Daah kwer so poa mwache kiba aitwa king hii ngoma inanikumbusha enzi izo nipo zang mwanza nlikua na mtoto mmoja mkar sana sema yeye alikua anasoma alikua ananipenda sana ila mimi sasa nlikua namuogopa kwa sabab alikua anasoma
Pole Sana Mimi nimeisikiliza nimelia,niliingilia nayo ukumbini 2013 nilipofunga ndoa na mumewangu leo kaniacha naangalia pekeyangu,mungu ampunguzie adhabu za kaburi😢😢😢
2023 nmetafuta huu wimbo uliniliwaze hakika napita mapito magum kdgo afu nna mke na ana mtoto tumboni na nataraji mwezi July tupate mtoto na huu ni mwez march na nikiangalia kushoto na kulia sion wapi napata pesa😭😭 Eee mungu nijaalie mm pamoja na mke wng, yatapita tu
yeah i still listen this song, is one of the best bongo music i have heard. wonderful and meets exactly my taste of music. for me is in my favourite list forever.
Mbka 2021 bado naikubali mana mi nakiba kama chupi na tako. Sauti tuu inanikoshaga atali toka kitambo anz izo za shule nkisikia kiba weeee mbka ham inanigiaga kira mara
Iyi nyimbo wakati imetoka nilikua high school wazazi wangu walikuwa na malengo mengi kwa ajili yangu ila dah😢 leo iyi wote awapo am fighting my self😢najisikia kulia sana
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Hii nyimbo na Kinyulinyuli zinanikumbusha maumivu makali sana. Kipindi zinatoka , ndio kipindi Dem wangu ananiambia ana mimba lakini si yangu. Na anasema ameamua hivyo kwasababu sitakuwa na uwezo wa kuitunza familia yake itakayokuja kwa maana anataka watoto wake wawe katika familia bora kwa maana ya magari na majumba ya kifahari. Kilichotekea sasa, alienidharau ndio nimekuwa maisha bora , nina ghorofa ya maana ,Ndinga kali kadhaa,na miradi kama yote,nimepata watoto kwingine na wote wanasoma international schools Alhamdulillah. Yeye sasa,anasota na kashaachwa. Mwisho anarudi kuniomba msaada alienidharau.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
nice song! I can't speak not understanding but I pick some like waniwingula moyo and wote ajuwe those banthu mean my heart not resting and everyone must know!
2024 who is here 😂❤🎉🎉🎉🎉🎉
also me
I'm here 🎉🎉🎉
Kama bado wimbo huu unakukumbusha mbali gonga like hapa❤
Bro adi nimesubscribe
Nice Song
I'm still listening Until 2024
🇨🇩❤️🇹🇿
Nilisikiliza sana ili goma na mwanangu PIPIRO,leo mwamba katangulia mbele za haki.
Endelea kumpzika salama ndugu yangu😭
Daah kwer so poa mwache kiba aitwa king hii ngoma inanikumbusha enzi izo nipo zang mwanza nlikua na mtoto mmoja mkar sana sema yeye alikua anasoma alikua ananipenda sana ila mimi sasa nlikua namuogopa kwa sabab alikua anasoma
Daaaah hii ngoma atali sana 🔥 2023
2023 tuloiludia hii ngoma tujuane
Hii ngoma inanifanyaga nimkumbuke marehem x wangu...apumzike kwa amani
Pole Sana Mimi nimeisikiliza nimelia,niliingilia nayo ukumbini 2013 nilipofunga ndoa na mumewangu leo kaniacha naangalia pekeyangu,mungu ampunguzie adhabu za kaburi😢😢😢
Cjui kwann nikickiaga nyimbo za zaman nackia kulia 😢
2023 nmetafuta huu wimbo uliniliwaze hakika napita mapito magum kdgo afu nna mke na ana mtoto tumboni na nataraji mwezi July tupate mtoto na huu ni mwez march na nikiangalia kushoto na kulia sion wapi napata pesa😭😭
Eee mungu nijaalie mm pamoja na mke wng, yatapita tu
Mambo yameendaje
Mnaendeleaje?Natumaini Kila kitu kilikuwa sawa
Vipi HALI ya shem na wewe kwa Sasa?? Bila shaka mungu aliwaepusha na magumu zaid ya yale
Listening still 2024❤
Good sana alikiba twaenda nayo 2024❤🤙🤙🤙🤙🤙
2013 ngoma ilikuwa Fire 🔥🔥🔥hii tukicheki kwenye TV ya shule kila j pili lazma ipigwe kwenye ZINAZO HIT EATV...!!!! 26/11/2018
Wiiiiii mbar huko sisi inatoka tuko nayo ilkua 2012 nilkua form one enzihzo tunajiona malibra
Leo ni miaka 5 imepita tangu u'comment, nami nime'comment leo❤
Ali Kiba is an african king who doesnt get recognition he deserves.
