Aisee bro ulilogwa ama mbona umetoa ngoma kali ivi nakupotea kabisa ama ulikuja ku bp maana kwa hii ngoma nimekuona mbali sana mbona kama aujitambui mshkaj ama uliokota pesa ya hii project unasubir kuokota tena mzee unanboa kinyama amna kutu kibaya kama umshabikie mtu na apogee mazima
2024 march iyo ali kiba ni mfalme ❤❤❤❤♥️♥️ nakumbuka kitaa nilikua naenda kibanda umiza kuchek movie na kuchungulia kwenye matobo 😂😂daa leo flat zimejaa mpaka Jikoni muda akuna
Oya bro mbona kila siku tuna kwambiaga apload na ule wimbo wako wa mbali hau apload kwa nini??? Na shabiki zako tuna utaka au ume poteza hata CD yake??? Iweke TH-cam tui download ile nyimbo kali kinyama naielewa sana msanii wangu
Nyimbo safi xna
Mwaka 2022 bado naisikiliza ngoma na niyamoto vilevile
Mwaka 2024 bado ni ngoma yangu pendwa
2023 here we goo
Ilikua bonge la ngoma ila haka kademu mdomo mrefu kama swenya na alikiba aliwakisha vizuri
Nakumbuka mbali kipindi nipo LAELA SEC
Still watching 2022😎😎
Mungu azidi kukubariki all days bro..najua unamipango mingi but God bless you moree
Safi saana king kiba umecorus vyema 👍
Aisee bro ulilogwa ama mbona umetoa ngoma kali ivi nakupotea kabisa ama ulikuja ku bp maana kwa hii ngoma nimekuona mbali sana mbona kama aujitambui mshkaj ama uliokota pesa ya hii project unasubir kuokota tena mzee unanboa kinyama amna kutu kibaya kama umshabikie mtu na apogee mazima
Kweli jamaa yangu,hii ngoma ni nouma na nusu
tbt ila bado kaliii
Naipenda sana hili song
👊👊👊👊👊
2024 march iyo ali kiba ni mfalme ❤❤❤❤♥️♥️ nakumbuka kitaa nilikua naenda kibanda umiza kuchek movie na kuchungulia kwenye matobo 😂😂daa leo flat zimejaa mpaka Jikoni muda akuna
Kweli kaka mimi movie moja naangali siku 4 yaani muda hamna kabisa 😂
Aiseee❤❤❤
Jamani kumbe bado ipo nilikua mdgo sana 😘
Hii ngoma ilivo toka tukasema salvi hapa katobowa ,,,why Are you cool sikuiz kaka,, lakin na appreciate sana kaz yako mana tulikuwa tuna enjoy mno
my best song ever I'm here 2022
yaani kaka unanifikisha mbali sana mwanang
nikiwa Kama msanii wa kikazi kipya pindi naskia hiii nilikua na lia ni wimbo ulio nifanya nikazeee ulikua unanipa filng sana
keep it up boy from swangaa
🎉swagg boy Salvi Manyika,
Mhuu!Rudi kwenye gemu we niatari
Ngoma kali sanaaa
As good song from ma bro saiii
2021 og buddy
Kwa audio mack mbn haipo kijana
Mpaka 2024❤
2023 apa
Still good song mate
Sana mkali
Jamani wapi salvi,
Good song
uyu kafa au yupo
0:14
Umepotelea wap
bro umepotea xan
Iko poah
tbt ya atali sana
daaah wap tena salvi wee??
Salvi ulikuja kwenye game kuuza sura au umerudi school mute sana?
Ana zingua huyu ule wa mbali ulio imba na Nemo mbona haja u apload soon na un subscribe Chanel yako una boa ki noma
th-cam.com/video/bGm5ufq6X9I/w-d-xo.html
nice
Salvi manyika where are you
wewe kijana tuna hitaji ule wimbo ulio imba na nemo
th-cam.com/video/bGm5ufq6X9I/w-d-xo.html
Mwenye namba ya salv anitumie jamani nimemkumbuka rafiki angu sijui yuko wapi 😢
nakukubali salvi nakuomba uyukumbuke nasi ambao tupo chini yako nicall 0655036697 tuongee
Oya bro mbona kila siku tuna kwambiaga apload na ule wimbo wako wa mbali hau apload kwa nini??? Na shabiki zako tuna utaka au ume poteza hata CD yake??? Iweke TH-cam tui download ile nyimbo kali kinyama naielewa sana msanii wangu
Huu hapa mkuu Salvi ft Nemo mbali
th-cam.com/video/bGm5ufq6X9I/w-d-xo.html