Uponyaji majeraha - Mkemwema choir (official video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 มี.ค. 2022
  • #mkemwema #gospelsongs #liveperformance #uponyajimajeraha
    Karibu usikie na kutazama wimbo UPONYAJI MAJERAHA wenye kumsifu MUNGU na kukujenga kiroho kutoka kwao MKEMWEMA CHOIR.
    KARIBU SANA TUMSIFU MUNGU
    Usisahau ku LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE
    Phone No.:0624405955
    Email:vijanachoirmkemwemakasulu@gmail.com
  • เพลง

ความคิดเห็น • 75

  • @jastannsabi965
    @jastannsabi965 2 ปีที่แล้ว +9

    Kwakeli wimbo huu unatakiwa uwe wimbo bora wa kwanza wa mwaka, ukisikiliza historia ya wimbo, sound, voice, style ya kuimba, uingizaji sauti na uimbaj, vimeboreshwa kwa umakini. Mungu abariki mtunzi, waimbaji, studio na wahudumu wote walio wezesha wimbo huu kuwa hivi yaani audio song ni nzuri zaidi Mungu awazidishie huduma njema.

    • @josephinasifael9757
      @josephinasifael9757 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  2 หลายเดือนก่อน

      Amen .Mungu akubariki pia Kwa kututia moyo mtumishi wa Mungu

  • @user-bc8bm4gd9g
    @user-bc8bm4gd9g หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo umenibariki sana mungu aendelee kuwatumia

  • @JoyceMiyombe-nb3rd
    @JoyceMiyombe-nb3rd หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki wimbo nzuri sana

  • @user-rz8cb4oq7z
    @user-rz8cb4oq7z 9 หลายเดือนก่อน

    👍 Safi sana waimbaji wenzangu MUNGU we2 azidishe kuwafunulia nyimbo za uwepo walimu wetu mzidi kubarikiwa

  • @FollowGospelSingers
    @FollowGospelSingers 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 AMINA KAZI NZURI

  • @jescakamenya9424
    @jescakamenya9424 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwatumia jamani watumishi wa Mungu nawapenda

  • @catherinerugano3465
    @catherinerugano3465 ปีที่แล้ว +2

    😭😭🙏
    Mungu awabariki kwa mwimbo wa kuktia moyo pale ambapo yunakuwa tupo tunapitia maribu Mungu wa mbinguni awabariki awajaze vilivyo vyake baba
    Amen 🙏

  • @JeanLucNyandwi
    @JeanLucNyandwi หลายเดือนก่อน

    Mung awap nguv ya kwenderesha uduma zake

  • @MariamDionizi
    @MariamDionizi หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana kazi nzuriiii 🙏🙏🙏🙏

  • @masabojackson4520
    @masabojackson4520 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo bora wa karne yote ya 21

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  2 หลายเดือนก่อน

      Yesu awaguse wote wanaopitia NYAKATI ngumu aponye majeraha Yao ya moyo Kwa jina la Yesu amen

  • @catherinerugano3465
    @catherinerugano3465 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👏👏mwalimu aliye tunga mwimbo huu Mungu amkumbuke hata siku ya mwisho amimine baraka juu yake ambariki aingiapo na atokapo mjin na vijijin neema ya bwana iwafunike 🙏
    Amen 🙏

  • @charlesmweteni4977
    @charlesmweteni4977 ปีที่แล้ว

    Hongereni wimbo umegusa nafsi zetu

  • @user-rr2jv6uz2d
    @user-rr2jv6uz2d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana

  • @user-tc2yp4fb8u
    @user-tc2yp4fb8u 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakulilia bwana uniponye

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  5 หลายเดือนก่อน

      Yesu sikia kilio Cha ndugu huyu umponye ameni

  • @MariaPancras
    @MariaPancras หลายเดือนก่อน

    Nmewapendaaa

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 2 หลายเดือนก่อน

    Hongeren ❤❤❤moyo

  • @victormwajombe694
    @victormwajombe694 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe San wapendwa

  • @magreth7981
    @magreth7981 ปีที่แล้ว +1

    Nakuombaa bwana yesu ukagusee kwa jinsi ya barakaa kila aliyeshirikii ktk wimbo huu, wasije ona shida wala kupataa jaribuu ktk maishaa yao , siku zote wajazwee hadi vimwajikee vyote wakuombavyoo, kikwelii wameimbaa mnoo tokaa rohoni, naimani kila aliyeuskilzaa kaguswaa kwa aina yake !Amina

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Asante sana mtu wa Mungu kutuombea natamani kila siku uwatumie wimbo huu watu wengine zaidi yumkini akawa ndo majibu yao ya mda mrefu

  • @priscajosephatbalikulije4892
    @priscajosephatbalikulije4892 3 หลายเดือนก่อน

    Amina sana🙏

  • @EdwardAmon-pe4yt
    @EdwardAmon-pe4yt ปีที่แล้ว

    Mbarkweee more

  • @umojagroupaustralia.
    @umojagroupaustralia. 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mkemwema choir. Karibu Australia tunawapenda sana.

