Meja Kunta X Lava Lava - Wanga (Official Video) SMS SKIZA 8548824 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.6K

  • @azizahamisi7349
    @azizahamisi7349 3 ปีที่แล้ว +54

    Kama kuna wtu penda ihi nyimbo paka sai kama mm like zenu🇰🇪🇰🇪

  • @damarisochanda6030
    @damarisochanda6030 4 ปีที่แล้ว +392

    Natoka Kenya 🇰🇪 na ninapenda hii song sana,wapi likes za Kenya 🇰🇪

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 4 ปีที่แล้ว +14

    *Shukran sana kwa Meja Kunta na Lavalava kwa kutupa hichi kibao*
    *Na hilo intro pia lanichekesha sana*

  • @safinyota1875
    @safinyota1875 4 ปีที่แล้ว +677

    I am so proud to be tanzanian 🇹🇿🇹🇿 kama we ni mswahili kama mimi gonga like hapo chini

  • @tatusalumramadhani9090
    @tatusalumramadhani9090 4 ปีที่แล้ว +32

    Im so proud to be in Tanzania kam unawakubali lavalava na meja kunta gonga like😍😍😍

  • @rehemaally3358
    @rehemaally3358 4 ปีที่แล้ว +97

    Daaah lavalava endelea kufanya hvi vitu, unajua asee! Usiwe unalalamika na mapenzi tu bhan

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 ปีที่แล้ว

      Lavalava vx Meja kuntu🔥🔥🔥🔥🔥👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
      th-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/w-d-xo.html

    • @jemsiwilliam5443
      @jemsiwilliam5443 4 ปีที่แล้ว

      MAMBO

    • @jenifamlay6833
      @jenifamlay6833 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jemsiwilliam5443 poa mamb

  • @Bongo1Media
    @Bongo1Media 4 ปีที่แล้ว +9

    Ngoma Kali sana harmonize anusi hapa gonga like kwangu twende sawa

  • @mamoridan4675
    @mamoridan4675 4 ปีที่แล้ว +8

    Meja una sauti 😍😍😍 yako pekee unic amazing flani hizi 💃💃💃💃

  • @Jpn_Studios
    @Jpn_Studios 4 ปีที่แล้ว +60

    LAVALAVA ....HII STYLE IMEKUFAA SANA ..IJAZE KWENYE MFUMO WA AKILI YAKO ITAKUTOA .....big up MEJA

  • @Badruddin97Abdul
    @Badruddin97Abdul 11 หลายเดือนก่อน +40

    kama umerudia 2024 like zenu hapa👇👇

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 4 ปีที่แล้ว +11

    Kweli vizuri havidumu ...
    R I P Dogo ....
    Msitutoe kwenye reli

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +111

    Video Haichoshi Wallahi....
    Safi Kungfu Master...
    48 hrs 1M Loading...
    Nisaidieni Singeli Gani Ambayo Imefikisha Zaidi Ya 1M Kwa Masaa Machache Tuuuh # Hii Ndio Itavunja Rekodi Kwa Singeli Zote...

    • @salehsaid3370
      @salehsaid3370 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaeeeee😊🤣

    • @FreshFizzo
      @FreshFizzo 4 ปีที่แล้ว +1

      kaangalie hainaga ushemeji ya man fongo,ghetto ya shollo mwamba na haujaulamba ya dullah makabila zote zina 1M+

    • @elshaarawymuhabesh316
      @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +1

      @@FreshFizzo upo sahihi broo... Sikupingi

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 4 ปีที่แล้ว +1

      Ntatiwizy jr hazikufikisha 1m kwa masaa machache hacha uongo pia aujaulamba haina 1m na ghetto pia haina 1m, man fongo peke ake ndo ana 1m

    • @twahafande1601
      @twahafande1601 4 ปีที่แล้ว +1

      Elshaarawy Muhabesh haichoxhi kuitazama
      Duuh ama kweli wanga wabaya

  • @alcantaraahmed9818
    @alcantaraahmed9818 4 ปีที่แล้ว +26

    Hii ndo naitwa bongo fleva x singeli🔛🔝🔛🔝🔛🔝

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe ndo saababu marehem alifufukaaa... Kuna kusema wamemsingiziaa. Uuumbwaaaaa

