#ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024
  • Aliye okolewa na mkungu wa ndizi kwenye Ajali ya Mv.Bukoba akiwa na miaka minne sasa kuoa Agost.2022

ความคิดเห็น • 390

  • @dennisshine7481
    @dennisshine7481 2 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana Samwel,
    Mungu ni mtetezi bado.
    Utashinda mapito yote.
    Nimeumia sana kwa ushuhuda wako nakuombea Mungu afanye wepesi katika mapito yako

  • @lilianowich8894
    @lilianowich8894 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Sana ..Samueli Mungu yupo nawe......

  • @marysona9999
    @marysona9999 2 ปีที่แล้ว +10

    😭😭😭😭Samuel, Pole sana baba umepita changamoto jamani, upo mdogo lakini umepita magumu kuliko umri wako. Nawaombea wote wenye vituo vya kulelea watoto yatima wasiwe wepesi kuwapa watu watoto yatima. Pole sana Samuel.

  • @leonidafatson882
    @leonidafatson882 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭👊pole sana Samwel ,Mungu anakusudi na maisha yako

  • @amanimwakalomba8511
    @amanimwakalomba8511 2 ปีที่แล้ว +11

    Ushuhuda mzito sana huu na wakujenga pia ni maombi yangu kwake Mungu amkumbuke na kumtetea katika mapito yake kwa ushuhuda huu watu waponywe kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.

    • @ElizabethFaimu
      @ElizabethFaimu 5 หลายเดือนก่อน

      Ushauli wangu usije ukamuscha Mungu

  • @olphamoraa6683
    @olphamoraa6683 2 ปีที่แล้ว +12

    Yaani mngeniona Huyu kijana ameniliza sana pole kaka mungu yupo ndiye baba wa mayatima😭

    • @ameria2332
      @ameria2332 ปีที่แล้ว

      Mimi nimelia zaidi yako😢😢Dah! Kaka samweli jaman.pole zaidi ya mara💯

  • @sarahjoram2550
    @sarahjoram2550 2 ปีที่แล้ว +6

    Pole Sana samweli umepitia mengi bado Mungu alikua na kusudi na wew kukuponya na hayo magumu kwa kweli machozi yamenitoka kwa uchungu 😭😭Mungu akuinue uwe mtumishi umtumikie Mungu aliyekuokoa ktk mapito🙏🏻🙏🏻tuwahulumie yatima nao ni binadamu Kama wengine

  • @agathajohn5668
    @agathajohn5668 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana mtumish wa Mungu Mungu Ni mwema aendlee kukutunz

  • @mwanamkasimahaba9005
    @mwanamkasimahaba9005 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole mno mno Samwel,ukisema kwangu kunaungua kwa mwenzio kunateketea.Ila Mungu atakukumbuka ipo siku.Zab 118:17.Sintokufa bali nitaishi nisimulie matendo makuu ya Bwana.Pole sana

  • @nooor1120
    @nooor1120 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Samuel
    Daah hii inanifanya niwe na mawazo mengi juu ya mjukuu wangu alofiliwa na mama yake sijui yatakuwaje maisha yake na mimi Niko mbali na yeye.. lakini mmungu ni mkubwa.
    Nawaombea furaha na mafanikio kutoka kwa Allah kwakila aliefiliwa na mama na kila mwenye matatizo.
    Aamiin yaarabb

  • @josephineopiyo8449
    @josephineopiyo8449 2 ปีที่แล้ว

    Wah wah wah waaaah ni uchungu kweli nilidhani ni Mimi tu ndio napitia tabu kumbe niko sawa kabisa,acheni Mungu aitwe Mungu wa rehema Mungu wa msamaha Mungu wa maskini Mungu wa mayatima na wajane Mungu mwenye huruma azidi kutukuzwa milele na milele elshadai. He is a wonderful and powerful God.

