REV. DR. ELIONA KIMARO: MBEBA KUSUDI LA KUWEPO II

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2023
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH - IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING* - 16/11/2023.
    KICHWA CHA SOMO: KUSUDI LA KUWEPO"
    "A SENSE OF PURPOSE"
    NENO KUU
    UNAFANYA NINI HAPA?
    WHAT ARE YOU DOING HERE?
    NYI - KYIKYI UWUTA IHA?
    1 Wafalme 19 : 9
    UNAFANYA NINI HAPA?
    NENDA KWENYE KIWANGO CHAKO
    FROM TEST TO TESTIMONY
    MBEBA KUSUDI LA KUWEPO
    Matendo 9 : 36 - 43
    36 Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.
    37 Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.
    38 Na kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu na Yafa, nao wanafunzi wamesikia ya kwamba Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi na kusema, Usikawie kuja kwetu.
    39 Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu orofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonyesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.
    40 Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.
    41 Akampa mkono, akamwinua; hata akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, hali yu hai.
    42 Ikajulikana katika mji mzima wa Yafa; watu wengi wakamwamini Bwana.
    43 Basi Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yafa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simoni, mtengenezaji wa ngozi.
    Mhubiri : Rev. Dkt. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 12

  • @estharlovely6202
    @estharlovely6202 7 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 Amen na nimebarikiwa sana Mchungaji

  • @doreentemba7833
    @doreentemba7833 21 วันที่ผ่านมา

    😇💟✝️🙏🏿

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki wabeba kusudi (IT team) wako vizuri mno kama mchungaji wao, Mungu awainueee daima🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lightmoshi3131
    @lightmoshi3131 8 หลายเดือนก่อน

    Paster Eliona nikama umeniona nakopita na ndugu zangu,yn ni kinapa,yelyeuwiiiii

  • @user-cg6oj2nn5v
    @user-cg6oj2nn5v 6 หลายเดือนก่อน

    😊😊

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 8 หลายเดือนก่อน

    Vizuri sana mchungaji, nimefurahi sana juu ya kuheshimu wabeba maono

  • @josephlukumaya4223
    @josephlukumaya4223 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona hii hayonekani vizuri

  • @giftcalleb1597
    @giftcalleb1597 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimebariiiwa san,Nlkua naomba kama itawezekana turushiwe matangazo Mahubir haya kwenye TV maana kunasehem wanatamani kuyasikia na hawana namna yakuyapata online,mfano ikiwekwa kwenye Azam tv au startimes itawafikia watu wengi sana na Jina la bwana litazidi kutukuzwa,Mahubiri Mazuri sana na nnafatilia kila mara sitoki tupu Mungu awabariki sana team nzima ya kijito nyama na mchungaji hakika umebeba kusudi sio tu kwa Watanzania na dunia kwa Ujumla

    • @deborahissaya1601
      @deborahissaya1601 6 หลายเดือนก่อน

      Ameen ubarikiwe sana kwa hili wazo naamini wataona comment yako

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 8 หลายเดือนก่อน

    Amen❤❤❤❤

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 8 หลายเดือนก่อน

    Yaan like zingeruhusiwa zaidi ya moja, ningelike zisizo na hukomo,

  • @annamazengo975
    @annamazengo975 8 หลายเดือนก่อน

    Haina sauti mbona tusaidieni basi