KINANA ACHARUKA ARUSHA - "WALIOTAJWA RIPOTI YA CAG HATUA ZICHUKULIWE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 เม.ย. 2022
  • KINANA ACHARUKA ARUSHA - "WALIOTAJWA RIPOTI YA CAG HATUA ZICHUKULIWE"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 13

  • @ipinimarco8468
    @ipinimarco8468 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Mh. Kinana,,makamu mwenyekiti wa ccm

  • @jambo3751
    @jambo3751 2 ปีที่แล้ว +1

    KINANA angalau kavaa nguo ya mwanamme wa kimasai lakini kuna mtu kaingia cha kike😄😄😄.

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว

    Alaah kumbe zikiibiwa ndio za wananchi ila zikiwa taslimu kwenye mikono yenu ni za kwenu!!

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe wakati wa ezi zenu mlichukuliwa hatua. Danganya toto.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni kesi ya nyani na ngedere mwizi anaweza kukamata mwizi mwenzio

  • @josephinelyimo2467
    @josephinelyimo2467 2 ปีที่แล้ว

    Mfano gani wa uadilifu ambao umeonyesha ? Wewe jangili namba moja !
    Hivi unawapiga masaund hao watu wa Arusha ,wenye record yako chafu,wanaokufahamu ndani na nje ? Kweli huna aibu !

  • @rafikingango
    @rafikingango 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni Baraka sana 🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
    th-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/w-d-xo.html

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 ปีที่แล้ว

    Rudisheni nyumba za masaki mlizo gawana, Danganya toto kula kunde mbichi

  • @daimanyakunga6293
    @daimanyakunga6293 2 ปีที่แล้ว

    Hata ww ni walewale

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 2 ปีที่แล้ว

    Kwa ujumla hawa wahuni waliporudi ccm tumewachoka tukutane 2025

    • @itwaaky75
      @itwaaky75 2 ปีที่แล้ว

      Wewe na nani?

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaha ni balaaaa hili

  • @drdavidomuswahiliofficiel8645
    @drdavidomuswahiliofficiel8645 2 ปีที่แล้ว

    Diamond platnumz akubali kazi anazo zifanya Harmonize embu bonyeza hapachini ujioneye😂😂
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/T5okytwgSLo/w-d-xo.html&feature=share