Jambo Christina mbilinyi WIMBO nasubiri Mimi naipenda sanaa ♥️ nataka na mimi ni.imbe iyi wimbo kwako irudiliye🙏 nifanye rex ya WIMBO wako sijuwi Kama unaniambiya je? Juu naipendaka sanaa wimbo iyi mimi ni muimbaji kutoka uganda 🇺🇬 nitumiye kwanza namba yako whstp
Kazi njema sana by Emola mbilinyi hapa 🙏🏾🙏🏼🙏
hongera mwanangu
Hii nyimbo shangazi uliimba buana
Nasubir baraka zangu kutoka kwa Bwana🙏
Hongera dada
Amen ✍️ inabidi subira ili upate baraka zako
Mungu hajawai shindwa kamwe barikiwa Sana dada toka congo Bukavu 🇨🇩 umetubariki sana
Ninasubiri baraka yangu
Nyimbo inaishi na ujumbe wake
Nyimbo zako nzuri nimezipenda
Aminaaaaaa
Mama yangu una kaz mbaya mungu akuweke maisha marefu kwenye uwimbaji
Naipenda Sana hiyi song mungu akubalike Dada
Amina kubwa
Kwl kbx
Ubarikiwe
Tunaendelea kubarikiwa2 zaidi na zaidi 🙏
"MUNGU AKUBARIKI SANA" 🥰
Haya❤
Hali amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen God bless you
Amin
Mungu yu pamoja nas, God bless you ❤❤❤
Amen Amen
Kama hizi ndizo nyimb
nishawahi piga kama show
On my playlist all the time, barikiwa Sana Dada
Rusiya
💖💖💖
Jambo Christina mbilinyi WIMBO nasubiri Mimi naipenda sanaa ♥️ nataka na mimi ni.imbe iyi wimbo kwako irudiliye🙏 nifanye rex ya WIMBO wako sijuwi Kama unaniambiya je? Juu naipendaka sanaa wimbo iyi mimi ni muimbaji kutoka uganda 🇺🇬 nitumiye kwanza namba yako whstp
Nitumie namba yako nitakucheki kwa whtsp
+255688824787
+255688824787
Mungu Akubriki Jamani
Amina kubwa
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Christina mbilinyi
amena
Mngu akubaliki
Mungu akubariki Christinabilinyi
Amen
Naipnda Sana nyimbo yako kutoka moyon
Have been listening to this song since 2015 until 2023❤ it's kinda song that that I'll never get tired of it
Ni siku nyingi jmn tangu nisikie huu wimbo kwenye redio ya shangazi yangu
Asante sana
Ndugu kundi lake mungu