Meja ubunifu 10% katika 100% kila siku anarudia rudia nyimbo na melody tu Japo ni nyimbo zake ila anazingua anatakiwa ajitambue kutoa vitu vizuri akiwa kama msanii
@@mmbkizito854 *haya ndio mambo matano mhimu unayopaswa kuyajua kwenye maisha yako ya kila siku* . th-cam.com/video/ktFMVOUwhVc/w-d-xo.html *SUBSCRIBE LIKE NA SHARE*
Baba nandy Hana baya hapa 😊😊😎👌👌Sema na hao wajuba wakibongo wametisha sana🤣🤣🤣🤣🤣.... Ni yeyeyeeeeee ee 🤸meja uje uniazime kapensi kako nna shida nako 🏃🏃🏃🏃
Daah munira hongera Sana dada una support wasanii nakuona Sana kweny comment za video mbali mbali endelea hivyo hivyo dada 🙏 nikukaribishe na kwenye channel yangu uje kusubcribe
Meja huna jipya umeishiwa mdogo wangu inakuaje unarudia rudia mistari alafu unapoteza radha ya nyimbo kabisa toka ushuwani dogo rudi uswahilini upate madini kama zamani la sivyo sooon unapotea
Billnass na singeli..sikutarajia hii.. MUCH LOVE FROM KENYA
Meja Kunta nafikiri ndiye mwimbaji wa Singeli aliyeweza kukuna mtima wangu!
Billinandy big up broo wapi Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Here 🤚
Katishaaaaaa
🙌🏼🙌🏼
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✋✋✋
Akhaaa kwa wimbo kanipa raha mim jaman😊
Nampenda sana Mejakunta namuona mbaliiii...
Kuhusu bilnass sina tatizo na ww mkuu ila meja humu umeua sana
Hatareeee🔥🔥🔥🔥🔥 meja unazidi kupaa babaakeee💃💃💃 saw Shem wetu kwa kivuruge nandy akeee👌👌👌 likes wapiiiiiii🔥🔥🔥🔥😘😘
wapi like kwa billinaas na meja kunta kitu kimetaradadi kinyama👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿👌🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
NILIFANYA MAPEZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI SEHEMU YA 12
th-cam.com/video/1rF3x6lETMs/w-d-xo.html
USISAHAU SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE
Meja ubunifu 10% katika 100% kila siku anarudia rudia nyimbo na melody tu
Japo ni nyimbo zake ila anazingua anatakiwa ajitambue kutoa vitu vizuri akiwa kama msanii
Ngoma Kali Hapa Billnass Kaonyesha Mashabiki Uwezo Na Kipaji Kikubwa Alichonacho Sio Kwamba Ana Rap Tu Hata Singeli Anaweza Fanya! #HunaBaya
Kama umesikia morrison
Gonga link🙏🙏
Kama una mkubali Billnass kwa mara nyingine ebu gonga like hapa
Sana tu anajua
Hii ngoma kali sana
@@iddymbaga5399 bababa
TUJUWANE WA BILLNASS GONGA LIKE
Billnass ❤️❤️❤️
@@rukiamsomi6869 mamb
@@jamiladugiro7400 Poa nambie my
Mzr
pgam sana
Singeli singeli singeli huu mziki ushaanza kuwateka wasanii wa bongo freva
Meja unaweza sanaa nyimbo angekuachia umarizie wewe tu
Washkaji zangu wa Kenya lete likes kwa billnass
Kama unaamini Meja na billnas wameisanitaizi singeli gonga like
Hii ngoma inaweza kuipoteza CORONA 😢 TIBA tosha. Kuma mamake
th-cam.com/video/2XmepsWj5_E/w-d-xo.html
Watch my latest upload and rate it out of 1⃣0⃣😋
Meja Unajua Sana Mwanetu
Hii ngoma umeua yaan umemtia nenga kwenye kidosho
Bilizi hii, umezingua baba we ungechana tu humu meja amefunika humu, ungechana ingependeza sana, au mnaonaje jaman
Kama Unaiskiza Singeli Ukisoma Comments Like Hapa
Mm hapa mzee
Tuliokuwa tunasubiri kipande cha meja kunta tujuane kwa like
Yap here....
th-cam.com/channels/ibac6c7vpvZ59yK0CAiJwQ.html
Subscribe 🙏😀
Sema hana ubunifu anaridia rudia nyimbo japo za kwake mwenyewe
@@halfahalfa9728 nimtazamo wako
@@geofreyanania1108
Mtazamo wangu wakati nduo uhalisia au nahisi kuna baadhi ya nyimbo za Meja huzijui ?