  • @samvevo2206
    @samvevo2206 4 ปีที่แล้ว

    Wangaaaa wazurii boya wewe kutusema wenzako tu nasisi tukiimba wasani wabaya by wanga gang

  • @aishaabdallah6232
    @aishaabdallah6232 4 ปีที่แล้ว +172

    Kila saa nailudia wangap wanaludia kama Mimi like kwa wingiii😂😂😂😍😍😍😘huuu Moto jmn

    • @yusraramadhani521
      @yusraramadhani521 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimii zaidy ya maraa miaa

    • @saryaemmanuel2586
      @saryaemmanuel2586 4 ปีที่แล้ว +2

      😙😙😙

    • @CaperAfrica
      @CaperAfrica 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa makala zinazohusu mapenzi na mahusiano pita kweny link hii ...
      th-cam.com/video/XLbPgjn9fEQ/w-d-xo.html

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 ปีที่แล้ว

      Lavalava vx Meja kuntu🔥🔥🔥🔥🔥👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
      th-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/w-d-xo.html

    • @jgdghcvjvvjvbcv8032
      @jgdghcvjvvjvbcv8032 4 ปีที่แล้ว

      @@yusraramadhani521 yusra Quran unairudiaga Mara ngapi kwasiku?

  • @UrCristiano-7-k6b
    @UrCristiano-7-k6b 4 ปีที่แล้ว +29

    National hit of the year.
    Thumbs up to Tanzania.

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +8

    Wasioipenda Hii Mziki Ni Wanga Tuuh... Na Tutawakamata Tu Kama Mboto Alivyowakamata....
    Yeyoooo yeyooo goma LA vibe hili kwenye Show Za Lavalava...

  • @ben-allyjr.7889
    @ben-allyjr.7889 4 ปีที่แล้ว

    Waapeeeeee Saalaaaaamu!! Wanga wabayaaaa sàààñààà mshikaji wangu juhudi binafsi nyeupeeeee kaa tyishuuu mshikaji wangu

  • @farashuubi5507
    @farashuubi5507 4 ปีที่แล้ว +1

    singeli rahaaa...kimbaumbau...Kenya tuko locked,mpo juu majirani zetu.

  • @Rufuboy786
    @Rufuboy786 4 ปีที่แล้ว +16

    Nakubali Sana Lava Lava baby King of Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kelvinsanga6280
    @kelvinsanga6280 4 ปีที่แล้ว +3

    Tumemsameheee kuntaaa watanzania tunaroho nzuriii saaana

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +708

    Fans wa Lavalava
    Fans wa meja kunta
    Fans wa Mboto Tujuane...

  • @reginanovatus6845
    @reginanovatus6845 4 ปีที่แล้ว

    Unantaka kwio..... Kwio io kwiooo wewe raha sana meja kunta king of singeli love you Mr love Bite(lavalava) nakapenda sana haka kawimbo😘😘😘😘

  • @maryamsabri6600
    @maryamsabri6600 4 ปีที่แล้ว +8

    Wazee wa kwio wapii kelele kwa kwio ake😂kazi nzuri sanaa

  • @selemanishaibu8802
    @selemanishaibu8802 4 ปีที่แล้ว +41

    Lava Lava-X-Meja Kunta-WENGE.Mzigo ndo wenyewe huu yeni hatari🚀🚀🚀

    • @DJRUNTOWNREACT
      @DJRUNTOWNREACT 4 ปีที่แล้ว

      Konki... naomba u Subscribe kwa channel yangu

  • @zawadishabani1311
    @zawadishabani1311 4 ปีที่แล้ว +8

    Bonge la ngomaaaa piga kelele kwa love bite ft mejaaaaaa

  • @matarisuma9036
    @matarisuma9036 4 ปีที่แล้ว +49

    Pumbaff meja ulikua unatafuta Kiki ya kutoa hii ngoma,,,ni kaliiii,,!!! Usidanganye watu.

