Gambo na Lema walipoonesha ukomavu wa kisiasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2020
  • Kilichotokea baada ya wagombea ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya #Chadema Godbless Lema pamoja na Mrisho Gambo wa #CCM walipokutana katika ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwa ajili ya zoezi la uteuzi.
    #Uchaguzimkuu2020 #MrishoGambo #GodlessLema #JimbolaArushaMjini
    Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
    ► bit.ly/2wB6zmR
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 24

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 3 ปีที่แล้ว +5

    Ukomavu wa ki siasa..siasa so Vita.👏👏👏👏👏

  • @evancetesha3836
    @evancetesha3836 3 ปีที่แล้ว +6

    Iwe hivi tanzania nzima

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 3 ปีที่แล้ว +6

    Hahahaha wataelewa Tu wale wanaopenda siasa za kurusha maneno machafu..

  • @petercosmas9902
    @petercosmas9902 3 ปีที่แล้ว +4

    Tanzania ntakayoijenga Mungu akinijalia mbeleni

  • @shibilitimedia3312
    @shibilitimedia3312 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndo Tanzania tunayoitaka yenye upendo, Well done mfano mzuri japo Lema ndo mwisho wake kuingia Bungeni

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah

  • @akonaaybaha9107
    @akonaaybaha9107 3 ปีที่แล้ว +3

    Poa sana

  • @aishasmoni5881
    @aishasmoni5881 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @evaristmkama8573
    @evaristmkama8573 3 ปีที่แล้ว +1

    Sanaa Lema uko vzuri

    • @hindisaidi5097
      @hindisaidi5097 3 ปีที่แล้ว

      Wote wako VIZURI katika kuiombea Tanzania kua na UPENDO

  • @reaganlyimo6259
    @reaganlyimo6259 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 3 ปีที่แล้ว

    Hivi kwa nini Mrisho Gambo umeacha ukuu wa Mkoa kwa ajili ya Ubunge mbona kama unajirudisha chini, Mkuu wa Mkoa ni kama Rais wa Mkoa hakuna boss zaidi yake.

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 3 ปีที่แล้ว

    Gambo humuwezi Lema labda uibe kura. Watu wa Arusha watasimamia kura zao mpaka dakika ya mwisho.

  • @hijakisoro5376
    @hijakisoro5376 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf hiyo

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Mngefanya hivyo siku zote ingekuwa poa

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 3 ปีที่แล้ว

    Hii ndo Tanzânia yetu ya upendo

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa mala yakwanza lema kukubali mziki wa mrisho gambo.ameanza kujisalimisha

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy4908 3 ปีที่แล้ว

    Watz tunapendana ila kuna mtu anasababisha tuonekane kama maadui

  • @davidnicholaus5304
    @davidnicholaus5304 3 ปีที่แล้ว

    Na hiii ndo Tanzania yetu

  • @maisorylucas4113
    @maisorylucas4113 3 ปีที่แล้ว

    Hyo ndo siasa cyo vta

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 3 ปีที่แล้ว

    LEMA WATU WA ARUSHA WANASUBIRI UANZE KAMPENI WALUUNGE MKONO. CCM HAKUNA LOLOTE WASHAMBA TU. KAMA SIO KELELE ZAKO ARUSHA INGEJENGWA VIPI WAKATI GAMBO YAZI YAKE ILIKUWA KUTUKANANA NA WENZAKE OFISINI MPAKA MAGUFULI AKAMTUMBUA. ARUSHA KODI ZENU NDIZO ZIMEIJENGA ARUSHA HAKUNA CHA GAMBO WALA MAGUFULI.

  • @ezronmagai8623
    @ezronmagai8623 3 ปีที่แล้ว

    Gambo chapa boya huyo mapema asubh

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 3 ปีที่แล้ว

    Lena amekubali Kuwait haingii tena bungeni