WAZIRI MKUU: HUYO ASIKAMATWE “MAMA YANGU ANAUZA VITUMBUA, VIONGOZI HAWANA HURUMA" MFANYABIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 56

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah wazir wetu ni rais wetu ajae majariwa wetu ni rais wetu ajae inshallah 🙏

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana jamaa yuko vizuri, Waziri Mkuu ww ni Jembe

  • @JAIROSMLIMILA-cl1wp
    @JAIROSMLIMILA-cl1wp ปีที่แล้ว +6

    Majaliwa safi sana Tena safi sana . Unastahili cheo kikubwa zaidi ya hicho Mungu tuwezeshee huyu mtu Sina mengi.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 ปีที่แล้ว +16

    Rest In Peace Magufuli
    Majaliwa Mungu akusimamie vema uwe Rais wa nchi hii

  • @thomastarimo
    @thomastarimo ปีที่แล้ว +6

    Mweshimiwa waziri mkuu tunaomba sana tena sana hawo vishoka wote kama wote wameleta taswira chafu sana hapa nchini mweshimiwa waziri mkuu

  • @geoufo2858
    @geoufo2858 ปีที่แล้ว +3

    Safii apa wazir kaongea point

  • @adamshabanrashidi1003
    @adamshabanrashidi1003 ปีที่แล้ว +2

    🥺🥺🙏mungu ubarikiwe Tanzania na watu wake inshaallah 🇹🇿

  • @Bikhafija
    @Bikhafija ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah mwenyezimungu akulinde majaliwa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +2

    Dah poleni sana watanzania

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mwamba majaliwa huwa namuelewa sana huyu awe raisi wetu mtarajiwa

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa, jamani Mhshmw Majaliwa Mungu azidi kukutunza..

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว +2

    Mimi sio mfanyabiashara ila nimeumia Sana nilipofuatilia mkutano wa leo. Ndugu zetu wanaumia Sana.😂😂😂

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +3

    R. I. P JPM.
    Sheikh umenifurahisha sana. Viongozi wengi wa awamu hii hawana nia ya dhati kuwasaidia watanzania. Wengi wapigadili

  • @DealDeskPro
    @DealDeskPro ปีที่แล้ว +9

    Kiukweli ni hovyo sana..hii nchi inafanywa kama shamba la bibi kila mtu kitengo, upuuzi mtupu.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna taasisi inayokamua watu na wizi Kama TRA

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 ปีที่แล้ว +6

    TRA woote fukuza wawekwe wanajeshi Wana nidhamu ya kazi nchi itasonga

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa askari wetu ni wezi kabisa.

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 ปีที่แล้ว +3

    😢😢😢daaaah watu washaumizwa mno

  • @magangiralucas6516
    @magangiralucas6516 ปีที่แล้ว +3

    Angekuwepo jpm Watu wa aina akuwachekea alikua akitoa maamuzi magumu papo hapo watu wanatumbuliwa wananch kutosikilizwa na viongozi nikuongeza tatzo kwa jamii kuichukia serikari

  • @EliyaMolley
    @EliyaMolley ปีที่แล้ว +1

    kazi ,mbele

  • @haider1997
    @haider1997 ปีที่แล้ว +5

    Funguka babu 🫡🫡🤣

  • @fridambilinyi5685
    @fridambilinyi5685 ปีที่แล้ว

    Nakuombea kwa mungu chukua fom ya urais nitakuwa wakkwanza kupiga kura

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy9810 ปีที่แล้ว +2

    Safi maalim ila haki ifate mkondo Hapa duniani tunapita tu tutaacha kila kitu

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 ปีที่แล้ว +3

    Saf..sheikh wang..ila namuona maguful kwa wazir sema huna nguvu tu

  • @zainabismail359
    @zainabismail359 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiiii funguka baba

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu ni waziri Mkuu,TRA hawana Huruma kabisa safi kabisa kiongozi sema kweli najua waisilamu hamuogopi kusema kweli safi kabisa

  • @hopeelimasha3535
    @hopeelimasha3535 ปีที่แล้ว

    Amina kubwaaaa

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 ปีที่แล้ว +2

    Saf sana tunataka watu kama hawa

  • @nairathamad2584
    @nairathamad2584 ปีที่แล้ว

    Kweli Baba

  • @mariomsenga
    @mariomsenga ปีที่แล้ว +2

    Ongeni ukweli

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 ปีที่แล้ว

    T,R,A sukuma ndani ndano

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 ปีที่แล้ว +2

    Faini 70 no risiti ni kikundi cha wahuni

  • @mohammedbaraka9230
    @mohammedbaraka9230 ปีที่แล้ว

    Daah...!!

  • @maryamjumah
    @maryamjumah ปีที่แล้ว +1

    Majiwa chukua nchi

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 ปีที่แล้ว +2

    RIP JPM

  • @soberhousetv2245
    @soberhousetv2245 ปีที่แล้ว

    Boda boda wanavyokamatwa inauma sana Serikali yetu tunaamini italifanyia kazi

  • @cbegram6161
    @cbegram6161 ปีที่แล้ว +1

    Akutane nae

  • @kefajoseph158
    @kefajoseph158 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli polisi wamezidi MUNGU anawaona

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 ปีที่แล้ว +3

    Upewe ulzi

  • @joisejimmy750
    @joisejimmy750 ปีที่แล้ว

    Mwiguru jiuzuru

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 ปีที่แล้ว

    Jamani tuangalie hoja tunazotoa nikweli waziri mkuu nimzuri Sana lakini nivibaya kutoa hoja yakusema anafaa kuwa rais wakati rais yupo huko nikumtengeze chuki kwamtawala wake kwamana hiyo haikwepeki kisaikolojia

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว

    Hii awamu ni kero Sana,Rip JPM

  • @lameckmbele5901
    @lameckmbele5901 ปีที่แล้ว

    polisi wezi mno

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว

    Kwishaaaaaàaaa

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 ปีที่แล้ว

    Zungumzia kama unaukwelii SASA unaokopa nini

  • @udizungwahimalaya5213
    @udizungwahimalaya5213 ปีที่แล้ว

    Roma ashasema mti huu mpishi ataona kuni fundi ataona mbao mganga ataona dawa

  • @ramadhaniabdulabi4035
    @ramadhaniabdulabi4035 ปีที่แล้ว

    TRA wana tu umiza san

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 ปีที่แล้ว

    Mtu unaish km digidig kwenye nchi yako

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 ปีที่แล้ว +4

    Rais samia nchi imemshida analazimisha tuu

    • @kefajoseph158
      @kefajoseph158 ปีที่แล้ว

      Kabisa umeona eee MUNGU anamuona

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale ปีที่แล้ว

      Una uhuru wa kusema upendavyo. Uko huru!

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 ปีที่แล้ว +2

      Haijamshinda. Huu wizi umeanza kitambo yeye anafanya taratibu ngazi kwa ngazi hii nnchi. Ina utaratibu wake bwana mwanao hawezi kukufanyia jambo baya ukafukuza. Mazima zio kitu rahisi

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Mwanamke hawezi hata sku moja kuongoza nchi allah ameweka mwanaume kuwa kiongozi mbona magufuli aliweka sawa nchi hta mauwaji yalipungua lkn saiv kesi mauji kudhulumu.