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 4 ปีที่แล้ว +1

    sijui kwann ninamkubali sana LAVALAVA ...endelea kukaza dogo nakukubali sana

  • @shaluuanthony1836
    @shaluuanthony1836 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahahaaaaaa mboto jmn Yan nzuri hiiiii Kali Zaid ya ndimu

  • @rayfaakim1920
    @rayfaakim1920 4 ปีที่แล้ว +307

    Unantaka kwioooo
    Unaela kwioooo
    Eti unadola kwiooo
    Nenda ukalale kwioooo
    Kwiyo iyoiyo kwioooo
    Kwiyoo iyo kwema kwiooo
    Wewehatariiii piga kelele kwa kwio Akeee
    "Weweeeeeeeeeeeeeeee
    Daaah nyimbo naipenda hiii😂😂😂

  • @alimasssaidi5922
    @alimasssaidi5922 4 ปีที่แล้ว +12

    Ukiskia singeli ndohii sasaaa, sio majungu majunguuu👏👏👏👏👏👏

  • @kirwamoita2707
    @kirwamoita2707 4 ปีที่แล้ว +16

    napenda sana sauti ya kunta you have a unic voice be blessed kunta grow up quickly

  • @djgthehotstepper
    @djgthehotstepper 2 ปีที่แล้ว +15

    Qatar 🇶🇦 approved 🔥🔥🔥🔥 Mejja kunta you made me love singeli

  • @lulufrance1997
    @lulufrance1997 4 ปีที่แล้ว +1

    mashabiki wa meja tupoooo.....LIKE APOO.....KUKU kishingooooo akeee.....

  • @latiphasuleyman3018
    @latiphasuleyman3018 4 ปีที่แล้ว +26

    Wallah s mpeznzi wa singeli ila kwa hii naanza kuusikiliza mziki wa single❤❤❤🌹🌹😍

  • @sahaleyjr9774
    @sahaleyjr9774 4 ปีที่แล้ว +4

    meja ngoja kwanza x2 twende kuku kishingo we kishingo hatariii singeli to the world wide

  • @raffajr7678
    @raffajr7678 4 ปีที่แล้ว +172

    Kama una angalia tenah nyimbo ii ad leo gonga like apa tuende sawa

    • @hafsanganya3283
      @hafsanganya3283 4 ปีที่แล้ว +2

      Napenda sana mmi singer

    • @wahidaibrahim126
      @wahidaibrahim126 4 ปีที่แล้ว

      Jaman mim nampenda hyo mwanga alovaa kikofia aise ametisha

    • @nathanboy2615
      @nathanboy2615 3 ปีที่แล้ว

      Nj bbbjjc cm vnloppiopp.
      Nn. Nqjqgjhc do th Hmggggy

    • @georgekuria1895
      @georgekuria1895 3 ปีที่แล้ว

      Thanks

  • @kenjunior3443
    @kenjunior3443 4 ปีที่แล้ว

    Kwioo kwioooo dah lavalava umeua hapaa

  • @bayuumohamed9048
    @bayuumohamed9048 4 ปีที่แล้ว +2

    Wang wabay awoooo et wanajiita jeshiiii

  • @rayfaakim1920
    @rayfaakim1920 4 ปีที่แล้ว +260

    We mwanga mnene wa wapi wewe wa mafyaaaa
    😂😂😂😂😂
    Mwanga akeeeeeee😂😂😂😂mboto fala sanaaaa

    • @husnakindile7536
      @husnakindile7536 4 ปีที่แล้ว +3

      Mee piaa nmechekaa apooo

    • @kelvinmbilinyi7984
      @kelvinmbilinyi7984 4 ปีที่แล้ว +2

      Hahaa hpo to mboto kaniacha hoi

    • @joelcassian2388
      @joelcassian2388 4 ปีที่แล้ว +2

      @@husnakindile7536 da mboto anachekesha

    • @naomioman9794
      @naomioman9794 4 ปีที่แล้ว +1

      Piga kilelee kwa mwangaakeeeee🤣🤣🤣

    • @milermiler1504
      @milermiler1504 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣😆😆😆😆

  • @hamdusimai7711
    @hamdusimai7711 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii ngoma kalii sana salute young Meja 👍🏽✌🏾🇺🇸 🇹🇿

  • @MustaqimMuhsin
    @MustaqimMuhsin 11 หลายเดือนก่อน +29

    Kama unalidia hii ngomq 2024 Ganga like 👍 tujuane

  • @tabiayusufu9103
    @tabiayusufu9103 4 ปีที่แล้ว +1

    Wamejitahid ni kweli binadamu wabaya uwaonavyo nje tofaut na walovyo ndani ya mioyo yao

