Msodoki Young killer - Hunijui feat Ben Pol and Dully Sykes (Official music video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2018
- Credits @MsodokiYoungKiller #Hunijui
Video Director: Destro
Asst. Director: Ram Ally K.
Make up Artist: Nay Huddah
Lights and Grips: Yusuph Ambwene
Assist Cinematography: Hope Sylvester
Modelling Agency: Aziz
Video Producer: Darsh Pandit
Production House : Wanene Films
©2018
Audio
Artist : Young Killer Feat Dully Sykes and Ben Pol
Producer: Bin Laden and Goncher
Mixing & Mastering Engineer: Chizan Brain
Record Label: Wanene Entertainment - บันเทิง
Kama unamkubali Young killer Gonga like Hapa
Middle simba noma San unatisha
DAH KILLER
Middle simba jamayuko fireshisana nakichupakiko fiti
Middle simba ...dogo killer sio poa...for sure anajua
killer nomaaaa
Msodokiiii Hii ngoma Konk sana like hapa kama umeilewa kam mm
Am the first Kenyan to comment...hii kubwa sana, mad love outta🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ely-alex Marlaw
Ngoma qalii dzain kama umetisha sana young killer
nyimbo kali sanah sema dully anajua sanah xema ben poul sikuona umuhimu wake umoo
Chours ni kama ina chai na maji ya barid 😃😃😃
Ben is doing back up vocals
+paul Nondo kwel kakaa
Swedy Mrisho sikiliza back alivo maliza
inaitwa iced tea ambayo ni kitu cha kawaida
hujawah kosea home boy young killer msodoki nakukubal sana tang mwanza mwanza hadi leo
young killer weee hodari achiaa hapa tz
kama unamkubal young killer kunishinda mm like hapa
Ngoma kali video kali like zote hapa.
Raimondo
ys
yeang killa nomaaaaąaa
Msodokiiiiiii
Daaah angekuwa Diamond ,angekuwa amefikisha 1M,wabongo na mambo ya makundi
good msodoki
Kweli bro
Killer unajua
Loving this
Kenyan supporting East Africa music
Like if you think this is what we should be doing
Killer nakukubali sana mwanangu,, wawashie motoooooo,, kama unamkubali young killer gonga like
huna na mku barii Young killer toa like. kwake
msodoki 🔥🔥🔥kila mchezo kwangu finaly
Dully part is just awesome😍😍😍
Youngkiller angesimama na hii ngoma ni moto sana
Bonge La Wimbo Young Killar Ft Dully Na Ben Pol Hunijui 🔥🔥🔥🔥
Napenda mtiririko wa huu wimbo 😘
Unajua
mMama lisemwalo lipoo leo nimeotaa kama mtuu ana chanika flanii ivii kumbee lime timiaa killer waso jua wachee wapige kelele
Tangu uende wanene ,umekuwa moto sanaaaaa. Big up Wanene and killer
KAMA UNAMKUBALI YOUNG KILLER KAZI ZAKE LIKE YA NGUVU
dully kazngua
Noma sana
Mkn
Vzr havitaki pupa vinatakka simple so leo kesho kuanguka mm bado nipoooooooh napata nnachotafuta nakosaje diko ni mwendo wa kuvunja fupa maans neno ipooooo😂😂😂 mm hoi kwa kujishebedua 💃💃💃 killer MORE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Moja ya ngoma Kali kunako katkat ya mwaka real hujaniangusha Ngosha msodoki
Najizimia ndo mana namelemeta japo bia ndo zinazonimalizia sana pepa ....msodoki
pwaaaaaaaaa Kali xanaaaaaa xemaa inafokaaaaa kama nackilizia radion yaniiii
Cjamsikia vizur Ben pal, au kafichwa na Hao jamaa, ni hatari ukimshirikisha dully,
Mwanangu endelea linda hexhima ya rockcity we wakazie naxx 2k njian 2nakuj
Ngoma kaliii mwanangu killer umetishaaa 😂😂😂 msodokiiii
Yong killer the one's again
The big tone party 👏👏
Bofya like👍 kama ngoma umeielewa kama mimi 💥💥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana DESTRO. Video imestand ka mimba ya miezi tisa. Kisha Young Killer akiwa na mkongwe Dully na fundi Ben wameua
OscarTV Online killa noma
Nimekubali 🙌
Benpoo umetisha sana halafu duli saksi acha kuimba kizamani ngoma kali msodoki
Nakuwa nkukubali sana bro 🌟💯
Ngoma kali sanaaaaa.......Duuh kweli homeboy umekuwa
Bonge la ngoma mkali umetxha xana
We hatar sana msodok hunijui n motoo xana ilakaz iko poa sana nakukubal sana msodokii
Jamaaaaaaa anajua mpaka aibu bloo hamna wakugusa moto wako
Ngonga like hapa kama una mkubali kila
Kali kimtindo ungesimama peke ako msodoki
Amini...angesimama alone msodoki ingekua poa zaidi
Good
man jaruu jr umeongea point
kweli
Ni mtazamo sio vizur kuupinga ila lazma ladha ibadilike kwahiyo kwa mtazamo wangu iko poa sana hasa hizo back vocal za Ben
Ngoma Kali sana killer ukoseagi hii ngoma itawapa tabu sanaaaa
ngoma kaliii .........snaaaaaa mnyama dully u kill the most
*killer always on Fire* 🔥🔥
nyimbo mbaya hii kusema kweli hii umepotea ulivowaweka hao jamaa
bonge moja ngoma.,..chupa Kali ....mipango bila pesa sawa na kelele tu hizzoooo
ngoma kali Youngkiller hujawainiangusha..nawakilisha +254
Unatisha sana mwangu
Nyimbo nzr sana 2018-2020
Akuna ambae ajatoka mbali msodokhiiiii🔥🔥🔥📌📌📌📌
Best collaboration kwa yangu Killa never happen
Killer mbona unanimaliz hv video kali mnooo
Kama ww mkl wako killer ngonga like ww muuwaji kweli@MSODOKIIIII
Goma la moto sana, cyo dogo janja anatubaniabania sauti
I like it mbaya dully hapa nakumbuka dull yule wa zamani kurudi umeua ila Ben Pol mmembania sana
Kiukwel ngoma kl knom Mzee Killr zd kukaza asee!! Na king Dully bdo yuk imara kama nn yn 😎 ila Ben pol xion alchokfny ata kdg.