daa hii nyimbo inanikumbusha nikiwa na mtoto m1 mzur sana wa kiarabu,,alkua hataki makuu hata km sina ananifariji kwa hii nyimbo
Ongera saaaan
Jamni hiii nyimbo inanikubusha balii sana jamni jamni 😢😢😢😢
😂😂😂😂😂😂
@@user-ih3me7mz3w😮😮😮
Ahahaaa....,😂😂😂😂
From Cinderella to Ayaya till now 2022🔥🔥
kiba tuletee kama huu tena tumeupenda sana
Huo wimbo siyo wa Alikiba
Sounds and beats za zamani zilikuwa ni nzuri sana ... hats off kwa producers wa zamani...
I swear
Who is with me 2022 still on my Playlist
I'm here. This song is fire
I really miss spince, so talented 💕💕
Kiba is KING..Natambaa nao 2020💪💪
maisha yanasiri nzito sana yani jamaa huyu kaangukia kwenye uganga masikini alikuwa na ndoto za kufika mbali sana
nani ??
huwa cpendi kucfia ila hii song alikiba amesimama sana big up
bonge la ngoma kweli alikiba NI king kiba nikikumbuka hii ngoma nakumbuka mbali sana
Amini kaka hata mm inanikumbusha mbali sn wametisha.
2024😊😊❤ twende pamoja
hey huzuni sana ninao sana nlikuwa na rafiki msupa maze alikufa nlisikia hii ngoma kwake usiku maaaaan so sad....
Pole jamaa
Old is gold..much love, Ali Kiba forever
yeah i still listen this song, is one of the best bongo music i have heard. wonderful and meets exactly my taste of music. for me is in my favourite list forever.
these kind of songs bongo amna sikuiz... so tasty... nyimbo zinakupa gud mood... kina dushelele, kidela ....
best song ayaya!!!
Goma Kalisana
asante sana for this wonderful song. is one of my favourite songs in the last months.
Who is here in 2019??
I love this song
Duuu kitambo sana ishapita kama miaka 5nikawa enz zileeeeeeeeee laha sana
Mariam Issa we Acha tu Ss hiv maisha ya Magu noma sn
Spince mwenyezi mungu akubariki Na akulinde popote ulipo Na hata Kama umeacha kuimba bado uko juu ubarikiwe Sanaa
King doing Kings thing.
Huu wimbo kijijini kwetu kweny sherehe ilikuwa kama haijapgwa bas sherehe bado haijaisha
John Gasto d
wimbo huu namkumbuka mpenzi wang wakwanza kuwa naye kwenye mahusiano kiukweli nilikuwa nampenda sana
alikiba mrudishe spence kwenye game kaka bado anaweza mziki wake mpaka leo mtamu kuna nyingine kaimba dully ngoma kali nayo
Mawazo yangu kma yko
Ni Mganga sasahivi WA kienyeji
Nyimbo Kari xan hii 2liichezaga kwenye sherehee ya ma bloo we2 2013
Shoutout for the for sure he deserve to be a king nice voice 🔥🔥
🥺feel like crying miss home
ndio naitazama hapa
King kiba forever ❤
❤❤❤❤I used to love this 🎵
Alikiba kweli napenda ngoma zako❤❤❤❤
This was such a jam... Still is.