Ndio maana hujui kama karudia
Fundiii huyo
Tuliomjua meja kunta baada ya kiki dondosheni liker hapa
Kuntaaaaaaa kuntaaaaaa huuu mziki wa Singeli wako!! Mpigishe ft. Mondi tuone vitu standard ya juuu
Meja you killed it
Singeli kimataifa zaidi
Kama unakulibana na mimi Weka like apa twende sawa
nenga nakuelewa sana🔥🔥🔥🇨🇦🍁 fei toto master wa mpira from home ZANZIBAR❤️🔥🔥🔥💪
Oya unafagilia kingeli ngeli uongo😃😃😃
@@abrizoaziz7655 yeah hahaha
Shida na dhiki 😘😍😘 napenda pale unapomwaga radhi ....utaumia mikono kwa kumwaga radhi ....unabaya
Safi nenga na msanii wangu was singeli meja kunta ngoma imetulia ni yeyeyeeee
Harmonize wewe nikipaji umetujulisha mziki wa singeli ni wetu sote wewe na Pro jay
Shemejiii umeuwa umu so poa...meja mwanangu we mkali utoi jasho
Nimekuja hapa coz billnas u support harmonize sometym am ur fan now frm🇰🇪🇰🇪
welcome TANZANIAN
Mwenzenu sauti tu yq meja kunta nipo hoi🔥🔥🔥🔥🔥
Like zao jamn🔥🔥🔥
Kweli kabisaa Mzee baba
NILIFANYA MAPEZI NA MAITI 20 ILI KUUPATA UTAJILI SEHEMU YA 12
th-cam.com/video/1rF3x6lETMs/w-d-xo.html
USISAHAU SUBSCRIBE LIKE COMMENT NA SHARE
Chafu chukm
hanatix
@@mmbkizito854 *haya ndio mambo matano mhimu unayopaswa kuyajua kwenye maisha yako ya kila siku* .
th-cam.com/video/ktFMVOUwhVc/w-d-xo.html
*SUBSCRIBE LIKE NA SHARE*
Ambao wanawaza ngoma ya kuingilia kwenye haruc zao na wakaletewa huna bana piga keleeeee
Bonge LA ngomaaa BG up sn meja
Jamani sijawahi pataga like kwa Bilnass
Mi wanangu naomba like za wabeba majeneza.... Maana wanatukumbusha tutakufa siku moja, Hivyo inabidi tuishi vzr
jamani i am a big fan of Nenga naombeni likes zenu basi dah☄️☄️☄️
Kama unasikiliza 2023 piga like mdau wangu
Baba nandy Hana baya hapa
😊😊😎👌👌Sema na hao wajuba wakibongo wametisha sana🤣🤣🤣🤣🤣.... Ni yeyeyeeeeee ee 🤸meja uje uniazime kapensi kako nna shida nako 🏃🏃🏃🏃
Jaman leo nimechelewa nimekuja kwa ajili ya wale waomba likes😁😁
Daah munira hongera Sana dada una support wasanii nakuona Sana kweny comment za video mbali mbali endelea hivyo hivyo dada 🙏 nikukaribishe na kwenye channel yangu uje kusubcribe
@@abbyvanny kwel asee hata mm namuona sana 👏👏
Hahaha
jamaa anajua kama unamkubali like
Mdogo mdogo mpaka singeli ifiki kimataifa gonga like tuifikishe
credit to harmonize
th-cam.com/video/xkdbqiN_VNs/w-d-xo.html
Subscribe..
Team nenga wacha like hapa
Iko poa sana jamani nimeipenda bureeeeee
Bwana bwana #Nenga kama #Nenga huwa hajawahi kukosea.