Mzee wa bambana na hali yako.... Hili ni Bonge la ngoma....
Young Killer yule boy mngori 🔥🔥🔥👊
Mbadii
Mwenye macho haambiwi tazama
Kumamake duly nikisanga narobo joh killer respect chaliii
mbonge moja LA track young killer msodokiiiiiiiiiii
Kama ngoma kali gonga like twende pamoja killer
Duly kweli unamisifa umeuaaaaaaa chorus umeipasuaaaaa yan killer cjui ulijuaje arifu
Mwanza mwanza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wacha maneno goroka..usifanye wanijua, embu wachakuropoka eiiiii xawa fadha dully legendary wa ukweli salute
hujawah kosea mmbaba ngoma iko vzur atar Sanaaaaaaa
hujawah kosea mzee baba...potezaa!!!
Gonga like kama unaingalia ii hit 2021
nakuamini killer aujawai kukosea daaah kila ngoma yk ni kal yn toka ulipo toka mwaka 2013 mbk leo sijawai hona ulipo kosea yn we kwel ni young killer
Mashairi ,vina mzuka nakuvulia Kofia hujawai niangusha
Kali tuh xna mbone,, Msodokii
Mthodokiiii unajua baba
Mzigo uko fresh,wote mmefanya poa Sana!
Sauti ya Dully kali,ila good killer sababu beat yako since mpaka sasa congratulations ,
msodoki umetisha kinomanoo kama una mkubali gongalike na mistar michache
Kaka dully hapa upo poa kama yule dully wa enzi zile Mr Misifa
wastue wana ad tufikie million kadhaa views kwa kwel came on jmn najizimia ndo mana nameremeta
nikwel killer hakuna ambaye hajatoka mbali ##
Alisha sema mama binadam wabaya hisia anaweza ziba mdomo na akajifany hasikii
Safi homeboy iko lit mbaya ile kinyamwezi ya moto sana
Hunijui ...si tujuane na like basi
yamsaa mpemusaa haya muhusu kaisalii..noma xanaa.👏
Hawa wa2 wakali jmniiiiii
Dully syk Tz legend
charles Ndungu tangu siku za baby candy
charles Ndungu kichwa cha chorus...balaa
Gud
Mbona KALI xana
We jamaaa!! Sijawaii kukuchokaaa msengee wew nakukubaaaliii miAka Kama yOoooteeee all de best msOdokiii mnyamaaa
Nakubal xana young killer hakna Kati ya madogo wote
ben pol sijaona umuhim wake, ni mtazamo wang jaman
Wolaaah!! Unamkubali Killer gonga like
young killer Anajua ila hapa bongo kuna dogo anakipaji kikubwa anaimba bong fleva na Hip Hop akitoka atawaficha wengi anaitwa (surprise)
kama uko pamoja namm jaza like twende kaz
P. Star Nchumuye kali xana
Dah!! Eti mipango bila pesa ni kelele, huyu dogo noma
safi killer simwambii mtu mambo yangu alieshindwa na yake
Daa vizuri havitaki pupa napata nachotafuta nakosaje bingo daaa big up sana young kiler komaaa utafika mbali sana
Hii ft haijawai tokea tangu mziki uanze Tz noma sanaaaaaa
Kama kawaida yako br killer ngoma zako hujawah koseaga
Young Killer unajua sana nyimbo zako huwa sizichoki
Nakuelewa xanaa2 pga Kaz
The Son msodoki🔥🔥🔥🔥
whaaaaat this guy young killer msodoki mambo mbaya
Rapu toka rock city hayo mawe unayotoa yangekua pesa Jiji tajiri lingekua mwanza
Magum yapotie pekeako akuna Alie Toka mbali💪💯
Watapata tabu sanaaaa kipigo chake ni cha mbwa koko
Mwanz oyooooo wanatoka watu wazma huku kichupa kizur
nakuelewaaa mwana nipo mbezi beach upo unakovumaaaaaah
jilani yako mie ....mwanaaa mtalaam wwe shida ,ngoma kalisana, tena sanaaaaaaah
hapa tupo beach tunakulaupepo.
nakutikisa vichwa
nakubali xana ad bax yan nakubali goma zote