Spinnce Sesame ni mwanangu sana kitambo tu,, 2024, Dar-es-Salaam beib
Dah,,,hili dude linanikumbusha mwaka 2013,,Wueh,,,mpaka leo bado naipenda
Hiiii nyimbo nilikua naitafuta daaah imenikumbusha mbali sanaaa HADIA kipenz daaah saiv sjui ukowap
Yooohhh! Banger from waaaayyyy back! Here in July 2024 🔥🔥🔥
Noma sana hii ngoma bado naenda nayo mpaka leo 2023
Mbka 2021 bado naikubali mana mi nakiba kama chupi na tako. Sauti tuu inanikoshaga atali toka kitambo anz izo za shule nkisikia kiba weeee mbka ham inanigiaga kira mara
Jmn alikiba zamn ulikuwa fire
This is a sweet song you guys just created it
Kama unakubale kiba is KING best gonga like 2021
King of kings
Mzikimzuri kama umetoka Leo napenda niwaone wakiiimba Pamoja huuwimbo king yooooooo😘😘😘😘💯
Kiba njoo hukuu yaani hii ngoma inanipaga raha sana .....
bado nasonga nayo 2023
Hey 2020 people.
Iyi nyimbo wakati imetoka nilikua high school wazazi wangu walikuwa na malengo mengi kwa ajili yangu ila dah😢 leo iyi wote awapo am fighting my self😢najisikia kulia sana
Keep fighting bro mungu atakusumamia pole sana
2021 nimeoyonatena❤️
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Hii nyimbo na Kinyulinyuli zinanikumbusha maumivu makali sana. Kipindi zinatoka , ndio kipindi Dem wangu ananiambia ana mimba lakini si yangu. Na anasema ameamua hivyo kwasababu sitakuwa na uwezo wa kuitunza familia yake itakayokuja kwa maana anataka watoto wake wawe katika familia bora kwa maana ya magari na majumba ya kifahari.
Kilichotekea sasa, alienidharau ndio nimekuwa maisha bora , nina ghorofa ya maana ,Ndinga kali kadhaa,na miradi kama yote,nimepata watoto kwingine na wote wanasoma international schools Alhamdulillah.
Yeye sasa,anasota na kashaachwa. Mwisho anarudi kuniomba msaada alienidharau.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Daah kiba noma wimbo had 2020 tunao
Mazuu Records kapotelea wapi kwenye game
❤much love20003
Toka 2013 Wza old Vww had leo 2023 mziki mzuri
2019 bado nipo nayo hii ngoma
Who is watching 2017 big up #spence #kingkiba good song
Still we are 2023 🔥🔥🙌
spince big up kaka pin ya ukweliiiiiiiiiiiii ile mbaya ayayaaa......... wavimbe wa pasuke bhass................
Inyimbo inanikumbushia mbali sana today 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ngoma ilikuaga kali sana na Bado kali. Yuko wapi huyu jamaa Spince?
Kaka saivi nipo dar naendelea na majukum mengine sababu muziki wa bongo haulipi
@@mkongwemedia8015 dahhhhhhh ungejaribu Tena Kaka maana kipaji unacho na saiv mziki unalipa tofaut na mwanzo
Nipenda sana hii nyimbo
Still watching 2019
Jaman nmpenda uyu kaka alio imba na kiba macho yake yananimaliza kabsa
Shamsa Malima mtafute ila hayo macho anaumwa
Kama yako yanavonimaliza
Jaman uyu spce yupo Kweli?
Still listen for it
2019december like zenu kama unatazam❤
imenikumbusha wakati nipo form 1 dah yakale dhahabu
2023 bado ni 🔥
big tune this. very nice. Can't stop replaying it. from Nairobi.
wambuikimani21
Listen to Lexus namba sita songs
Dah nimekumbuka kitu acha tu maisha haya 🔥🔥🔥2024
Who's from tiktok like me
18/6/2019 who is still watchng this👌
Jamaa waga anajua San kukonga mioyo ya watu
Ayaya 2022
🔥🔥🔥🔥
I really love dis song 💖💖💖💖💖
Jaman mbona hawa.wakaka wote masha Allah uwiii mahaba niuweee mie
Dah back to my primary days...
Wangap Tupo hapo 2019
naifeel hii ngoma wazimu
The one of the best that days and still is one of best the One who did teach My he rest in peace i❤❤❤❤❤ you
Wale wa 2020 angusha commetai
Kupitia huu wimbo namkumbuka x wang...r.i.p janathy
Daaa hii nyimbo inanikumbusha musoma enzi hizo.❤❤❤❤❤❤
Hii song uniweka high
03/01/2018
nice song! I can't speak not understanding but I pick some like waniwingula moyo and wote ajuwe those banthu mean my heart not resting and everyone must know!
Yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa video iko pouwah.
still the best song
Enzihizo mwaka 2012 Niko form one bc nilgeuka msaniii darasa😂😂😂