  • @joseenzigire2035
    @joseenzigire2035 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka , usife moyo Mungu ana ku andaliya Meza mbele y’a watesi wako , mpaka kikombe chako kita furika kwa jina la yesu

  • @pstjecintawaiganjoc.k.j.m9938
    @pstjecintawaiganjoc.k.j.m9938 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Samuel kwa mazito hayo uliopitia, wewe ni mtumishi wa Mungu mkubwa

  • @neemaalpher8798
    @neemaalpher8798 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka angu mungu wetu hajalala yupo ye ndo mtetez wetu

  • @deborapeter9188
    @deborapeter9188 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Samwel leo umenikumbusha ulipo kuja babati kweli Mungu nimwema naanakusudi namaiaha yako endelea kumtukuza Mungu

  • @meshackngao4311
    @meshackngao4311 2 ปีที่แล้ว

    Daaa kaka chozi limenitoka pole sana Blooo mungu Akulinde miaka yote

  • @LaCharmanteL
    @LaCharmanteL 2 ปีที่แล้ว +4

    30:00 oohh Lord, nimeshindwa kuziwiya machozi 😭😭😭😭 maskini. Mwenyezi Mungu akukumbuke na akupanguze machozi kwa jina la Yesu Christo🙏🏽🙏🏽🙏🏽. Yahweh papa ya bana etike, sembola loboka. All the way from Canada 🇨🇦 dear Samwel, tuko pamoja.

  • @elizabethngina1997
    @elizabethngina1997 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana broo mungu yuko

  • @Phirissarange6757-r2b
    @Phirissarange6757-r2b 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu yangu mungu yupo na ataendelea kukutetea

  • @lennsaakoth3382
    @lennsaakoth3382 2 ปีที่แล้ว

    Oooh my Good akika mungu niwajabu sana pole

  • @fedhajoseph7687
    @fedhajoseph7687 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana kaka yangu Mungu akuwezeshe katika yote kweli kabisa dunia ni history afadhali kumcha Mungu.

  • @esthermwangi3854
    @esthermwangi3854 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana. May the merciful God see you through. Your story touches my heart.

  • @carolinesitenei2752
    @carolinesitenei2752 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana brother. Mungu yuko pamoja nawe. He will not forsake. He has a good plans to give you hope. Your future is bride Samuel.

  • @ednakwamboka5783
    @ednakwamboka5783 2 ปีที่แล้ว +3

    Ndugu duniani tunapita, wasamehe waluokukosea, watoe kwenye moyo, mtegemee tu Mungu kwa sababu Mungu yuko na sababu na maisha yako, endelea kumtumainia Mungu, you will come out victorious

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 5 หลายเดือนก่อน

    Kijana pole muombe sana Mungu akutetee.

  • @frankkakobin2281
    @frankkakobin2281 2 ปีที่แล้ว

    Oh, Umepitia magumu sana mpendwa. Mungu ana makusudi nawewe. Endelea kutafuta uso wake. Pole sana.

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu saidia watu wako watching from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @marychebet3115
      @marychebet3115 2 ปีที่แล้ว

      Opharns are children of God, we should treat them well, may God protect this young man

    • @neemasamweli9214
      @neemasamweli9214 2 ปีที่แล้ว

      Pole kaka angu mungu alikua namakusudi nawewe. Ndo maana akakuptisha kwenye majarbu hayo usife moyo kila MTU anajalibu lake mungu akutie nguvu kaka

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 2 ปีที่แล้ว

    kaka pole sana mungu amekwisha kulipia ila mwombee yule kijana alie kupiga kuna kitu mungu atakupa pasipo kujua wewe nilini mungu yeye anajua ila mjue sana mungu kwenye maisha yako hakika mungu awe kila kitu kwako

  • @jadapinkett5121
    @jadapinkett5121 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana samwel...
    Mungu yuko pamoja nawe

  • @mirriamnthenya4594
    @mirriamnthenya4594 2 ปีที่แล้ว

    Kijana ....pole sana ..Mungu tu pamoja nawewe

  • @frolamponda840
    @frolamponda840 2 ปีที่แล้ว

    Dah Mungu azidi kukutunza kakangu uwe shuhuda kwa wengine ,,,mtumaini Mungu yeye ndiyo kila kitu katika haya maisha,,

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 2 ปีที่แล้ว

    Pole.sana kijana mungu.atakulipa na kijana mhusika malipo yake ni hapa hapa duniani. Subiri majibu.