  • @mdroman6547
    @mdroman6547 4 ปีที่แล้ว +2

    😁😁😁😁😁😁😍😍😍atiii wewe mwanga mnene wa wapiiii😂😂😂😁😁😁😁😁

  • @zaharaomari8030
    @zaharaomari8030 4 ปีที่แล้ว +148

    Ni nzur kwa kweli amejitahidi binadamu si wazuri kma umependa like hapa

  • @harrvannyofficiall2557
    @harrvannyofficiall2557 4 ปีที่แล้ว +58

    Ngoma kali
    On 🔥🔥🔥🔥
    Kama umeielewaa weka like yako apa😂👍

    • @drshika794
      @drshika794 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuku kishingo

  • @msetoonline
    @msetoonline 4 ปีที่แล้ว +126

    Noma sana...MANDOTA KANITOA MBAVU KAMA UMEMKUBARI GONGA LIKE👊👊

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 ปีที่แล้ว

      *Rimix wanga wabaya*
      *Usisahau kusabuskraib🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏*
      👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
      th-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/w-d-xo.html

  • @aishasalumu582
    @aishasalumu582 4 ปีที่แล้ว +1

    Meja unakuja kwa kasi mnoo wallah kaza but mdogo wangu utafika tu safari yako wapi lava lava jmn 😙😙

  • @musason1680
    @musason1680 4 ปีที่แล้ว +2

    Hili goma wajomba mmelipatia kinoma 🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯🙌🙌

  • @suleimanshabani6541
    @suleimanshabani6541 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmeuwa wanangu kitaa kimechafuka sana big up

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 ปีที่แล้ว +40

    Here after Alicia keys and husband swiz beat dancing singeli from Tanzania piga kelele kwa Alicia keys Tanzania to the world🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @euniceupemba1
      @euniceupemba1 3 ปีที่แล้ว

      QQqqqQqqQq

    • @oscarmponda2970
      @oscarmponda2970 3 ปีที่แล้ว

      Tt. Tv tttt vft v tg tt ttttgt gtt ttt. Tvftt v tttft ftttt tttt gttttttttt vtttttt ttttftgvtvttt tt ttt ttt vgvttttttfttttt t. vvtt fvt g vt gtvtgvtggv g t tvggt gtg gt gttvttt tfttvtvt tttvt ttvttttgtggvttttfttggtfvttt tfv ttg tfgvtg t v t v. g t t f ttvvt tvtvv

    • @official_lionboy_tz
      @official_lionboy_tz 3 ปีที่แล้ว +1

      Woyoooooo

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 4 ปีที่แล้ว +38

    🔥 🔥🔥 🔥 WCB4LIFE lava unafit popote

  • @sophiaali5813
    @sophiaali5813 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo hadi naupenda sanA

  • @winnievictory8088
    @winnievictory8088 3 ปีที่แล้ว

    Lavalava umepatia hapo penda sanaa ww

  • @naimuchande8319
    @naimuchande8319 4 ปีที่แล้ว +133

    Kama unaamin meja anaweza ata bongo flavor ,weka like 👇🏻👇🏻

  • @omahlaystudio3112
    @omahlaystudio3112 4 ปีที่แล้ว +167

    🇹🇿🇹🇿Kama umekubali song iyi Nipeni like zangu basi 🇹🇿🇹🇿 TZ
    🔥🔥🇺🇸🇺🇸From USA 🇺🇸 🇺🇸🔥🔥

    • @chdymsafi2063
      @chdymsafi2063 4 ปีที่แล้ว +2

      dadeQiii lava uwezo💥💥💥

    • @mussadaima9639
      @mussadaima9639 4 ปีที่แล้ว +1

      Nakubali

    • @edwardwarioba7723
      @edwardwarioba7723 4 ปีที่แล้ว +1

      nakubali ngoma ipo poa lakini kiki aliyoifanya asirudie tena

    • @edgartz8378
      @edgartz8378 4 ปีที่แล้ว +1

      USA ya buza

    • @anisiarenatusi5584
      @anisiarenatusi5584 4 ปีที่แล้ว +1

      Jack Lingard 14 nimeipenda ngoma ii

  • @hamisibakari5773
    @hamisibakari5773 4 ปีที่แล้ว +86

    wangap tume elewa hili goma.gonga meza

  • @traininghard8118
    @traininghard8118 4 ปีที่แล้ว

    song limetulia sio pw sanaaa meja kunta nakubaliii

  • @bornitusmwemez2179
    @bornitusmwemez2179 2 ปีที่แล้ว

    Wapi Manger Kandolo soma hiyoooo.. kitu imepikwa kuanzia beat verse chorus and best video version 👏🏻👏🏻respect.. IGA UDEAD

  • @dannysimbaatv934
    @dannysimbaatv934 4 ปีที่แล้ว +8

    Meja ngoja kwanza!!!
    Twende kuku kishngoo !!

  • @nasbikhaiddy610
    @nasbikhaiddy610 4 ปีที่แล้ว +7

    Kama umegundua meja na lavalava saut zafanana gonga like

  • @hewilmodey6006
    @hewilmodey6006 4 ปีที่แล้ว +6

    Eti mwanga mnene wa wapi haaahaaaaahaaaaaaa

  • @hanaphialipha268
    @hanaphialipha268 4 ปีที่แล้ว +1

    Tishaa sana balaa zito tutawakera zaid

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 4 ปีที่แล้ว +1

    Meja kunta wewe ni mwisho kwenye sengeli

  • @agneszawadi5426
    @agneszawadi5426 4 ปีที่แล้ว +69

    If u love Lava Lava don’t pass without a like plz from Ug🇺🇬

  • @Mbarack-bn5fr
    @Mbarack-bn5fr 7 หลายเดือนก่อน +11

    Wapi likes za 2024

  • @leodgardchristopher95
    @leodgardchristopher95 4 ปีที่แล้ว +8

    I like the melody .. and that mwanga akeeee last are those KWIOO 😹😹😹😹🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @lilianmoses1761
    @lilianmoses1761 4 ปีที่แล้ว

    Wanga mna mambo meusi
    Nikipost picha mnakoment matusi
    Nikikonda tuu,,,,, una virus
    Respect to meja na lava lava

  • @mwalimumwambile8772
    @mwalimumwambile8772 4 ปีที่แล้ว

    huyu lava lava kweli kwa mziki huu hawezi kurudisha ela kwa boss wake kabidaa amepotea

  • @ojeitzkonde4642
    @ojeitzkonde4642 4 ปีที่แล้ว +3

    Tisha sana meja hamia wcb sasa unangoja nini nenda katoe shavuu baba

  • @tyriphelasalma1146
    @tyriphelasalma1146 4 ปีที่แล้ว +962

    Maskini ya mungu walikua wamesema menja amekufa 😓 like kwa ajiri ya menja tumtakie maisha malefu 🙏🏻🙏🏻😖

  • @emeranceabedi2503
    @emeranceabedi2503 4 ปีที่แล้ว +43

    From USA 🇺🇸🇺🇸 I need my like ❤today 🥰this song 🎶killed me for real

  • @rasulykunguru8496
    @rasulykunguru8496 4 ปีที่แล้ว +1

    Meja wape dawa wanga wanao singizia watu kufa washamba wa mitandao

  • @kenjunior3443
    @kenjunior3443 4 ปีที่แล้ว

    Mwanga akeeeee mwanga akeeeee meja umetisha aiseee @mejakunta 🇹🇿🇹🇿✌

  • @davidzacharia2373
    @davidzacharia2373 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii nyimbo nimempa big up profucer, video shooter, director, meja, lavalava wameitendea haki sana ila tisa kumi awa wanga wamenifurahisha sana aisee wamepatia vibaya

  • @ashleymueni4158
    @ashleymueni4158 4 ปีที่แล้ว +11

    Am from Kenya.......and I like that song

  • @stevenchuwa1935
    @stevenchuwa1935 4 ปีที่แล้ว +380

    alieskio kwio na kaipenda io verse gonga like apa🤸👍🇹🇿

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 ปีที่แล้ว

      Lavalava vx Meja kuntu🔥🔥🔥🔥🔥👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
      th-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/w-d-xo.html

    • @liberatamwombeki5640
      @liberatamwombeki5640 4 ปีที่แล้ว

      👊

    • @neemamandawa9887
      @neemamandawa9887 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwio kwioa

    • @hajisalimu5141
      @hajisalimu5141 4 ปีที่แล้ว

      mama wabaya

    • @lusigapogbaboe6201
      @lusigapogbaboe6201 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahahhahahahhahahahahahahaahahhaha

  • @marynashipae5025
    @marynashipae5025 4 ปีที่แล้ว +1

    Kali Sana ....lecerkeys .Wa USA anaucheza pia
    💪💥💥💥💥

  • @nansikilovele1424
    @nansikilovele1424 4 ปีที่แล้ว

    Piga keleleee kwa kwioakeeeee! Vikuku vishingoooo,na kunakisehem lavalava umecheza kizembe lkn umentia hamuuu ahsante eee

  • @khadijamwalimu6763
    @khadijamwalimu6763 4 ปีที่แล้ว +5

    Hatimae kiki ime✔✔✔hahaha we mwanga bonge wawapi wewe

  • @gracemwacha3254
    @gracemwacha3254 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli wanga wabayaaaa😍😍

  • @BhaiMwadidu
    @BhaiMwadidu 4 ปีที่แล้ว +60

    2:28 meja kaimba vzur mpk burudan kumoyo

  • @emanueltobias3420
    @emanueltobias3420 4 ปีที่แล้ว +1

    Wa dada sikuhizi ukimtaka utasikia unataka kwiooo utaniweza kwiooo

  • @lilsome6331
    @lilsome6331 4 ปีที่แล้ว +1

    dah mmewasuta sana mnawasukuma uko dah mmeuwaaaa iko poa

  • @hamedmohammed8912
    @hamedmohammed8912 4 ปีที่แล้ว +5

    Nasema ivi km Bibi yng ajatoka wete ucngeganda. Hhh like za mboto znaucka apa.

  • @samadumohammed9292
    @samadumohammed9292 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo. Nzuri nmekuja kwa niaba ya wasafi na kwa kuwa mwenetu yupo lavalava

  • @reubzdullahboymusic685
    @reubzdullahboymusic685 4 ปีที่แล้ว +14

    From 🇰🇪🇰🇪kama umekubali wanga rusha like Leo msipite ivo

  • @mkasijuma4803
    @mkasijuma4803 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwanangu mume anapenda hii nyimbo toka ako n 2yrs mpka sai 🇰🇪

  • @zuhlamohammad8277
    @zuhlamohammad8277 4 ปีที่แล้ว

    Yeah Hafidhi kwio hataree sana ujue

  • @shadodecaprio5649
    @shadodecaprio5649 4 ปีที่แล้ว +254

    Team lavalava gonga like kama zote

  • @sakilomwesoswe2904
    @sakilomwesoswe2904 4 ปีที่แล้ว +6

    Ngoma Nzuri sana respect

  • @uthobekah
    @uthobekah 4 ปีที่แล้ว +25

    South Africa approves👌❤

  • @mamaimaemanuely9780
    @mamaimaemanuely9780 4 ปีที่แล้ว

    Hii Ngoma sio poaaaaaaaàaaaa....... Kali sanaaaaa..... Wasafi sio poaaaaaa

  • @yusuphramadhani3049
    @yusuphramadhani3049 4 ปีที่แล้ว

    Mwanga akeeee mpo vizur mboto lava lava na meja kunta ngoma kaliii

  • @benardphotboyomonditv1855
    @benardphotboyomonditv1855 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli wabaya ❤❤❤❤❤❤👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏👊👊👊

  • @jumaramadhan3380
    @jumaramadhan3380 4 ปีที่แล้ว +19

    Ki2 imeingia mtaani 💃💃💃

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 4 ปีที่แล้ว +7

    naomba like za meja na lavalava lavabite wanao sema wameuwa。tujuane

  • @aishaanthony4508
    @aishaanthony4508 4 ปีที่แล้ว

    Mwangawakeeeeee nawew uliyenasa juuu njooo😄😄😄

  • @blacksomaly9324
    @blacksomaly9324 4 ปีที่แล้ว

    Ahhh salute kwako Mr lava awo wanga wabaya sana ahhhhhh