*KAMA UNA MKUBALI MME WA NANDY LIKE KAMA ZOTE*
Shabiki wa yanga piga kelele🔥🔥
Wanangu eeeeeeee mieee like mbili tuuu nikalale cna tamaaaaaaaaa
Mwaka wa singeli....singeli to the world, gonga like kama unakubali singeli to the world....#niYEYEEEEEEE
Meja umeiwezea hii Ngoma💯💯💯💯💯💯
Kama unamini meja karudi kwa kasi ya 4G gonga like
Chezea kufa kufufuka wewe
@@dominakimario7651 😂😂😂😂😂 umeona enhe
Meja kiboko weuweeeeeee 🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Kama umependa hii song gonga like hapa👍
Ngoma Kali kinowmaaaah meja kunta naskia kama vionjo vya wanga wabaya
Kunta umeuaaaaaaaa
Hii inaend kuwa No1 trending km unaamini angusha like hap
Weweeeeeeee bonge lA kolabo ...kama umelielewa weka like hapa
Jamaniiii #like kwa #Mamu na #Nandy zidondoshwe hapo chini
Upo vizuri sanh nandy na hao jmaa wa beba jeneza duhh
Unajishauwa nn wakati bado unalal seblen💥💥💥💥
Kama unamkubali meja kunta gonga like apa👇 japo kiki zake niza kitoto🤷♂️🤷♂️🤷♂️
👇👇like. 🇧🇮🇨🇩🇨🇩🇮🇪🇹🇿🇰🇪
th-cam.com/video/VCtVTu26GDA/w-d-xo.html
samweli Bky 🇧🇮🇧🇮
Subscribe tafathali
th-cam.com/video/xkdbqiN_VNs/w-d-xo.html
Uhakika kwenye kiki alizingua kinoma yaan
@@maishacenter-eastafricatv3976 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mbona bill nas naona kama hajaimba hv 😂😂😂😂 hizo mambo achia akina meja kunta kaka
Kama umeona meja kamfunika billnass gonga like
Kwakweli maan nyimb nzim kaimba meja kunt billnass sijamuelewa😀😁
Meja umemfunika bilinas
Baselona
Meja wafanya kazi njema ndugu
Meja mbona hunavuta pumzi kwa nguvu. Fanya sana mazoezi ya pumzi
Naombeni like zen kwa billnass (chikuma)
Yule mdada aliyejishika tako aisee😍
Weka like hapa kwa hawa maboya wanaotuomba like kila siku ili tuwaonyeshe hatutoi kiki bure
Hahahahaha
Hahahaha
#%&&%%&78&""*
Meja huna jipya umeishiwa mdogo wangu inakuaje unarudia rudia mistari alafu unapoteza radha ya nyimbo kabisa toka ushuwani dogo rudi uswahilini upate madini kama zamani la sivyo sooon unapotea
meja umeanza kuzingua unarudia mistari ya kwny nyimbo yako ya marioo umeweka umu kuwa na vitu tofauti tuendelee kusapoti mzki wako
Kama umekubalii. Wakulungwa wazee wa jeneza walivyoua gonga like hapa👇👇👇
Kama unaamini Meja kunta kamfunika Bil nass Gonga like
Alie shilikishwa kamfunik mweny nyimbo 😁😁
meja weweeee hiyo sauti sasa meshabiki yako nmba1 like za meja hap
Nyimbo nzuli sema munaalibu na Hawa wanawake wanaocheza nyimbo hizi wanaume ndio wanacheza vizuli
Noma sana kama unawakubali mikono juu
Hebu nipeni na me like bana,,,,👍 acheni masihara goma kali hili...
Hahahaha yan nimecheka kwa saut kubwa
Kamaunamkubali meja kunta gonga like
Ngoma Kalii, Meja Kunta umeuwaa Mze Baba 🔥🔥🔥🙌 BILLNANDY
Like kwa marehemu meja kunta
Hajafa meja...n hizi kiki zao za kisenge
Bitch 👎👎👎
Fankuro😏
Tuko Wangapi tulokuwa hatujui kama Bilnass anaweza kuimba singeli😊
Twende namba 1 kwenye trendi.
Sijawahi pata likes gonga Likes za meja kunta hapa.🔥🔥🔥
Oy oy nipo Zimbabwe huku huku pia linasoma hili goma like zenu jamani hata 10 tu
Ndeip
Wapi like za Wakulungwa wazee wa majeneza😂😂😂😂🔥🔥🔥
My nenga 💃💃💃💃ujawahi kuniangusha
Safi sana🤟
Much love from Kenya billnass... this is definitely a hit
Bilnass&Meja👌imekaa poa sana😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍😙😙😙
Kubwa kaka zangu napenda Sanaa🎶🎙️
Ila niwaogop hao majamaaaa🏃🏃🏃
Likes za nenga zipitie apa kwa idea kubwa ya wazee wa suti na jeneza
Umetisha mwamba
Bill nass umeua mamae
Like kama ushangwaza na uwezo wake
😍😍
Wanaosema nenga kapita vzur gonga like hapa
Sana
Meja kunta hatarii fire kaua bilnas humu siyo kwako
Bilnass huna sauti ya kuimba singeli imba mziki wko uwo uwo singeli waachie wenyewe##
Mukrim khamis 🤝
wapi like za meja kunta
Lik baki nic song
Meja fundi
Ngoma kalii 💕💕💕
Kama Huna Baya Naomba Like
Nengaaaa...ila kaka Meja tangu afufuke amekua Nomaa😁😁
Billnas noma kabisa tunakubali kutoka kila kona
dooh peace imetulia aseee