.Izo nyimbo tunazikumbuka .Mlisema nini na sasa mkowapi. Mabadiliko makubwa na muonekano wenu hii ni 2020 etc OYEE Bandugu. Ngoma ikilia Sana. Mmebadilika Sana DUH Unbelievable
@@emmanuelzani2889 wametwa na kubiri kutokana na karama wakasaabu kama karama si okovu wakshindwa kuvumiria arakini wakafundisha kuvumiri wengi warivunja ndoa zao na mkono yawo ca uzuni wakaenderea kuimba
@@robertmalyane3068 ni kweli, kwa ujumbe wapo vizuri. Lakini, lengo siyo kuwapendeza watu kwa jumbe zetu mzuri, la hasha. Kusudi ni hili, baada ya utumishi wetu mzuri hapa duniani, twende Mbinguni, hilo liwe ndiyo kipaumbele. Mungu amesema, tusifuatishe namna ya Dunia hii, na ndivyo walivyokuwa hawa ndugu zangu, ila siku hizi, wamebadirika, wameamua kufanana na walioko duniani. Na kama kweli unampenda ndugu yako, akikosea, mwambie ili ajirekebishe, kwa kufanya hivyo, utakuwa umemsaidia ndugu yako. Asante.
Mungu awafunguwe macho mpate kuona wapi mlipo jikwaa basi mpate kuinuka maana mmeanguka hamna tofauti na watu wa dunia na ole kwenu maana ukweli mnaujuwa but mnataka kwenda na wakati Heri mwisho kuliko mwanzo ole tena ole kwenu
WAMEJICHANGANYA SIO KAMA TULIVYOWAJUA KWENYE MKE MWEMA na MBIU😢😢😢
Hakika Mungu azidi kuwatumia ktk kuihubiri injili Kwa njia ya uimbaji mbarikiwe nyote mlio jitoa Kwa ajili ya kazi ya Bwana
Mmejua kuniweza yaan mmehudumia moyo wangu sana Mungu awabarik sana sana zaid ya sana nomeona sura flan flan had raha nimewamiss sana zaidi ya yote mbarikiwe zaidi ya hiv nisemavyo:
Waaawh its wonderful beautiful song teaching us in today world treasures are unworthy let us submit all unto the living God only be blessed abundantly.
Wimbo mzuli sana endelea kuhangalia nahuu utawatia moyo th-cam.com/video/jHfM7JRw2ZE/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Hakika wimbo muzuri Sana una fundisha Mungu awatunze
MMEJICHANGANYA SANA KWA KWENDA NA WAKATI SIO SIRI MLIKUWA MNATISHA HASA KWENYE WIMBO WA MKE MWEMA NA MBIU MLIKUWA NA UPAKO BALAA, 😢😢😢😢😢
Nyimbo nzuri sana
Hii kwaya ilikuwa vizuri Sana sana zamani.Naona ukisasa unaoambatana na udunia,umewavamia.
seems like the original choir went away coz these are totally different faces
Mungu akubariki issaa nafrahia kukuona tena mungu mwema
imana ibhafuhulee. Amina
Mungu atukuzwe kwa sababu yenu. Mimi na barikiwa sana nanyi.
Aisee mmenisuprise sanaaaa maana naona sauti,muonekano, location kila kitu kwa productions Hakika mmebadilisha nimewapenda Sana.... Na baba wa mke mwema amekuja kivingine nawapenda sanaaaa
Mbarikiwe sana ndg zangu, waimbaji wenzangu wa mke mwema, nawapata live Toka kibaha_ pwani.
Waoooo sasa hii kwaya Imerudi kwa upya kwa sababau mbeba maono karudi iko kwenye mikono salama hongera mwl Issa
Wimbo mzuli sana endelea kuhangalia nahuu utawatia moyo th-cam.com/video/jHfM7JRw2ZE/w-d-xo.html🙏🙏🙏
Nasemaje Mwl wa kwaya ni mmoja tu, mwl Issa kazi Yako ni njema, Roho Mt aendelee kukuatamia na kukutumia Kwa viwango vya juu Kwa utukufu wa Bwana, binafsi unaubariki moyo wangu Toka nikiwa mtoto Hadi Leo.
Wow beautiful video. I am one of.your greatest listener here in the USA . But originally from kenya.
Thank you for your hard work. I known is not easy to organize it. Praise God.
Mubalikiwe sana!
Kutoka Burundi
Albamu yenu ya Mke mwema mlinibariki,ila kwa hii mkijichanganya na mambo ya Dunia.Sijawahuku na Mungu anisamehe ,ila Kwaya Mke mwema sio hii ambao naiona kwa sasa!!!!😢😢😢
Amen amen
💥💥
Amin
Wimbo mzuli sana endelea kuhangalia nahuu utawatia moyo th-cam.com/video/jHfM7JRw2ZE/w-d-xo.html🙏🙏🙏
SASA mmebadilika Sana sio kama mwanzo.Nakumbuka ile wimbo mlioimba Dubai Isikuhandae na kujibadilisha sura.Izo nyimbo tunazikumbuka .Mlisema nini na sasa mkowapi.
Mabadiliko makubwa na muonekano wenu hii ni 2020 etc OYEE Bandugu.
Ngoma ikilia Sana. Mmebadilika Sana DUH Unbelievable
MPAKA WANASIKITISHA DUH,NIKIANGALIA WIMBO WA MBIU SIAMINI NACHOKIONA,😢😢😢
Album ya kwanza sawa arakini ya 2/mumejibadirisha muko sawa dunia Ore kwenu
Hawa ndugu walianza vizuri sana, walikuwa watu wa mfano. Ila sasa wamekengeuka, sijui nani kawaloga!!!
@@emmanuelzani2889 wametwa na kubiri kutokana na karama wakasaabu kama karama si okovu wakshindwa kuvumiria arakini wakafundisha kuvumiri wengi warivunja ndoa zao na mkono yawo ca uzuni wakaenderea kuimba
Mko vzr kwa ujumbe wenu,maneno ya watu yasiwakatishe tamaa.
Asante sana Mr Isack Rashid,nawakubali sana mke mwema kasulu.