😂 daah! Nakumbuka 2015 tuko washkaji watatu halafu mimi tuu ndio nina buku njaa zinatuuma tukaenda mgahawa mmoja hivi tunataka supu, 😂 yule dada alitongozwa kapewa buku tukanywa supu. Mungu atusamehe.
Bonge la nyau ni bonge la msanii uzuri unaonifanya nimkubali ni kwamba jamaa anaumiliki aina ya muziki wake mwenyewe please usiachie hiyo talanta uliyopewa na mola. Amini usiamini unajua sana braza.
How many of us listen to this best song this year 2024
Here I am like now😂❤
Hiyi ngoma inanikumbusha 2016 nilikua kwenye gari nikitoka tz nakuja kenya nakuja kutambulishwa na mmewangu kwao
mpende sana mumeo dadaangu
@@JoeAM911how is it going now baby❤
Vipi bado kama zamani? Maana mahusiano haya daaah
Me inanikumbusha mwaka 2016 nikiwa kisiwan mafia imetamba sana
nice broo walokuw 2019 kma mm gong like tuwe sawaa
2021/1/29/....Ukowapi aseeeh???.....tugonge like hapa nahuyu bonge lanyau 🥰🥰🥰💪💪💪
Dah uy jamaa bhn noma sana sjui kwanin ata aliacha music
Do!!, kwel hii ngoma inaish
😂 daah! Nakumbuka 2015 tuko washkaji watatu halafu mimi tuu ndio nina buku njaa zinatuuma tukaenda mgahawa mmoja hivi tunataka supu, 😂 yule dada alitongozwa kapewa buku tukanywa supu.
Mungu atusamehe.
2020 who else is here to watch good music?
One love and respect.
NyauLoso ft Barnaba Boy Classic
23/05/2021 en forever ❤️
Huu unanikumbusha 2015 na mimba ya mwanangu jmn mpka sasa 2019
Naikubar sana hii ngoma.
Barnaba fundi sana,, izo back vocal daah
Bonge lanyau mm napendaaa unavyo rap
Most under rrated song tried
Aisee ngoma naielewaga hii
ngoma Kali jamaa kafanana na salamba dem kama wema
Bonge la nyau ni bonge la msanii uzuri unaonifanya nimkubali ni kwamba jamaa anaumiliki aina ya muziki wake mwenyewe please usiachie hiyo talanta uliyopewa na mola.
Amini usiamini unajua sana braza.
Most underrated song 🔥🔥🔥
Here we are 2023❤
Who is here 2019?
2022
Dah Hatri Waimbaji utawaona hii ngoma kali xan
Nishida inanikumbusha mbali
Inanikumbuxha nikiwa na ex wangu tulikua tunafungulia kwa gal mwanz mwisho
Dah goma hil kitambo sanaa
Kipi tena kwa mola niombe...niliomba pesa akanipa dhamira yangu nikutunze mpenzi we one way imekua vice vasa
Hihihiiiiiihiiii
Mxtar mtam
Nazikumbuka zile siku,
Ulizotamani kula kuku,
Mfukoni nami nina huku,
Imekua vice versaaa
❤❤❤lolawart
Pesa inabadilisha mtu itakua baada ya kupata pesa ukachange babe akaona we sio mwanaume aliempenda
Who is there in 2023
Ngoma kali ,kinoma big up broo
2016 somewhere in UK.... Those days when i was expecting to graduate my studies
To much love from burundi
2022 hii ngoma still kali 🔥🔥
Hii ngoma haitakiwi iwe na 35k
Favorite song 4any time
Ilikua huna pesa we nadem wako mnapendana kupgndukia mmesota saana2 mlipopsta2 demu kasepa inauma saana
Back in 2021 end year for barnaba's voice🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
2021 still hit song
Bonge la ngoma,, big up Sana,,
Who is here 25 Feb 2020 ????
❤❤
Vice vaser!! hahaa inatokea sana usiombe ikukute hadi unashaanga
Bonge moja la nyauuuuuuuuuuu.Mwanangu fundi sana toka pande za kariakoo
Meaning of good music alive until now 2024
2024 rocking
2019 gonga like
Big UP Man 🔥🔥🔥🔥
Napendaga anapowapaisha mabishoo wenzie
Udede,Ally Absi,Jack Umeme,Amiga Tiger,Terano Music
Sana Yan . Mwana Yan Huw Nasuburi Anapowapa Mashavu Wanawe Wa Faida
Mm ndio zaid asa pa udede terano music
Chichi chid
Oyaaa jack umeme
Naikubal Sana hii hainichoshi kusikiliza
Bonge La nyau uko vyema ongez jihudi
Goma kalii kinoma noma 2020
2023 naomba likes zangu jaman kama tunaupenda huu wimbo
m kila baada ya siku mbili lazima nisikilize huu wimbo naupenda sana
Bonge la chorus,inanikumbusha mbali saana
Bonge moja la ngoma
Back in 2023 end year for best song all time🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kama ulipigwa chini na pisi kisa pesa.. unakuja unazidaka unamchapia hizi verse za terano music,.. 2023
Akhi nyimbo za zman hkun matus🥰🥰🥰🥰
15.1.2021
Baada ya kuachwa ndo nimekukumbuk bonge la nyau😭😭😭huu mwaka na uishe
Nice one bro
Adui calisah alitisha ile mby😅
Im here 2023 vice versa✌🏾
Hii ngoma inanikumbusha nilikua kwenye gar natoka ukweni jaman
I see me 😭❤️
Nipo nalo hili dude 21/12/2019 la mwanetu
Hiinyimbo inaumizasaanamoyowangu
Pole xana
Pole sana
Barnaba kwa nini hauchukui head lines
Bora ungekimbia wakat was dhiki
Naikubali sana Hii beat
Bonge lanyau from us like music
2020 vibe
07/06/2020
2024 tuko hapa
Barnaba ndo kaua kbsa hii ngoma kaisimamisha kinyama
I promise to come back apa 2025 kuskiza ii ngoma tena
Hii ndo one hit wonder bora
Life buuu baaa.
Ahahhaaaa
Hatariii
2023 on air
2023 naickiliza hii Ngoma
Leo sipo naww kivipi nitambee??woyo woyoooo
Ahahhahaaa
Dude hili hatareeee2018
Nyau loso noma 2021
Dah,2019
Hayo mlioimba yamenikuta mimi katika Maisha Yangu
Yan ka walivyo imba?
2023 jun3 GONGA like kama unazikumbuka zile Siku alizotamani kula kuku halafu mfukoni una buku😢
kuliko sasa iko cash na ipo jina
Enzi hizo bipo chuo ilikuwa hapatushi
Moyo umeukandika vidonda
hatariiiiiiiii
2020
Wajanja wameniotea😓
😢dah😂😂
Yani hii nymbo inanikumbsha mambo mengi
2024still on fire 💥💫💫💫
Huwa sichokagi kuusikiliza huu wimbo
Ngoma yangu
Favourite song 🔥🔥
Yeeeeeeeeeaaaaaaaaaa
2012 the time i graduated form four
Ebwana nomaaa sanaaaaaa
🎉🎉🎉🎉2024 kihome boy
Namchek calisah kama sio yeye asee
2022 here we are!!😊
2024 me like
Hii guitar 🎸 iliyopigwa humu ni mkono wa nani..?!
Ngoma Kali sana
Yusco Yahaya juuuuuu
Hiyo solo giter hapo mwishoniiiii
Nakubslii
Barnaba umeuwa Sana kwenye colas