  • @faithchemtai2800
    @faithchemtai2800 2 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭 even i cant control my tears,,, oh lord of mercy, saidia mwana wako 🙏🙏

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 2 ปีที่แล้ว +11

    Mungu wewe ni muweza 😭, Mungu wewe ni hakimu wa kweli, Nina imani hukunyamza ktk hili 😭😭🙏🏼

    • @janeongala6684
      @janeongala6684 2 ปีที่แล้ว

      Pole samwel mungu akusimamie zaidi

  • @phiddeschacha3143
    @phiddeschacha3143 2 ปีที่แล้ว

    Daah, pole sana Samwel😭😭😭😭yaani nimelia saana.

  • @farazianduwimana9624
    @farazianduwimana9624 2 ปีที่แล้ว

    Dah, Pole sana Samuel Mungu yu upande wako utashinda

  • @emmaemma5716
    @emmaemma5716 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro God is with you ,mungu atakupangusha machozi

  • @salahsadi3908
    @salahsadi3908 ปีที่แล้ว

    Ndugu Mungu wetu atakuinua zaidi mtegemee zaidi pia wasamehe tuu Bure Yesu yupo ni baba wa yatima,

  • @truphenamatendechere818
    @truphenamatendechere818 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Kala,na Mungu aliekueaka hai mpaka Leo hii,hakika atakufanya MTU WA maana katika mataifa,hata sio taifa,maana Mungu ana sababu nawe,umenisababisha kutoa machozi na uchungu mwingi,kama ni Mimi niliyeyepitia,😭😭nakusikiza nikiwa Saudi Arabia

  • @hamadimagambo8037
    @hamadimagambo8037 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka mungu atakulipia

  • @sophie777-t8w
    @sophie777-t8w 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu imeniuma magumu tunayopitia eeh mungu wayajua tunayopitia ...pole kaka mungu anampango mwema nawe ...utayashinda yote kwajina la yesu kristo

  • @neemarenaida6667
    @neemarenaida6667 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana kaka ,Mungu anakusudi na wewe zidi kumwamini

  • @yasminebukhebi7907
    @yasminebukhebi7907 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana😭😭😭😭😭my brother mungu yupo na akuinuwe sanaa

  • @levinamadoto289
    @levinamadoto289 2 ปีที่แล้ว +1

    We mwenyez mungu hakika hatma yetu unayo wew,turehemu sawa sawa na mapenzi yako

  • @rachaelmbula9413
    @rachaelmbula9413 2 ปีที่แล้ว

    Am in tears pole bro mungu anakupenda Sana,please leta part 2

  • @marymary8313
    @marymary8313 ปีที่แล้ว

    Aky sad story💔😭😭😭 ,pole sana mungu yupo aesi tuaja yatima 🇰🇪🇰🇪

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭huyo mama na watoto wake walaaniwe😭mbona wafanyiwe hivo mtoto yatima😭😭😭mungu akuinue ndugu
    Utashinda vita maana mungu wako yupo na yuko hai atakutetea🙏

  • @jacklinejohn9415
    @jacklinejohn9415 2 ปีที่แล้ว

    Pole San kaka angu kwa mapito uliyo pitia mungu ni mkuu

  • @maryalivitsa4874
    @maryalivitsa4874 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka,mungu yuko

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atakulipia kwa wote waliokupiga bila kosa Mungu atawaadhibu hapa hapa duniani. Inauma sana stori yako.

  • @sibilinamboki6806
    @sibilinamboki6806 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Samwel kwa machungu uliyopitia. Nimeelewa ni kwa nini kwa qenzetu kumchukua mtoro Yakima unapitia mchakato mrefu na sio rahisi kama utakavyofikiri. Pia haiendi kwa haraka namna hiyo. Natoa wito kwa serikali na vituo vya kulelea watoto yatima wajifunze na kurekebisha sheria. Umebeba kusudi kubwa la Mungu na hakika atakuvusha na kukuinua hadi kufikia viwango vya juu kabisa

  • @peninamusyoka9125
    @peninamusyoka9125 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu. Wasamehe waliomtendea haya huyu Kijana. Mungu amulinde.

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 2 ปีที่แล้ว

    Pole Samwel inauma sana,lkn mungu ni mwema hajakuacha.

  • @johnmsaki7920
    @johnmsaki7920 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kwa mapito MUNGU yuko pamoja nawe barikiwa sana ndugu

  • @everlineocharo4433
    @everlineocharo4433 2 ปีที่แล้ว

    Aki nimelia sana ndugu yangu lakini maystima wote ni wa mungu mwenye kumgusha yatima ni mungu amegusha

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana mwanangu. Mungu ni Mkuu sana. Pole sana.