  • @puritymutiso4253
    @puritymutiso4253 4 หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @stevenemil2753
    @stevenemil2753 ปีที่แล้ว

    Nawashukuru watu wa Mungu. Mbarikiwe sana kwa kazi njema. Mimi ni balozi wenu wa hiyari. Nawapenda sana. Naamini wimbo huu utawagusa wengi. Hakika ni maombi tosha kabisa

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @masabojackson4520
    @masabojackson4520 2 ปีที่แล้ว

    Mponyaji ni mmoja tuu, hakuna kama Yehova, tunakushukuru eee Mungu kwa kutuponya majeraha ya moyo... MKC nawapenda sanaaa

  • @bartholomewdismsa5713
    @bartholomewdismsa5713 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki nyimbo ni nzuri sana

  • @yusuphpando6689
    @yusuphpando6689 ปีที่แล้ว

    Nyenyekeeni chini ya mono wa Bwana iliawakweze Zaid katika huduma hii.

  • @irenemwasaga7570
    @irenemwasaga7570 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri wa faraja sana.

  • @zainabusona5901
    @zainabusona5901 2 ปีที่แล้ว

    Ameni mungu awabariki sana kwa Huduma yenu nzuri mungu awakumbuke

  • @joypadon8082
    @joypadon8082 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana na awazidishe, nawapenda

  • @samweljoram1247
    @samweljoram1247 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @brightonishengoma1298
    @brightonishengoma1298 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana wimbo mzur sana unatia Moyo

  • @vipajionlinetv3536
    @vipajionlinetv3536 2 ปีที่แล้ว

    Daima ninabarikiwa nanyi. Mungu awatunze.

  • @regnaldiangress459
    @regnaldiangress459 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwabariki sana

  • @seeyou8864
    @seeyou8864 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki, mnanibariki saana missing my Mchungaji yohana Msimba.

  • @niyogushimaoscar9248
    @niyogushimaoscar9248 2 ปีที่แล้ว

    Ebwana niponye nikutumikiye 🙏🙏🙏Sina mwingine niwewe baba🙏🙏🙏

  • @upendodagras6603
    @upendodagras6603 2 ปีที่แล้ว

    Faraja yañgu niwewe yesu nisaidie ... MUNGU AWABALIK MK

  • @deemaytsino7881
    @deemaytsino7881 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana karibu manyara (babati)

  • @mandelantibayazi3767
    @mandelantibayazi3767 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ndiye atakae walipa na kuwainua zaidi

  • @healingpraiseministry9649
    @healingpraiseministry9649 2 ปีที่แล้ว

    Good song, hongera mkemwema

  • @ansilalulehana4715
    @ansilalulehana4715 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @roseyusuph1233
    @roseyusuph1233 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki na awainue zaidi

  • @jacklinerichard4907
    @jacklinerichard4907 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana,wimbo mzuri sana

  • @kapsabet3
    @kapsabet3 2 ปีที่แล้ว +1

    Line the voices of Angels So sweet 🥲
    Praise God .

  • @bridgetmatumaini3896
    @bridgetmatumaini3896 2 ปีที่แล้ว

    Am blessed so much be blessed too Mkemwema choir...

  • @michaeldaudi2980
    @michaeldaudi2980 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki katika safari yenu👏👏👏

  • @fadhilirobert1511
    @fadhilirobert1511 2 ปีที่แล้ว +1

    Stay blessed

  • @josephngei4072
    @josephngei4072 ปีที่แล้ว

    What an improvement I miss this

  • @godfreysanziki1461
    @godfreysanziki1461 ปีที่แล้ว

    ❤somuch

  • @elizabethgwitaba3329
    @elizabethgwitaba3329 2 ปีที่แล้ว

    Niponye Bwana.....touching song...🙏🙏

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 ปีที่แล้ว

    Awesome song,,Nipo DODOMA Ila i enjoy the homeland singers

  • @josephtheuri7495
    @josephtheuri7495 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba muweke lyrics kwa hii video ndio wakristo waweze kufurahia hii nyimbo zaidi.

  • @masabojackson4520
    @masabojackson4520 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sanaaa MKC

  • @mariadagobert2406
    @mariadagobert2406 2 ปีที่แล้ว

    😭😭🙏

  • @salvatorybushegu7739
    @salvatorybushegu7739 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @gka9147
    @gka9147 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @lukassindobewe3567
    @lukassindobewe3567 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @nicholuskilonzo8661
    @nicholuskilonzo8661 2 ปีที่แล้ว

    We need more of this please

  • @lukassindobewe3567
    @lukassindobewe3567 ปีที่แล้ว +1

    Nn

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa tunaomba sana utusaidie Ku #share hii kwa wengine na Mungu akubariki sana

  • @carolinechilongola1164
    @carolinechilongola1164 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awatunze mzidi kutumika kwa kazi yake

  • @cecilienibigira4165
    @cecilienibigira4165 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana