USITUMIE DAWA ZA DUKANI TUMIA MAJANI YA MWEMBE kutibu kuku | ufugaji wa kuku

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @DEODORATMINANI-fg8hn
    @DEODORATMINANI-fg8hn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru kwa ushahuri.
    Kinacho leta hofu ni ujanja wa wanadamu unao fanyika hapa ku mtandao wa TH-cam wala FB,... Ngoja tujaribu,kitakacho fuata ni comment na shukurani. Mubarikiwe zaidi.!

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Shukrani

  • @Voyageurapprenant
    @Voyageurapprenant 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka icho kitabu cha safari ya ufugaji,ila nipo Burundi/Bujumbura na niko tayari kutuma izo shilling elf kumi,nta kipataje??

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Nakutumia Kwa njia ya softcopy kwenye WhatsApp yako

    • @ErasmiKimario
      @ErasmiKimario 3 หลายเดือนก่อน

      Kama kuku wangu uwa na wachia uko chin tba yake inakuwaje

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      @@ErasmiKimario sijakuelewa bado

  • @Adivela-sm6ck
    @Adivela-sm6ck 3 หลายเดือนก่อน

    Dada mm nipokijijini nafuga kuku wakienyeji changmoto yngu ni vifaranga vinakufa xn n kuku wngu hawatagi mayai mng kingne naomba uniunge kwnye grp ntk kusoma vng

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Usijali kwenye kundi utajifunza mengi zaidi na utajiona umepiga hatua Kwa kumjua vizuri kuku

  • @Adivela-sm6ck
    @Adivela-sm6ck 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nitumie namba nikutumie hela

    • @KingoFarm1
      @KingoFarm1  3 หลายเดือนก่อน

      Nipigie au nitumie sms WhatsApp 0712188239