  • @georgemiruka2451
    @georgemiruka2451 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Samwel. Mola Ako nawe mile yote.

  • @ndikumanarita6009
    @ndikumanarita6009 2 ปีที่แล้ว

    Pole kaka neema ipo ajiliyako YESU ipo

  • @marywanyama2216
    @marywanyama2216 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana kwa yale uliyo yapitia kweli mungu ni mwaminifu

  • @fideahyera2599
    @fideahyera2599 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana hakika umepitia Magumu Sana.Umeniliza Sana. Yupo Mungu ambaye ni Baba ya Yatima. Ila Wamama na binadamu wote tuwe na huruma😭😭😭

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 ปีที่แล้ว +3

    Inauma Sanaa mungu azidi kukutetea na kama matokeo ya erimu ya Darasani hayapo vizuri basi naomba ujifunze ufundi na huku ukijiboresha kwenye uimbaji

  • @hellendiana625
    @hellendiana625 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kama, muishiye na umwabudu Mungu pekee atakutetea

  • @yaysas6748
    @yaysas6748 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu na akubariki sana

  • @joycekunyanja1027
    @joycekunyanja1027 2 ปีที่แล้ว

    Mpaka nimelia,nafikilia vip kuhusu watoto wangu siku nikitoweka duniani?eeh Mwenyez Mungu tuepushe na haya majaribu.pole sana Mungu ni mwema siku zote,kiukwel umepitia magumu mengi sana

  • @simonnzyoka716
    @simonnzyoka716 2 ปีที่แล้ว

    .mungu amsaindie kuamini mungu NI Mimi Simon kutoka makueni kenya

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 2 ปีที่แล้ว +7

    SAMWEL MTUMISHI WA MUNGU:navunja roho ya MAUTI JUU YAKO KTK JINA LA YESU:NAKUKOMBOA KUTOKA ROHO YA UMAUTI UKASIMAME HURU.NAKUWEKA HURU LEO KTK JINA LA YESU ALIE HAI.NAFUNGUA MILANGO ILIYOJIFUNGA IKAFUNGUKE LEO.

  • @kissageorge3987
    @kissageorge3987 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kakangu upo wapi kwa sasa tukusaidie

    • @neemaleatitia6915
      @neemaleatitia6915 2 ปีที่แล้ว

      Pole Sana kaka😭😭😭😭😭 mungu azidi kuku Linda akupe maisha marefu sana

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭😭pole sn broo, Mungu yupo pamoja nawe😭🙏🏿

  • @derickkatto9944
    @derickkatto9944 2 ปีที่แล้ว

    Good mtumikie MUNGU...amekutoa mbali.

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Akushike mkono zaidi.

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭pole saaaaan kk yang wana lana hinyo family

  • @simonpaschali7706
    @simonpaschali7706 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole jamaangu dah mungu akusaidie

    • @vumilialupopo1372
      @vumilialupopo1372 2 ปีที่แล้ว

      Naomba namba zako nza sim Samweli asante

  • @antonnadenade4597
    @antonnadenade4597 2 ปีที่แล้ว

    Pole Kaka mungu ametenda matendo mkumbwa kupitia hicho kijiti ili uponyaji

  • @lilianberitha9915
    @lilianberitha9915 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Ni mtetezi wa watatezi, na apewesifa Mungu mwenye huruma

  • @ماربيلا-ب4ن
    @ماربيلا-ب4ن 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema my son mungu ni mwaminifu atakuteda makuu

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie samwel..pole sana.

  • @raelchacha6110
    @raelchacha6110 2 ปีที่แล้ว

    Pole mungu yuko utaishi kwa imani

  • @naomynyevu7117
    @naomynyevu7117 2 ปีที่แล้ว

    Duh! Siwezi kuzuia machozi kabisa nimeshinwa.. pole sana

  • @agatharmoraa3507
    @agatharmoraa3507 2 ปีที่แล้ว +8

    😭😭😭😭 pole sana Samuel mungu Ako pamoja na wewe

  • @marymuchina1481
    @marymuchina1481 2 ปีที่แล้ว +4

    There is God of another chance
    God meet your needs

  • @ireneatieno84
    @ireneatieno84 2 ปีที่แล้ว +5

    GOD is faithful and he has good plans for you only believe 🙏 huyu mama aliwachilia laana kwa watoto wake never mistreat an orphan😭😭😭😭😭😭😭

    • @KYFjamii
      @KYFjamii 2 ปีที่แล้ว +1

      100% true
      Mume wake, marehemu, alijenga utaratibu mzuri wa familia yake kupokea baraka kutoka kwa Mungu lakini yeye akaharibu na kupokea laana badala ya baraka.

    • @KYFjamii
      @KYFjamii 2 ปีที่แล้ว +1

      Be blessed *Irene Atieno*

  • @saadamartin8866
    @saadamartin8866 2 ปีที่แล้ว +1

    Ee Yesu tukumbuke sisi Yatima, yaani uyatima unaumiza Sana, Ila Mungu hakika ni baba yetu, Samweli usimwache Yesu kaka yangu

  • @graciousakida3811
    @graciousakida3811 2 ปีที่แล้ว

    Samwel ,unakitu ndani yako amino Mungu anataka kukufikisha mahali pazuri ila shetani anacheza na maisha yako ,hayo ni kwa Muda tu ,kama Mungu alikuokoa kwenye ziwa victoria na Mv bukoba ,yaliopo ni madogo sana kwa Mungu.shetan ameona nyota yako sio ya kawaida mpaka MAFREE MASON wanaitamani.Dumu katika sala,dua na maombi!!!!

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว +2

    Miujiza ya Yesu.maiti waarobaini moja kwa mwanadamu leo ndio huyu Samweli. Mungu ainuliwe.

    • @KYFjamii
      @KYFjamii 2 ปีที่แล้ว

      Basi, watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa; kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa; na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Yeremia 30:16

  • @happynessshauri1024
    @happynessshauri1024 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana samweli KWA magumu uliyopitia, ila Mungu you pamoja nawe

  • @raelchepchirchir4728
    @raelchepchirchir4728 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭🙏🙏🙏Hakika Mungu, mina baraka zako juu ya huyu mtoto yatima.Yesu kumbuka huyu kijana

  • @Damar1987
    @Damar1987 2 ปีที่แล้ว

    Nimelia yangu yote,pole sana kijana,mungu atakusaidia

  • @joycewanjiru4160
    @joycewanjiru4160 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu naomba utetee watoto yatima😭😭😭

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana samweli kwa mwapito mengi uliopitia japo hayo yote Mungu Baba wa yatima alikuwa karibu na wewe

  • @sophie777-t8w
    @sophie777-t8w 2 ปีที่แล้ว

    Eeh mungu inauma sana pls tuoneshe part 2

  • @levisotienodieto5330
    @levisotienodieto5330 2 ปีที่แล้ว

    Very sad brother don't give up bro

  • @mercychepngeno2095
    @mercychepngeno2095 2 ปีที่แล้ว +4

    May God help you and bless you .and for those people who humiliated you.. May they lack peace in their lives...

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 ปีที่แล้ว +5

    Powerful testimony!!
    Sometimes i wonder why
    innocent people suffer the most 😭

    • @annAnn-rq1qd
      @annAnn-rq1qd 2 ปีที่แล้ว

      Pole sana mungu ako na wewe

    • @makondorshimora5017
      @makondorshimora5017 2 ปีที่แล้ว

      That’s God’s mission to us, to show us he is the living God forever 🙏🏼

  • @sindimbamongi6328
    @sindimbamongi6328 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwamagumu uliyoptia ndugu yangu

  • @decacheru7065
    @decacheru7065 2 ปีที่แล้ว +2

    Soo painful 😫 😢 my brother God will never abandon u keep trusting in him....

  • @lilianmoyo316
    @lilianmoyo316 2 ปีที่แล้ว

    Pole naamini umepita mungu aendelee kukutetea

  • @maureenjames458
    @maureenjames458 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka,, God had best plan for your life 🙏

  • @godisabletv362
    @godisabletv362 2 ปีที่แล้ว

    GOD LOVES YOU,,,,NMELIA SIKU NZIMA

  • @vj8313
    @vj8313 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 Mungu wewe unajua mwanzo na mwisho wetu Baba

  • @leokadiamwamba7732
    @leokadiamwamba7732 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana samweli kwa magum uliyoyapitia lakini nakushauli uwasamehe ili Mungu afanye kazi yake